@@swamabubakar8983 Amepotea yeye anayemfuata ambaye hajui atakavyofanywa na hata hao wanaomfuata hajui watafanywa nini! Ana mashaka na kukata tamaa na njia take!! ( Qur'an46:9)
Allahu Akbar Alhmdlillah kwa neema ya Uislamu na wewe ndugu mkristo unaweza kuws Muislamu pia ukitaka. Fungua maskio yako na moyo wako weka nia safi na Allah atakujaalia aufungue moyo wako aujaze Uislamu. Haya sio maneno yetu binadam bali ni maneno ya alotuumba mola wa viumbe vyote ALLAH
Maskini huyo Omar na shaibu wakate roho saiz maskini nawahurumia....watajuta majuto ya Hali ya juu....wallahi hawana bahati....mtachomeka milele motoni nyie chekeni Tu dunia hii fupi Sana....
Tumsifu YESU mtumishi, warumi 2:1... barikiwa Sana mtumishi...waganga,mbona hutumia Quran??mbona marohani,hamwezi wakemea wamtoke mtu,mbona huwa mnawabembeleza??.... Quran 72..jini,linaweza penda nuru??? barikiwa Sana mtumishi.
Kwanza Leo wakristo hawajielewi ‘ wanajikaanga na mafuta yao wenyewe bila kujua kwamba Huwa wanadai Yesu ni MUNGU’ hahaaaa’ msirudie tena kusema Yesu ni MUNGU....! Kamwe huwezi kutetea Ukristo ‘ kuutetea ukristo ni sawa na kubeba GUNIA LA MISUMARI...!
Hata huyo Yesu ,hata ww hapo kafiri ulivyo,hujijui wala hujui atakachokuhukumia Mungu wako! Tumia akili japo ya kuzaliwa Tu. Kama yesu alijua atakavyofanywa na wanadamu kama mnavyodai aliuawa,unadhani mngempata mkamshika? Hakujua na wala pia Hadi Sasa hajui atakachohukumiwa nacho kesho Kwa Mungu na hivyo ni Kwa wanadamu wote.
Hiyo siyo hoja ndungu zangu wa Christu kama mumeshindwa kuteteya dini yenu!! My kubali kushindwa muna roho ngumu, haswa huyo kama Daniel à napiga kelele sana
Paulo ni mtume na malaika wenu kinanani haswa Nataka nimjue Israeli wenu mtoa roho....Nani sabu sio malakul mauti...sasa malakul maut Kwa Imani zenu potofu kamuuwa Mungu wake....sabu mnaamini Yesu kafa...
mabishano ya nini kama kweli ndini yako ya kweli ifuate mwache mwenzio afuate yake Mungu apo na atatuokoa.....hubiria wanaokuskiza wengine sio kazi yako hatuwezi kua waislam sisi wote ama wakristo....
Sisi tunajukumu la kuitangaza dini yetu Uislamu. Pia tukiona mtu yeyote hufuati haki ss ni lazima tukulinganie ili ufuate haki na ndio maana tunapingana na Ukiristo na kutafuta hoja zinazo onesha ukiristo sio dini Allah atie taufiki ndani ya moyo wako uongoke insahaAllah
Sasa ukisema ivo utakuwa unamkosoa mungu kuwa katuma manabii kuwaonya watu kuhusu kumuabudu mungu mmoja,kama kila unachoabudu ni sawa mungu asingetuma mitume na manabii hemu wacha ushabiki ndugu yangu utaenda kuchomwa bure
@@mwakakhamis9823 Tumsifu YESU mtumishi,dini hazina uzima,, uzima umo ndani ya Yesu pekee coz mitume wote walikuwa wananena kuhusu Yesu,hata Musa...(.. john 5:26)..Amina Barikiwa Sana mtumishi.
