BABA YANGU KIPOFU Full episode /52/

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 1.5K

  • @FredyBennymassawe
    @FredyBennymassawe 2 หลายเดือนก่อน +1132

    Hii movie wanaenda kuiharibu Sasa iishe tuu, kama unaungana na mm gonga like

    • @paulinengeresa8649
      @paulinengeresa8649 2 หลายเดือนก่อน +24

      Pia umeona eeh ila wacha tuone nini kitaendelea

    • @esterkimalio8846
      @esterkimalio8846 2 หลายเดือนก่อน +20

      Kweli kabisa,,,na kuingizwa kwa candy alooh

    • @Lastborn_mhenga01
      @Lastborn_mhenga01 2 หลายเดือนก่อน +54

      Yani ilitakiwa iishie pale mama karobo alipo wakuta pale kwenye gari name baba karobo akasema amemsamehe

    • @FredyBennymassawe
      @FredyBennymassawe 2 หลายเดือนก่อน +15

      @@Lastborn_mhenga01 maana hata kinachoendelea hakieleweki kabisa hii movie mwisho wake iitakiwa iwe hapo

    • @catherinekwamboka-u4n
      @catherinekwamboka-u4n 2 หลายเดือนก่อน +5

      Kabisa

  • @valentinemwesh1416
    @valentinemwesh1416 2 หลายเดือนก่อน +100

    Baba karobo naomba mmalize hii movie sasa ,,, mtaiharibu Kwa sasa ,,, msinirudishie uchungu wenye nilikua nao kuona ukiteseka,,, tena asante zuu Kwa kubadilisha Wigi mamaa😊😊😊😊😊

    • @kevinsimon9286
      @kevinsimon9286 2 หลายเดือนก่อน +3

      Bora waimalize tu imeshaanza kuwa mbaya

    • @secret01234.
      @secret01234. 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂

    • @MephacineAtieno
      @MephacineAtieno 2 หลายเดือนก่อน

      Aha hamama ha matuta hatoke kwa movie mm hananiboo, after kuenda kwa waganga hajatosheka bdo

    • @LLl-p4r3l
      @LLl-p4r3l 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli wamalize mana mama karobo anajipanga kwa mara nyingine vile uliona na kumuoa zuu alafu mama karobo anauza mboga ilikua ishe pale

    • @CeciliaGona
      @CeciliaGona หลายเดือนก่อน

      Ni kweli hii movie ushondi umepatikana tayari nn tena hii 😮😮😮

  • @Bintnailah
    @Bintnailah 2 หลายเดือนก่อน +159

    Kila mtu ni wa kwanza huku mmmh 😂😂😂haya mie wa mwisho nipeni pia like hata 5 tu na nitashukuru 🎉🎉🎉❤❤

    • @KendyIndoshi
      @KendyIndoshi 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤❤

  • @ashasalumabdalla4003
    @ashasalumabdalla4003 2 หลายเดือนก่อน +28

    Baba joan movie sasa unaiharibu iltosha kuwa umepona umemuoa zujat maisha yenu yanenda vizuri

  • @esthermsango5849
    @esthermsango5849 2 หลายเดือนก่อน +74

    Wanaoamini mama karobo atashindwa gonga like

  • @Jovetina-jp7zc
    @Jovetina-jp7zc 2 หลายเดือนก่อน +25

    Aliyesikiliza kawimbo mwishoni sauti nzuri ya yule chalii alogoma shule kisa mziki agonge like

  • @AlmaClaire-u9w
    @AlmaClaire-u9w 2 หลายเดือนก่อน +44

    Mungu awabariki wote mnaoitazama hii movie much lovu from kenya ❤❤❤

  • @GraceMumbere-q7v
    @GraceMumbere-q7v 2 หลายเดือนก่อน +44

    Huuu Wimbo wa patronize unyama mwengine kupitiliza ebu apewe maua yake 🙏💐🌺🥀🌹🌻☺️☺️☺️😌

    • @SaraJoseph-i6j
      @SaraJoseph-i6j 2 หลายเดือนก่อน

      Unaitwaje

    • @SyproseOkumu
      @SyproseOkumu 2 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @deniswanjala2246
    @deniswanjala2246 2 หลายเดือนก่อน +181

    Leo nimekuwa wa kwanza kuwakilisha kenya 🇰🇪. Wapi like za wakenya

    • @annetmunuve5814
      @annetmunuve5814 2 หลายเดือนก่อน +2

      Tuko hapa ❤❤❤

    • @OmanMuscut-ju3xp
      @OmanMuscut-ju3xp 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ukosahihi nibora waimalizetu mzunguko unazidi kuwa mlefu nahuyu candy amefuata nini

