Konde boy kwanini marioo anaimba sana vizuri lakini ukiingiya tuu unanigesha sana lakini Ibrah mbona unakuaka namuregezea mkaba ❤❤❤❤❤@kondeboy kazi ya mwisho sana
@@visualcreativestudios sawa.. ilaa nikuulize, kwenye hii ngoma kat ya verse za Marioo na Konde, verse gan zinaitambulisha ngoma?? Sawa marioo ni nyepesi lakn uwepes wake ndo umefanya watu wapende kutoka moyon.. utaskia tu "tulikutana tiktok....😃"
Daaaah😮😮😮😮Ila#Konde 🤔🤔🤔Hakuna Msanii #Tz Kama #Harmonize,Hiii Nyimbo Tangu Ina Toka Nimeiskiliza mara 10 kwa Siku,#Harmonize kaua Humo Dani From🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲Comoros
sana kaka verse za harmonize zipo very tough ukilinganisha na za marioo marioo verse zake za kawaida sana humu kaimba kawaida sana sema nyimbo 10/10 naipa mellody kali kwa wote wawili
SHUSHA COMMENT YAKO HAPO CHINI NIAMBIE NI SEHEMU GANI UMEIPENDA KWENYE WIMBO HUU (Niko hapa nasoma na Kujibu)
Penzi mbn limenoga...., Nihit baby,baby wang, Sweet wng ...iyo sehem ndio naipenda❤❤❤ Ongera
Nyimbo kali kl respect mrio harmonize munaeza
Nasisi uku 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 tumepend nyimbozenu
Konde hapo mwisho alipopiga TAKO😅😅😅
apo kwa penzi limenoga na kumwagika kama maji ya bomba...... BOMBOCLAAAAAAAATTT
The best!
🔥🔥🔥🔥👏🏼
Bro Ali kiba i wish niwe kwenye lebo yako..mi ni msanii mzur sema sijapat lebo.
Unaweza kuangalia kazi zangu though jina RILL RIZZY🎉
Ali kiba wewe ni hatari sana
Alikiba fanyeni remix nyingi na huyu marioo, abba anajua kutupa beats nzuri na pia jay melody, harmonize na wengine
Noumaaaaa sana
Kali sana
Harmonize naye ako levels zake tu,his creativity is always top notch
Weweeeeeeeeeeeheee!! Harmonize ni mtu na nusu naomba like 10 tu
Wa kwanza kutoka Alooooo☎️ Naomben like kama kwel mnakubali kaka angu Omary marioo 🔥🔥🔥🔥 ngoma kali sana Hii kwangu ndo ngoma ya mwaka
Kaka Yako wangapi😂😂😂😂😂
KING🎉
😂😂😂@@Maron-Tz
Kweli
@@AllyChikwela-os4tc Upande wa mama mkubwa
❤ mungu awape nguvu zaidi kuwafikishia ujimbe walio kat tamaa
Wapi mashabiki wa KONDE GANG damu na wale wanao kubali konde akikutana na MARIOO
Unyama mkubwa dogo
Bommboclaaat from kenya much love
Tuko apa 🔥
Yaani harmo hadi kwenye video katafutiwa pisi Yenye makalio 😂😂😂😂
❤️❤️❤️
Oya oya oya Oya we konde Boy unajuwa mpaka unakera brow ❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿
The only tanzanian music master....alooo Marioo❤❤❤❤from Kenya
Wa congo kama munakubali verse ya konde tembo nipeni like zangu🎉
Aucune idée
Noum sana
Balaaaa sna a
Kali snaa
@UsdJuniobalaaaa r
Marioooo to the world. Asantee brazaaa kutoka alooo
🎉🎉🎉kali nawakubali from kenya 🇰🇪
Oyaaa hili ngoma nimenyoosha mikono🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Tamu kabisa ❤❤ kutoka nyumbani kwethu Malawi 🇲🇼
Me nipo Chitipa hapa
