EXCLUSIVE : MMILIKI WA TAASISI YENYE KASHFA YA USHOGA AFUNGUKA MAZITO KWA HAJI MANARA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • MMILIKI WA TAASISI YENYE KASHFA YA USHOGA AFUNGUKA MAZITO KWA HAJI MANARA; KAKA YANGU SIYO MMILIKI

ความคิดเห็น • 319

  • @user-fk4st8qj2k
    @user-fk4st8qj2k 2 หลายเดือนก่อน +7

    Manara wewe ni msaada kwa jamii ya wa Tanzania.Big up Manara.Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. "UBARIKIWE BROTHER "

  • @miriamjohn3141
    @miriamjohn3141 2 หลายเดือนก่อน +14

    Dahh
    Manara uko vizuri aseeeh
    Salute 🤚🤚

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 2 หลายเดือนก่อน +6

    Manara.
    Huyo jamaa anatoka makao makuu ya mashoga Marekani.
    Wewe mtoto wa Kariakoo nahakika umemshtukia sauti yake kama Marehemu Kitwana.
    Salute manara huyu jamaa akijaribu kuja bongo akamatwe na ahojiwe kwa umakini pia ifanyike vipimo kama haingiliwi

    • @allenmsigwa1639
      @allenmsigwa1639 2 หลายเดือนก่อน +1

      Respect HAJI manara u can not die today or tomorrow👮

    • @jacksonbarnaba9088
      @jacksonbarnaba9088 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna msaada wa bure. Yaani wewe utumie gharama kuandaa vitabu, usafirishe, mpaka vifike, bure tuu bila pesa yoyote? Halafu ukatengeneze vingine tena ulete navyo bila malipo. Hizo hela zinatoka wapi za bure bure

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakuomba ALLAH uzidi kuvilinda vizazi vyetu. Na uzidi kuwashinda wote wenye nia ya kutu haribia wtt wetu.🤲

  • @TmKt-kx7pq
    @TmKt-kx7pq 2 หลายเดือนก่อน +4

    Big up manara 👏👏 maswali yako ni yakufikirisha sana

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 2 หลายเดือนก่อน +3

    Manara upo vizuri Sana Kwa kuhoji. Maana umembananisha Jamaa Hadi anajichanganya.

  • @ulimbokamwasampinde9973
    @ulimbokamwasampinde9973 2 หลายเดือนก่อน +6

    Manara your more than your name bro ❤

  • @kamkubwa
    @kamkubwa 2 หลายเดือนก่อน +14

    Shida ya inchi hii tunapenda popularity sana mzigo wowote kuingia inchini unataratibu yake kwanini ulifika mzigo kwa importer bila kukaguliwa.. na mizigo mingi ikiingia inakuwa destroyed kabla haijafika kwa importer.. hapa kuna shida sehemu

  • @hassaniibrahim300
    @hassaniibrahim300 2 หลายเดือนก่อน +13

    MANARA UMEMHOJI VIZURI MPAKA AMESHINDWA KUJIELEZA HUYO NI MSHENZI KUDHALILISHA WATANZANIA

    • @hashimuuhehwa4252
      @hashimuuhehwa4252 2 หลายเดือนก่อน

      Hapo kashindwa kujieleza nini ila Watanzania wengi mnamatatizo ya akili hivi ambacho hujaelewa hapo ni nini eti 😂😂😂

  • @attunelson8828
    @attunelson8828 2 หลายเดือนก่อน +4

    Tanzania boll ni zaidi sana watoto wanateswa Sana na wenzai

  • @samsonkingdom-xc8cg
    @samsonkingdom-xc8cg 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kumbe ndio maana oscer oscer anaongea saana mambo ya kishoga😂😂😂😂

  • @ThomasMsanjila
    @ThomasMsanjila 2 หลายเดือนก่อน +12

    Huyu mtu anajichanganya sana ww kama mkurugenzi mtanzania unashindwaje kujua mila na tamaduni za kwenu?pia haoni kuwa kuna shida hapo vitabu vikataliwe dar alafu vipelekwe kaliua mbaya zaidi anatetea eti vinafundisha wanaoonewa eti boaring upumbavu. Mtupu anajua jambo huyu