    • @olivamwaikuyu80
      @olivamwaikuyu80 2 หลายเดือนก่อน +1

      Yah,tungeishia palepale Ili tujue Mungu ni kila kitu itoshe,

    • @SalamaTaura
      @SalamaTaura 2 หลายเดือนก่อน +1

      🎉

    • @ValehBen
      @ValehBen 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tupoo💪

  • @shalimwadinda55
    @shalimwadinda55 2 หลายเดือนก่อน +5

    Safi sana baba karobo fanya roy na fasion wakataliwe mpaka na sisumizi

  • @LeyianSteven
    @LeyianSteven 2 หลายเดือนก่อน +56

    Wa kwanza kucomment. Nipewe likes za BABA KAROBO 🎉🎉

  • @GentilKakule-rd2pz
    @GentilKakule-rd2pz 2 หลายเดือนก่อน +8

    😢😢 baba kalobo ume kubali vipi kendi kuku kumbatia ona sasa unaenda kuaribu movie sasa😢😢 sija penda kwakweli

  • @RamazaniMustafa
    @RamazaniMustafa 2 หลายเดือนก่อน +35

    Wakwanza Léo kutoka drc uvira eneyo za Kijiji cha kahororo tunawapenda sana kwakweli

  • @SalamaTaura
    @SalamaTaura 2 หลายเดือนก่อน +17

    Kazi nzuri mashaulllh 👏👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 2 หลายเดือนก่อน +20

    Na hio nyimbo ni nzuri sana ni patronize alieimba hio nyimbo🎉🎉🎉🎉🎉

    • @josephihathoya
      @josephihathoya 2 หลายเดือนก่อน +1

      Niawe nihuyo maana sauti niyake

  • @AnnieMangi
    @AnnieMangi 2 หลายเดือนก่อน +14

    Jamn wote mnaofatilia team ya baba karobo na kuipenda kazi yake mungu awabariki sana awafungulie kila baya lililofungwa kwenu kama alivofunguliwa baba karobo mpaka akaona tena,, nawapenda sanaa ❤❤

  • @dicksonochiengndonga8793
    @dicksonochiengndonga8793 2 หลายเดือนก่อน +126

    Wa kwanza kutoka kenya, wapi likes za baba karobo❤❤

  • @DiviahDhemarley
    @DiviahDhemarley 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mmeanza kumalinza movie utamu sasa imeanza kubowa sanaaame nilidhni babakarobo akiona itaisha

  • @JaneSoila-n1g
    @JaneSoila-n1g 2 หลายเดือนก่อน +60

    Baba karobo kua makini sana sio Kila anaomba msaada ana shida wengine wanatake advantage ya wema wako

    • @MiriamDjonathan
      @MiriamDjonathan 2 หลายเดือนก่อน

    • @mwelusi2549
      @mwelusi2549 2 หลายเดือนก่อน

      Kwanza uwe makani n pia kumbuka yale amepitia

    • @bhenryfilm
      @bhenryfilm 2 หลายเดือนก่อน

      Punguza wivu 😂😂😂

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 2 หลายเดือนก่อน +4

    Baba kalobo na zojat mmependezana sana ❤❤❤❤

  • @nshimiyimanaalex6467
    @nshimiyimanaalex6467 2 หลายเดือนก่อน +21

    Asanteni sana kutupatia hii 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 Kigali Rwanda turabakunda cyane mungu awabariki sana❤❤❤❤❤

  • @ZalhinaBakari-m6g
    @ZalhinaBakari-m6g 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mnaenda kuiharibu move ss Bora iishe

  • @NajmaAmir-w6v
    @NajmaAmir-w6v 2 หลายเดือนก่อน +25

    Mm ndo wakwanza from kenya kazi nzuri baba joan

  • @SultanAlshekaili-q8f
    @SultanAlshekaili-q8f 2 หลายเดือนก่อน +26

    Sasa tashukuru kwakazi nzuri lakina ushalipa wema baba kalobo sasa kipindi kiishe utaharibu utmu

    • @olicej7837
      @olicej7837 2 หลายเดือนก่อน

      Kbsaa Yaani mimi nilitamani kuona mama karobo na fashion waaangaike na movie iishe

  • @AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u
    @AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u 2 หลายเดือนก่อน +24

    Kitu cha baba kalobo ni unyama sana musisaau like 🎉🎉🎉 from mozambiqui 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

    • @eunicewambui-v7k
      @eunicewambui-v7k 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mama karobo ama baba karobo

