MTOTO AFUFULIWA NA BWANA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • #ariseandshineministries #Boniface_Mwamposa #Inuka_Uangaze

ความคิดเห็น • 348

  • @stellahoyiellah454
    @stellahoyiellah454 3 ปีที่แล้ว +6

    Kupitia huu ushuhuda watoto wangu wafunguliwe mgongo wangu upone In Jesus Name

  • @EsterCosmas
    @EsterCosmas 2 หลายเดือนก่อน

    Dada mungu yupo kama unaiman . Baba. Mwamposa tunamuombea maisha marefu

  • @dorinimalisa3062
    @dorinimalisa3062 4 ปีที่แล้ว +5

    Amen name Mungu na mm niwez kujenga nyumba na biaahara yngu ikue

  • @AdiaMagesa
    @AdiaMagesa 5 หลายเดือนก่อน

    Amina, ninakilasababu ya kumushukru mungu kwa makuu aliyonitendea nilifungiwa siku zangu miez6 bila kuona cku zangu lkn baada ya kumfatilia mtume mwamposa cku zangu nikaziona. Mtume wetu mungu azid kukukinga na maadui

  • @nurumuzei964
    @nurumuzei964 ปีที่แล้ว +1

    God is great and all he does is marvelous. Glory be to Jesus christ in the highest Ameen

  • @kizachristine
    @kizachristine 6 หลายเดือนก่อน

    Kupitia ii maeabau naomba watoto wangu wote wane wafunguliwe kwa jina la yesu

  • @BabaetuJulius
    @BabaetuJulius 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unifungulie mlango nipate kazi nzuri amen

    • @BabaetuJulius
      @BabaetuJulius 7 หลายเดือนก่อน

      Mchungaji mungu azidi kukuon gezea siku nyingi za kuhishi hata miaka elfu mbili make wachawi watasarenda amen

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nakuomba nijenge nyumba yangu dar ili nipate kujakuabudu katika madhabahu ya mwamposa

  • @victoriaaristarick7321
    @victoriaaristarick7321 4 ปีที่แล้ว +7

    Ameni na mimi nimepokea kwa jina la yesu

    • @evatemba1930
      @evatemba1930 3 ปีที่แล้ว

      Asante mungu kwakutupa mtumishi

    • @jacklineelias3091
      @jacklineelias3091 2 ปีที่แล้ว

      Kupitia maombi haya naomba mungu hanifungue kwa jina la yesu

  • @mriaasaleko6765
    @mriaasaleko6765 3 ปีที่แล้ว +6

    Kila anae cheza na mimi hataharibiwa katika jina la yesu

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 3 ปีที่แล้ว

      Unamlinda asiharibiwe anaecheza na wewe mbn hdileti maana

    • @giftkimario8384
      @giftkimario8384 ปีที่แล้ว

      Najiunganisha na maombi asatatu

    • @BabaetuJulius
      @BabaetuJulius 7 หลายเดือนก่อน

      Mungu wangu naomba uniepushe nguvu za giza na unifungulie milango na nisiwe na miungu mingine ila wewe amen

  • @MussaJuma-v1s
    @MussaJuma-v1s 2 หลายเดือนก่อน

    Kila anae. Cheza na ndoa yangu ataharibiwa kwa jina la yesu

  • @conchestaralison7644
    @conchestaralison7644 3 ปีที่แล้ว +7

    Mungu anifungue na mm kupitia uyu mama

  • @DayanaNgulongo
    @DayanaNgulongo หลายเดือนก่อน

    Mungu funguwa mudomo n'a masikiyo ya mwanangu mimi ni mu Congo

  • @LovenessMpolo
    @LovenessMpolo 6 หลายเดือนก่อน

    Nakushukulu sana mwa mposa umenisaidia sana naomba mngu anisaidie nijifungue salama mwezi huu

  • @AdiaMagesa
    @AdiaMagesa 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa majina yangu ni Adia abely magesa kwa kupitia madhabahu hii nahitaji mwaka huu nishike ujauzito na nibebe mapacha wawili wa kiume na nijifunge kwa njia ya kawaida na siyo operation mungu naomba usikilize ombi langu. Pia mama angu ameugua miez8 sasa mpaka sasa hajapata nguvu za kutembea kwa kupitia madhabuhi hii ya mwamposa naomba mwaka huu mama angu awe kashapona. Amena

