#3. CHAKULA CHA BWANA KAMA MAHAKAMA INAYOMPA MUNGU UHALALI WA KUHUKUMU MIUNGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • KONGAMANO LA MAOMBI KANDA YA ZIWA - BUKOBA

ความคิดเห็น • 63

  • @LilianMushi-m6p
    @LilianMushi-m6p 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mafundisho ya Mwalim Mwakasge, hayapiti bure napenda sana mafundisho yake
    Yananiinua sana kiiman ❤
    Mungu akupe maisha marefu zaid kwa ajili yetu na Afya njema siku zote Mungu akutunze vema Baba

  • @LydiaAruba
    @LydiaAruba 9 หลายเดือนก่อน +1

    Namtukuza Mungu aliyeniungqnisha kwenye huduma hii hakika ni neema tu❤❤🇸🇦🇰🇪

  • @Rachel-e7s6j
    @Rachel-e7s6j 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu naemwa mini akuonge zee miaka kama ezekiel mwalimu wangu

  • @narggdhdv765
    @narggdhdv765 ปีที่แล้ว +3

    Asante Bwana YESU nimekuona ukinihudumia wakati nimeshiriki.nikiwa saudia rabia.nimeiona nguvu yako ktk kushiriki.mlinde mtumishi wako bafo tuna mhitaki endelea kusema nadi kupitia yeye.sifa na utukufu ni kwako.M MUNGU wa miungu.

  • @LilianMushi-m6p
    @LilianMushi-m6p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza na nashukuru Mungu kwa ajil ya mahubir haya nimejifunza Mambo makubwa Sana
    Usishirik mwil na damu ya Yesu kabla maandaliz nakujua miiungu iliyoshikilia maisha yangu na ya watoto wng na familia yangu
    Mungu nisaidie kufungua macho ya rohon
    Mungu akubarik mchungaji

  • @blessedtumaini516
    @blessedtumaini516 ปีที่แล้ว +5

    Asante Mungu Baba kwa damu ya agano iliyo bora sana kuliko ya wanyama. Yesu Kristo msimamizi wa agano lililobora zaidi naomba unisaidie sana shughulika na yote yanayonizuia kwenye maisha yangu. Katika jina la Yesu Kristo Amina. Nashukuru sana kwa kutupa ujumbe huu Mwalimu Christopher Mwakasege na timu yote na MANA.

  • @lovenessmwamengo7090
    @lovenessmwamengo7090 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana baba na mama Mwakasege, nimebarikiwa mno .

  • @judithgodson872
    @judithgodson872 ปีที่แล้ว +3

    Namshukuru Mungu kwa ajili ya ujumbe huu
    Mungu akubariki sana Mwalimu pamoja na tim nzima ya Mana

  • @ShedrackEstomihi-eo8qy
    @ShedrackEstomihi-eo8qy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba ukuze Imani yangu

  • @adellahdonald1826
    @adellahdonald1826 ปีที่แล้ว +4

    Mungu umeipenda Sana Tanzania, sifa na heshima zikurudie wewe .

  • @jacquemalayka8466
    @jacquemalayka8466 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa kulisikia neno lako siku hii ya leo. Abarikiwe mtumishi wako uliye muita kwa jina lako 🙏

  • @rebeccabayo2988
    @rebeccabayo2988 ปีที่แล้ว +2

    Mungu umbariki mtumishi wako

    • @happymangesho1139
      @happymangesho1139 ปีที่แล้ว

      Asante Yesu kwa mafundisho navuka kiiman barikiwa baba

  • @barafumwagloire
    @barafumwagloire ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe Sana mwalimu wangu Christophe kwa Neno iyo 💥💥💥 tunawafata tukiwa kwenye inchi ya Drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @revocatusrwehikiza8290
    @revocatusrwehikiza8290 ปีที่แล้ว +1

    Mungu tupe macho tuone juu ya miungu ya kigeni

  • @japhetnkwabi-mz4gi
    @japhetnkwabi-mz4gi 5 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu kwa somo hili Amen

  • @OscaGidion
    @OscaGidion 9 หลายเดือนก่อน

    Asante baba Mungu azid kukutunza kwajil YETU

  • @reginahghati160
    @reginahghati160 ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi wa Mungu kwa mafundisho bora, naomba sanaaaaaaa mwenyezi Mungu akuagize uje kukomboa taifa la Kenya haswa mombasa tunaangamia

    • @viousa
      @viousa ปีที่แล้ว

      Mjiorganize watu wa mombasa alafu mu invite mwalimu mwakasege aje Mombasa kuhudumu

  • @mariamkimola3369
    @mariamkimola3369 ปีที่แล้ว

    Mungu akubark

  • @tukulambankemwa4652
    @tukulambankemwa4652 ปีที่แล้ว

    Asante kwa neno mwalimu mwakasege

  • @mielmianda2780
    @mielmianda2780 ปีที่แล้ว +1

    Aksante kwa mungu kwayote pia ku ujumbe. Nami usinipita katika yote. Amen.