    • @hashimuuhehwa4252
      @hashimuuhehwa4252 2 หลายเดือนก่อน

      Umeelewa kweli mahojiano haya!!??😂😂😂

  • @MaryMhando-oc8gj
    @MaryMhando-oc8gj 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dah ichunguzwe vizuri sana

  • @LovenessDaud
    @LovenessDaud 2 หลายเดือนก่อน +7

    Atukome na misaada yake Kaliua na mkoa wote hatutaki Tabora yetu iwe ya mashoga na wasagaji

  • @TmKt-kx7pq
    @TmKt-kx7pq 2 หลายเดือนก่อน +8

    We bwana manara kwa haya maswali 👏👏 one love broh

  • @hamismohamed3541
    @hamismohamed3541 2 หลายเดือนก่อน +6

    Tanzania nikichwa Cha mwenda wazimu Sasa vitabu mpaka vimefika tabora duh

  • @thomsanga7956
    @thomsanga7956 2 หลายเดือนก่อน +9

    Yassini bwana, yaani mnakubaliana na serikali kuleta kotentena kwa kuchambua vinavyofaa na visivyofaa!! 😳😳😳😳!

    • @djumacassim
      @djumacassim 2 หลายเดือนก่อน

      Yaani yeye amepakia anajua kbsa kua vipo havifai lkn kavileta 😢😢😢

  • @HamisiKashushu
    @HamisiKashushu 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hi manara una faa kuajiriwa takukuru uko vizuri

  • @EdwardKwiyanga
    @EdwardKwiyanga 2 หลายเดือนก่อน +2

    Big up sana BUGATI ss mashabiki wa manara tv tushakuelewa huwezi ukatoa msaada hafu ukasema msaada unaofaa ndo utumike ila usiofaa usitumike swal linakuja je,kwann utoe msaada unaofaa na usiofaa??

    • @katikirodarwihura2167
      @katikirodarwihura2167 2 หลายเดือนก่อน

      Kwanza huo mzigo unatoka marekani wewe yasin hukujua kwamba hivyo vitabu havihitajiki Tanzania?hapo kuna namna!

  • @titusmwele6885
    @titusmwele6885 2 หลายเดือนก่อน

    MANARA WEWE NI TAKUKURU KBS,NIMEYAPENDA MAHOJIANO YAKO BROTHER 👏👏

  • @user-ov5xc2sy3q
    @user-ov5xc2sy3q 2 หลายเดือนก่อน

    Well done Mr Manara weka sana clear jambo hilo tafuta ukweli kama ndivyo lifanyie kazi Allah atakulipa na nakuombea Jannah kwani msaada wa maafa kama huyo ni Jahannam. Vione vitabu visome hatharani Tanzania nzima ijuwe yaani anataka kuharibu watanzania wenzake KWELI!!!!! Bull?

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Achana nae uyo msenge hana mpya. Manara bigup

  • @Ntambala-oy2us
    @Ntambala-oy2us 2 หลายเดือนก่อน

    Manara Mungu akubariki.

  • @IsaacCheyo
    @IsaacCheyo 2 หลายเดือนก่อน +7

    Umekubaliana na serkali kuangamiza Taifa?
    Au kwa sababu unaamini serkali ya Tz ni ya wajinga(mabuli)
    Hujatutendea haki jitadhimini.

  • @user-ov7ge3ci6f
    @user-ov7ge3ci6f 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nakubali ma tv

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hajji nimekukubali hapa.

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 2 หลายเดือนก่อน +1

    Manara uko vizuri sana Hila huyu Jamaa ni Mpuuuzi tuu na fara

  • @tawfiqmbagwa9407
    @tawfiqmbagwa9407 2 หลายเดือนก่อน +6

    Yaani kitu kiandaliwe kwa ajili ya jamii ya ulaya halafu kionekane pia kinafaa kwa waswahili, kwanini yeye kama founder wa hiyo foundation asisome mitaala na nyaraka za Tz kujua ni kipi kinahitajika na kipi hakihitajika

  • @mussastephano4938
    @mussastephano4938 2 หลายเดือนก่อน +5

    je yy hajavimima, shule gani ina tatizo la mabulli.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa msenge kwa wasenge wenyewe.wanamtumia sana 😢

  • @KALOLOGROUPTZTV
    @KALOLOGROUPTZTV 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu jamaaa kwa mimi naona huyu kapuya hana point