    • @Suzanapaskoqnkn
      @Suzanapaskoqnkn 2 หลายเดือนก่อน

      Nakuja huko nipokeeni naja kusaka maisha 😂😂😂😂😂bongo ya nyoso

  • @RodaTotolapwani
    @RodaTotolapwani 2 หลายเดือนก่อน +28

    Daaaaaaaah ila Nasra mkewe n Rahasa ni pisi kali kwa kweli i say much 💕💕 💕 baba Joan team

    • @florencekanze
      @florencekanze 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂Kwan rahasa mwenyewe wamuonaje😅😅😅

    • @HalimaMjeni
      @HalimaMjeni 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wallai Mashaa Allah umeonaa

  • @hacimanaaminizo9332
    @hacimanaaminizo9332 2 หลายเดือนก่อน +50

    Number one frome Bujumbura Burundi Burundi munipe like

    • @WASACHARLES-x2u
      @WASACHARLES-x2u 2 หลายเดือนก่อน +3

      acha ujinga

    • @AlfredMasangwa-m3o
      @AlfredMasangwa-m3o 2 หลายเดือนก่อน +3

      Wa pili from buja to Johannesburg

    • @KazimaImanainkunda
      @KazimaImanainkunda 2 หลายเดือนก่อน +3

      wabuja gonga like Mimi nipo birimani ngozi

  • @GarmaPaschal
    @GarmaPaschal 2 หลายเดือนก่อน +3

    waaaaa zuuu Mungu akusaidie uzindi kukua kisana Mungu Abari kiogozi wako kukuchukua Mungu azidi kumurinda

  • @SarahWanjala-b9d
    @SarahWanjala-b9d 2 หลายเดือนก่อน +41

    Wow,,the progression of the episodes is amazing,,likes za wakenya jameni😅😅😅🇰🇪

    • @Marim-sj7oi
      @Marim-sj7oi 2 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉🎉🎉

    • @salehHassan-rl8bd
      @salehHassan-rl8bd 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤❤

    • @SheilahJeptoo-l4j
      @SheilahJeptoo-l4j 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤

    • @SalamaTaura
      @SalamaTaura 2 หลายเดือนก่อน

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌🏽

  • @minduchudi9121
    @minduchudi9121 2 หลายเดือนก่อน +22

    Wew baba karobo mjinga sana bora urudishwe upofuu usione demu hata mmoja

    • @finegatwiri2597
      @finegatwiri2597 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂usimtukana ni maigizo too sio really 😂😂😂😂😂😂

    • @Mohabmts
      @Mohabmts 2 หลายเดือนก่อน

      Nimecheka kishenzi😂😂😂😂😂😂😂

    • @MaryPendo-gy4yr
      @MaryPendo-gy4yr 2 หลายเดือนก่อน

      Mbavu zangu🤣🤣

    • @busimebiringanine5800
      @busimebiringanine5800 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

    • @mwelusi2549
      @mwelusi2549 2 หลายเดือนก่อน

      weee nani ameona fashion anajaribu kutoka soko aacha loi,,,ila mistari n trouser inamuangusha 😂😂😂

  • @salmaseif-rq9ux
    @salmaseif-rq9ux 2 หลายเดือนก่อน +63

    Mashallah babakalobo na juzati wameendana kiukweli mbali na kuigiza❤anae likubali hili gonga like hapa 👌👌

    • @UyanjoSima
      @UyanjoSima 2 หลายเดือนก่อน

      Zujati not Juzati

    • @salmaseif-rq9ux
      @salmaseif-rq9ux 2 หลายเดือนก่อน

      Kui rekebisha sorry

  • @RachelKahambu-d1l
    @RachelKahambu-d1l 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyi movie ,inamafundisho mingizaidi,zakugenga watu n'a kuwaongoza ,asante

  • @marianchamba3898
    @marianchamba3898 2 หลายเดือนก่อน +19

    cendy na mama karobo mmekutana wote roho mbaya na bado mama karobo safari hii utalala mpaka na njaa

  • @josephmanoni7983
    @josephmanoni7983 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli hii movie inanibariki Sana mungu akubariki wewe baba karobo na zuuriat pamoja na karobo by Eliza Sasa mbarikiwe sàna😊😊😊😮❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jaycburundi257
    @jaycburundi257 2 หลายเดือนก่อน +36

    Mupo wapi jamen??
    Njoni baba Yangu kipofu imesha fika TH-cam.
    Likes za ngu nizione na mniachie hiyi comment nawa ❤ sana ni mu fana kutoka Burundi 😊😊😊

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hila cend na Roy ni pipa na mfiniko wallah je watafaulu mtiani wao Roy mama mipangao

