JE yesu alisulubiwa? Pastor chaka athalilika nakushindwa kujibu swali! MAZINGE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 139

  • @moanamohammed1406
    @moanamohammed1406 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah mashekhe wetu Allah akuzidishieni elimu muzid kutuelimisha nakuwatoa hao wenzetu kwenye giza na kuwaleta kwenye nuru..Inshaallah

  • @zainabuhmbabazi4928
    @zainabuhmbabazi4928 5 ปีที่แล้ว +4

    Mashekh Allah awazidishie umur murefu awapanulie kila la khayri kulia na kushot manshallah

  • @salmaalnaamani8504
    @salmaalnaamani8504 5 ปีที่แล้ว +3

    Subhana Allah ..Alhamdulillah waislam tumefika mbali sana tena sana waislm msiwe na khofu Allah anaihifadhi Dini yake na quran.. mungu awappe nguvu wavijana wetu Allah awahifadhi kwa kila hatwa Amiin yaarab

  • @salmaothuman9762
    @salmaothuman9762 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah mashehe wetu mungu awape maisha marefu na afya njema muendelee kuwaelimisha hao wana macho hawaioni wana masikio hawaelewi tunawashukuru sana kwa kuitangaza dini ya kweli ya isalamck dini aaminy

  • @ramazubery8396
    @ramazubery8396 6 ปีที่แล้ว +10

    akhsanteni mashekhe wangu allah awafanyie wepesi ktk mambo yenu insha allah.

  • @rashidkalimbo2451
    @rashidkalimbo2451 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu Awalinde IshaAllah mashekhe wetu kwa juhudi zenu za kuelimisha umma uliopotea ...atayekana asilaumu mtu Yaumul qiyamah...

  • @zulficarbacarsuale6877
    @zulficarbacarsuale6877 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah S.W dar vos uma grande forca de espalhar as informações para todos os que estão perdido. inshaallah

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 5 ปีที่แล้ว +4

    Pastor Chaka kwisha chenye kimebak usilim tu Allah akufishe na lailaha haila Allah Allah akulinde sheikh wetu

  • @rachelevarist70
    @rachelevarist70 4 ปีที่แล้ว +5

    mwl chaka namuomba mungu akuongoze akufishe ukiwa muislam kuna sehemu ndogo ktk uislam inakutatiza ila ipo cku utaijua haki

  • @abdulmnatii1027
    @abdulmnatii1027 6 ปีที่แล้ว +5

    Yaani Pastor Chaka ameishiwa kilichobakia nikusilimu tu,hongera Masheikh zetu.

  • @nicksonmwamba4687
    @nicksonmwamba4687 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana mchungaji Mungu akubariki

    • @prettyaysha7892
      @prettyaysha7892 4 ปีที่แล้ว

      😢😂😂😂😂Ahongere kwa lipi labda

  • @salumuabedi2020
    @salumuabedi2020 5 ปีที่แล้ว +4

    Pastor silimu hachakujiingiza motoni na ukweli unaujua kuja kwenye dini ya Mungu tena nakuona kua da'ii mzuri sana

  • @mpembaami8621
    @mpembaami8621 3 ปีที่แล้ว +1

    UKIMSIKIA MTU ANAITWA CHAKA UJUE HUYO NI POLI NA KAWAIDA YA POLI HALINA UWEZO

  • @TatuRashid-d6t
    @TatuRashid-d6t หลายเดือนก่อน

    Allah haeezi mwacha mtume wake mpk adhalilike hivo ABADAN,hlf Mungu anakufa hlf anafufuka!!!!???? Subhannalah,some I na ikuen kuraan

  • @kambiayoubu4923
    @kambiayoubu4923 4 ปีที่แล้ว +3

    Allhamduli llah

  • @zaby-n-mamashasha6671
    @zaby-n-mamashasha6671 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah Akbar ,Mungu awazidishiy elimu ma shekh wetu pia awape umri mrefu maana mnakaz kubwa

  • @jumajaffary9698
    @jumajaffary9698 5 ปีที่แล้ว +4

    Nitakufisha.. Nitakutimizia.. Sio nimekufisha, ikifika siku yake atamfisha. Kiswahili kinamsumbua mchungaji.

