MAMBO YA KUTOKUSAHAU UNAPOINGIA MSIMU MPYA WA MAISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025
  • SEMINA YA NENO LA MUNGU NA MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE
    ARUSHA DAY 2B JANUARY 2020
    unaweza kutuma Sadaka yako Kwa Njia Zifuatazo:
    M-PESA 0754 211 633
    TIGO-PESA 0715 511 633
    AIRTEL MONEY 0682 657 080
    HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
    AU
    CRDB BANK
    ACC: 01J2032214400
    JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE

ความคิดเห็น • 111

  • @rehemajackson9517
    @rehemajackson9517 2 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante Yesu Kristo Umenigusa.Amen
    Ahsante Baba wa Mbinguni
    Ahsante Roho Mtakatifu .
    Amen 🙏

  • @berrymatarimmari5272
    @berrymatarimmari5272 4 ปีที่แล้ว +11

    Namshukuru sana Mungu kwa mafundisho haya Damu ya Yesu iwafunike na familia yako yote. Siwezi hata kusema ni lipi lililonivusha bali ni mengi tuu.

  • @ombenimika5686
    @ombenimika5686 4 ปีที่แล้ว +7

    Yaani da! Acheni Mwakasege huyu ndo mwenye zege kabisa la kutoka huko mbinguni

  • @sedekiabilijite5516
    @sedekiabilijite5516 4 ปีที่แล้ว +18

    Nabarikiwa sana na mafundisho yako Mwalimu, Mungu akubariki sana wewe na familia yako

  • @donathasimon9292
    @donathasimon9292 2 ปีที่แล้ว

    Huu Ni ujumbe wangu Kabisa Mungu kanipa kabisa kabisa.
    Mungu azidi kukutunza Baba Mwalimu

  • @atuwenekesalia8571
    @atuwenekesalia8571 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina Baba najifunza Mengi kwenye masomo yako , na nabarikiwaa sanaa na mafundisho yako Mungu akulinde pamoja na familia yako

  • @jimmymbisse999
    @jimmymbisse999 3 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah Mwalimu, Mungu azidi kukutunza na huduma nzima tunafundishwa mambo makubwa ya siri za Mungu.

  • @frankdavis9648
    @frankdavis9648 4 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU akutunze mtumishi mwakasege 🙏

  • @abusanga347
    @abusanga347 4 ปีที่แล้ว +4

    Amina mutumishi wamungu mungu azidi kukulinda

  • @roseurio711
    @roseurio711 4 ปีที่แล้ว +3

    Ameenn!!nimebarikiwa sana na hili somo, ubarikiwe sana Mtumishi

  • @annetluoga1675
    @annetluoga1675 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubark mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri

  • @noelamericho3327
    @noelamericho3327 3 ปีที่แล้ว

    Mungu you mwema na anajibu kwa wakati siku. Zote.Mtumishi Asante Sana na uzidi kutuombea kwa Mwenyz Mungu akatembea nasi katik Hali zote za maisha🌹🙏

  • @isakalumumba5817
    @isakalumumba5817 4 ปีที่แล้ว +8

    I thank GOD In CHRIST JESUS I love you indeed my dear TEACHER may GOD bless you more and more Amen.

    • @nimzanammbaga756
      @nimzanammbaga756 4 ปีที่แล้ว

      Asante mtumishi wa Mungu kwakuwa tsyari kutumika

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo8360 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa Mungu kwa hakika Mwl Christopher Mwakasege 🙏🙏🙏

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina barikiwa sana mwalim Mwakasege nabarikiwa mno pia najifinza mengi

  • @mariaamir437
    @mariaamir437 3 ปีที่แล้ว

    Asante baba kwa neno lako nzuri mungu awalinde wote na familia yako neno unafundisha vinzuri sana baba.

  • @sarahtitus6378
    @sarahtitus6378 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuinue mtumishi wa mungu nafurahiya mafundisho ya ko

  • @jerryvictor9712
    @jerryvictor9712 3 ปีที่แล้ว

    Nashukuru Kwa huduma hii Ya mana
    Imekuja wakati sahihi kuliko niliowahi kudhani,
    Jina la Bwana lihimidiwe Eeh Yesu uishi ndani Ya kila mhudumu wa Huduma ya mana, sawa sawa na namna utakavyonibariki, amen

  • @saraSara-hi8mo
    @saraSara-hi8mo 4 ปีที่แล้ว +1

    Najisika furaha sana ndani ya moyo wangu barikiwa sana mtumishi wangu mwakasege

  • @asiimwejeremiah8497
    @asiimwejeremiah8497 4 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sama kwa hii neno nami sijuwi mugu anawezaje kunitumikisha

  • @zubedashabani5528
    @zubedashabani5528 4 ปีที่แล้ว

    umenibariki mtumishi, uwe na uhai uzidi kutuonyesha njia na nizidi kufunguliwa, SSANTE KWA KUWA MTUMISHI MWAKASEGE NI SAHIHI

  • @cammyokinda1735
    @cammyokinda1735 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nifungue macho nikatambue wasaidizi wangu na nipate kuana ya sirini

  • @widimelshoo2042
    @widimelshoo2042 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sana mwlm mwakasege

  • @upendoidrisa8624
    @upendoidrisa8624 4 ปีที่แล้ว +2

    Nafunguliwa kupitia somo hii Asante YESU kwa kumpatia mafunio mtumwa wako.