Mpaka kiama kitafika halototokea andiko Ukristo ni dini makafiri ukiwaomba andiko wanakwambia amezaliwa Mungu amewaletea Waisraeli mwokozi nae ni Kristo sasa ndio dini mbumbumbu hawa
@@ritanget9174 Muhamad sio dini dini ni Uislamu hata Yesu alikuwa na desturi ya kuabudu wewe unafanya e kumfuata Yesu ili upate uzima wa milele na huyo baba ni nani ambaye utafika kwake kupitia kwa Yesu naomba ikiwa una andiko nipe au unafuata Yesu kwa fikra tu na ufuasi pia nambie
Nyinyi mnakufuru Sana Yesu jamani cio Mungu Yesu ni mtume midahalo ya nn kwani hamtumii hata akili ya kuzaliwa Yesu hawez umba mbingu na ardhi jamani sasa yesu alimuumba Adam...nayeye hata alikua hajulikani....nyie mtatujazia pepo bure...kaeni huko huko Kwa Kristo wenu....
Yaani waislamu wanapinga vitabu vyao,, Allah anasema wakristo ni wasomi hafu wamekuepo kabla ya dini ya uislamu,, Quran 2:62 Quran 5:82 ila chaajabu wanadai at hata Allah ameiga wapagani kwa kuwataja wakristo
Wacheni kupumbaza watu ..way ni njia dunia nzima inaelewa ...na religion ni diini dunia inajua ...ndio maana huwa unaulizwa what is your religion huulizwi what is your way...watanzania someni kiingereza ma pastor wananwapotezeni kwa maandiko .
Biburia zenu ndizo notes make kila sehebu lenu lina biburia yake,Quruan haikuandikwa na mtu yeyote iliteremushwa kutoka mbinguni kwa mwenyezi mungu na ni maneno yake sio maneno ya mtu hiyo ndiyo tofauti na vitabu vyenu vya kubuni!
Hilo unaloongea, ni sawa na MTU aliyeacha kula nyama akanywa mchuzi wake,halafu akajinadi kuwa hajala nyama!! Kama wapo Wakristo miongoni mwa Wakriso wanao mcha Mwenyezi Mungu ,hao bado ni Wakristo tu!
@@welsonlameckdodere4277 hujafahamu bado. Yaani hapo alipokuja Mitume. Saw. Walikua wapo wakiristo wanajua ukweli hawamfati paulo na wakisikia uislamu husilimu ndio wamchao Mungu sio wamchao yesu. Sasa weye humo unamcha yesu wala sio Mungu. Tena hao wamchao Mungu wanayajua kua atakuja Mtume Muhammad. Saw. Kwaio wakimsikia wanamfuata. Ndio ikiwadhihirikia kweli iliokuja huifuata
Hiyi mada nzuri, lakini waislamu huwa ni wagumu kuelewa, ndiyo shida, waliisha amuwa kuwa washetani waislamu, Tumsifu YESU KRISTU, pamoja na kwamba UKRISTU unatumiwa vibaya
Waslamu sisi hatumkatai Yesu,tofauti yake iko pale wakristo wanapomuhita Yesu Kiristo na sisi Waislamu tunamuhita Nabii Issa,tunaamini alikuwa mwislamu, hakufa musarabani na Yesu sio mungu basi hii ndiyo tofauti
@@ramadhanwilbard4685 Tumsifu YESU mtumishi,kwangu Mimi,ukisema Yesu Kristo hakufa,hakusulubiwa, hakufufuka,na pia si Mungu,hapo100%,umemkataa Yesu na hapo,unakuwa mpinga Kristo hodari.. Amina mtumishi barikiwa Sana
Jamani ndugu zetu watoto wa mama mdogo mjakazi hajir mbona mnafuata giza hali nuru mnaiona? Na ujanja wote huo hamna macho ya kuona? Ukitamka kwa jina la Yesu aliye hai hata mapeoo yanatii na kutetemeka. Yesu leo tu hai mitume wengine wako kuzimu wanasubiri hukumu. Uko tayari kufuata mizimu???
@@AshuraSalum Tumsifu YESU mtumishi, Isaya 9:6//Mathew 25:31///warumi9:5//Wafilipi 2:5-11//John 14:8-9//john10:30... yuda1:4))1john5:20//hatusemi kuwa Yesu ni Mungu kwa kubahatisha.. Yesu Kristo,hakika,Yesu ni Mungu mwenye nguvu.. Aminà mtumishi barikiwa Sana.
What Paul did do to show he follows fellow Muslim Eissa asw the so called Jesus? Appointed by Jesus? Naked lies appointed as what fro. a messenger of Allah
Ukristo bila Uongo,Ushindani hauendi,Shukran Sana Ma Sheikh Wetu Kwa Mafundisho Mazuri Yasiyo na Shaka.