    • @Allyhujjat
      @Allyhujjat 2 หลายเดือนก่อน +1

      Asisumbue mahakama mr kapuya aseme tuu kuwa misaada iyo na yy kapewa pia na wadhamini wengine ambao wana support lgbtq kwaiyo yy mwenye taasisi aombe radhi kwa kutokuwa makini kwenye kukagua vitabu kabla ya kufika Tanzania 🇹🇿 basi asiongee sana

  • @mussastephano4938
    @mussastephano4938 2 หลายเดือนก่อน +8

    Tuhuma ni za kweli, kwa kuwepo shaka ya ukaguzi. hivyo vitabu yy anaons vinafaa?

  • @fortunataandengenye8704
    @fortunataandengenye8704 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hao mafuta yana faida Gani?Kwa Nini asilete Hela wakanunua Nchini 😭

  • @mwasa_tv
    @mwasa_tv 2 หลายเดือนก่อน +10

    shoga ilo

    • @TheresiaAndrea-hv9dg
      @TheresiaAndrea-hv9dg 2 หลายเดือนก่อน

      Dahh mantra Mungu akujalie Yote unayohitaji❤❤

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa nini usimfikirie ni Basha?

  • @fredyjunior6961
    @fredyjunior6961 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu bwana majibu yake straight away yanaonesha yupo guilty. Anajua kabisa walichofanya. Hiyo misaada waliyotoa huko Kaliua ikiwemo ya bima ilikuwa kiini macho kuwafanya watu vipofu ili wakileta huu uupuzi watu wasistuke. Hao vijana bull wapo vizazi na vizaz na wala hawana madhara yoyote makubwa zaidi ya kuwafanya wenzao wajanjaruke.

  • @ahmedmagoma8831
    @ahmedmagoma8831 2 หลายเดือนก่อน +2

    San francisco ni mji wa Mashoga,kunakuwaga mpaka na matamasha ya Mashoga huwa yanafanyika

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu akikaa ulaya anajua waafrika wote mazuzu. Pole sana asumani kapuya wewe ni mpumbavu

  • @Smart_jarm
    @Smart_jarm 2 หลายเดือนก่อน +1

    DR AMINI VASOMANA MWALIMU WANGU MGANGA MKUU WA WILAYA YA KALIUWA

  • @fredrickshantiwa9710
    @fredrickshantiwa9710 2 หลายเดือนก่อน +2

    Manara kiboko yaani kiukweli nimempenda

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 2 หลายเดือนก่อน +2

    SEREKALI YA TANZANIA 🇹🇿 APA MPAKA SASA MIMI NAJIULIZA IVYO VITU VIMESHUKA BANDARI YA DAR VIMEVUKA VIPI MPAKA TABORA KAMA VITU VYA ATALI ZAIDI VITABU VYA UCHOCHOZI WA NCHI WANGEFANIKIWA ASILIMIA% 78 AWA NDIO WANAPANGWA KUWA VIONGOZI WA UCHOCHOZI TANZANIA 🇹🇿

  • @dottomanyesha9692
    @dottomanyesha9692 2 หลายเดือนก่อน +1

    Haya ni mambo ya kisiasa, jama ni kweli tuonyeshwa watanzania.

  • @mahadhikawia3610
    @mahadhikawia3610 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ichunguzwe upya hiyo taasis tangu ilivyoundwa miaka 3 iliyopita

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sanfransico Califprnia America ndio mji mkuu wa Mashoga
    Hii inajulikana

  • @user-xn8yn5wc1q
    @user-xn8yn5wc1q 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yani bora ungekataa kuongea kadri unavyoongea ndivyo uchizi wako unavyogundulika

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tena muislam eti yaasen. Kama ndiyo umeleta madiuduyako Tz. Allah akulaani ufe kwa kizalilika. Na akuchomemoto. Sikuyakiyama naasikupe amani Duniani na Ahellah. Kamaniww kwwri umeamua kutakakutualibia nchiyetu na watotozetu. Utokomee kusikojulikana nduguzako wasiuwone hatamfupawako. Amyn

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu jamaa bin kapuya kayatimba halafu hajielewi eti bullying huko kaliua altaka hao wanyamwezi akina oscar wajofunze nini hana kitu huyu kawadharaulisha familia na wanyamwezi at large