  • @salmasaid8964
    @salmasaid8964 4 ปีที่แล้ว +7

    Akuna mungu kama wewe...
    Mungu wetu anatenda jaman
    Tuendelee kumuomba na kuamini tuu

    • @salmamatinya3871
      @salmamatinya3871 4 ปีที่แล้ว +1

      Asante san MUNGU kwamatendo yako makuu namna hii tutetee ee MUNGU wetu nawatoto wetu kaz zagiza zipigwe zianguke ktk jina la yesu kristo amen

    • @edissammole2916
      @edissammole2916 3 ปีที่แล้ว

      Ee mungu iponye family yangu

  • @devothambwale4295
    @devothambwale4295 3 ปีที่แล้ว +1

    Natoa shuhuda kupitia madhabahu hii nauona mkono wa Yesu ktkt maisha yangu eeee Mungu endelea kujidhihilisha kwangu maana ushindi wako niwahakika

  • @lilylukeisa561
    @lilylukeisa561 ปีที่แล้ว

    Kupitia hii shuhuda naomba mwenyezi mungu anifungue kupitia madhabahu ya mwamposa

    • @KasangalaInnocent-nk6vz
      @KasangalaInnocent-nk6vz ปีที่แล้ว

      kupitia ushuhuda huu mungu atatufuwa nasisi ila mtume tukonalazima yakuongea na wewe mtume

  • @KulwaMsafiri-v5u
    @KulwaMsafiri-v5u หลายเดือนก่อน

    Kupitia madhabahu hii naomba watoto wangu watiwe nguvu ya imani na matumaini

  • @tarimowalburga8810
    @tarimowalburga8810 2 ปีที่แล้ว

    Kweli tunaamini Mungu yupo na ni mshindi wa Nguvu zote za giza.Jina lake liinuliwe na kuhimidiwa ktk maisha yetu

  • @AmyAlly-m7g
    @AmyAlly-m7g หลายเดือนก่อน

    Napokea kufunguliwa uchumi wangu,ndoa yangu,afya yangu,baraka zangu,

  • @beatriceminja2148
    @beatriceminja2148 4 ปีที่แล้ว +4

    Hakika wewe Ni Mungu, unaetenda maajabu, duh madhabahu ya inuka uangaze imejua kunifurahisha, mungu n mwema jaman..

  • @JacklineGasper-s1b
    @JacklineGasper-s1b 8 วันที่ผ่านมา

    Kila anacheza na maisha yangu ataribiwa kwa jina la yesu kristo alie ai

  • @Enjo-eu3ii
    @Enjo-eu3ii 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu nakuomb unifungue kiuchumi nakuomb napatekiwanjwa na nijeng ameni

  • @modestanyamhanga9185
    @modestanyamhanga9185 5 หลายเดือนก่อน

    Kupitia maombi haya ya komboa watoto mungu uikomboe watoto wangu

  • @MussaJuma-v1s
    @MussaJuma-v1s 2 หลายเดือนก่อน

    Kila Alie chukua uyayo wako ataurudisha kwa jina la yesu mwamposa ametumwa kuwafungua watu wote kila anae cheza na maisha yako atakufa kwa damu ya yesu

  • @nurumuzei964
    @nurumuzei964 ปีที่แล้ว

    Emmanuel.God is with us to save us from all evil and darkness in Jesus mighty name Ameen...

  • @JoyceSilungwe-s3q
    @JoyceSilungwe-s3q 11 วันที่ผ่านมา

    Kila anae cheza na maisha yangu hataharibiwa katika jina layesu

  • @DaifridyMaembe
    @DaifridyMaembe 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu nakuomba niache kujichua amin

  • @stellamsokwa6785
    @stellamsokwa6785 3 ปีที่แล้ว

    Achen mungu aitwe mungu,jaman kwa sio amini nawaombea Imani ya kristo iwe nanyi

  • @grantmwakalambile7597
    @grantmwakalambile7597 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana nguvu ya yesu ni kubwa kuliko mapepo

  • @izacklaizer4644
    @izacklaizer4644 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen
    Napokea.kwajina.layesu

  • @Olly-t8s
    @Olly-t8s ปีที่แล้ว

    Kupitia ushuhuda huu mungu anijalie nijifungue salama

  • @hadijaakram1869
    @hadijaakram1869 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu unaeponya naomba umponye na mwanangu awe mzima