    • @mussa6990
      @mussa6990 4 ปีที่แล้ว +1

      Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutase na wale waliokufuru, na nitawaweka wale waliokufuata juu ya wale waliokufuru, mpaka siku ya kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu. Nikuhukumuni katika yale mliyokuwa mkihitilafiana”(Kurani 3:55).
      Soma hiyo aya vizuri kama atamtizimia wakt wake ukifka kwa mana yako basi Isa hadi wakati huu tunae hajaenda mbinguni ndo maana yako mana nyakati zijazo ziko sehemu ni nitakufisha na nitakunyanyau kwahyo wakt huu bado tunae hajanyanyaliwa kama ndo ivo basi.

    • @Chychy.w
      @Chychy.w 3 ปีที่แล้ว

      😁

  • @raphaelthomas9356
    @raphaelthomas9356 4 ปีที่แล้ว +2

    Good for debate

  • @hilalhilal8400
    @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว +1

    Shekh yahya naomba namba zako za watsup

  • @chuchulampa9324
    @chuchulampa9324 6 ปีที่แล้ว +3

    MASHA ALLAH

  • @ammonyalistides6638
    @ammonyalistides6638 6 ปีที่แล้ว +2

    Yan cjawah kuona mwenyekiti kama ww you are very flamboyant

    • @mzackibra6360
      @mzackibra6360 3 ปีที่แล้ว

      Believe ammony islm is way 2 god co chnge brother

  • @rachelevarist70
    @rachelevarist70 4 ปีที่แล้ว +2

    ndugu zetu ktk Adam unapoambiwa yesu hajafa unatakiwa utafakari hii elimu nipana unatakiwa usome

  • @brightonwashira5420
    @brightonwashira5420 5 ปีที่แล้ว +4

    Waslaam takbri wakristo waongo ssna

    • @talibhassan6688
      @talibhassan6688 5 ปีที่แล้ว +2

      ALLAHU AKBAR

    • @omakywazamani6696
      @omakywazamani6696 4 ปีที่แล้ว

      Sio kuwa wango lashaka mie najuwa kwanini sisi wa Afrika ankili zetu zimevurugiwa kwa matakwa ya wa coloni agenda ya wazungu kutawalia dunia njia yao ni moja tu kututawalia ki imani na moyo basi hapa ndapo wa zungu walio tuweza kwa kilakitu mtu yoyote kuhutawalia ki moyo ni kamaliza kila kitu ukitaka kutazama wengi wetu tume lazimishwa kubadili dini na ukoloni ili tuwafwate nyao zao ndohapo hadi leo mtu mweusi hawezi kuwa huru ki ankili kwani kutoka karine na Karine hadi leo itawezekana je mtu mweupe kuja kufa kwajili ya watu weusi wakatiukao hakuna mtu mweusi mwenye haki ktk mtu mweupe ni ujinga kwanza haijui afrika pili kazaliwa kama sisi itakuwaje mtu kama mimi kuwa mungu wangu

  • @elephantisiolo4866
    @elephantisiolo4866 3 ปีที่แล้ว

    masha ALLAH

  • @km-xv2eq
    @km-xv2eq 6 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah maustath

  • @hemedimussa2383
    @hemedimussa2383 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa chaka mbona ajibu maswali

