UCHAGUZI 2020: Baadhi ya mawakala Tanga Mjini wazuiliwa, msimamizi atoa ufafanuzi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
- Wananchi mkoani Tanga wametimiza haki yao ya kikatiba kwa kupiga kura kwa hali ya amani na utulivu licha ya kuwepo kwa changamoto za mawakala wa upinzani kutoruhusiwa kuingia kwenye vituo vya kupiga kura kwa madai kwa hawajatimiza vigezo
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz
Asante Sana odo umi
Ccm Mungu anawaona kwanini mawakala muwazuieeeeeee
Akuna sababu ya kuwa na vyama vingi bora waachiwe wao watawale milele kila kukicha matatizo tu lkn Mungu anawaona ipo siku tu watakuja kuumbuka
Mi nachukia ina maana wapinzani ndio wanamakosa lkn ccm usikiii mawakala wao kukosekama
Hamna kitu hapo, km mawakala wamekataliwa kuingia ndani unafikiri itakuaje hapo. Hizo dosari wangeambiwa warekebishe kabla ingekuaje? Maoni yng ni njama tu hizo.