  • @evabikabhai1861
    @evabikabhai1861 ปีที่แล้ว

    Glory to God
    What a miracle

  • @JosephChaula-c1t
    @JosephChaula-c1t 2 หลายเดือนก่อน

    Kila anayeharibu ndoa yangu ahariwe ktk kina la yesu

  • @nurumuzei964
    @nurumuzei964 ปีที่แล้ว

    Hallelujah glory be to Jesus in the highest

  • @VestinaSylivesta
    @VestinaSylivesta 16 วันที่ผ่านมา

    Naomba mtumishi Wa mungu uniombee nizid kukua kiuchumi

  • @MariaJoseph-o4w
    @MariaJoseph-o4w ปีที่แล้ว

    Naitwa Maria Joseph kupitia ushuhuda huu namimi Kila anaecheza na afya za watoto wangu apigwe stock mpaka afe kwajina la yesu

  • @HappynessNassoro-op4nk
    @HappynessNassoro-op4nk 6 หลายเดือนก่อน

    Kupitia ushuhuda huuu wa hytu dada na iman nuliyonayo naomba nijifunguwe salama mwa huuu

  • @AishaChristopha
    @AishaChristopha 2 หลายเดือนก่อน

    mutumishi kupitia ushuhuda huu ubadilishe maisha yangu

  • @gladysnyagechoka1200
    @gladysnyagechoka1200 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu aitwe mungu l cannot control my tears.

  • @chritinajuma5748
    @chritinajuma5748 3 ปีที่แล้ว

    Ameeen chochote kinamtesa mwanangu happy kinamfanya asipende shule kupitia ushuhuda huu kika muachilie kwajina la Yesu

  • @AmyAlly-m7g
    @AmyAlly-m7g หลายเดือนก่อน

    Napokea kufunguliwa Kwa watoto wangu ktk jina la yeu

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante Yesu. Yaani hakuna Mungu kama wewe.

  • @eunicenthenya1899
    @eunicenthenya1899 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wa mwamposa nitembelee saa hii uniponye take away all the blemishes from my face ( unwanted hairs on my face ,neck, chin ,upper lip and chest )oh God husiniache mungu

    • @daynamsengi1055
      @daynamsengi1055 3 ปีที่แล้ว

      MUNGU wa kurejesha

    • @agnesskalinga9127
      @agnesskalinga9127 3 ปีที่แล้ว

      Hakuna kitu kamahicho achauwongo kawa fufue watu mhimbili mwenye uwezohuo yesu peke yake hilo tukio tungesikia hata kwenye vyombo vya habari dada acha uwongo unalipwa

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว

      @@agnesskalinga9127, Huyo Yesu hakufanya kwa uwezo wake. Baada ya watu kumuomba muujiza wa kufufua aliomba kwa Allah/Mungu wake. Na pia alomfufua hajaishi hata siku moja na kufa.
      Na hata Nabii Mussa alimuomba Allah kumuonyesha namna atakavyofufua akhera. Na akafahamishwa kwa ndege.

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 10 หลายเดือนก่อน

    Kupitia ushuhuda huu watoto wangu na wandugi zangu wakafufuke

  • @jellysathanas3540
    @jellysathanas3540 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ananguvu naomba pia mponye baba na mama angu kwa maradhi yao yote

  • @emanuelimaleko6359
    @emanuelimaleko6359 ปีที่แล้ว

    God is good all the time and when you trust in him he does...🙏🙏

  • @edithamwalongoireceiveheal7490
    @edithamwalongoireceiveheal7490 4 ปีที่แล้ว +3

    Yesu alitenda hata Sasa anatenda kwa Utukufu wa Mungu.

    • @doreensteveo9558
      @doreensteveo9558 3 ปีที่แล้ว

      Amen nakila kitu kilichoshkilia maisha ya mwanangu kimaribwaa kwa jina la yesu.