  • @JoseWilson-vb2di
    @JoseWilson-vb2di 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwanza saut yake TU inaonesha yy ni punga huyo na ukae California huko Kwa biashara ya kofia mpaka upate hela ya kutoa misaada inaonekana na baba yake alikuwa anafanya mishe hizo za kuhamasisha ushoga na usagaji

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri 2 หลายเดือนก่อน +3

    HADJI HUYO NDUGU YAKO NI SHOGA UKO MAREKANI

  • @felixmyovela6390
    @felixmyovela6390 2 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah aisee

  • @magdalenanicholaus5459
    @magdalenanicholaus5459 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nani aliwaambia tunataka msaada wa kuhalibu watoto wetu,? Apelekee watoto wake

  • @rofacoltanzania589
    @rofacoltanzania589 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lakini mbona vitabu vya Diary of Wimpy Kid si kilikatazwa na Wizara ya elimu maana kinafundisha ushoga? Sasa anakataa nini maana Daktari ndo kavishika

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 2 หลายเดือนก่อน +3

    La jamaa Yuko sanfrasico mji maalum wanao ishi mashoga Yani huyu jamaa NI mojakwamoja NI

  • @hidayahassan8014
    @hidayahassan8014 2 หลายเดือนก่อน +2

    Senge hili li Athumani kapuya

  • @hassaniibrahim300
    @hassaniibrahim300 2 หลายเดือนก่อน +23

    HUYU ANASEMA VITABU VIMEKATALIWA DAR ER SALAAM HALAFU VIENDE KALIUA HUYU YAANI HUYU ANAJICHANGANYA KABISA VITABU VYA NINI HATUHITAJI SISI MSAADA WA KUHARIBU WATOTO WETU

    • @rosehaule6765
      @rosehaule6765 2 หลายเดือนก่อน

      Tupinge kabisa watt wetu wa kiume na wa kike Sasa hivi wengii awaeleweki hiv wafanyao haya wanataka nn kizazi cha ss kimeoza wtoto wakiume wanataka.kuwa wa kike wa.kike wanataka kuwa wa kiume kweli uhuu ni ukatili wa hali ya juu wazazi tunalia tunaumia kama.kweli kaka ulileta hivyo vifaa vunavyohusiana na hayo maswala tunaomba tuhurumie wazazi na vizazi vyetu kama ni kweli aisee stop acha watoto wanaharubika muwe na huruma muigopeni Mungu kama.kweli unafanya hili jambo na umetuma vifaa hivyo acha jamani...tusali na.kumuomba Mungu na wazazi tupambanie hili tusikubaliii

    • @loycejohnmuhamb2421
      @loycejohnmuhamb2421 2 หลายเดือนก่อน +4

      Well said. Isitoshe swali sio kwann walikataa kumhoji mwenyekiti, swali ni kwann waliingiza vitabu vyenye maudhui yaliyo kinyume na utamaduni??

    • @mussamussa9446
      @mussamussa9446 2 หลายเดือนก่อน

      hamjaelewa vizuri hilo, vitabu vilibaki Dar es Salaam baadhi vikagaiwa vinginenyo vikaenda Kaliua

    • @hashimuuhehwa4252
      @hashimuuhehwa4252 2 หลายเดือนก่อน

      Hivi unajua kiswahili kweli!!?? Kwa mjibu wa anayehojiwa ametoa ufafanuzi mzuri kuto kuelewa hilo ni tatizo la akili yako

    • @abubakarbajun3503
      @abubakarbajun3503 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu bwana sio mkweli mana baadae ya kuonekana tatizo Hilo ndio anatoa maelezo kama kujiteteaa vileee

  • @HussainMaula-wr5co
    @HussainMaula-wr5co 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baada ya kuwaletea watu pesa mnawaletea vitabu watu wenyewe hawajasoma vitabu vitawasaidia nini Tanzania watu hawajafikia level ya kupambania vitabu hususani hayo makundi mlioyataja .

  • @abdulkarimkalyanye6659
    @abdulkarimkalyanye6659 2 หลายเดือนก่อน +2

    Muongo huyo, vinafundisha ushoga na nchi kibao Hadi state zingine vimefungiwa. Wamenogewa na desturi za watu mpka wamekuwa na mawazo ya wenzetu.