Kama unakubali Harmonize alifunika kwa hii ngoma show love Konde❤️🇰🇪🇰🇪💪💪🎤🎤👊
Umeupiga mwingi
@@gracewanjiku6581 🍑🍑🤣🤣🤣🤣🍑😚🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🍑🍑🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nakubali kenya namba moja hapa🎉
Marioo umetisha kinoma❤❤
Kutoka 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumeikubali hii hapa❤
Bomboclaaaaat ❤wangu my best 🇰🇪
Marioo hujawai kukosea...hii ni fireeeeeeeeeeeeeee
Heee ila huyu mmakonde anaimba dah oyaaaa noma sana❤❤❤❤❤
Bomboooooo claaaaa ameufanya mwingi sanaa
Melody tamu sana❤❤
Kutoka alooohhh na bombockaaaat wakikutana hawajui kuharbu hawa watu wanajua konde gang hapa
❤❤🎉 th-cam.com/video/kdkyviE2HBE/w-d-xo.htmlsi=THjWiwmOi3hGfWNE
Wanangu wa KONDE GANG tumupe like zake Marioo 👇hapa ame tisha sana ❤
Kibao kama kibao, niite baby, niite..❤
Watu wangu wa Rwanda gongeni like huh wimbo tamu sana ❤
Tunamkubali harmonize ni mbona ❤
Goma kali wanao amini harmonize kaua gonga like hapa
Nomaaa
Best duo in whole world ❤❤ila awa wawili
Marioo noma San kaka endelea kuachia ngoma zaidi
Kutoka halooooow .....❤❤❤. Bombo craaaaaaaack 🔥🔥🔥💯
💥
Marioo katisha kwenye mistari yake💯🔥
Mafundi wawili katika ubora wao. Ngoma kali mno❤
Marioo kaka we nimtuwa maana sana kaka Twende naloo sasa🎉🎉🎉🎉
Hamwezi nipea hata likes kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mumeuwa Hu Ndani Yani Hamuna Baya 🔥💯🚀🙆🏻♂️
Hii nayo ni moto🔥🔥 2 Kings👍 Much love from Kenya
bombo claaaaaaaaaaaaaaaaa love from drc❤❤❤
Any Kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 gather here for Marioo wapi likes yake hapo chini
🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥
Sanaa
@joekinlmbaben9593
kinlmaa
Marioo tunakikubal saan kaka ngoma yamoto 🔥🔥🔥🔥
Kali sanaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Marioo.ft harmonize bonge la kolabo.tena❤❤❤
Bombo claaaaatt harmonize 🔥🔥🔥🔥❤️❤️
Marioo twakupenda sana hapa Nairobi 🎉🎉
Ukuje tu
bomboclaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥baaady
Sema all in all nimependa marioo alivyo imba katisha kinoma noma
Kazi nzuri sana
Nairobi Kenya tunawapenda sana
4/12/2024 kutoka Nairobi tutakumbuka
🔥🔥🔥asee bonge moja la ngoma marioo ametisha ile mbaya halafu Bomboclack kauwa kabisa
Niko kenya kuseme ukweli marioo na harmonize nawatambua mbaya,,,,, hii imeningusha wallai ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Marioo & harmonize to the world 🌎 ♥️
Kutoka Alooooo....
Bombo claa aaa aaa aaa
Hivi vipande motoo sana 🐼🐼
Malaika nakuita tenaa umeweza❤❤❤ dada umechukua akili za watu kuwarusha roho
KONDEBIY NI 🔥🔥🔥
jaman hii nyimbo uwii ina gusa adi kwa moyo ❤❤
Ila harmonize anapenda sana Nyash bombo Claaaaat🔥🔥🔥
Nomaaaa
Unajuaaaa
Tishaaaa
Snaaaaa
Motooo
It's 🔥🔥🔥🔥
Bombo clutch ❤❤❤
G.O.A.T.S🔥👏🏼
❤harmonize apewe mauwa yake
Trending no 1.