Jamani ni hatari Sana wakristu mna dhima mbele ya mungu mcheni mungu wa kweli acheni kubabaisha Moto unawahusu
Yani dini yenu haieleweki aisee....mara Yesu ni dini mara ni njia Mara ni Mungu...mara Mtoto wa Mungu...
Mwenyezi Mungu awalinde Wenye mihazala Waisilamu
wallah wakristo mumepotea
@@swamabubakar8983 Amepotea yeye anayemfuata ambaye hajui atakavyofanywa na hata hao wanaomfuata hajui watafanywa nini! Ana mashaka na kukata tamaa na njia take!! ( Qur'an46:9)
@@welsonlameckdodere4277 Quran 46:9 isome uimalize. Usichaguwe kifungu cha aya ukasimamisha hoja yako.
@@welsonlameckdodere4277 wewe mwenye huijui bibilia utajua Quran
Mwalimu was kikristo mjanja sana katika kuwapotosha watu na hao wanaomshangilia maskini hawajui kama wanazidi kupotoshwa.
Napenda sana daawa ya waadhiri HABIBI MAZINGE , SHEKH KINYOGOLI, DR SULE, wananikosha sana
Professor mazinge nakuamini sana. Utafaulu tu kwa uwezo wa Allah .tunawaombea dua kila siku
Mashallah yarabbi atujaalie tuwe n wenye kushinda n uislamu ndio Dini ya kweli Allah ata wapa nguvu muendelee kutangaza DNI y haki 🤲🏽
Tubu kwa mungu achana na dini ya wongo islam
Allah akupe Afya njema ili uwendelee kutangaza dini Inshallah
Mdahalo ni mzuri unawajenga waumini katika kumjua mungu kwa pande zote za kidini
Asante mwalim wa kiswahili wafundishe kiswahili kwanza
Niwale wanaosema ss niwakristo sio Mungu alowaita wakristo hapa utapata ukristo wanaudai
Ao walokuwa hawajalike wote ni makafiri moto unawaita I am proud to be muslim Alhamdulillah😁
Subhanallah hawa wamejikanyanga wa mwisho kakubali kuwa ukristo ni dini ya mwanaadamu
Allahu Akbar Alhmdlillah kwa neema ya Uislamu na wewe ndugu mkristo unaweza kuws Muislamu pia ukitaka. Fungua maskio yako na moyo wako weka nia safi na Allah atakujaalia aufungue moyo wako aujaze Uislamu. Haya sio maneno yetu binadam bali ni maneno ya alotuumba mola wa viumbe vyote ALLAH
Pasta kumbe huna akili wew Kristo imetajwa wapi ni dini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Allha akuongezee nguvu na akupe kheri hapa dunian na akhera pia inshllh
mazinge nomaaaa
Maashallah!
Yaa rabbi tufishe haliyakua waislamu tn mu'min ammin all muslim
Allahumma Amiin yarabb
Subhallah wakiristo wanatumia sifa na cheo cha yesu ndio dini yao kwa kweli ukiristo ni msiba, munapotezwa na wachgungaji zenu nyinyi hko kwa makanisa
After 14yrs is when u can follow someone?ahhhhhh...wakristo hamna lolote!
Masha'Allah
Allah akubark mr.Akasha
danke
Maskini huyo Omar na shaibu wakate roho saiz maskini nawahurumia....watajuta majuto ya Hali ya juu....wallahi hawana bahati....mtachomeka milele motoni nyie chekeni Tu dunia hii fupi Sana....
shida ya wakristo hawajui bibilia yao vizuri, NI kelele tu wanajua.
Nyinyi ndio hamjui hata qurani yenu
Am jui Quran ninini mutubu kwa bwana yesuChristo
Hivi Wakristo Mnaohudhuria Mijadala Mpo Kwenye Mijadala Na Akili Zenu Au Mpo Hapo Akili Mumeziacha Nyumbani!!!!!!!!???
Allah atawaongoza wakristo inshallah
UISLAMU NI NEEMA TOSHA!!!
Walioazisha dini ni watu weupe, wala sio mwafika. Dini zote tumeletewa ndiyo jibu sahihi.
SAID UTHMAAN MAZINGE, NI ASADHULLAH!!!