  • @habibmohdali206
    @habibmohdali206 5 ปีที่แล้ว +3

    Mazinge upo vzuri

  • @salumuabedi2020
    @salumuabedi2020 5 ปีที่แล้ว +2

    Wallahi wakristo hawana hoja mbele ya ya waislamu Alhamdulillah

  • @mohamedymandala2852
    @mohamedymandala2852 5 ปีที่แล้ว +1

    Ishallah

  • @mussa6990
    @mussa6990 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutase na wale waliokufuru, na nitawaweka wale waliokufuata juu ya wale waliokufuru, mpaka siku ya kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu. Nikuhukumuni katika yale mliyokuwa mkihitilafiana”(Kurani 3:55).
    Soma hiyo aya vizuri kama atamtizimia wakt wake ukifka kwa mana yako basi Isa hadi wakati huu tunae hajaenda mbinguni ndo maana yako mana nyakati zijazo ziko sehemu 3 yani nitakufisha na nitakunyanyau na ntakutakasa kwahyo wakt huu bado tunae hajanyanyaliwa kama ndo ivo basi tunazngmzia wakt ujao mana ata kwny neno nitakuinua ni wakt ujao bado hajanyanyuliwa tunae duniani kwa sasa

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว

      Hizo zimezungumziwa habari za kiyama ndugu kama kuna muislamu anaamini yessu alikufa basi Uislamu wake una mashaka maana Allah (S. W) AMEKANUSHA juu ya madai ya makafiri kuwa hawakumsulubisha

  • @saram3530
    @saram3530 5 ปีที่แล้ว +1

    Njia hii haiitaji mijadala wala mashindano. Muombe Mungu wako akusaidie ktk safar hii

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว +1

      Maana ya mijadala ni kuokolewa nyie mlopotezwa na wachungaji. Na ili uombe Mungu basi umjue kwanza maana hata masanamu huitwa miungu na ng'ombe pia

  • @hamishasan7737
    @hamishasan7737 5 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah

  • @mudathirahmed440
    @mudathirahmed440 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyekit unamaelezo mengi sana sana

    • @aishasombi7116
      @aishasombi7116 5 ปีที่แล้ว

      Ndo maana ya uenyekiti

    • @raphaelthomas9356
      @raphaelthomas9356 4 ปีที่แล้ว

      Mudathir Ahmed anajua

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว

      Maongez xio kazi ya mwenyekiti wapo masheh apo wanackia kl kinachosemw

  • @swalehiddy2468
    @swalehiddy2468 4 ปีที่แล้ว +2

    Chaka huwezi ziba shimo la panya kwa kipande cha mkate...🐀

  • @salumuabedi2020
    @salumuabedi2020 5 ปีที่แล้ว +1

    Pastor anayumbisha imani kwaitetea bila bila elimu yoyote

  • @tobiasantony2531
    @tobiasantony2531 5 ปีที่แล้ว +5

    Mjibu ya huyu mchungaji yako sahihi Sema hawa bwana inaonekana sio maswali ila wanamchangia na hawataki kumsikiliza

    • @haleemasulthan4894
      @haleemasulthan4894 5 ปีที่แล้ว +2

      toboas antony mandishi ndio ushuhuda ajaleta haya bana

    • @raphaelthomas9356
      @raphaelthomas9356 4 ปีที่แล้ว +1

      Tobias Antony mgaratia

    • @edenedna8934
      @edenedna8934 4 ปีที่แล้ว +2

      Kila mahali kwa biblia inasema yesu alikufa, qurani tu inakataa kidogo imekubali, chaka mungu akupe nguvu ya kutangaza ukweli.

    • @danielmahela2436
      @danielmahela2436 4 ปีที่แล้ว +1

      Injir ya yesu inasema kafa cjui quran inasema hajafa yaani tuache kufuata injir ya Yesu tumfuate Mohammed aliyetokewa na shetani jabal hila hawa waislamu vp hawa

    • @mishyyusuph3288
      @mishyyusuph3288 4 ปีที่แล้ว +1

      @@danielmahela2436;waislam hatusemi twamfata Muhamadh kama ni Mungu,Muhammadh ni mtume na ni nabii kama manabii wengi akiwemo Issah.