    • @mabalozi-tv
      @mabalozi-tv 3 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe Balozi wa Mungu.

  • @shedrackassa8065
    @shedrackassa8065 2 ปีที่แล้ว

    Asante mtumish kwa neno lako je ni vip tunaweza kupata vitab ulivyoandika mtumish

  • @paulomzatula8304
    @paulomzatula8304 3 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa Mungu Mungu awaongezee miaka na mzee wenu uwe wa Neema

  • @samwelikaiga3096
    @samwelikaiga3096 4 ปีที่แล้ว +4

    Amen amen mungu ana kusudi na yeyote

  • @erickjohn6433
    @erickjohn6433 3 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kukutunza mtumishi

  • @joelaizer
    @joelaizer 4 ปีที่แล้ว +5

    aksante kwa somo mtumishi wa Mungu

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 4 ปีที่แล้ว +3

    Somo zuri ubarikiwe mwalimu

  • @nuruduma4954
    @nuruduma4954 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen nimebarikiwa na somo.

  • @tinarugemalira3852
    @tinarugemalira3852 3 ปีที่แล้ว

    Ameen barikiwa sana MUNGU akuteteeee

  • @preciousprecious9106
    @preciousprecious9106 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi nabarikiwa na mahubiri sana

  • @onaufoonderingo6234
    @onaufoonderingo6234 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.

  • @christinamgalula802
    @christinamgalula802 4 ปีที่แล้ว

    Mungu nipe uwezo wa kutambua zaidi

  • @BurtonProtty-cu8sl
    @BurtonProtty-cu8sl 7 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa somo eeeh yesu

  • @albertcharles6174
    @albertcharles6174 4 ปีที่แล้ว

    Amen mtumish MUNGU akulinde naakupe maisha malefu Amen.

  • @samwelkamugisha8165
    @samwelkamugisha8165 ปีที่แล้ว +1

    Amen good

  • @abdulmeddytz4171
    @abdulmeddytz4171 4 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa mafundisho mazuri nabarikiwa sana

  • @abdulmeddytz4171
    @abdulmeddytz4171 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki sana mwalimu mwakasege

  • @nicksonmaro735
    @nicksonmaro735 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante Mungu kwa chakula cha Uzima

  • @rehemannko3320
    @rehemannko3320 3 ปีที่แล้ว

    Mungu Hawaii Wala hachelew huja kwa wakat wake

  • @pastorjacksonchenya1677
    @pastorjacksonchenya1677 4 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa mtumishi wa Mungu

  • @_.sheisherself._
    @_.sheisherself._ 4 ปีที่แล้ว +2

    Oooh Ubarikiwe baba🙏🙏

  • @petraidesstanleymgoa1786
    @petraidesstanleymgoa1786 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.

  • @upendosolomon1589
    @upendosolomon1589 4 ปีที่แล้ว

    Amen Amen, barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @joshuarasian4020
    @joshuarasian4020 3 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuwaimarisha huduma ya MANA.

  • @PhaidonKikoti-yt2ys
    @PhaidonKikoti-yt2ys ปีที่แล้ว

    Nabalikiwa sana namahubili yako

  • @nicksonsteven6011
    @nicksonsteven6011 3 ปีที่แล้ว

    Shalom! Naomba msaada,lile somo la JINSI YA KUPONYA MOYO ULIYOVUNJIKA

  • @saraphinahonesmo381
    @saraphinahonesmo381 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @esternkya6335
    @esternkya6335 4 ปีที่แล้ว

    Mungu nakushukuru kwaajili ya chakula cha kiroho

  • @teddymatasha4639
    @teddymatasha4639 4 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu sifa ni kwako daima.

  • @geraldlaizer7016
    @geraldlaizer7016 3 ปีที่แล้ว

    Godles to you teacher mwakasege

  • @estherfredrick1511
    @estherfredrick1511 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen,thank you Jesus.

  • @yusufumajinge59
    @yusufumajinge59 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwakasege unafaa aise.

