Nabii Mswahili Part 2 - Madebe Lidai, Hamisi Korongo, Zaudia Shabani (Official Bongo Movie)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 270

  • @emmanuelmaluki866
    @emmanuelmaluki866 2 ปีที่แล้ว +8

    Hata tuishi miaka mia kenya tuko nyuma ,Hongera Madebe Lidai kwa mawaidha

  • @munubi2530
    @munubi2530 2 ปีที่แล้ว +8

    Safi sana kaka madebe kiukweli najifunza kupitia move zako zinanijenga aswa aswa mungu azidi kuwasimamia hongereni sana

  • @nelsonkishekwa8916
    @nelsonkishekwa8916 5 ปีที่แล้ว +38

    kwahakika hizi ndizo filam za maneno yakweli kama una amini madebe yupo juu

  • @AbdulkareemJuma-y3n
    @AbdulkareemJuma-y3n ปีที่แล้ว +1

    Kaka unajua Sana naomba unitumie yote

  • @janethjoseph5240
    @janethjoseph5240 5 ปีที่แล้ว +4

    Kama moto utazimika basi jivu halitakuwa na thamani tena,Madebe nakubali sana movie zako

  • @fredymbawala3483
    @fredymbawala3483 5 ปีที่แล้ว +5

    Very good lidai maana unakoelekea utawanyosha hata maatar wakubwa hapa nchini na huo nahamini ni urithi kutoka kwa baba yako mzee mswahili safi sana made be.,,

  • @SelemanSungu
    @SelemanSungu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nabii ni hatari

  • @kaskavekavalami7018
    @kaskavekavalami7018 2 ปีที่แล้ว +3

    Film nzuri sana yenye maadibisho mazuri. Naomba niungwe kwa groupe

  • @bujikuchaztv6500
    @bujikuchaztv6500 5 ปีที่แล้ว +5

    Bro Madebe kila movie yako ninayoangalia najifunza mengi sana Mungu arndelee kukujalia buasara tuendelee kuifurahia Bongo movie iliyokuwa inaanza kupotea, Heshima kwako kaka

  • @neemamzande7252
    @neemamzande7252 3 ปีที่แล้ว +1

    Mash llha muvi ni nzur xnaaaa

  • @allymbangogasya8679
    @allymbangogasya8679 2 ปีที่แล้ว +3

    Shida ni sound ama ni vipi ,ama shida ni simu yangu

  • @juxmontana8901
    @juxmontana8901 3 ปีที่แล้ว +1

    Nipe nafasi madebe niwe kama wewe kipaji jux Montana @ yangu ntaweza madebe naomba nafasi

  • @joinanganunga6985
    @joinanganunga6985 4 ปีที่แล้ว +1

    Usipo wajibika kama mke basi ujue kuna mke mwenzako

  • @MarieFlora-o6i
    @MarieFlora-o6i ปีที่แล้ว +1

    bro wewe ni bora zaidi kwangu 👌

  • @AbubakarAmri-ym3np
    @AbubakarAmri-ym3np ปีที่แล้ว +1

    Sikupingi❤❤❤❤❤

  • @luqmanajmalhiqmal4540
    @luqmanajmalhiqmal4540 2 ปีที่แล้ว +1

    Elimu imetufika sana hongera kwa kutumia njia ya sanaa kuelimisha umma ahsante sana maisha mema marefu yenye baraka tele ndani yake nakutakia huku afya njema kua ndio yako afia madebe endeleaaa

  • @PeterMhimbano
    @PeterMhimbano ปีที่แล้ว +1

    Nakubali kk

  • @nick-hf7bb
    @nick-hf7bb 3 ปีที่แล้ว +1

    Usimuwache mke wako umpendae kwa ajili ya kimada unaye mjaribu.....daaah!, nakubali kabisaa.

  • @vivaidaramsy7415
    @vivaidaramsy7415 6 ปีที่แล้ว +11

    Swadakta Madebe Allah akuzidishie Umri uzidi kuelimisha watu.

  • @fidelemwaka5707
    @fidelemwaka5707 2 ปีที่แล้ว +1

    Nina musalimu Kaka madebe lidai, ninasabai sana filamu yako yoooooote, niko apa congo jomboni Lubumbashi !!

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 5 ปีที่แล้ว +23

    Nilicho jifunza:
    “Kuna kupuliza ili iwake na kupuliza ili ipowe.
    “Ogopa sana kupokea nguo kwa mtu aliyeUchi.
    “Mawimbi yote makali ya Bahari haiwezi kubadiri mwelekeo wa samaki “

  • @mwambiremwaduna5420
    @mwambiremwaduna5420 5 ปีที่แล้ว +3

    Hongera, jitahidi zaidi; kuwa mbunifi umefanana na marehemu stevephen kanumba ila part 1 ya nabii mswahili ingelenga maudhui na ashirio kwa watuwawili k.m hanifa na makungu.....