  • @nahoranenimanadaudi4374
    @nahoranenimanadaudi4374 4 ปีที่แล้ว +3

    Chaka wewe ukiwa mwenyewe unasema kama kasuku kwasababu uko pekeke yako!! mbonahapo unakwama jiteteyesasa hojahizo hutoki kwa sababu ziko wazi.

  • @salumuabedi2020
    @salumuabedi2020 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu niepushe na ukristo

    • @davismwamachi1145
      @davismwamachi1145 3 ปีที่แล้ว

      Amina,sawa kabisa,lakini asikuepushe na YESU Kristo...Amina.

  • @petermakori1952
    @petermakori1952 5 ปีที่แล้ว +4

    Bwana Chaka huna lolote ata ujikaze kisabuni utaogewa huishe biblia imeandikwa na wakora aya zengine ni history. Ushaidi luka 1:1

    • @davismwamachi1145
      @davismwamachi1145 3 ปีที่แล้ว

      Tumsifu YESU watumishi,anasema Biblia imeandikwa na wakora.mbona Tena unatumia kitabu Cha wakora (luka1:1) halafu Quran 29:47 inatambua biblia sielewi..ikiwa muongozo wako inatambua biblia,mbona wewe useme ni kitabu Cha wakora?tukusikilize wewe ama Quran? barikiwa Sana.Amina.

  • @husseinmongolare1661
    @husseinmongolare1661 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah awalipe kilalaheri nikoapa U S A nawafatiliya sana

  • @hassankitende3056
    @hassankitende3056 5 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyekiti unakosa sifa

  • @umarapty3499
    @umarapty3499 5 ปีที่แล้ว +2

    Chaka hujui kiarabu na unataka kutafsiri qur an , biblia ikisema yesu alikufa msalabani huoni kwamba mungu wenu alikufa siku 3 . Na hizo hazijulikani nani alikua anendesha dunia kwa hizo siku 3. Biblia imeendikwa kiibrania na kiibrania pia hujui jifunze kwanza coz hata waandishi hao wa vitabu vya ark , methew ,john, luke hao wote original copie zao hazipo so biblia yenyewe ni corrupt

    • @davismwamachi1145
      @davismwamachi1145 3 ปีที่แล้ว

      Tumsifu YESU ndugu, unasema alipokufa ni Nani alikuwa akiendesha duniani..Nani nakuuliza,wakati Mungu akinena na Musa katika Moto, Ni Nani alikuwa akiendesha pepo? wapendwa Biblia haisomwi Kama Quran ama gazeti lazma uongozwe na Roho mtakatifu.. barikiwa Sana.Amina.

  • @josephmwaisobwa6650
    @josephmwaisobwa6650 3 ปีที่แล้ว

    Shehe hiyo barghashiaa vp mbona ina majaniiii harafu punguza jazba

  • @SostenesMabala-tt8pt
    @SostenesMabala-tt8pt 3 หลายเดือนก่อน

    Wachungaji bwana vip huyu?

  • @KK10TH
    @KK10TH 5 ปีที่แล้ว +1

    Malumbano ya Kidini hayafai katika jamii yetu ya Kitanzania. Aceni kila mtu aamini anachoamini. Kwa Waislamu manaifahamu vyema Surat Al KAFIRUN

    • @saadasaid5805
      @saadasaid5805 5 ปีที่แล้ว

      Umeifahamu sivyo mtume na wafuu wake wametangaza dini vipi watu watajuwa dini bila kupewa ukweli

    • @KK10TH
      @KK10TH 5 ปีที่แล้ว

      @@saadasaid5805
      Hatuenezi dini Kwa kukashfu au kukosoa dini zingine
      Sema mazuri ya dini yako upate waumini

    • @kondesaidi2040
      @kondesaidi2040 5 ปีที่แล้ว

      Kwani kuna mtu katoa maneno kichwani au vitabuni!!?? Kumbakumba?