  • @neemaedga7714
    @neemaedga7714 4 ปีที่แล้ว +1

    Umenitoa mahali mwalimu MUNGU adumu kukutunza

  • @jumaabduli781
    @jumaabduli781 4 ปีที่แล้ว

    Kweli Mungu hatumi neno lake bure, nmefunguliwa katika eneo hilo

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 4 ปีที่แล้ว

    He touched me.i like that song

  • @heriethndunguru4911
    @heriethndunguru4911 4 ปีที่แล้ว

    Hili somo limenifungua sana

  • @starlight100-o2l
    @starlight100-o2l หลายเดือนก่อน

    Maombi:
    Macho yafunguke,
    Kutambua kitu gani hawa watu wamebeba,
    Mungu anipe mapema maana sijui wapo kwa mda gani,
    Ombea wakina yusufu wako,
    Ombea wakina ester wako,
    Ombea wale wapelelezi wako

  • @YasminYasmin-kj4ep
    @YasminYasmin-kj4ep 4 ปีที่แล้ว +4

    Ameeen🙌🙌🙌

  • @hoseajonhjohnmark7608
    @hoseajonhjohnmark7608 4 ปีที่แล้ว

    Mungu tusaidie

  • @ezekiasengo9347
    @ezekiasengo9347 4 ปีที่แล้ว

    Mtumish asante kwa neno

  • @nabihelias821
    @nabihelias821 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe

  • @dreamhigherministry5355
    @dreamhigherministry5355 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen Mwl

  • @christophakaseba8237
    @christophakaseba8237 3 ปีที่แล้ว

    Yesu wagu

  • @upendoidrisa8624
    @upendoidrisa8624 4 ปีที่แล้ว +6

    Oooh hallelujah hallelujah thank you JESUS

  • @euniceshagama2390
    @euniceshagama2390 4 ปีที่แล้ว

    Balikiwe sana mtushi Mungu akukumbuke daima

  • @isabelmwansasu9016
    @isabelmwansasu9016 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen baba

  • @lilianmjema3205
    @lilianmjema3205 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina baba

  • @zaitunilyimo9012
    @zaitunilyimo9012 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen and Amen

  • @evelynjeremiah5618
    @evelynjeremiah5618 4 ปีที่แล้ว +2

    AMEN AMEN!!

  • @mchungajijackison8602
    @mchungajijackison8602 4 ปีที่แล้ว

    Balkiwa mungu

  • @sarahmse9357
    @sarahmse9357 3 ปีที่แล้ว

    Yaan hii semina ni yaangu kabsa.

  • @elinahaule9699
    @elinahaule9699 4 ปีที่แล้ว +2

    Ameen

  • @noeljaphet6339
    @noeljaphet6339 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏🙏

  • @angelamdee9319
    @angelamdee9319 4 ปีที่แล้ว +2

    Oooh! Lord Jesus!!!!

  • @bilugwemwanzije
    @bilugwemwanzije ปีที่แล้ว

    Nuru ya utumishi ikaongezeke mtumishi !!?

  • @asiimwejeremiah8497
    @asiimwejeremiah8497 4 ปีที่แล้ว +1

    Mutuobee maana Uganda hakuna watumishi kanisa ime fugwa

    • @annasamo7063
      @annasamo7063 4 ปีที่แล้ว

      Eee Mungu wakumbuke watu Hawa maana wanatami hili somo

  • @guddy9047
    @guddy9047 4 ปีที่แล้ว +3

    🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @angelamdee9319
    @angelamdee9319 4 ปีที่แล้ว +2

    "MANA"

  • @jumaabduli781
    @jumaabduli781 4 ปีที่แล้ว +1

    Nmejifunza kitu

  • @emilianachengula5537
    @emilianachengula5537 4 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @RobertNdiyo
    @RobertNdiyo ปีที่แล้ว

    Mi😊 ni no

  • @hekimakadinda2197
    @hekimakadinda2197 4 ปีที่แล้ว

    amen

  • @Mountainofprayer3
    @Mountainofprayer3 3 ปีที่แล้ว

    A meeen

  • @severinamagige5752
    @severinamagige5752 4 ปีที่แล้ว +1

    Ydpe

  • @mariadamassi3061
    @mariadamassi3061 3 ปีที่แล้ว

    Jl

  • @irenengando2894
    @irenengando2894 4 ปีที่แล้ว

    IRENE NGANDO

  • @naishiyeemmanuel8263
    @naishiyeemmanuel8263 3 ปีที่แล้ว

    Pp

  • @fribergkimaro1118
    @fribergkimaro1118 3 ปีที่แล้ว

    Qbbb

  • @marymeela2092
    @marymeela2092 4 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @zakiajoseph2466
    @zakiajoseph2466 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @luganomwaigomole8849
    @luganomwaigomole8849 4 ปีที่แล้ว

    amen

  • @AnithaBahati-jr1iz
    @AnithaBahati-jr1iz ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @francismfinanga2588
    @francismfinanga2588 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @theu-tubeteacher8747
    @theu-tubeteacher8747 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @elihurumakilawe1487
    @elihurumakilawe1487 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @vicentkilonzo924
    @vicentkilonzo924 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @neemabakari9223
    @neemabakari9223 11 หลายเดือนก่อน

    Amen