Bora yeye ambaye ambaye ameweka mabaya yake hadharani na kumrudia Mungu… kwa hakika Atakua ame msamehe… pia naamini Familia yake utakuwa sehem salama Amini dogo Mungu anajua…. Ila hasara ipo kwako wewe ambaye unafanya mabaya kwa siri na sizani kama una mpango wa kutubu na kumrudia mungu wako…. Nakushauri tu Tumia watu kujifunza sio kukosoa coz sote tupo kwaajiri ya kujifunza coz dunia sio sehem yetu special tumekuja na tunasepa..(Hakuna aliye kamilika)
Mimi Leo wakwanza naombini like zangu
Musiombe like tumchangie jamaaa mnakazanq kuomba like wasenge nyie
Yaonekana kwoko kuwazurumu raia ilikuwa haki yako,alafu hao hao raia unawaomba msaanda,inasikitisha Sana.🏌️
Bora yeye ambaye ambaye ameweka mabaya yake hadharani na kumrudia Mungu… kwa hakika Atakua ame msamehe… pia naamini Familia yake utakuwa sehem salama Amini dogo Mungu anajua…. Ila hasara ipo kwako wewe ambaye unafanya mabaya kwa siri na sizani kama una mpango wa kutubu na kumrudia mungu wako…. Nakushauri tu Tumia watu kujifunza sio kukosoa coz sote tupo kwaajiri ya kujifunza coz dunia sio sehem yetu special tumekuja na tunasepa..(Hakuna aliye kamilika)
Jela ndani ya jela inaitwa pc daaaah hapanaa aiseee sioo poaa
Niko Ukonga Pole Sanaa
Hii ya wachina hii makamaki mm nimeipenda siyapendi sanaaa
Dar 24, muende na mbeya mkamcheki na tenende
Aisee tenende noma
Maisha yana siri nzito
Tofali ndani ya jela Ulitoa wapi ? Wewe guluguja? Nchi za shelia hengelipwa fidia kwa mda wake🇹🇿🇹🇿🇬🇷🇬🇷
Hii story safi sana ila mtangazaji una zingua ukatakata
Kuna Nyaya...moja imekatika..!!
Huyu mbon kama tapeli hiv
Dah maisha haya
Mm leo wa pili nipeni like zangu
WEWE UMEUMIA MIGUU, NA UNA HENIA. VP NA WALE ULIOWAPIGA MAPANGA YA KICHWA UKACHUKUA HELA ULISHAWAHI KUWAFIKRIA WANAVYOISHI HUKO WALIKO.
Huyu jamaa anaonekana anapiga gongo, mbona ana jasho linamtoka hivyo.
Hastaili chochote
eti unakua kama feisali hehehehe
Mlikuwa watundu na magaidi wa taifa. Midomo mikubwa.!! Mlistahili.!!!!
Lkn na ww c umewapga watu mapnga kwaiy fifty to fifty
maisha aya duh
kamali
Simchezo yotemichezo tu duniania apa
Hukumu ipo hapahaoa duniani
Anatoka jasho sana
anaumwa moyo huyu atakua.apime pia