    • @talibhassan6688
      @talibhassan6688 5 ปีที่แล้ว

      @@KK10TH Huo si ugomvi ndo mana wamekaa sehem nzuri kila mtu anathibisha ukwel wa dini yake kutokana na kitabu anacho kiamini na n lazima tuelimishane ili tujue haki ilipo tuifate

    • @hamishasan7737
      @hamishasan7737 5 ปีที่แล้ว +1

      Waiteni watu katika njia ya mola wako kwa hekima na mawaidha yaliyokua mazuri, quran

  • @tobiasantony2531
    @tobiasantony2531 5 ปีที่แล้ว +1

    ukitaka kujua soma surat maria. ndio utajua Yesu kafa au hajafa

    • @legrandmsangi9789
      @legrandmsangi9789 5 ปีที่แล้ว +1

      Toboas.. Mwenyez Mungu anasema ktk quran,, wamaqataluhu, wamaaswalabuhu.. Hawakumuua na wala hawakumsulubu. Ww hiyo aya umeitoa wp

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 ปีที่แล้ว +2

    Wakristo waislam tunaomba muendelee kufanya miadhara kwa amani

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 ปีที่แล้ว +3

    Chaka ww ni shida 2 hausiki

  • @ramzanqarim4977
    @ramzanqarim4977 3 ปีที่แล้ว

    Hapo chaka hatojibu atamaliza miaka na jibu hakuna

  • @babawatotobabu7229
    @babawatotobabu7229 5 ปีที่แล้ว +3

    uyo chaka hawezi jibu swali hata moja

  • @rabangilbert2757
    @rabangilbert2757 5 ปีที่แล้ว +1

    We mpinga kristo gadhabu ya Mungu inazidi kupanda juu yako.. alafu wakristo someni neno mlijue.. imeandikwa mathayo 7:6 msiwatupie mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu yenu kwa nguruwe wasije wakazikanyaga wakawageukia na kuwararua. Kwaio hao wasio amini kwahuyu Yesu Kristo achen aende zake msimbembeleze mtu tena watumishi wa Mungu Wa Mbinguni jiepushen na mabishano ya namna hii Yesu hakuwahi kumlazimisha mtu kama huku muamini basi utamwona siku ya hukumu yake.. Yesu kristo ni mwana wa mungu aliyekuja kuwaokowa binadamu wote watakaomwamini basi mabishano peleken huko kwenye pepo yenu ya kibra.

    • @salumuabedi2020
      @salumuabedi2020 5 ปีที่แล้ว

      Mmh wapi yesu kawa ambieni muwe wakristo au wapi yesu pindi yupo duniani aliwaiita wafwasi wake au wale wanafunzi wake 12 WAKRISTO ?

    • @mussa6990
      @mussa6990 4 ปีที่แล้ว

      Kwhy ww ultaka dn ya kikristo iitwe wanafunz 12 badala ya wakristo ukumbuke ukristo umetajwa kwny quran na je wenye hyo dn wataitwaje na hyo ktabu yao imetajwa kwny quran na je ww unataka iitweje labda tusibishanie vt ambavyo vina ukwl ndan yake

    • @musamsisi6496
      @musamsisi6496 4 ปีที่แล้ว

      Hata shetani ametajwa. Kwenye maandiko inamaana nae ñimzuri?

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 6 ปีที่แล้ว +2

    yaan mna nikosha xna

  • @evalineakuku590
    @evalineakuku590 5 ปีที่แล้ว +3

    Waislamu ni wapinga kristo na ni waongo

    • @rashidkalimbo2451
      @rashidkalimbo2451 5 ปีที่แล้ว

      SubhaAllah...wamekupotezeni wachungaji wenu..... YEREMIAH50:6 ...