  • @NasibuKidaya
    @NasibuKidaya 2 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu jamaa ukimsikiliza kwa makini unagundua hii ishu nikweli wanasaport ushoga,mnawaweka watoto wetu katika mazingira magumu sana

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 หลายเดือนก่อน

      Kwanza anakaa san Francisco mji ambao ni pepo ya mashoga ,

    • @hashimuuhehwa4252
      @hashimuuhehwa4252 2 หลายเดือนก่อน

      Acha uongo rudia kusikiliza hayo mahojiano

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b 2 หลายเดือนก่อน +2

    Iv mnajua kabsaa pad mrizo leta sio saihi kwa nn mzilete kisha mseme kama sio salama mzitipe meona uku ni jalalah ya uchafu wa mapad washezi sana watu wachache wariopo malekani wanakuja kuwa maerufu ya watu mbwa uyo mwanaume na wenzie arioshirikiana nao eti sanitaiza kwan kunakorona kipndi cha korona na hamkureta mbwa nyie mnataka kutuaribya watto wetu

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 2 หลายเดือนก่อน +8

    haji manara liko vizuli linauliza maswali muhumu sana

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 หลายเดือนก่อน +1

      Manara amesoma wewe...!!!

  • @kinggazo144
    @kinggazo144 2 หลายเดือนก่อน

    Dah aisee choko kabisa dah

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 2 หลายเดือนก่อน +4

    Vitabu vya bully my foot! Aliekwambia Tanzania Watoto Wana buliana to the level ya huko Marekani nani? Si ni huko kwenu watoto wanaingia Hadi na bunduki darasani wanashoot wenzao?? Kwanini usingewapelekea hao kwanza? Ulishawahi sikia mtoto wa Kitanzania anafanya bullying to that extent? Mshaona hapa jalala sio? Yani sie Wa mama wenye watoto hatuwapendi watu kama nyie ,mnaokuja kutupa mavitu yenu hapa wakati majalala yamejaa huko mnakoishi.mfyuu

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mpira haukufai manara jikite hapohapo

  • @EllenEphraim
    @EllenEphraim 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ulisema unapenda kusaidia wazee mbona umeleta vitabu vya nini leteni hela mavitabu yenu hayasaidii

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimesikiliza kwa umakini,vitabu having afya yoyote kitaaluma.huu ni upumbavu kabisa

  • @suleimanrawahy4970
    @suleimanrawahy4970 2 หลายเดือนก่อน +1

    Manara wahoji wahusika wa serikali iweje waruhusu vitabu ambavyo bado hawavijui kama vinafaa au havifai. Walikuwa wamtake mletaji alete sample viangaliwe wakiridhika navyo ndio wamruhusu alete. Kumwambia alete vikifika ndio vihakikiwe kama vinafaa na visipofaa vichomwe kwani Tanzania ni jaa la kuchoma taka za umarekani.

  • @estherlemburismollel5901
    @estherlemburismollel5901 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanini wapakie visivyofaa? Huyu hii ni kawaida yake sasa imetokea ameshtukiwa analeta porojo. Mtanzania unakubali kuharibu watoto kwa tamaa ya pesa? Siijui sheria inasema nini lakini huyu anastahili kuchukuliwa hatua kali sana. Inaumiza sana 😭

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 2 หลายเดือนก่อน

    Maelezo yoyote yakutetea Mambo haya nafsi yako inajua Nini una maanisha kwa bahati nzuri Mungu anajua kila kitu,subiri pumnzi yako itakapo kata.

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sisi hatuhitaji vitabu.tuma fedha taasisi ya elimu ndio inajua mitaala ya nchi yetu.peleka ujinga huko.ww kama umeharibikiwa vumilia.watoto wetu tuachie wenyewe.

  • @michaelmbuguje3415
    @michaelmbuguje3415 2 หลายเดือนก่อน

    Wala hajichanganyi. Bullying ipo shule zote. Na shuleni kuna vitabu vya kiada na ziada. Cha muhimu ni kuvikagua na kuona maudhui yake ka ni hayo ya bullying. Hv kwa nn ishu hiyo haikupelekwa kwa Mthibiti Mkuu Ubora wa Shule (w) au Kanda? Ndo kazi yao hiyo.

