MKALIWENU:NIMEIBIWA MIMI TWENDE POLISI/JOTI NDIO MIMI

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 404

  • @kamuchidyblez2136
    @kamuchidyblez2136 3 ปีที่แล้ว +174

    Kama unakubalianaa na mm Kuwa hikii kipindi Cha hivi ni kwel ni bongeee mojaaaa la kipindi na ulikimic sanà gongaa likeee twendeee sawa na mwanetu mo town sanyaaa!!!

  • @fatnahsaleh860
    @fatnahsaleh860 3 ปีที่แล้ว +28

    Finally 💃💃💃💃💃 my favorite kipindi on Wasafi Tv. #IVINIKWELI🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤. Imenoga

  • @hamiskengwa6148
    @hamiskengwa6148 3 ปีที่แล้ว +38

    Bora ata mmerudisha bonge la kipind💪💪💪🔥🔥🔥💪💪💪

  • @hyasintndimbo2998
    @hyasintndimbo2998 3 ปีที่แล้ว +15

    Kimerejea Tena🤣,
    Big up sanaaa,
    Ila Mkali wenu umezingua, Ubaharia kibao kumbe unanyonya Kidole😂😂..
    Mdomo koma🤭

  • @hussenihusseni341
    @hussenihusseni341 3 ปีที่แล้ว +25

    Awo awoteeee 🏆🏆🏆🏆🏆🏆ushindi mwingi kizazi Sana hivi ni kweli mkaliwenu Kama kazingua kimtindo ama mhmh hivi ni kweli

  • @richmontana1296
    @richmontana1296 3 ปีที่แล้ว +25

    Fanya uje na Mkojani mo town Sanya 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @abdulsalaammtipa5309
    @abdulsalaammtipa5309 3 ปีที่แล้ว +52

    Mo town sany Hiv ni kweli Back Again like kwake

    • @bigboss1192
      @bigboss1192 3 ปีที่แล้ว

      Mkali wenu mbona ananyonya kidole🤣🤣🤣

    • @abdulsalaammtipa5309
      @abdulsalaammtipa5309 3 ปีที่แล้ว

      @@bigboss1192 sio rizik uyo

  • @official_mbene2912
    @official_mbene2912 3 ปีที่แล้ว +57

    Sheria adabu
    Leo ndy wa kwanz naomb like zen

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 3 ปีที่แล้ว +17

    Pindi letu bora kutokea Wasafi limeludi 💪👏👏

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 ปีที่แล้ว +45

    Mo town sanya nembo za mtaa 😄Hivi ni kweli bado hujapewa zawadi ya gari aina ya FJ na Boss Naseeb kwa ufanyakazi bora?
    😄

  • @eyad1738
    @eyad1738 3 ปีที่แล้ว +8

    Napenda azam..😀😀😀😂😂😂iiiih mwanangu una moyo.. ila mkali wenu amezingua ameharibu kipindi kizuri...

  • @gdence9747
    @gdence9747 3 ปีที่แล้ว +4

    Dah saf sana sema gigy katupotezea vimatangazo vyetu vya tecno

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha allah Mo town Sanya nilimis mno kipindi chako kaja yng ahsante sana leo umenifurahisha mno allah akulindeeeee

  • @benboyburundi2429
    @benboyburundi2429 3 ปีที่แล้ว +22

    🤣🤣🤣🤣wa bongo lakini love from bujumbura

  • @fahmitimimy4950
    @fahmitimimy4950 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba mtuletee mkojani ama mkude hapa tafrahi sana all love from kenya

  • @goefryshayoo3122
    @goefryshayoo3122 3 ปีที่แล้ว +6

    Mkali wenu kweli nomaaa

  • @unyamwezitv1661
    @unyamwezitv1661 3 ปีที่แล้ว +7

    🔥🔥🔥🔥kama unamkubali mkali wenu

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah sanya nilimiss kinoma iki kipindi. I'm happy sanya ipo in now👋🇹🇿.