Waslaam dini ya Kweli kabisa
Awa wakristo wote wanaabudu mizimu na mashetani na masanamu kanisani na paulo ni mtume wa mashetani na mizimu
Wewe tubu mweye Ba islam mutubu
Tumsifu YESU mtumishi, warumi 2:1... barikiwa Sana mtumishi...waganga,mbona hutumia Quran??mbona marohani,hamwezi wakemea wamtoke mtu,mbona huwa mnawabembeleza??.... Quran 72..jini,linaweza penda nuru??? barikiwa Sana mtumishi.
@@davismwamachi1145 WARUMI ni Maneno ya PAULO Sio ya YESU 😃😃😃
@@shabbymakapane1910 Tumsifu YESU mtumishi, mbona mwamchukia pàulo?? mathew 10:36..
Paulo nimtume maajabu....
Mashaallah
Jaman shekhe kinyogori murimuuacha wp wap Ibrahim ana panick sana
wakristo amuwezi waislamu ata mfanyeje islamu nidini ya nguvu
Najivunia kuwa mwislam
wamezoea kudanganywa kanisani ukweli hawautaki hata kidogo mwisho ndio huu shauri yenu.
Eti kristo cheo kristo dini ni mtihani kweli
Asante sana Akasha
salam kutoka Holland
Kwanza Leo wakristo hawajielewi ‘ wanajikaanga na mafuta yao wenyewe bila kujua kwamba Huwa wanadai Yesu ni MUNGU’ hahaaaa’ msirudie tena kusema Yesu ni MUNGU....!
Kamwe huwezi kutetea Ukristo ‘ kuutetea ukristo ni sawa na kubeba GUNIA LA MISUMARI...!
Wo great seek th truth ad u will b free
Yaani raha ndani ya kristo yesu Kweli njia na Kweli lakini msiba Mohamed ajui atakavyoo vyanywa Quran 5:35
Hata huyo Yesu ,hata ww hapo kafiri ulivyo,hujijui wala hujui atakachokuhukumia Mungu wako! Tumia akili japo ya kuzaliwa Tu. Kama yesu alijua atakavyofanywa na wanadamu kama mnavyodai aliuawa,unadhani mngempata mkamshika? Hakujua na wala pia Hadi Sasa hajui atakachohukumiwa nacho kesho Kwa Mungu na hivyo ni Kwa wanadamu wote.
Kubabaisha haimaanishi inamashaka wew inamaanisha ni ngumu kuitafsiri...nyie msitufundishe Quran yetu....bibilia yenu hamuisomi vizuri mwataka kuijua Quran...
Hao wakiristo aanajuwa haswa km wanadanganywa .Mara Yesu ni Mungu mara maana wa Mungu akiwauliza Mungu anasulubiwa ?hmn jibu
Wacristo munapotea kwa sababu hamujui maandiko
Si kwa islam...
Tunaomba mgu mrudi kwa kwanisani bila makele......karibuni kwa waislam
Wakristo wanalazimisha Kila njia ni dini...
Hiyo siyo hoja ndungu zangu wa Christu kama mumeshindwa kuteteya dini yenu!! My kubali kushindwa muna roho ngumu, haswa huyo kama Daniel à napiga kelele sana
Paulo ni mtume na malaika wenu kinanani haswa Nataka nimjue Israeli wenu mtoa roho....Nani sabu sio malakul mauti...sasa malakul maut Kwa Imani zenu potofu kamuuwa Mungu wake....sabu mnaamini Yesu kafa...
Nduzangu wakiristu tafadhalini musome ili muelewe kwa sababu ili ujue dini ya haki ni ipi na dini ya haki ni uislamu
Hahahaaaa’ Nilitaka kushangaa swali la Mazinge ‘DOCTOR OF DIVINE (DD) ulijibu kiurahisi rahisi’ ..!......Ukristo Sio Dini bali ni Jina....!
Tumsifu YESU mtumishi,quran 29:47.Amina.halafu doctor of divine ni mganga wa kumpinga pepo,,, deuteronomy 18:10..la hauls,kumbe ni doctor???Amina.
@@davismwamachi1145 hamna kitu hapo
mabishano ya nini kama kweli ndini yako ya kweli ifuate mwache mwenzio afuate yake Mungu apo na atatuokoa.....hubiria wanaokuskiza wengine sio kazi yako hatuwezi kua waislam sisi wote ama wakristo....