    • @salumuabedi2020
      @salumuabedi2020 5 ปีที่แล้ว

      Bro wakristo ndo wapinga kristo wakwanza

  • @babaanisha2104
    @babaanisha2104 5 ปีที่แล้ว +2

    huyo chaka kaingia chaka kweli

  • @hamadamabali2895
    @hamadamabali2895 4 ปีที่แล้ว

    Tunataka Mchungaji Ndacha katika mjadala tuje tumkamate

  • @nyanyambuli7163
    @nyanyambuli7163 5 ปีที่แล้ว +1

    HUSULEIMAN MAZINGE NILISIKIA AMEFARI JE NIKWELI?

    • @salumuabedi2020
      @salumuabedi2020 5 ปีที่แล้ว +1

      Atafariki kwa mda aliyo pangiwa na Allah

  • @qurankareem582
    @qurankareem582 5 ปีที่แล้ว +1

    mazinge uhibbuka fillahi

  • @MrMbeva
    @MrMbeva 6 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyekiti ako very biased kabisa, kunafaa kua na wenyekiti wawili.

  • @danielmahela2436
    @danielmahela2436 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyekiti mwenyewe shehe sasa c kuna upendeleo hapo

  • @sabbob574
    @sabbob574 5 ปีที่แล้ว +1

    Allah sio mungu wa kikisto. Allan is physical being not a spirit. Because Allah has Leg and look like ibris according to Quran but has two eyes. Na yesu ameongelewa zaidi ya ishirini ktk Quran ubishi upo wapi Mohhamed amewapoteza ndugu zangu Waislam anajiita Mtume lakini ana miujiza yeyote. Muhamad anaamin jua linazama kwenye maji ya matope, alimfunga mwanamke mguu kushoto na kulia na kumchana katikati. Alioa mtoto Aisha miaka 6. Fungukeni waislamu. Quran inasema waueni wakristo na wayaudi na sio marafiki zenu. YESU anarudi muhammadi amekufa na haruni. QURAN inasema Yesu anarudi Kuhukumu dunia mbona amuisomi vizuri hiyo. Yeyote asomaye quran vizuri na kwa makini ataacha uislam kwa hiari.

    • @rashidkalimbo2451
      @rashidkalimbo2451 5 ปีที่แล้ว

      SubhaAllah... Soma vitabu vya Mwenyezi Mungu wewe vizuri..........

    • @salumuabedi2020
      @salumuabedi2020 5 ปีที่แล้ว

      Bro mbona hujatowa aya au andiko hata moja ili tuuhache uislamu kwa hiari yetu .uislamu ndo dini pekee iliyo wekwa wazi wala haikuficha kitu nandomana watu wanaingia kila siku bi idhinillah

    • @محمدعبدالله-غ1ق8ظ
      @محمدعبدالله-غ1ق8ظ 4 ปีที่แล้ว

      mungu akunusuru hujui unacho kiogea ww kaka ipo siku utaujua ukweli na utakuja kwenye dini ya haki na ni uislam

    • @sulealim7336
      @sulealim7336 4 ปีที่แล้ว

      tafakari

    • @prettyaysha7892
      @prettyaysha7892 4 ปีที่แล้ว

      Mmmmmh boya mtiririko wooote bure kabisa hata haushawishi

  • @edwadmayega9500
    @edwadmayega9500 5 ปีที่แล้ว +1

    mbona mashehe watatu. mchungaji. mmoja. mtamzidi nguvu. bwn

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 4 ปีที่แล้ว

      Kama atakayoyaongea na nukuu zake zitakuwa ktk maandiki/ vitabu vya Mungu wa Ukweli atawashinda coz Mungu ni mmoja but (Mungu)hawi dhaifu/nguvu ya Mungu haishindwi kwa wingi/idadi kubwa ya watu chamsingi hoja zenye mashiko. Yesu/Issa hawakumuua (hakuuwawa) ataongezewa muda wake wa kuishi means yuhai (atakuja /atarejeshwa/atarudi tena duniani akiwa yuhai kuja kuishi) na ukifika muda wake kufa/akishatimiziwa muda wake wa kuishi duniani hapo ndipo Mungu atmuuwa/atamfisha. Kumbuka neno "nita..../nitakuuwa" means ni wakati ujao/tendo halijatendeka bado but litatendeka next time(continuous tense)

