Ommy Dimpoz: Afunguka Skendo ya USHOGA! Atangaza Ndoa wake wa 4 na kupata mtoto Mwaka huu - PART 2
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
- Ommy Dimpoz aongelea ishu za kudaiwa kuwa Shoga! atangaza Ndoa wake wa 4 na kupata mtoto mwaka huu!
Tazama full interview hapa, Subscribe to LilOmmyTV, Like, Comment & Share kwa WhatsApp Groups na Mitandao yako ya Kijamii!
#LilOmmy #OmmyDimpoz #Podcast - บันเทิง
Mashallah ommy dimpoz wee ni mzuri mashallah 😘 mungu akujaalie uone sasa wee ni muslamu unaitajika uowe sasa jmn utuletee watoto jmn kaka
Ommy Dimpoz kawa matured kweli sasa hivi tushakuwa watu wazima vijana tupambane kazi tufanye tupate ridhiki sio mabifu
I like that Ommy umeongea very positive words najua imewahurt mahetters , ila ur such a juntlemen and Be Blessed man .
Mashallah kijana ommy Allah akuzidishie na wengine wawe km ww inshaAllah
THE MVP lil ommy ,they done know🙌🙌💥💥
Duniani hapa utapewa kila kashfa lakini kikubwa fanya Yako ,ndugu yangu WAJA hawaishiwi na maneno.
Ommy is too matured. One of the show from bongo TZ.......Alvin Nairobi kenya
It's really artist for all saying and I like him so much . 🇰🇲🇰🇲 Comoros islands
Tambweee king of interview afrika mashariki na katii
Mungu akupe afya njema na mafanikio mema yenye rehma zake na mafanikio ameen
Aiseee ahsante sana Tz🇹🇿 inatakiwa kuwa na watu kama huyuu Dimpoz wenye kuongea ukweli
Ommy dimpoz God akubless
Much love from Mombasa Kenya
Good conversation my guys I like the interview 🤝
Ommy dimpoz-Ndagushima haijawahi kutokea tena
appreciate that 🤙
Ommy please ishi kwa amani acha kujificha. Love your truth wewe shoga
Tambweeeeee
That’s my name yooo
Kizazi sana for Kansas in 🇺🇸 💪🏿
Masha Allah ommy endelea kijiheshu kiki hazina mpango kabisa
I SEE MATURITY KWA OMMY DIMPOZ
Love it !
👊
....dini yako hairuhusu kuwa na wanawake wa kuwapima(vimada)....Fanya uoe bro...raha ya ndoa uipate ujanani
Ommy na Lil Ommy 🔥🙌
Pamoja sn 🔥🔥🔥🔥kiongozi
Imekaa kizazi sana
Nampendaga huyu kaka kwa jili ya Allah 😘
Saana mie mwenyewe nampenda sana dimpoz kaongea uhalisia wa watu jinsi walivyo aliyoyazungumza yapo mtaani
Ommy kwa ommy ❤️
Omary × Omary =💣
Lil ommy 🔥🔥🔥
Ni shoga na video zake zipo...
Nice liL ommy
Enjoy
Makini🔥🔥🔥🔥
Unajitetea sana au ni kweeeeeeee......
I like that 😎
Ila ommy anaongea jaman, khaa😊😊
Ommy 🙌
Immy achana nawatu usijiumize kichwa niko köln nilitafuta njia ya kuja kukuona kana mtanzania mwenzangu nilishindwa kukuona nilijaribu kuingia istragramm na kuomva no yako niligonga mwamba köln Na Dussedorf with lCE ni 20minuten only lakini pike kwa yote achana nawatu waoe matukio tuu ndio majibu yao muss stark seun alles vergen.
Wanne niende nao
✅✅✅
Brother umeongea vitu vyenye point xana hauna matimu uko vzuri kaka hope sk uje kuandika kitabu kitafanya vzuri
Omary Vs omary 🔥
Umeongea vzr sana
King of interviews
Lets go
Shule ya muziki
Et wanaume au waschana hv ulipataje ujasr wakuuliza et naskia kwamba unaliwa
Fact sana jamaa anaongea ukweli mtupu
Mchizi anaongea fact sanaaa daah!!
Jamaa si anadeti Gvn: Jooojojoo
Bro ogopa Mungu
Nimesikia habari zake nilishangaa ila nikajiuliza kwanini sio Mwijaku au Marioo
Hizo hela mnazopata mfanye charity kidogo Ommy sio kila siku Bata
Charity n ibada na ili iwe kamili haihitaji kuoneshwa..
Hahahahh eeet mloamua kwenda officially 😄😄
Huna mtot daah
Ommy dimpoz unajuwa kama unafanana kidogo na diamond ?munafanana
jembe Lao kumiiiyaaamameeee
Akioa wanaume wataumia? Mbona sijaelewa
Kasema wanawake, maana wanawake wengi wanampenda
Mziki biashara bhna nowdays imba vyovyote
Wanamzik wote wangekuwa kama wewe tz ingekuwa mbaliiii
Jamaa choko kweli
Kampe bas alafu uje utupe mrejesho
Sana tena yani huyo dimpo ana mchezo mchafu sana
@@bintykigan9285 wewe mbona unagawa nyuma sisi tumekausha tu na tunajua na vdeo zko tunazoo
Nyinyi ndio wale aliowasema munaamka na stress zenu mnaamua muzitolee kwa watu
Nani kampakua