- 78
- 108 739
ruhys kitchen
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 21 ม.ค. 2024
Asalam aleikum.. hellow and welcome to my cooking channel.
Please SUBSCRIBE on my channel for new and interesting recepies and cooking video.
For bussiness enquiries plz contact me through : ruhinajuma88@gmail.com
LINKS
Instagram: cook_with_ruhina
THANK YOU 😊
🇹🇿
Please SUBSCRIBE on my channel for new and interesting recepies and cooking video.
For bussiness enquiries plz contact me through : ruhinajuma88@gmail.com
LINKS
Instagram: cook_with_ruhina
THANK YOU 😊
🇹🇿
BARFI: Jinsi ya kupika barfi kwa njia rahisi sana
BARFI: Jinsi ya kupika barfi kwa njia rahisi sana
มุมมอง: 1 309
วีดีโอ
AVOCADO MANGO AND BLUEBERRIES SMOOTHIE
มุมมอง 3492 หลายเดือนก่อน
INGREDIENTS Avocado Mango Blueberries or strawberries Banana Condensed milk / sugar ( optional) Milk #avocado#avocadosmoothie#mango #mangosmoothie #bananasmoothierecipe #blueberry #blueberrysmoothie #colourfulsmoothies #avocadomangoblueberrysmoothie
CHAPATI: JIfunze kupika chapati na tips zake
มุมมอง 9382 หลายเดือนก่อน
CHAPATI: JIfunze kupika chapati na tips zake
CARAMEL PUDDING: Jinsi ya kupika pudding step by step
มุมมอง 5754 หลายเดือนก่อน
CARAMEL PUDDING: Jinsi ya kupika pudding step by step
CHOCOLATE DONUTS/VISHETI VYA CHOCOLATE: Jifunze kupika visheti vitamu sana vya chocolate na njugu
มุมมอง 3615 หลายเดือนก่อน
CHOCOLATE DONUTS/VISHETI VYA CHOCOLATE: Jifunze kupika visheti vitamu sana vya chocolate na njugu
CREAMY CHICKEN BUNS: Jifunze kupika buns za kuku tamu sana na laini pia
มุมมอง 7315 หลายเดือนก่อน
CREAMY CHICKEN BUNS: Jifunze kupika buns za kuku tamu sana na laini pia
MKATE WA MCHELE/ RICE CAKE: Jifunze kupika mkate wa mchele kwa kutumia cooker na oven kwa urahisi
มุมมอง 7246 หลายเดือนก่อน
MKATE WA MCHELE/ RICE CAKE: Jifunze kupika mkate wa mchele kwa kutumia cooker na oven kwa urahisi
CHICKEN DONUTS: Jinsi ya kupika donuts za kuku tamu sana na steps zake zote kwa urahisi
มุมมอง 6196 หลายเดือนก่อน
CHICKEN DONUTS: Jinsi ya kupika donuts za kuku tamu sana na steps zake zote kwa urahisi
VITUMBUA VYA NYAMA: Jifunze kupika vitumbua vitamu sana vya nyama kwa njia rahisi
มุมมอง 1.4K7 หลายเดือนก่อน
VITUMBUA VYA NYAMA: Jifunze kupika vitumbua vitamu sana vya nyama kwa njia rahisi
SPONGE CAKE/ MKATE WA MAYAI : Jinsi ya kupika mkate wa mayai mtamu sana na tips zake zote
มุมมอง 8347 หลายเดือนก่อน
SPONGE CAKE/ MKATE WA MAYAI : Jinsi ya kupika mkate wa mayai mtamu sana na tips zake zote
VILEJA VYA TAMBI NA CHOCOLATE/ VERMICELLI COOKIES WITH CHOCOLATE: Jifunze kupika vileja vya tambi
มุมมอง 1.3K8 หลายเดือนก่อน
VILEJA VYA TAMBI NA CHOCOLATE/ VERMICELLI COOKIES WITH CHOCOLATE: Jifunze kupika vileja vya tambi
FISH BUNS : Jinsi ya kutengeneza buns za samaki zenye muonekano mzuri wa samaki na laini sana
มุมมอง 4278 หลายเดือนก่อน
FISH BUNS : Jinsi ya kutengeneza buns za samaki zenye muonekano mzuri wa samaki na laini sana
NUTELLA TART: Jinsi ya kutengeneza tart tamu sana za Nutella na njugu
มุมมอง 6438 หลายเดือนก่อน