  • @tobiasantony2531
    @tobiasantony2531 5 ปีที่แล้ว +1

    Masihi mwenyewe anasema kwamba, imejaariwa siku ya leo niliyozaliwa, nitakayokufa na siku nitakayopaa. Surat Maria

  • @peteraugustino8281
    @peteraugustino8281 5 ปีที่แล้ว +3

    Mbona.nyinyi.mpo.watatu.yeye.pekeyake

    • @hassanmirambo564
      @hassanmirambo564 5 ปีที่แล้ว

      Peter Augustino hata hapa Tanzania Ustadh Shafii Shomari aliwahi kuweka mjadala wao wakiwa wanne viongozi wa kikristo walikuwa zaidi ya kumi

    • @mariammammu9641
      @mariammammu9641 4 ปีที่แล้ว

      Peter Augustino NendaNaWeweMkaweWawil

    • @prettyaysha7892
      @prettyaysha7892 4 ปีที่แล้ว +1

      Wenzake waliogopa wanasema hawawezi kupambana na waislam wana ukweli

  • @gwakisamwakisole731
    @gwakisamwakisole731 4 ปีที่แล้ว +2

    Wakristo tuwe makini kutowasikiliza waalimu wa uongo tusome biblia kwa kuilinda imani yetu!!!!Bwana Yesu alisulibiwa msalabani yohana 19:17-19.na alifufuka siku ya tatu luka 24:1-8.

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 6 ปีที่แล้ว +1

    uyo mchungaji Boya kab

    • @abdulmajidibadru5765
      @abdulmajidibadru5765 3 ปีที่แล้ว

      usimtukane ndio uelewa wake ulipo ishia inabidi akasome tena

  • @MrMbeva
    @MrMbeva 6 ปีที่แล้ว +5

    Mbona mwaweka kanda nusu, kuna maana gani kama mlitaka kuwasaidia watu kuujua ukweli? Mbona Chaka hapewi nafasi ya kujibu swali, kila mara akienda kujibu swali mna interrupt!!

    • @siwemasadiki1316
      @siwemasadiki1316 6 ปีที่แล้ว

      asa kama hana hoja aongee nin

    • @bantwamwasakapiga4941
      @bantwamwasakapiga4941 3 ปีที่แล้ว

      Kiukweli Mungu anawaona hapo waislamu kwanza3 pia sioni hoja za msingi hayo maswali atawajibu saangapi pia mnauliza au mnaelezea sijaelewa pia kumbuka Mtume Muhammad alikufa.

    • @TatuRashid-d6t
      @TatuRashid-d6t หลายเดือนก่อน

      Maashalah shekh ❤❤❤❤

  • @ammonyalistides6638
    @ammonyalistides6638 6 ปีที่แล้ว +2

    We umethibitisha wapi kwamba YESU hakusurubiwa? Maana umeishia kusema Mungu alisema kwani BIBILIA aiseme kwamba YESU alikufa mbona mna kuwa dogmatic ninyi

    • @siwemasadiki1316
      @siwemasadiki1316 5 ปีที่แล้ว +1

      umeyumba

    • @mtelezihalisi5074
      @mtelezihalisi5074 5 ปีที่แล้ว +2

      Silimu wewe uende peponi acha kufuata walio potea (wakristo)

    • @jacksonnchimbi308
      @jacksonnchimbi308 5 ปีที่แล้ว +1

      Peponi kwenu waislamu kuna wanawake wazuri mnapewa eti Qur'an ndivyo inavyosema

    • @hassankhamis6535
      @hassankhamis6535 5 ปีที่แล้ว +2

      @@jacksonnchimbi308 Ndio tutapewa

    • @saidsoud5967
      @saidsoud5967 5 ปีที่แล้ว +1

      Hajafa wala hajasulubiwa ndo nakwambia