  • @gjlisa
    @gjlisa 2 หลายเดือนก่อน

    Hizo sanitary pads za kina mama na wasichana, vilipitishwa Wizara ya Afya kwa ukaguzi kwanza kabla ya kupelekwa uko Temeke na mikoani?

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hao ndo wale watu ambao wamo tayari kufanya lolote ili kutajilika. Hata ikibidi kuharibu utu wa watu wengine

  • @jacksonbarnaba9088
    @jacksonbarnaba9088 2 หลายเดือนก่อน +1

    WATANZANIA. ACHENI KUPOKEA MISAADA. ITAKUJA KUTUTOKEA PUANI

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu baba mshenzi sana pumbavu zake huenda na yeye ni shoga huyu mshenzi kabisa😢😮

  • @honorathampemba5392
    @honorathampemba5392 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bidhaa zote zikaguliwe hukohuko zinakotoka zikiwa hazifai zikataliwe kuletwa nchini TBS hapo vipi ?!

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa ni i visikaguliwe huko vilipo toka waongo hao

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 หลายเดือนก่อน

    Hao wanataka sisi tuharibikiwe mashoga wamezidi halafu waafrca wenzetu ndio wanatumiwa na wazungu amkeni waafrca

  • @peterkalimba1507
    @peterkalimba1507 2 หลายเดือนก่อน +8

    Achana na vitabu vya nje tufuate vya kwetu Tanzania. Hayo mabull books hatuhitaji hata kidogo

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo muongo watu wanapakia mzigo katika mzigo we usijue?

  • @francisboydmwakyusa230
    @francisboydmwakyusa230 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna muarifu anaye harika uchunguziii. Nchi hii ijenge utamaduni wa kuheshimiana, Temeke uwe sawa bali Kaliua uwe ahufai kweli, kama si Ushamba nini?.

  • @officialcrstore1685
    @officialcrstore1685 2 หลายเดือนก่อน

    😂Manara HE IS GREAT AT INTERVIEWING PEOPLE

  • @fadhilmandaliabdalla6736
    @fadhilmandaliabdalla6736 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa wewe mkurugenzi, kma ulikua kweli hujuwi yaiyomo kwa nn mkasema visivyofaa vichomwe moto?? Ulikua unajua paka wewe acha kujitekenya, ushakula pesa.

  • @aishamrisho6860
    @aishamrisho6860 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani huyu Yassin ana shangaza baada ya kuheaabu familia yake watoto wako wangap ili awaletee hivyo vitatu na hivyo vilanishi ana hangaika na familia za watu ndo mungu kakulaani nabado mpuziiwee eti kagueni vibaya mvitupe unampa kazi nani hapa umeni kela sana.

  • @charleskadikilo1969
    @charleskadikilo1969 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bullying au Bully au Buli😂😂😂😂. Hapo hajasomeka bana

  • @albashakluninshaah3727
    @albashakluninshaah3727 2 หลายเดือนก่อน +1

    Manara uwe makini na huyu jamaaa usifikie kwake ukalala utarudi ukiwa chakula😂😂😂

    • @baloz8974
      @baloz8974 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio wana vyakula ukivila tu unalainika washenzi sana

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa Nini Unatutumia vitabu serikali ndo inatajiwa kuhusika na Ishu za Elimu ya watu wake

  • @allybyarushengo5727
    @allybyarushengo5727 2 หลายเดือนก่อน

    Tuna wasomi wenye uwezo wa kutunga vitabu kwa Masahiro ya Taifa letu,kwanini tusitunge na kuchapa wenyewe?Ushauri wangu kwa Serikali,ipige marufuku vitabu vyote vya masculinity kutoka nje nz badala yake tuandae vitabu vyetu wenyewe.

  • @IssaFabian-yr1jc
    @IssaFabian-yr1jc 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani kwanini ulete kitu ambacho kina mishkeli kwetu kamama kapuya hupo kuko watoto wako wapo huko kwanini ulete wape watoto wako huko

  • @allikombo8379
    @allikombo8379 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kila jamaa anaposema yale sio mafuta ni sanitizer naona sheikh Manara ANAGUNA tu….mmmmmh 😥😥 aiseee hapa kuna shida hawa watu hawakuwa na nia njema aiseee

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 หลายเดือนก่อน

    Misada jamani nchi za magaribi tusikubali misada yao bora hata china akupe msada au urusi au koreya nchi hizi hatutakii mema

  • @budodiun6269
    @budodiun6269 หลายเดือนก่อน

    Fanyeni research mjue ni vitabu gani vitahitajika otherwise misaada yenu tutaiona na kipumbavu na hatutoipokea!