  • @emilymideva8783
    @emilymideva8783 3 ปีที่แล้ว +3

    We missed you tannyaa thanks for coming back #254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @nzeyimanaaisha6437
    @nzeyimanaaisha6437 3 ปีที่แล้ว +9

    Nimekua nime ki miss hiki kipindi😗😗😗from🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @johnsaidy5356
    @johnsaidy5356 3 ปีที่แล้ว +2

    Raha sanaa, mwnangu unajuaaa Sana, #Nembo ya mtaaaa

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 3 ปีที่แล้ว +9

    Tuli ku miss moo😍😍😍 hasa gonga beat

  • @medvansuriya1831
    @medvansuriya1831 3 ปีที่แล้ว +2

    Hiii ya leo mbona kama kali sana 🤣🤣🤣🤞
    Mwanzo nilihisi kama naboreka kulingana na ujaji wa @mkaliwenu

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 3 ปีที่แล้ว +9

    Asee leo nmecheka mpaka Basi, hiki kipindi kibaki hewani tu😂😂😂😂

  • @Hanskapella
    @Hanskapella 3 ปีที่แล้ว +3

    Bado the story book, I hope mmeiongezea manjonjo pia.

  • @sc4135
    @sc4135 3 ปีที่แล้ว +7

    Da huyo jamaa anajiamini halaf yuko serious sana na kazi japo hamjui mkal wenu

  • @heykids6792
    @heykids6792 3 ปีที่แล้ว +17

    Imerudi tena! 💪

  • @rajabuzaituni421
    @rajabuzaituni421 3 ปีที่แล้ว +23

    Yani na Mimi nilikuwa nakimiss sana

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว +3

    Wasafi hii industry wameiteka vibaya sana

  • @chekatucomed9141
    @chekatucomed9141 3 ปีที่แล้ว +3

    Yeeeeeessssss mo town sanya is back good job boy 👏👏🙏

  • @_salum.21
    @_salum.21 3 ปีที่แล้ว +12

    Hivi ni kwel n show tunaikubl sn tunaomb ifike hadi uku Zanzibar

  • @linucefurgence356
    @linucefurgence356 3 ปีที่แล้ว +1

    Sanya nakukubali sana

  • @chaumaraali8201
    @chaumaraali8201 3 ปีที่แล้ว

    nakukubali mwanangu

  • @hussenmrisho5658
    @hussenmrisho5658 3 ปีที่แล้ว +3

    Noma sana mkali wenu

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 3 ปีที่แล้ว +3

    Show kaliiiiiiiiiiii ila mkali wenu kidogo kazingua kwa watu !!!!!!

  • @kapesamjenga5168
    @kapesamjenga5168 3 ปีที่แล้ว +1

    Nilikumis sana mwanangu Sanyaaaa

  • @sc4135
    @sc4135 3 ปีที่แล้ว +21

    Et kama unavoona 😂😂 unaona nini !? nipe nauli niondoke

  • @sumako7960
    @sumako7960 3 ปีที่แล้ว +2

    Sema Sanya unazungua sana kwetu ufiki yani munasemu zenu kwetu ufiki wakati tuna Mambo mengi sana uku

  • @rojabrown5960
    @rojabrown5960 3 ปีที่แล้ว

    Sanya nakubali mwanangu umerudi

  • @kiziwifreshtz4705
    @kiziwifreshtz4705 3 ปีที่แล้ว +1

    Mnatisha sana

  • @omarykingoko1548
    @omarykingoko1548 3 ปีที่แล้ว +7

    Daah tulikimisi kishenzi 💪💪💪 pindi na moja atal sna 💣💣💣💥

  • @kassimkassim2783
    @kassimkassim2783 3 ปีที่แล้ว +3

    Safi saana kwakurudi hikikipindi nilikimisi saana sema alivofanya mkaliwenu kuwafanyia mashabiki sijapenda kabisa .naitwa kassim kinondoni studio apa