NUTELLA TART: Jinsi ya kutengeneza tart tamu sana za Nutella na njugu
CHOCOLATE CAKE / KEKI YA CHOCOLATE: Jinsi ya kupika chocolate cake tamu sana kwa njia rahisi sana
มุมมอง 2.1K8 หลายเดือนก่อน
CHOCOLATE CAKE / KEKI YA CHOCOLATE: Jinsi ya kupika chocolate cake tamu sana kwa njia rahisi sana
CHICKEN MANDI / MANDI YA KUKU: Jinsi ya kupika mandi ya kuku tamu sana
มุมมอง 1.1K8 หลายเดือนก่อน
CHICKEN MANDI / MANDI YA KUKU: Jinsi ya kupika mandi ya kuku tamu sana
CHOCOLATE NUT BALLS: Jinsi ya kutengeneza chocolate nut balls tamu sana kwa njia rahisi
มุมมอง 6078 หลายเดือนก่อน
CHOCOLATE NUT BALLS: Jinsi ya kutengeneza chocolate nut balls tamu sana kwa njia rahisi
BOREK / MKATE WA NYAMA : Jinsi ya kupika mkate wa nyama mtamu sana na steps zake
มุมมอง 9489 หลายเดือนก่อน
BOREK / MKATE WA NYAMA : Jinsi ya kupika mkate wa nyama mtamu sana na steps zake
VISHETI VYA NAZI/ VISHETI VYA NAMBA NANE/ COCONUT DOUGHNUTS: Jinsi ya kupika visheti vitamu sana
มุมมอง 10K9 หลายเดือนก่อน
VISHETI VYA NAZI/ VISHETI VYA NAMBA NANE/ COCONUT DOUGHNUTS: Jinsi ya kupika visheti vitamu sana
MBATATA NYEKUNDU NA CHATINE YA NAZI/ SAVOURY POTATOES IN RED SAUCE AND COCONUT CHUTNEY
มุมมอง 8329 หลายเดือนก่อน
MBATATA NYEKUNDU NA CHATINE YA NAZI/ SAVOURY POTATOES IN RED SAUCE AND COCONUT CHUTNEY
CHICKEN PANINI SANDWICH: Jinsi ya kupika panini sandwich za kuku tamu sana na ni rahisi kuzipika
มุมมอง 1.2K9 หลายเดือนก่อน
CHICKEN PANINI SANDWICH: Jinsi ya kupika panini sandwich za kuku tamu sana na ni rahisi kuzipika
COCONUT BURFI/ KASHATA ZA NAZI: Jinsi ya kupika kashata za nazi na maziwa tamu sana kwa njia rahisi
มุมมอง 7209 หลายเดือนก่อน
COCONUT BURFI/ KASHATA ZA NAZI: Jinsi ya kupika kashata za nazi na maziwa tamu sana kwa njia rahisi
SCHEZWAN CHICKEN: Jinsi ya kupika sauce tamu ya kuku kwa njia rahisi sana
มุมมอง 6639 หลายเดือนก่อน
SCHEZWAN CHICKEN: Jinsi ya kupika sauce tamu ya kuku kwa njia rahisi sana
JEERA RICE/ WALI WA UZILE MZIMA: Jinsi ya kupika jeera rice wali mtamu wa uzile kwa njia rahisi sana
มุมมอง 5809 หลายเดือนก่อน
JEERA RICE/ WALI WA UZILE MZIMA: Jinsi ya kupika jeera rice wali mtamu wa uzile kwa njia rahisi sana
STRAWBERRY SWISSROLL: Jinsi ya kupika swissroll ya strawberry yenye muonekano wa kuvutia na tamu san
มุมมอง 1K9 หลายเดือนก่อน
STRAWBERRY SWISSROLL: Jinsi ya kupika swissroll ya strawberry yenye muonekano wa kuvutia na tamu san
COOKIES / VILEJA: Jifunze kutengeneza vileja kwa kutumia mchanganyiko mmoja na kupata aina tafauti
มุมมอง 3.6K9 หลายเดือนก่อน
COOKIES / VILEJA: Jifunze kutengeneza vileja kwa kutumia mchanganyiko mmoja na kupata aina tafauti
FISH STICKS. Jinsi ya kujifunza kupika fish sticks tamu na kwa njia rahisi sana
มุมมอง 2.3K10 หลายเดือนก่อน
FISH STICKS. Jinsi ya kujifunza kupika fish sticks tamu na kwa njia rahisi sana
GULAB JAMUN: Jinsi ya kutengeneza Gulab Jamun rahisi sana na steps zake zote
มุมมอง 75410 หลายเดือนก่อน
GULAB JAMUN: Jinsi ya kutengeneza Gulab Jamun rahisi sana na steps zake zote
CHICKEN POCKETS / VIPOCHI VYA KUKU: Jinsi ya kutengeneza chicken pockets tamu sana na steps zake.
