Wavuvi wa dagaa uono watakiwa kufuata sheria Tanga na si kulalamika tu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2019
  • Afisa Uvuvi mkoani Tanga Hassan Juma amesisitiza kuwa wavuvi wa dagaa aina ya uono kwenye mkoa huo ni lazima wafuate sheria ili kuweza kupatiwa leseni za uvuvi badala ya kulalamika kuwa wamezuiwa kufanya shughuli zao.

ความคิดเห็น • 5

  • @feisalally8912
    @feisalally8912 5 ปีที่แล้ว

    Kwa kauli za wavuvi wanawalinda samaki na kuwauwa kwa njaa BINAADAMU na WANANCHI wao.

  • @feisalally8912
    @feisalally8912 5 ปีที่แล้ว

    Cha kushangaza anayewapa wafanyabishara kibali cha kuingiza nyavu hizo ndiye ndiye huyo huyo anaeandaa doria za kuwakamata wavuvi baada kuzinunua madukani!

  • @feisalally8912
    @feisalally8912 5 ปีที่แล้ว

    Kwanini Maafisa uvuvi msiige mfano mzuri wa TBS?! TBS wao huwezi sikia malalamiko kwa watu wa mwisho kwasababu wanadhibiti ubora kwa muagizaji! Sasa nyinyi Maafisa Uvuvi Mnawaacha wafanya biashara wakubwa wanaingiza nyavu msizozitaka nchini halafu mnakuja kuwakamata wavuvi wadogo wadogo na kuwachomea nyavu zao. Hii haiingii akilini!

  • @feisalally8912
    @feisalally8912 5 ปีที่แล้ว

    Maafisa uvuvi hawafanyi kazi yao vyema na badala yake wanawanyanyasa tu wavuvi. Mvuvi mdogo sana wa uono ananunua nyavu dukani, ili aje kuvulia, akija kuvulia maafisa uvuvi mnasema hazifai na mnapiga moto. Sasa kama nyavu hazifai kwanini dukani zinapatikana?!