Sisi tunajukumu la kuitangaza dini yetu Uislamu. Pia tukiona mtu yeyote hufuati haki ss ni lazima tukulinganie ili ufuate haki na ndio maana tunapingana na Ukiristo na kutafuta hoja zinazo onesha ukiristo sio dini
Allah atie taufiki ndani ya moyo wako uongoke insahaAllah
Sasa ukisema ivo utakuwa unamkosoa mungu kuwa katuma manabii kuwaonya watu kuhusu kumuabudu mungu mmoja,kama kila unachoabudu ni sawa mungu asingetuma mitume na manabii hemu wacha ushabiki ndugu yangu utaenda kuchomwa bure
@@mwakakhamis9823 Tumsifu YESU mtumishi,dini hazina uzima,, uzima umo ndani ya Yesu pekee coz mitume wote walikuwa wananena kuhusu Yesu,hata Musa...(.. john 5:26)..Amina Barikiwa Sana mtumishi.
Allahubarik
Mpaka kiama kitafika halototokea andiko Ukristo ni dini makafiri ukiwaomba andiko wanakwambia amezaliwa Mungu amewaletea Waisraeli mwokozi nae ni Kristo sasa ndio dini mbumbumbu hawa
Dini ni nini Dini ni njia na yesu ndie njia ya kweli na uzima nipatieemahali pameandikwa Mohamad ndie Dini Yani njia ya kweli na uzima wa milele
@@ritanget9174 Muhamad sio dini dini ni Uislamu hata Yesu alikuwa na desturi ya kuabudu wewe unafanya e kumfuata Yesu ili upate uzima wa milele na huyo baba ni nani ambaye utafika kwake kupitia kwa Yesu naomba ikiwa una andiko nipe au unafuata Yesu kwa fikra tu na ufuasi pia nambie
@@godisgreat1845unajua mungu nini?kwanza elewa Bible ndio utajua Baba ni Nani?
@@ritanget9174 mohammad ni mte na muislam sio dini na alikuja kuitangaza dini ya uislaam
Allah akuongoe inshaAllah
@@godisgreat1845 sasa mna fwata mtu hawezi kua njia njia ni yesu kama hauko kwa yesu motoni kwa shetani
Nyinyi mnakufuru Sana Yesu jamani cio Mungu Yesu ni mtume midahalo ya nn kwani hamtumii hata akili ya kuzaliwa Yesu hawez umba mbingu na ardhi jamani sasa yesu alimuumba Adam...nayeye hata alikua hajulikani....nyie mtatujazia pepo bure...kaeni huko huko Kwa Kristo wenu....
Kwanza hata biblia inayosomwa sasa hivi yesu haifaham kwa sababu wakati yupo duniani haikuwepo.
Yaani waislamu wanapinga vitabu vyao,, Allah anasema wakristo ni wasomi hafu wamekuepo kabla ya dini ya uislamu,, Quran 2:62 Quran 5:82 ila chaajabu wanadai at hata Allah ameiga wapagani kwa kuwataja wakristo
allah tunusuru wajawako
Shekh mazinge fanya mdahalo na mapadri wakibwa Kama wakina gwajima
Maskini wakristo wanashangilia kutojua.Allah awaongoze.
Wacheni kupumbaza watu ..way ni njia dunia nzima inaelewa ...na religion ni diini dunia inajua ...ndio maana huwa unaulizwa what is your religion huulizwi what is your way...watanzania someni kiingereza ma pastor wananwapotezeni kwa maandiko .
Hivyo wakristo ndo mnawaelewa walim hao naona kama mambumbumbu flani hivi
Ama kweli dini ya uislam ndo dini ya haki
Waislamu wanafikiria bibilia ni novel kama kurani mungu awafungue macho wawache ubishi
Novel ni bibilia ambayo yenyewe inajipinga
Qur-ani ni maneno ya Allah
Kitabu ambacho hakin shak ndani yake
Thibitisha Bibilia ni maneno ya mungu
Biburia zenu ndizo notes make kila sehebu lenu lina biburia yake,Quruan haikuandikwa na mtu yeyote iliteremushwa kutoka mbinguni kwa mwenyezi mungu na ni maneno yake sio maneno ya mtu hiyo ndiyo tofauti na vitabu vyenu vya kubuni!