    • @doreensteveo9558
      @doreensteveo9558 3 ปีที่แล้ว

      Utukuzwe pia kwa Alven amen

  • @MonicaBenitomwalongo
    @MonicaBenitomwalongo 8 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah mungu ni mwema

  • @EsterNambeye
    @EsterNambeye 11 หลายเดือนก่อน

    Kila anaye nitolea mimba zangu kupitia shuhuda hizi mwaka huu atashindwa kwa jina la yesu 🤰

  • @everlynekenedy1545
    @everlynekenedy1545 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani naombeni namba ya kutuma ushuuda mungu kanitendea kitu kikubwa sana

  • @MankaMmasy
    @MankaMmasy 7 วันที่ผ่านมา

    Kila anaye cheza na mm ataharibiw kwa jina la yesu

  • @amosicalamari984
    @amosicalamari984 3 ปีที่แล้ว +1

    Eee mungu hashidwii na chochotee

  • @adambwire2551
    @adambwire2551 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen mungu mkubwa sana imalisha iman yako kwa mungu

  • @mrimimarwa6485
    @mrimimarwa6485 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki watumishi wa mungu

  • @einotikisivani9447
    @einotikisivani9447 2 ปีที่แล้ว

    Mungu waponye silvia asma na lilian kwenye matezi

  • @janethnelson2467
    @janethnelson2467 3 ปีที่แล้ว +1

    Napokea uponyaji naomba mungu aniponye

  • @tongaamushi1954
    @tongaamushi1954 ปีที่แล้ว

    Napokea ufufua wa familia yangu biashara zangu kila hatua natembea katika ufufuo

  • @photunatamwenda7359
    @photunatamwenda7359 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameni kupitia huu ushuhuda naamini nitafufuliwa kiuchumi

  • @muberwakily8456
    @muberwakily8456 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kkubariki mtumishi

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina 10 หลายเดือนก่อน

    Yesu ni muzuri ❤❤❤

  • @mriaasaleko6765
    @mriaasaleko6765 3 ปีที่แล้ว +1

    Najileta mbelezako nina fanya kazi Omani mwaka9 sioni mafanikio mungu naomba uniponye

  • @AmericoMassingue
    @AmericoMassingue 7 หลายเดือนก่อน

    I love you mwamposa ❤asante

  • @lightnesskimario8336
    @lightnesskimario8336 2 ปีที่แล้ว +1

    Kupitiya ushuuda huu mwanangu Esther atapona asima Amen

  • @kazooedwin6948
    @kazooedwin6948 2 ปีที่แล้ว

    Kupitia shuhuda hizi naomba hata Mimi nipate maono we mungu ameni

  • @upendolukio3816
    @upendolukio3816 3 ปีที่แล้ว +2

    Naomben no ya mwaposa jmn pls

  • @agripinaligelele9367
    @agripinaligelele9367 4 ปีที่แล้ว +7

    Na pokea mume sahihi katika jina la yesu

    • @sarapaulo4718
      @sarapaulo4718 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akusaidie

    • @JoharyJulius
      @JoharyJulius 6 หลายเดือนก่อน

      Amina

    • @JoharyJulius
      @JoharyJulius 6 หลายเดือนก่อน

      Amina

    • @ImaniMaiga
      @ImaniMaiga 3 หลายเดือนก่อน

      Ee mungunifungulie katoka maisha yangu kilaniendapo nifanikiwe mikosi yote itoke Ee mungu nisaidie mumewangu wakwanza kumu oa aliondoka kupitia changa moto za kifamilia naomba mke wangu aludi Ee mungunisaidie nishivizuli na wazi nishivizuli nafamilia

  • @LucresiaMassawe-f1y
    @LucresiaMassawe-f1y 2 หลายเดือนก่อน

    Nataka kwajina ya YESU jitu au mtu yeyote alichukua uhai wakitu chochote kwawatoto wangu,safe wote na umekua hivyo kwa damu ya YESU.

  • @jenikwangia9480
    @jenikwangia9480 2 ปีที่แล้ว

    Kupitia madhabahu haya naomba watoto wangu wafunguliwe nanipone maumivu ya tumbo langu

  • @nasrahsalim7870
    @nasrahsalim7870 3 ปีที่แล้ว

    Duh atar mungu akubariki mtumish

  • @PendoMsangwa-x7z
    @PendoMsangwa-x7z 2 หลายเดือนก่อน

    Nafunguliwa kwa jina la yesu

  • @rehemadaudi4390
    @rehemadaudi4390 2 ปีที่แล้ว

    Kupitia huu ushuda Mungu apone kwa jina. La Yesu

  • @JoshuasolomonLaizer
    @JoshuasolomonLaizer ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kutia nguvu watumishi wake

  • @cristinandyankali7070
    @cristinandyankali7070 2 ปีที่แล้ว

    Muito obrigada por tudo, Deus é meu tudo

  • @newtonkabeja6361
    @newtonkabeja6361 3 ปีที่แล้ว

    Mhhhhhh, Mhhhhhh Sanaa zitaisha lini Tanzania?

