#TAZAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Wasafirishaji wameitaka Serikali kulewa wawekezaji ambao wataweza kuleta mabadiliko ya kimaendeleo badala ya ubabaishaji jambo ambalo lina rudisha nyuma matarajio ya wananchi.
    Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya usafirishaji wa abiria ya Nacharo iliyopo Jijini Tanga Iddy Nzota wakati wa akiongea na waandishi wa habari kwenye uzinduzi wa mabasi mapya hapo jana.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

ความคิดเห็น •