  • @richmontana1296
    @richmontana1296 3 ปีที่แล้ว +2

    Hivi Ni Kweli
    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @mdouharoon6316
    @mdouharoon6316 3 ปีที่แล้ว +8

    pindi letu limerudi axee #nakubali

  • @egonmichael7249
    @egonmichael7249 3 ปีที่แล้ว

    Mo unazingua eti mungu akuweke

  • @jumamkadengile3397
    @jumamkadengile3397 3 ปีที่แล้ว

    Da kali sna

  • @michaelsanga1701
    @michaelsanga1701 3 ปีที่แล้ว

    Very creative motownsanya

  • @sondanzingulasondasam4029
    @sondanzingulasondasam4029 3 ปีที่แล้ว

    Nimecheka mbaya mzeeyaa uko juu

  • @davidqauki5088
    @davidqauki5088 3 ปีที่แล้ว +11

    Mo nilikumic ile kinoma yani karibu tena kitaani √√

  • @oliverngualo4028
    @oliverngualo4028 3 ปีที่แล้ว +8

    Joti mkaliwenu😀😀😀😀😀😀

  • @kingsuleiman7201
    @kingsuleiman7201 3 ปีที่แล้ว

    Sanyaaaa bhana we Noma sana

  • @halimahomar9474
    @halimahomar9474 3 ปีที่แล้ว

    Naipenda San ichi kipendii unipa furah San atakam Nina stress #mo town sanya gud boy

  • @nadya2131
    @nadya2131 3 ปีที่แล้ว +6

    Kazi mnzuri Sana nilimiss kipindi

  • @shardalove1159
    @shardalove1159 3 ปีที่แล้ว +9

    Heheheheee mjomba umechukua rushwa
    Gonga beat mbavu zangu heheee

  • @malackwilliam4235
    @malackwilliam4235 3 ปีที่แล้ว +1

    Mo town sanya nembo ya mtaaa, Nakubali damu yangu

  • @mwanakitenge2667
    @mwanakitenge2667 3 ปีที่แล้ว +4

    Ila kipindi cha leo sijakipenda uyo mkali wenu anamakelele kibao kwanza watu wote hawakujui unaumaalufu wa mtandao tu kwendraaaaaa

  • @mwanakitenge2667
    @mwanakitenge2667 3 ปีที่แล้ว +7

    Kiukweli hichi kipindi nilikimis sana mlivofungiwa nilikuwa nakiwaza sana nitakiona wapi hichi kipindi

  • @praxedaandrewkato7472
    @praxedaandrewkato7472 3 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣🤣🤣🤣 at umekula or umechukua lushwa😂😂😂😂😂 you people are to funny

  • @dullahmtafutaji6157
    @dullahmtafutaji6157 3 ปีที่แล้ว +1

    Welcome again bro mo town sanya

  • @allyhamisi6394
    @allyhamisi6394 3 ปีที่แล้ว +1

    Niliimisi sanaaa HIVI NI KWELI Daaaah

  • @franklinmganga736
    @franklinmganga736 3 ปีที่แล้ว +6

    nembo ya mtaa 🎷🎷🎷🎷

  • @iamramaboiomarion5908
    @iamramaboiomarion5908 3 ปีที่แล้ว +5

    Like za mo sanya

  • @omarywaba6940
    @omarywaba6940 3 ปีที่แล้ว +11

    Awootee imerudi tena 🚦

  • @alexjoseph9539
    @alexjoseph9539 3 ปีที่แล้ว +1

    Sanya njoo na shinyanga

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 ปีที่แล้ว +1

    Aisee mkali wenu
    Ningelikutia ngumi hilo
    Msenge wew,,,,MUSIWE MUNA WABOA
    WATU AMBAO KIIVYO MUTAKUJA KUCHEZEE VITU mkali wenu umezingua sana fala wew

  • @lilcosb3764
    @lilcosb3764 3 ปีที่แล้ว +2

    Tumekumisi bro welcome back

  • @thomasraiton7760
    @thomasraiton7760 3 ปีที่แล้ว

    Kwa mfano yuko vizuri

  • @mohamedisideboy3135
    @mohamedisideboy3135 3 ปีที่แล้ว +7

    Aliomwona mkaliwenu ananyonya kidole like apoo

  • @haridishafi8243
    @haridishafi8243 3 ปีที่แล้ว

    Mmetisha Sana

  • @athanacedward7803
    @athanacedward7803 3 ปีที่แล้ว +5

    😂😂 Brazaa angu uyuuu shikamoo kakaa!!