Sisi waislamu taratibu zote za salaam na ibada ni zile zile lakini kwenu ni tofauti mara miziki mara sadaka kubwa mara magari badilikeni bana
Yani swali alilouliza mazinge nlidhani ni dogo tu ila kumbe ni mzigo kwa wakristo
Hakuna aya inasema wakristo ni wacha Mungu bali ina sema miongoni mwao wapo wamchao Mungu na hao ni wale walioijua haki wakifuata sio nyie
Hilo unaloongea, ni sawa na MTU aliyeacha kula nyama akanywa mchuzi wake,halafu akajinadi kuwa hajala nyama!! Kama wapo Wakristo miongoni mwa Wakriso wanao mcha Mwenyezi Mungu ,hao bado ni Wakristo tu!
@@welsonlameckdodere4277 hujafahamu bado. Yaani hapo alipokuja Mitume. Saw. Walikua wapo wakiristo wanajua ukweli hawamfati paulo na wakisikia uislamu husilimu ndio wamchao Mungu sio wamchao yesu. Sasa weye humo unamcha yesu wala sio Mungu. Tena hao wamchao Mungu wanayajua kua atakuja Mtume Muhammad. Saw. Kwaio wakimsikia wanamfuata. Ndio ikiwadhihirikia kweli iliokuja huifuata
Ndugu zetu ufahamu mdogo sana juu dini
Ibrahim awe2 anapeleka mada asiwe anajib maswari jaman mpka Mimi muislamu nashindwa kumuelewa
Najivunia kua Islamic my religion
makafri wanapewa hoja zirizo wazi lakin hawa siki wala hawafikir kuwa wapo katika upotevu
Masha allah barakallah fid
Hpo kwenye maswari Ibrahim kawap sifa
Hiyi mada nzuri, lakini waislamu huwa ni wagumu kuelewa, ndiyo shida, waliisha amuwa kuwa washetani waislamu, Tumsifu YESU KRISTU, pamoja na kwamba UKRISTU unatumiwa vibaya
Washetani wakristo wote wana muabudu mungu mtu yesu
Mbona huna hoja ebu toa ushahid
Hata hujui wewe ndiohujitambui unamfuata SHETANI 😃😃😃
Wkristo kweli vzw wanacha mada wanadandia watu ilikukwepa mada.
Nawawache ujinga yesu simkristo
Mazinge hawakuwezi wewe kwa sababu wewe uko kwenye haki
Nyie wakiristo hmn kz mnasherehekea moto subirini nyinyi ndo kuni wenyewe na wake zenu
Tumsifu YESU mtumishi,, warumi2:1...mathayo 7:1 . Aminà mtumishi barikiwa Sana .
Inshallah
Nyie wacheni upumbavu Sio Mungu wetu Mungu wetu sote....Nyie wajinga kweli ...
Bible kibao zinatowa tafsir tofauti alafu mnasema ni kitabu cha mungu
Quaran na Bibilia cha wapi kitabu cha mungu
Tumsifu YESU mtumishi, warumi2:1..Amina mtumishi barikiwa Sana.
Kwani kati ya Allah na Muhammad
Nani mwanzilishi wa uislamu
N Allah, kwan ilikuwa hujui ama?
Kafiri tangu lini akamjua Allah na Mtume wake,kipenzi chake Muhammad s.a.w?
Hemu waskilizenu hao wakiristo hata hoja hawana wanapotoa watu tu maskini.