  • @kizachristine
    @kizachristine 6 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Christine, kupitia ii mazahabu ii na ushuuda ii tufunguliwe

  • @miriamsimtenda5780
    @miriamsimtenda5780 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameni,Dada ananikuzia imani

  • @Naomijuma-j6o
    @Naomijuma-j6o ปีที่แล้ว

    Mungu utukuzwe amina

  • @EsterCosmas
    @EsterCosmas 2 หลายเดือนก่อน

    Dada mungu akutetee 11:20

  • @peninahkadogo4131
    @peninahkadogo4131 3 ปีที่แล้ว +1

    Eeh mungu ni mwema God to be glory

  • @ndayikezececile2762
    @ndayikezececile2762 2 ปีที่แล้ว

    Kupitia huu ushuhuda kizazi changu kinaenda kufunguka kwajina la yesu

  • @ShaboKasunzu-p2z
    @ShaboKasunzu-p2z 7 หลายเดือนก่อน

    Napokea katika jina la yesu

  • @KaviraMaterebeka
    @KaviraMaterebeka 5 หลายเดือนก่อน

    Nimepokea kwa jina yesu

  • @daudimgaji4857
    @daudimgaji4857 3 ปีที่แล้ว

    Nataman sana kufika hko namm namatatizo zaid eeemngu nioneshe njia

  • @lightnesskimario8336
    @lightnesskimario8336 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema

  • @rosekigombola7737
    @rosekigombola7737 3 ปีที่แล้ว +4

    UTUKUFU KWA YESU KRISTO ALIYE HAI..NAMI NAPOKEA UFUFUO WA MAISHA YANGU KIROHO, UCHUMI, AFYA NA FAMILIA

    • @mariahmweni7110
      @mariahmweni7110 3 ปีที่แล้ว

      Naamini pia Mimi nitafunguliwa mimi na watoto wangu kwa jina la YESU kristo mwana wa MUNGU 🙏

    • @tabithamawia8078
      @tabithamawia8078 3 ปีที่แล้ว

      Utukufu kwa mungu

  • @lilianamon2289
    @lilianamon2289 7 หลายเดือนก่อน

    Glory be to God

  • @rachelkelembu5651
    @rachelkelembu5651 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante yesu kwa mambo yako makuu

  • @JacklineLazaro-xk4qh
    @JacklineLazaro-xk4qh 3 หลายเดือนก่อน

    Kila anayechezeya maisha yamume wangu akutane namtoto wayesu

  • @RealestGang
    @RealestGang 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu anaweza

  • @otiliahaule6867
    @otiliahaule6867 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani mtoto mdogo kakukosea nini😢😢😢

  • @thobiasjeremia6562
    @thobiasjeremia6562 ปีที่แล้ว

    Kila anaye cheza na mimi atakufa kwa jina la YESU

  • @tongaamushi1954
    @tongaamushi1954 ปีที่แล้ว

    Kupitia ushuhuda huu nami napokea ufufuo wa watoto wangu Jenifer na Lodrich wakawe vichwa shuleni na wakapate kibali Kila watakapokua

  • @chiristinashayo518
    @chiristinashayo518 2 ปีที่แล้ว

    Kwanayesu asifiwe mtumishi naomba maombi ya kutoa umasikin na madeni na biashara

  • @glorygunda8887
    @glorygunda8887 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen Glory to God

  • @conchestaralison7644
    @conchestaralison7644 3 ปีที่แล้ว

    Amina najiungamanisha na madhabau ya mwamposa

  • @JeandeDieuRuhigisha
    @JeandeDieuRuhigisha ปีที่แล้ว

    Amène kwajina ra yesu

  • @jemedalijames2079
    @jemedalijames2079 3 ปีที่แล้ว +1

    Mnaopinga ushuhuda huu mnataka nini mlitegemea mskie mtt kafa mnashindwa kuwapinga wanaoiba kwenye mitandao kwa kujiita waganga