  • @mengidevid3387
    @mengidevid3387 3 ปีที่แล้ว

    Motownsanya nomaaaaa

  • @mendempoletv7579
    @mendempoletv7579 3 ปีที่แล้ว +5

    Nilimis sana hii kitu Jmn daah

  • @luckynayza2424
    @luckynayza2424 3 ปีที่แล้ว +5

    Ebana leo mmetisha kinoma bidada kacheka mpka kajisaidia

  • @salamanauthartanzania6301
    @salamanauthartanzania6301 3 ปีที่แล้ว +1

    Uuuwiiiiiii' jamani yani kuna watu duniani wapo kama hawapo

  • @samsonofficial7942
    @samsonofficial7942 3 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana

  • @juniorjully3341
    @juniorjully3341 3 ปีที่แล้ว +1

    Mo Town Sanya Fanya Mpango Aje MKOJANI🕌🕪🕪🕪 kumbe ng'oombe ww hunijuiiii....!

  • @salehemfuchu368
    @salehemfuchu368 3 ปีที่แล้ว

    Gud aidia

  • @ben.breaker
    @ben.breaker 3 ปีที่แล้ว +2

    Mkali wenu miyeyusho sana 😄😂😂 kanogesha kipindi

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 3 ปีที่แล้ว +2

    Bwana mdogo kwa jpti ni parefu sana kujifananisha nae labda marehemu kinyambi!!sema umefanya ubunifu

  • @joycechaz2840
    @joycechaz2840 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 wabongo kwa uongo et joti kabadilika

  • @innomchaga
    @innomchaga 3 ปีที่แล้ว +7

    Hili pindi nalikubali kinomaaaa

  • @mzalendomtokambali6551
    @mzalendomtokambali6551 3 ปีที่แล้ว

    Anazigua sana

  • @j.bjacobbasubi2187
    @j.bjacobbasubi2187 3 ปีที่แล้ว

    Eti family yako njo serikali yako😀🇨🇩🇺🇬

  • @is-hakayunus9058
    @is-hakayunus9058 3 ปีที่แล้ว

    Oya uyo mxhkaji mwenye xhati nyekundu anavuma t😄😄

  • @egideniyonkuru9705
    @egideniyonkuru9705 3 ปีที่แล้ว

    Wa tz nawakubali kinyama 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @ajizakdeclassic7608
    @ajizakdeclassic7608 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah mdau kajichangany mkali wenu kua JoTi

  • @ablahasa1233
    @ablahasa1233 3 ปีที่แล้ว

    Mkariii karoho kanamuuma hawamjui 😂,Alijua watamshobekea

  • @mishimwinyi9144
    @mishimwinyi9144 3 ปีที่แล้ว +8

    🔥🔥

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu kipindi kizuri sana ila mnapokosea pale mnapomzingua mpita njia alafu hammalizii kumtoa hofu kwa kumwambia bhana yule ndo mkali wao bhana kamera imekubamba iyo mfano tu sasa mnamuacha mtu adi anaondo anaondoka na hasira jazba itamfanya uko anapoelekea asiwe sawa lekebisheni kipindi kwenye icho kipengele

  • @khailu_alawa8564
    @khailu_alawa8564 3 ปีที่แล้ว +3

    Show kali

  • @reginaphilimon782
    @reginaphilimon782 3 ปีที่แล้ว +3

    Daaah nimechelewa wap pindi lataifa limerudi

  • @TheNewKid_TV
    @TheNewKid_TV 2 ปีที่แล้ว +1

    Hehehehe mkali wenu khaaaa 😂😂😂😂😂😂Joti wa mchongo

  • @safariadrien5348
    @safariadrien5348 3 ปีที่แล้ว +4

    Wabongo namujua joti 😂😂

  • @yusuphdeogratius1036
    @yusuphdeogratius1036 3 ปีที่แล้ว +1

    Pindi bomba mtangazi nae yuko bomba

  • @mafiosoismail7475
    @mafiosoismail7475 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwani huo mdole vp Mkaliwenu😂😂😂😂

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu na ntume brother umechukua hongo😂😂

  • @neemamjema1067
    @neemamjema1067 3 ปีที่แล้ว +2

    Imerudiiiiiiii tena jmn
    Ila Mkaliwenu hajulikan jmn

  • @credo7837
    @credo7837 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂kaniacha hoi anaemsifia mkaliwenu alijua joti

  • @salimusemkuya3086
    @salimusemkuya3086 3 ปีที่แล้ว

    More creative

  • @opiyoomollo1566
    @opiyoomollo1566 3 ปีที่แล้ว

    Atariiiiii sana