  • @erasmusbarasa1999
    @erasmusbarasa1999 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana stadi ...mfwasi sugu wa filamu zako kutoka kenya

  • @EdnaKarimiMukangu-vn9ub
    @EdnaKarimiMukangu-vn9ub 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nitajuaji bwana wahukweri nabii

  • @habibasaid3305
    @habibasaid3305 6 ปีที่แล้ว +15

    Safi Sana sijawahi kujutia bandol yangu kwako madebe ukojuu

  • @uwajenezaconsolee3032
    @uwajenezaconsolee3032 5 ปีที่แล้ว +5

    Nimejifuza maneno megi kwayi filam ya nabii mswahil

  • @aminakenyaa9337
    @aminakenyaa9337 ปีที่แล้ว +2

    Maneno ya busara na husia mzuri walaih ❤❤❤❤❤❤

  • @JumaJuma-x9i
    @JumaJuma-x9i 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jifunzeni kitu hapo

  • @HamisAmiry-go1lq
    @HamisAmiry-go1lq ปีที่แล้ว +1

    Nakubal Sanaa kaz zakoo

  • @mmariwammari692
    @mmariwammari692 6 ปีที่แล้ว +9

    sijawahi ONA movie kaaama hii toka nianze kuangalia movie .
    inahistahili Tuzoo

  • @kamarhelo
    @kamarhelo ปีที่แล้ว +1

    Nilicho jifunza mim Kuna roho mtakatifu na roho mtaka bifu

  • @linusjohn3338
    @linusjohn3338 6 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana madebe ujumbe umefika kwenye jamii

  • @angelangel-wq4sx
    @angelangel-wq4sx 5 ปีที่แล้ว +8

    Naipenda pôle kwakazi nzuri🇨🇩

  • @PaulMurhabazimasumumu-lz3rx
    @PaulMurhabazimasumumu-lz3rx ปีที่แล้ว +1

    Hii ni mafundisho ya maisha

  • @neemamzande7252
    @neemamzande7252 3 ปีที่แล้ว +1

    Anifa umejifunza nn kupitia hii muvi

  • @SharonOswin-tn9rp
    @SharonOswin-tn9rp ปีที่แล้ว +1

    Madebe unacho sema nikweri kabisa lakini sijakuerewa vizuri

  • @meshacklaiton
    @meshacklaiton ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli twahitaji uhitaji wa maeneo yetu iwe elimu kwetu na vizazi vijavyo.

  • @devidjoseph578
    @devidjoseph578 5 ปีที่แล้ว +4

    Duh nabii bhana anaekupinga ni mchawi

  • @fatmashaban3749
    @fatmashaban3749 6 ปีที่แล้ว +13

    Masha Allah madebe Mungu akuweke miaka mia

    • @gelevasbunzari2629
      @gelevasbunzari2629 4 ปีที่แล้ว +2

      Ukweli madebe hauna wakushindana nae umezihilisha kabisa

  • @dianamaombi2379
    @dianamaombi2379 3 ปีที่แล้ว +1

    Mi madebe bado sija ku kubali bhana

  • @Emmy-ol7ex
    @Emmy-ol7ex 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiz movie nzur sana pia nimejifunza kitu

  • @maximilianmatongo6617
    @maximilianmatongo6617 5 ปีที่แล้ว +5

    Napenda movie zako madebe ila kwenye sauti nakereka sana na ninajua siyo mm tu tupo wengi

  • @boscoj5642
    @boscoj5642 ปีที่แล้ว +1

    Bro nashukuru kazi yako

  • @jacklineedward3827
    @jacklineedward3827 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana madebe nipo naangalia mouvi zako

  • @laurentphabiani7733
    @laurentphabiani7733 5 ปีที่แล้ว +4

    Nakukubalia xana madebe ipo cku nitafanya kazi na wewwe

    • @johnsingano7988
      @johnsingano7988 5 ปีที่แล้ว

      mm mwenyew nataman kufany kaz nae

    • @naimasaid7763
      @naimasaid7763 5 ปีที่แล้ว +1

      Hata mm pia natamani kufanya nae kazi

  • @rezeekyomar563
    @rezeekyomar563 6 ปีที่แล้ว +10

    Nimejifunza mengi madebe

    • @coronelypetro3537
      @coronelypetro3537 6 ปีที่แล้ว

      Kaka kwema Sana'a tunaija

    • @jameschristian5876
      @jameschristian5876 5 ปีที่แล้ว

      Kama unaamini story inafanana NA crazy love yamarehemu kanumba ila Madebe kaongeza ongeza maujanja kama kuchezea uswahilini uswahili gonga like tusonge

