KIMENUKA MUME WA DIVA AFUNGUKA CHANZO CHA KUWAPELEKA POLISI JUMA LOKOLE NA DIDA / SITAKI MAZOEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • SIKIA MWANZO MWISHO ALICHOKISEMA MUME WA MTANGAZAJI DIVAH THE BHOWSE KUTOKA WASAFI TV ASIMULIA MWANZO MWISHO CHANZO CHA MIGOGORO YA YA JUMA LOKOLE NA MKE WAKE DIVAH HADI KUFIKIA KUPELEKANA POLISI
    #manaratv #divahthebowse #jumalokole #didashaibu
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 28

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 ปีที่แล้ว +9

    Hao watu wanapendana ila wengine wanaumia mi sipendi kufatilia Maisha ya watu wakati yangu yananishinda

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr ปีที่แล้ว +5

    Mm napenda mapenzi yenu msiwasikilize walimwengu

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 ปีที่แล้ว +1

    Hana mpango wote maneno mengi watakupenda hao wengine wanapenda bishoo

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji yupo vizuri kwa maswali ❤❤

  • @kandygraphicstanzania
    @kandygraphicstanzania ปีที่แล้ว

    Mtangazaji fikiria maswali mengine Manara TV is big more than some of your questions

  • @vero57
    @vero57 ปีที่แล้ว +1

    Abdul umependeza na miwani, umeongea kweli kabisa

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kwenye 2003 umetupiga

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nina stress nitakuja kukuona tu bwa Abdurazak nahisi stress zitaisha!

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 ปีที่แล้ว +1

    Kuja kukuona tu shilingi ngapi sheikh?

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji mzuri Manara muangaliye kwa jicho lapili

  • @bobjoy9279
    @bobjoy9279 ปีที่แล้ว

    Hehehe wa tanzania bana yani nimarogi wakubwa yani wezi kama huyo shoga

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 ปีที่แล้ว +1

    MTAPANGA HADI LINI SHOO OFF

  • @shirfadigubike7920
    @shirfadigubike7920 ปีที่แล้ว +2

    Jenga yako

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 ปีที่แล้ว +1

    Weee mtangazaji muongo hachukiwi anaonewa wivu tu.

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 ปีที่แล้ว

    Mm sina mausiano nitakuja 😂😂😂

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 ปีที่แล้ว

    Uko miko hakuna mkataba wa mwaka njo uondoke ?

  • @mvitahamad2126
    @mvitahamad2126 11 หลายเดือนก่อน

    Wanamwita mwamba wa taifa 😂😂

  • @Hanifa4-d4q
    @Hanifa4-d4q 6 หลายเดือนก่อน

    Hawawote niwehu

  • @Marjeby
    @Marjeby ปีที่แล้ว

    Wee mjinga so Magomeni ndiyo umeona sehemu dhalili sanaa mjinga we na meno yako yakungua kama umeuma mavi weee ulivyotoka kwenu Arusha huko si ulihifadhiwa Magomeni Chidya unalala ukumbini leo unaisemea ujinga Magomeni?!
    Halafu wewe hujasoma kabisa na hujasoma chochote kile we ni tapeli tuu fala wewe

  • @faroukfarouk477
    @faroukfarouk477 ปีที่แล้ว +1

    Juaa l na r

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 ปีที่แล้ว

    Taja degree diploma au NN acha maneno mengi nyie mnakazana na madrasa tuuu hapo

  • @aishaz1
    @aishaz1 ปีที่แล้ว

    Hao ndo unawazagamua wewe mwenyewe.😂

  • @aysherkitoi5507
    @aysherkitoi5507 ปีที่แล้ว

    Meno kama chenga za mchele

    • @SharifaOmary-ui8vs
      @SharifaOmary-ui8vs ปีที่แล้ว

      Mh acha zambi kaubwa na Mungu hata ww unakasoro zako

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazajii acha bingereza bya kijinga òngea kiswahili

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 ปีที่แล้ว

    Kuja kukuona tu shilingi ngapi sheikh?