  • @lightnesskweka4774
    @lightnesskweka4774 ปีที่แล้ว +1

    Ameen namba ya kutoa sadaka JAMAN

  • @fidesmushi
    @fidesmushi ปีที่แล้ว

    Najiunganisha na iyo ibada kwajina la yesu

  • @lightnessmollel5756
    @lightnessmollel5756 ปีที่แล้ว

    Asante baba Kwa dam ya agano

  • @glorymalisa9326
    @glorymalisa9326 ปีที่แล้ว

    Najiungamanisha na hii ibada kwa jina la Yesu

  • @jescajackson8777
    @jescajackson8777 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kwa neno la uzima

  • @anyombyeudamo
    @anyombyeudamo หลายเดือนก่อน

    Mungo akubariki mtumishi kwa somo

  • @MagdalenaAyubu-ox5fz
    @MagdalenaAyubu-ox5fz ปีที่แล้ว

    Amen asante yesu

  • @djblakcs7087
    @djblakcs7087 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu mwema hebu bwana akapanue mipaka yako na akupe afya njema uendelee kutufunza

  • @jeremiemusiwa1285
    @jeremiemusiwa1285 ปีที่แล้ว

    asante sana Baba Mwalimu.

  • @rhodanangoma7386
    @rhodanangoma7386 ปีที่แล้ว

    Amen Baba Mtumish Mwal

  • @leahdaniel1117
    @leahdaniel1117 ปีที่แล้ว

    mungu baali kagoma kuja kuchukua sadaka daah kwani yy NI fala Ana mjua MUNGU Vita yake si ya kitoto

  • @Rachel-e7s6j
    @Rachel-e7s6j 19 วันที่ผ่านมา

    Nina swall mmoja

  • @sarahbarnaba8833
    @sarahbarnaba8833 ปีที่แล้ว +1

    Asante Yesu

  • @OmariKamwezi
    @OmariKamwezi 9 หลายเดือนก่อน

    Hakika nabarikiwa Sana na mahubiri yako mtumishi wa mung

  • @agnessabibu5573
    @agnessabibu5573 5 หลายเดือนก่อน

    baba naomba niombe malango ya yamefungwa kabsa

  • @CharlesMawenya
    @CharlesMawenya ปีที่แล้ว

    Amen

  • @SERGESENGI-me2iq
    @SERGESENGI-me2iq 11 หลายเดือนก่อน

    Niseme tu Amen

  • @eliniemalema8152
    @eliniemalema8152 ปีที่แล้ว +1

    Najiunganisha na maombi haya katika jina la Yesu 🙏🙏

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 ปีที่แล้ว +1

    Haleluya!!!

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen

  • @PascalMirindiBahati
    @PascalMirindiBahati ปีที่แล้ว

    Asante Mungu wetu

  • @rehemakatana1137
    @rehemakatana1137 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 🙏 🙏

  • @gracedamas5883
    @gracedamas5883 ปีที่แล้ว

    Ameni 🙏

  • @rithersospeterkati2303
    @rithersospeterkati2303 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen.

  • @MeshackKiserian-f7v
    @MeshackKiserian-f7v ปีที่แล้ว

    Glory be to god

  • @christinamgalula802
    @christinamgalula802 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @gracedamas5883
    @gracedamas5883 ปีที่แล้ว

    Ameni

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @PSSSFDEVELOPERS
    @PSSSFDEVELOPERS ปีที่แล้ว

    nondo za ukweli

  • @ipyanaliving7552
    @ipyanaliving7552 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @carolinemae2531
    @carolinemae2531 ปีที่แล้ว

    Hii niya lini jamani

  • @urasaanold2851
    @urasaanold2851 ปีที่แล้ว

    👏🙏

  • @ClaraNtenga-g3s
    @ClaraNtenga-g3s 10 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @rehemakatana1137
    @rehemakatana1137 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 🙏 🙏 🙏

  • @gwitukalinga
    @gwitukalinga ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @MarcoPeter-y5n
    @MarcoPeter-y5n 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @RobetiKivuyo-oh8so
    @RobetiKivuyo-oh8so ปีที่แล้ว

    Amen