Kwa wasio amini wewe ni wangu niiite...❤❤❤
Kutoka aloooh ngoma Kali sana alaf jeshi nae ako 🔥🔥
Kkkkubwa 🎉🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Daaah awa jamaa me napenda sana wakifanya ngoma moja inakua Kali sana
Konde boy kwanini marioo anaimba sana vizuri lakini ukiingiya tuu unanigesha sana lakini Ibrah mbona unakuaka namuregezea mkaba ❤❤❤❤❤@kondeboy kazi ya mwisho sana
Kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hii wimbo ni 🔥 🔥🔥❤
Penzi mbona limenog❤❤❤❤🇸🇦
ila marioo🙌🔥🔥
Badgang❤🎉
Olooo napenda vile unabidii na uedelee ivo
Iko lit ...love you all mario na harmonize ....uzuri hamnanga kiburi ....from kenya
Nakutabiria marioo soon utakuwa msanii ambaye hukamatiki kabisa 👍👍
From NY nime kupata toto bad👏👏👏
Najuwa yakwamba marioo anajuwa ila Harmonz babalaooooo kam unaamini Hamornz anaweza basi tujuwane
Kali sanaa
Ila hawa jamaaa wakikutana wanakamiana na kufanya kazi nzuri sana big up all bros
Mario nakupenda sana from Burundi country❤❤❤❤❤
Kama maji ya bomba❤❤
Harmonize oyaaaa msenge anajua adi anakera oyaaaa🙌🙌🙌🙌💥💥💥💥💥💥
Kiboko Yao huyooo.
Hawataki tu kukubali kmmke 🔥🔥🔥
Mario na Harmonize are like a pair of Nyash. Non can survive without the other❤❤❤ team Bomboclaaat
The way harmonize creates a different rhythm in his verse 🔥🔥
Harmonize got the best melodies bongo,,,like tusonge🐘🔥🔥
Huyu harmonize ni noma snaa adi ananitishaa duh
Motoooo ngoma nzuliii sana 🔥🔥
Naipendaa 🔥🔥🔥 from Nairobi Kenya ❤
Wangapi wajuwa kwamba konde kafunika marioo kwenye iyi wimbo?kama unamkubali konde gonga laik hapa❤
Konde ana mashairi mengi
@@emmanuelchilimo 🤢🤢🤢🤢🤢🤮🤮🤢🤮🤮🤮🤮🎒🎒🎒🎒🎒
Kutaka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hii wimbo ni🔥🔥🔥❤
Wakwanza kutoka 🇿🇦 naomba like zangu
Oyiiiiiiii konde ni number One Tanzania
Bomboclaat siku zote 😎
Muombe Mungu uzimaa, 🎙️ Tatizo la mapenzi kanituma mimi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Noumaaaaa sanaaaa
Noumaaaaa sanaaaa
Ngomaa kali sanaaaa
Tishaaaaa Sanaa
Noumaaaa aisee
Harmonize kiboko kweli kweli, huwez kumfunika kizimbe kweny Collab, kama unamkubali harmo, acha like hapa🇹🇿🇨🇩🇿🇦🇿🇼🇺🇬
Kutoka alooooo
Balaaaaaa sana
Balaaaaa sana
Kali sanaaa
Tishaaaaaa mnooo
Wakali wa Africa mkikutana nakubali sana kazi Yatbonanzar from Kenya 🇰🇪❤
Hii ngoma ni ya moto sana🔥🔥Ila Konde ameshakata kamba
Marioo kaua kwa verse 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌
Napenda sauti ya marioo ❤❤❤❤❤❤
Hii mechi marioo kashinda
marioo humu kaliwa kichwa na harmonize verse za marioo nyepesi sana ukilinganisha na za konde
@@visualcreativestudios sawa.. ilaa nikuulize, kwenye hii ngoma kat ya verse za Marioo na Konde, verse gan zinaitambulisha ngoma?? Sawa marioo ni nyepesi lakn uwepes wake ndo umefanya watu wapende kutoka moyon.. utaskia tu "tulikutana tiktok....😃"
Hamo lyrics strong sana, pia harmony na Melody
In ma Playlist this December oa hii ngoma imenibamba
This is my favorite ❤
Daaaah😮😮😮😮Ila#Konde 🤔🤔🤔Hakuna Msanii #Tz Kama #Harmonize,Hiii Nyimbo Tangu Ina Toka Nimeiskiliza mara 10 kwa Siku,#Harmonize kaua Humo Dani
From🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲Comoros
sana kaka verse za harmonize zipo very tough ukilinganisha na za marioo marioo verse zake za kawaida sana humu kaimba kawaida sana sema nyimbo 10/10 naipa mellody kali kwa wote wawili