มุมมอง 66510 หลายเดือนก่อน
CHICKEN POCKETS / VIPOCHI VYA KUKU: Jinsi ya kutengeneza chicken pockets tamu sana na steps zake.
KUNAFA : Jinsi ya kupika kunafa tamu na yenye muonekano mzuri kwa njia rahisi sana
มุมมอง 77010 หลายเดือนก่อน
KUNAFA : Jinsi ya kupika kunafa tamu na yenye muonekano mzuri kwa njia rahisi sana
CHICKEN DRUM STICKS: Jifunze kupika chicken drum sticks tamu na rahisi sana kuzipika.
มุมมอง 71310 หลายเดือนก่อน
CHICKEN DRUM STICKS: Jifunze kupika chicken drum sticks tamu na rahisi sana kuzipika.
Mashaallah ❤
Shukran ❤️
Mashaallah
Shukran ❤️
Mashaallah ❤️
Shukran ❤️
❤
Hbty nina swali maziwa gani umetumia
N mm
MashAllah MashAllah. Shukrn sn habbty wangu
Afwan hbbty wangu
Kwa nini mimi nikipika mikate ya ufuta nikichoma inavimba kama bofu
Jee umefata vipimo hv na umefata maelezo yangu dear
unafahamisha vizur sana, Masha Allah, tunajifunza mengi wallah Allah akubarik
Ameen thumma ameen shukran mu dear ❤️
Masha Allah😊
Shukran ❤️
Nzuri sana mumy Ubarikiwe sana
Ameen shukran dear
So niceeeeeeeeee
Thank you
Mashaallah, mambo kwa ushahidi,nimependa sana huu ubunifu
Thank u hbbty wangu
my chef mashaallah 🤤🤌🏻
Thank u darling 💓
Mashallah Ruhina ❤ good job
Thank u my love
mashallah ❤
Thank u 💓 💗
Mash allah leo umenifurahisha sana kuona benderA yetu❤❤❤
@@shamzone388 hahahahah asante
Mashallah milaini sana
Shukran hbbty wangu
Umetumia unga upi aunty?
Ppf
Okay thanks
@@asyaomar8757 welcome
yaani this is my favorite pilipili 🤤unawezakulia anything hlf inalisha😋🤌🏻
Umeonaa.. ukiwa na hii pilipili diet ikae upande 😂😂
@ kwakweli🤣
yummy 😩🤌🏻
Thank u 💓 💗
@ always my chef💋
❤❤❤
😍😍😍
mpaka umenitoa mate dah😊 pambe alaf wew msafiiiii Masha Allah😊
Hahahha pole kipenzi.. shukran hbbty usafi ndio muhim hbbty 😍
@@RuhysKitchen enh usafi muhimu mpaka chakula unakula kwa amani mazingara yakiwa safi
@@najmasalim2606 hakika hbbty
Asalam alaykm habbty mchele umetumia aina gani hapo
Waleikum salaam nimechanganya basmat ya bulbul na mapembe
Ok asante kwaiyo unaweza ata kwa chila vitumbua pia ivo ivo
@samihamansour1893 nitakuja kuwafundisha hivo vina utafauti kdg
Oooh okay
mashallah yummy ❤
Thank you ❤️ 😍
hatar, Masha Allah, jaman pambe tu😊
Hahahahhaha asante kipenzi changu 😍😍
Chocolate umetumia gani habbty hapo
Mashallah mashallah 🥰 ntakuja kuhania kwako mie 😅😅😅😅
Mm nimetumia plain dairy milk
Karibu sana utanisaidia kuosha vyombo tuu hbbty 🤣🤣
Shukrn habbty ruhy Leo nimefanya mikate ya ufuta MashAllah MashAllah imekua muzur na imekua laini MashAllah. Shukrn. Na pia ningependa kushare na mwenzangu ukitaka mkate utoke haraka kwenye chuma baada ya kuiba unachukua sinia unatia maji kiasi kisha unatia chuma mara moja mkate unatoka. Ila maji yasiwe mengi yakaingia ndani ya chuma mkate ukaroa😅.