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mavitu hayo hayana haja vitu vinavyotoka ulaya na marekani havifai kbsa asitume kwa nini wasitume vitu vya kilimo..
    Elimu ya marekani na Tanzania tofauti elimu za ukoloni ndio zimetuweka pabaya msilete tena hivyo..kwa maelezo ya huyu jamaa kuna kitu chini ya carpet cha msingi wasilete vitu hivyo..mnaleta vitu ambavyo havihitajiki vya nini nani..kwa maelezo jamaa haijamini kbsa

  • @ibrahimmatumla231
    @ibrahimmatumla231 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mpk watu wamesafirisha mzigo kuja tz basi ujue wameshaiona serikali aina meno na raisi mwenyewe ni mtu wao wanamuweza

  • @frankurio469
    @frankurio469 2 หลายเดือนก่อน

    Hizi ni njaa,, unahamasisha ushoga jambo ambalo Mungu aliharamisha, Mungu ailaani hiyo taasisi na wote wanaoshughulika nayo

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 2 หลายเดือนก่อน +2

    Vya bullying hivyo vinakataza kuwanyanyapaa mashoga....marekani kimnyanyapaa kumdhihaki mtoto shoga shuleni ni bullying hiyo hapo ndio shida ilipoanzia...Haji naona haelewi bullying ni nini😂....mfano yeye haji kumwita zeruzeru it's bullying so hiyo bullying Iko duniani nzima tena Africa ndio zaidi mashuleni watoto wanatania na kudhihaki hali fulani za watoto wenzao...so marekani wao wanahimiza to respect each other vile walivyo no matter what

    • @onekisstv8412
      @onekisstv8412 2 หลายเดือนก่อน

      Kwaio ndo watuletee vitabu vya bullying ya ushoga Kwanini isiwe bullying ya kilema unene au zeruzeru think twice broo

    • @fredyjunior6961
      @fredyjunior6961 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅maanina

  • @krisantmwaipungu1434
    @krisantmwaipungu1434 2 หลายเดือนก่อน

    Kimantiki hapa Tanzania tunahitaji vitabu vyenye mandhali anayoisema mhojiwa? Huyu anae hojiwa nae ni mtuhumiwa. Ameamua kuiangamiza jamii ya kaliua na Tanzania kwa kueneza mandhali yenye kuelekeza ushoga bila shaka. Bully ndio Nini? Aache uzembe bully ndio kitu gani? Na Hilo tatizo ndilo pekee la kwenda kutatuliwa kaliuwa? Jinsi anavyojibu ni wazi yeye ni mtuhumiwa mkuu. Walaaniwe wote wanao ipotosha kimaadili jamii ya Mtanzania. Kama wao hawakulelewa vzr na qazazi wao wasiharibu wengine. Huko malekani ndiko Kuna uhasisi wa ushoga piga msumali. Wewe manara nawe ni shida mbona unashindwa kumuweka wazi huyo mbabaishaji??

  • @gjlisa
    @gjlisa 2 หลายเดือนก่อน

    Suppose uku nyumbani wawe na wajibu kupima ili kujiridhisha kuona kama vinafaa au havifai. Suppose ukaguzi wa watendaji wetu hapa nchini ni dhaifu? Huoni kwamba unaweka kizazi chetu hatarini.

  • @matthewmichaelsylvester5612
    @matthewmichaelsylvester5612 2 หลายเดือนก่อน +1

    kwann usitupe uko uko marekani uku bongo jalala la kutupa ivyo vilainishi kweli.....!??

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani bongo hatuna waandishi. Mpaka vitoke huko vya bully

  • @gjlisa
    @gjlisa 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanini wewe usijiridhishe kwamba unachotuma nyumbani ni salama kabla ya kuship? Pads za kutoka US za nini? Kwanini usilete pesa vitabu vinunuliwe uku uku?
    Kukosa uzalendo. Kwa nini tupime sisi na wewe kupima kabla ya kutuma?

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lishoga ilo