  • @denismagayane36
    @denismagayane36 6 ปีที่แล้ว +8

    Nic madebe 👍👍👍 nimejifunza kitu

  • @enkjadon7433
    @enkjadon7433 6 ปีที่แล้ว +5

    m nd shabiki ako namba 1 na ww nd msani wa 1

  • @shabanomary6047
    @shabanomary6047 5 ปีที่แล้ว +3

    Madebe unaweza kaza saana jamaaangu

  • @lucanusnickata8852
    @lucanusnickata8852 5 ปีที่แล้ว +2

    Uchumba uliovunjika ni bora zaidi kuliko ndoa iliyokosa amani "sio Mimi ni madebe lidai"

  • @saudatatizonyota2101
    @saudatatizonyota2101 6 ปีที่แล้ว +6

    Uuuwii sauda wewe mzuri kama mimi mashallah

  • @yohanamaduhu1189
    @yohanamaduhu1189 5 ปีที่แล้ว +2

    Duuh madebe atari sana misemo kuntu real life #Nittoh

  • @mohammedbakari1364
    @mohammedbakari1364 5 ปีที่แล้ว +4

    Kazi nzuri kaka..... Endelea kuifunza jamii

  • @nicolausmapalilo5064
    @nicolausmapalilo5064 4 ปีที่แล้ว +1

    Mr madebe fram nizur nimeielewa lakni vpande vngi saut imekata by Mr NICOLAUS MAPALILO

  • @davidphares5316
    @davidphares5316 6 ปีที่แล้ว +23

    madebe huna mpinzani we kiboko yao movie nzuri sana

  • @hamedmohammedjafari6114
    @hamedmohammedjafari6114 6 ปีที่แล้ว +6

    Wasia wa baba kwa mwanae dah mzuri zaidi

  • @ashamusa1626
    @ashamusa1626 5 ปีที่แล้ว +4

    Waambieni waliwale waje wale wali wao

    • @musirimuidris5631
      @musirimuidris5631 5 ปีที่แล้ว

      Nilikuwa sijasikiya arico sema mpaka wewe ukaandika thanks

  • @fabiancharles9043
    @fabiancharles9043 5 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzruri sana, Mr. Madebe

  • @michaelmalusa4896
    @michaelmalusa4896 5 ปีที่แล้ว +1

    Wakikamatwa watoto wa vigogo wanapelekwa bagamoyo kurekebishwa tabia ila wamaskini jelaaaa......

  • @peterbarasa6659
    @peterbarasa6659 2 ปีที่แล้ว +1

    nabii uko xawa👏👏👏

  • @fayyumhannir
    @fayyumhannir 5 ปีที่แล้ว +3

    Wapendwa shugulikieni sauti ... Mara nyingi sauti yapotea

  • @venasmpanya1160
    @venasmpanya1160 4 ปีที่แล้ว +2

    Amahakika tunajifunz mengi kutoka kwako

  • @erastomlazi5297
    @erastomlazi5297 4 ปีที่แล้ว +1

    Madebe uko juu kutuelimisha

  • @rajabumatulila7331
    @rajabumatulila7331 5 ปีที่แล้ว +4

    iyo move naikubal imejaa misemo fantastic move

  • @kisombolaestate8425
    @kisombolaestate8425 5 ปีที่แล้ว +2

    Hunajuwa mkubwa Mungu akuzidishie

    • @emmarweza9719
      @emmarweza9719 5 ปีที่แล้ว +1

      Akika unaelimisha mkuu

  • @thabitmtangi7581
    @thabitmtangi7581 3 ปีที่แล้ว +1

    🙌🙌 shikamoo mswahili

  • @peterrash8603
    @peterrash8603 2 ปีที่แล้ว +2

    Nabii muswahili iko mwalimu mkuu nipe number yako unachauri zakweli🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @hermanyhermany8848
    @hermanyhermany8848 5 ปีที่แล้ว +3

    Aaaa bab unatisha .. Nami nakipaji niunge kweny group lako baba

  • @dinasaleh863
    @dinasaleh863 5 ปีที่แล้ว +4

    Nabii?.... Hhmm
    Mswali..... Kanletee panga! Ndani
    Shangazie na rafiki ake mbiooo miguu tuponye😅😅😂😅😂😅😂👍, very educative story (Usichukuwe nguo kwa mtu alokuwa uchi nice one)

