MELI KUBWA YA MIZIGO IMETIA NANGA KATIKA BANDARI YA TANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Meli kubwa ya Mizigo imetia nanga katika bandari ya Tanga Baada ya kukamilika kwa uongezwaji wa kina katika awamu ya kwanza ikiwa ni jitihada za serikali ya awamu ya tano iliyoitoa fedha kiasi cha shilingi bilioni 256.
    Miongoni mwa viongozi walioshuhudia meli hiyo ikitia nanga ni pamoja na Mbunge wa Jimbo la Tanga UMMY MWALIMU ambae anawasisitiza wananchi kuchangamkia fursa za ajira zitakazojitokeza.

ความคิดเห็น • 1