Clapping for the patches amazing
Wakristo huwa wananishangaza toweni maneno yako mkitabu chenu siyo yakichwani
Mazinge naomba namba yako ya cm
Yani asiye juwa dini ya haki mbele ya mwenyezi ni uisilam amepoteya
Mazinge kwanini unamoyo mungumu mukubali Yesu kwanini unamugombeza Yesu
Mbishi ww ambe unauona kweli lakini haufuati
Allah akuongoe inshaAllah
Waslamu sisi hatumkatai Yesu,tofauti yake iko pale wakristo wanapomuhita Yesu Kiristo na sisi Waislamu tunamuhita Nabii Issa,tunaamini alikuwa mwislamu, hakufa musarabani na Yesu sio mungu basi hii ndiyo tofauti
@@ramadhanwilbard4685 Tumsifu YESU mtumishi,kwangu Mimi,ukisema Yesu Kristo hakufa,hakusulubiwa, hakufufuka,na pia si Mungu,hapo100%,umemkataa Yesu na hapo,unakuwa mpinga Kristo hodari.. Amina mtumishi barikiwa Sana
@@davismwamachi1145 Chizi wewe
Mazinge ni nabii wa uongo
Mazinge sio nabiiii mzeee baba
Cjui waelewa kuhusu neno nabii kama uelewi nimitume waliochanguliwa na Allah acheni kujiita manabii mazinge cnabii kwa tarifa yako
Mazinge si nabii,na wala yeye hajawahi kujiita nabibii,be care ful
Ndio maana dini yenu bila uwongo mnazib viraka nyie mnaodanganyw subirini Moto kesho kw upotofu
Mazinge xo na bii Ila nimuumini wa Allah na anaamini kuwa wiisilamu Ni dini ya haki☝️
Kazi yenu kutia viraka tu hmn majibu sahihi
ok
Eti refarii mazinge!
acheni ushabiki wachristo,sikizeni maandiko vizuri kwani mu wavivu wakusoma hiyo Bible
Jamani ndugu zetu watoto wa mama mdogo mjakazi hajir mbona mnafuata giza hali nuru mnaiona? Na ujanja wote huo hamna macho ya kuona? Ukitamka kwa jina la Yesu aliye hai hata mapeoo yanatii na kutetemeka. Yesu leo tu hai mitume wengine wako kuzimu wanasubiri hukumu. Uko tayari kufuata mizimu???
Yesu atakapo rudi atakuja kuwakana na kuwambia yeye cmungu ni mtume wa mwenyezmungu kama nitume wengine
Yesu atakapo rudi atakuja kuwakana na kuwambia yeye cmungu ni mtume wa mwenyezmungu kama nitume wengine
@@fatumakirowa4507 Fetty mwambie uyo
@@AshuraSalum Tumsifu YESU mtumishi, Isaya 9:6//Mathew 25:31///warumi9:5//Wafilipi 2:5-11//John 14:8-9//john10:30... yuda1:4))1john5:20//hatusemi kuwa Yesu ni Mungu kwa kubahatisha.. Yesu Kristo,hakika,Yesu ni Mungu mwenye nguvu.. Aminà mtumishi barikiwa Sana.
@@davismwamachi1145 Mh Pole sana
What Paul did do to show he follows fellow Muslim Eissa asw the so called Jesus? Appointed by Jesus? Naked lies appointed as what fro. a messenger of Allah
M1
Very funny people what has A Muslim i.e Jesus ,Eissa Alaihi salaat wa salaam got to do with the so christians
jamani nyinyi wakiristo hamna hoja kwa waislamu in wabishi tu
Wachungaji mtaumbuka maana kama way ndio religion mme fail
Tumsifu YESU mtumishi, warumi 2:1..Amina mtumishi barikiwa Sana.
Waislamu nduzetu mumwamini Yesu mupate wokovu
Biblia inawatambua wachungaji kazi yao kupotosha watu. Ww unae wafuta umepotoka mm siwezi kuja kwenye upotofu. Baadhi ya wakati jiongeze
Wakuaminiwa zaidi ni mwenyezi mungu kwanza make Yesu aliumbwa na mwenyezi mungu sasa Wakrisito munababaika na nini?
@@mwakakhamis9823 Tumsifu YESU mtumishi,tupe andiko.Amina.
@@davismwamachi1145 😃😃😃 ISAYA 56 : 10-12
Dini gani inahubiriwa kwa taarabu hivyo
Luka alikuwa mwanafunzi wa Paulo😳😳😳😳😳😳????? Aisee huyu muhadhiri wa kiislamu amepagawa na mapepo
Soma Luka 1:1 alafu ndio utajua kati yako na huyo MHADHIR Nani kapagawa
Wewe ndio uko na mapepe usiofiata maandiko
Hivi mwenye pepo unamjua?
Bparsawa
HAPO KUNA TAA ZENYE MAFUTA NA ZISIZO NA MAFUTA
Fafanuwa?