    • @verinahcaroline9863
      @verinahcaroline9863 3 หลายเดือนก่อน

      Panga mguu niponye😂😂😂😂😂

  • @n.s.ankabunedispensary8763
    @n.s.ankabunedispensary8763 2 ปีที่แล้ว +2

    sinema hii napenda...ina mafunzo but sauti hakuna kwingine

  • @mwaimumaumba4172
    @mwaimumaumba4172 5 ปีที่แล้ว +2

    Kunakupuliza ili iwake kunakupuliza ili ipoe

  • @rashidyusuph5946
    @rashidyusuph5946 5 ปีที่แล้ว +9

    Jamani maneno ya baba yamenitoa machoz et

  • @bilgayazeco3440
    @bilgayazeco3440 5 ปีที่แล้ว +4

    kazi nzurii sana

  • @glorsglors2197
    @glorsglors2197 6 ปีที่แล้ว +7

    Napenda sana chezi.... hahaha...hongera

  • @razakimanufaa6862
    @razakimanufaa6862 4 ปีที่แล้ว +2

    Msungo madebe lidai

  • @askari_wa_yesu
    @askari_wa_yesu 5 ปีที่แล้ว +5

    Kuna shauri kubwa saana

  • @Mjungumariam55
    @Mjungumariam55 6 ปีที่แล้ว +6

    Uko vizuri sana

  • @neemapoultrynjorokaruri692
    @neemapoultrynjorokaruri692 6 ปีที่แล้ว +7

    Nabii mswahili ako league yake mwenyewr

  • @hildahchepkemoi2246
    @hildahchepkemoi2246 6 ปีที่แล้ว +5

    unafunza sana Madebe naipenda kazi yako

  • @zuwenahfloznat2654
    @zuwenahfloznat2654 6 ปีที่แล้ว +6

    BigUp Mr. Madebe àll your movies gat good lectures i learn alot frm tem

  • @willbardhyasinto1246
    @willbardhyasinto1246 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimejifunza mengi saana kwa hii ila kweli mawimbi ya bahari hayawezi kubadiri welekeo wa samaki. Na mimwiko kulipiza kisasi

  • @hildahchepkemoi2246
    @hildahchepkemoi2246 6 ปีที่แล้ว +4

    pliz come to Kenya

  • @pendoanjelo9623
    @pendoanjelo9623 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera xan madebe

  • @sabinajames6539
    @sabinajames6539 5 ปีที่แล้ว +6

    Film nzuri sn

  • @hatibually3579
    @hatibually3579 5 ปีที่แล้ว +3

    Goooodd madebe noma xana

  • @jumaayubu
    @jumaayubu 6 ปีที่แล้ว +19

    filamu Nzuri
    Madebe heshima kwako

  • @sararashid5150
    @sararashid5150 5 ปีที่แล้ว +4

    nzuli sana kwakwel

  • @josephkadege5947
    @josephkadege5947 3 ปีที่แล้ว +1

    Point za maana kabisa

  • @nakumziwanda120
    @nakumziwanda120 5 ปีที่แล้ว +4

    Naipenda kz yako

  • @tayaharoun9748
    @tayaharoun9748 6 ปีที่แล้ว +8

    Nakukubali sana Madebe, big up😎

  • @amosikapwela2005
    @amosikapwela2005 6 ปีที่แล้ว +3

    Imetulia sana nimependa hongera

  • @evaristgenesshirima8623
    @evaristgenesshirima8623 6 ปีที่แล้ว +3

    Hakika madebe uko vizuri sana

  • @timotheokatikiro4018
    @timotheokatikiro4018 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimekubali

  • @nduwimanaline4661
    @nduwimanaline4661 5 ปีที่แล้ว +3

    Nzuri saaan

  • @jamessteven5293
    @jamessteven5293 4 ปีที่แล้ว

    Movie nzuri sana shida tu sauti

  • @nunualharthynunualharthy1289
    @nunualharthynunualharthy1289 6 ปีที่แล้ว +6

    Madebe upo kimya tupe movie jaman tumemiss😢

    • @njugzkeith
      @njugzkeith 5 ปีที่แล้ว

      Nunu Alharthy Nunualharthy tarehe moja mwezi wa nne LP media itawachia movies mpya

  • @justinemlimakifi7661
    @justinemlimakifi7661 6 ปีที่แล้ว +6

    kiikweli madebe yuko poa kwa kua anaelezea uhalisia mfano mkia hautikisi ng'ombe ila ng'ombe hutikisa mkia

    • @maybetv5941
      @maybetv5941 5 ปีที่แล้ว

      hatari sana🔥🔥🔥

  • @imanstu9290
    @imanstu9290 5 ปีที่แล้ว +2

    Uko bye Mr madebe

  • @ezekiellugali305
    @ezekiellugali305 6 ปีที่แล้ว +4

    Madebe kwangu nibora ya sana

  • @renatusifredrick990
    @renatusifredrick990 2 ปีที่แล้ว

    Big up madebe thank you🤝🤝🤝