Sorry si kuiba ni kuivaaa😅. Typing error 😅
Oww mashallah shukran sanaa hbbty for the feedback.. shukran for the tip also sikua naijua hii Inshallah nitaijaribu na mimi Allah bareek hbbty 💞💞
👍👍👍
@@RuhysKitchen afwan habbty. Amin kwa St habbty
Shukrn ruhy wangu Leo nimefanya mandi MashAllah MashAllah imekua tamu sn. Allah barik
Oww mashallah afwan hbbty
Mashallah nzuri. Ntajaribu kuzifanya napenda sana barfi.
Inshallah hbbty
mashallah yummy ❤
Thank u 💓
Shukran tutakuomba utuekee na vipimo mana wengine hatujasoma😂
Mbona vipimo vipo hbbty kwenye description box na pia naandika chini na pia naeleza kwa maelezo vipimo vyote hbbty just sikiliza tuu kwa makini
@ nilikua sijaona nishaona kipnz sorry
@samihamansour1893 without sorry my dear 😍
Habbty naomba kukuliza zile cups za kupimia iko ambayo 3/4 kwa ajili ya unga mana sijafaham unavotakiwa kupima unga hapo
Yes hbbty ipo iliyoandikwa 3/4 ndio utatumia hy
Ooooh ok haya sawa inshallah mlale salama
Hiiiii no
Kwanini noo jamanyyy ???
Mashallah utuekee mapishi habbty tunajifunza sanaa kupitia kwako unafundisha step by step tunafaham ramadhan inakuja
Nakupenda buree❤
Inshallah hbbty tuombe uzima na uhai.. yajayo yafurahisha 😍
Asante.. na mm pia nakupenda ❤️
Utuoneshe cake ya kawaida kupika nikipika maish katikati mbichi sijui kwa nn🫣 au mbichi ukikata alimuradi maajabu tu
@samihamansour1893 inshallah hbbty ipo cake ya hiliki kwenye channel yangu lakini nitawaekea kwa video refu inshallah na kwa maelezo zaidi cake za aina tafauti Inshallah
Nice
Thank u 💓 💗 💖
yummy🤤
So good yaani
mashallah mashallah 😋
Shukran hbbty ❤️ 😍
vipimo habibty plz
Done hbbty sorry majukumu 😃😃
@@RuhysKitchen ok dear shukran
@najmasalim2606 afwan hbbty
@@RuhysKitchen
Ma shall ah
Shukran ❤️
Jazaka Allah khayran
😍😍😍
Shukran sana ❤
Afwan hbbty
mashaAllah yummy
Shukran ❤️
Mashaalah
Shukran ❤️
BARFI MM yummy
😋 yummy
chefs kiss yaan🤌🏻💋
Thank u ❤️
yummyyyy🤤
Thank u hbbty
Naomba unisaidie kwenye shila
Pole kipenzi nimekuandikia maelekezo hebu jaribu hv na.pia sikiliza kwa makini video yangu na ufutae Inshallah utaweza
Naomba unisaidie kwenye shila
Usikate tamaa ukifeli jaribu tena mpk utaweza dear ndio kujifunza ata mm kuna vyakula vinanishinda najaribu tena na tena mpk nafanikiwa na wewe utafanikiwa inshallah
Mbn mie nafeli kwenye chila inatakiwa iwe vp naona havimbambi
Asante kwa swali lako na pole kwa changamoto.. kwanza pendelea kutumia sukari nyeupe km utakosa basi hy hy nyekundu weka maji na suraki kiwango nilichoeleza pika kwenye moto wa kiasi hk unaisaidia kuikoroga mpk iwe inachemka hakikisha inafanya povu na pia inaanza kuganda ganda kwenye surufia yako ndio hapo ujue tayar kuweka visheti unaweza kuweka kwenye moto hk unavipeta peta na pia viweke kwenye upepo km chinj ya feni ili visaidiwe kukauka na upepo
mashallah ❤❤
Thank you ❤️
habibty naomba uwe unatuekea vipimo kwenye discription box😊 inaonekana utam wa ajab hapo
Mbona nakua naweka vipimo hbbty hii nahisi nimesahau ila zengine zote naweka.. haya ngoja nikaiandike shukran kwa kunikumbusha hapa
@RuhysKitchen ooh ok dear