  • @RonaldMibei-v2s
    @RonaldMibei-v2s 2 หลายเดือนก่อน +23

    From Kenya zero minute I need my likes

  • @Justinaombay
    @Justinaombay 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hii move ishaanza kuharibika. Mngefika mwisho tu

  • @kenethnjagi6064
    @kenethnjagi6064 2 หลายเดือนก่อน +39

    First one from kenya wapi likes zangu

    • @Marim-sj7oi
      @Marim-sj7oi 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤

  • @Manyirizupeter
    @Manyirizupeter 2 หลายเดือนก่อน +1

    toka mwanzo niliwahi kuandika huyu nukti ni mnafiki 😂😂😂asiyejulikana

  • @CelestinIbonge
    @CelestinIbonge 2 หลายเดือนก่อน +24

    Wa kwanza mimi naombeni like zangu jamani from USA

  • @fatumaandrea247
    @fatumaandrea247 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yani mtu anaomba kukumbatiwa na wewe unakubalitu bila kujiuliza khaaa sijapenda 😂😂😂

  • @StellahMwasembe
    @StellahMwasembe 2 หลายเดือนก่อน +8

    Yan wew mama karobo tabia zako bado haujaacha kabisaa Ila utakuja kuumbuka Kwa mala nyingine

  • @JulianaMwatela
    @JulianaMwatela 2 หลายเดือนก่อน +1

    Zujiati ukivaa dera mashallah alafu ulivobarikiwa yani mpka watasema ❤❤❤😂

  • @AliomarAli-wu6br
    @AliomarAli-wu6br 2 หลายเดือนก่อน +18

    Mimi ni wa Kwanza naomba like zangu na naomba mungu uzidi kuipatia ili izidi kusonga baba karobo🎉🎉🎉🎉😊

  • @pronsp2316
    @pronsp2316 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn mtaharibu iishe tu daah mnaharibuuu kabsaaaa tuletee nyingine tu

  • @OmarNzohabonayo
    @OmarNzohabonayo 2 หลายเดือนก่อน +20

    Duu sijacelewa sana team strong🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇧🇮

  • @NeemaAlly-l1b
    @NeemaAlly-l1b 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn iishe màan baba karobo kaona pia na mama karob geki kumbuka màan uku inapoenda du cjui mpango gan anauandaa mama karob juu ya bab karob

  • @EastAfricanMovie
    @EastAfricanMovie 2 หลายเดือนก่อน +18

    ❤ fashion amekataliwa

  • @zainzain1163
    @zainzain1163 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pia mimi naombeni like tano hata kama mie wa mwisho nawapenda team baba karobo hila usimsahau mungu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 2 หลายเดือนก่อน +13

    Baba kalobo leo umeniuzi wanaume wa kuwaombea saana mwee

    • @HhUhh-io8ix
      @HhUhh-io8ix 2 หลายเดือนก่อน

      Aki mm pia ameniudhi Tena wanaume pochi mpya hampiti haaaaa

  • @SalimoMonade
    @SalimoMonade 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nami pia namuunga mkono, wanaenda kuharibu.❤

  • @OmanOman-ru4eu
    @OmanOman-ru4eu 2 หลายเดือนก่อน +9

    Mama karobo mshezi malipo uliyoyapata hayakutoshi unaenda kutafuta mengine😂😂

  • @MourineIkhoni
    @MourineIkhoni 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mimi hapa wa mwisho na sio wakwanza ..haya mnipee like nami🎉🎉

  • @susanmitchell5641
    @susanmitchell5641 2 หลายเดือนก่อน +9

    😂😂😂wakenya we are not busy at all na vile inchi inatusukumu anyway kudos team Baba yangu kipofu 👌

  • @AGNESMWANDENUKA
    @AGNESMWANDENUKA 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤baba kaloboo katishaaa

  • @Aisha-ld3ol
    @Aisha-ld3ol 2 หลายเดือนก่อน +7

    Waaah mm nimefanikia kuwa wakwanza daah❤

  • @DomitilaEmily
    @DomitilaEmily 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmh loy mipango yako wewe duh😳😳 movie nzuri 🎉🎉🎉❤

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 2 หลายเดือนก่อน +31

    Hiii movie inapoelekea ni kerooo tu, boraa ingemalizikaa,mwanzo ilikuwa nzuri saiv mvuto unapotea kabisa

    • @kisaagustino3278
      @kisaagustino3278 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kumbe nawe umeliona nahisi wanarud nyuma teena

    • @HoglahCharles
      @HoglahCharles 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kwelii ingeisha tu

    • @RosenanjalaKhisa
      @RosenanjalaKhisa 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa

    • @ManirambonaMapy
      @ManirambonaMapy 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wamalize kabisa

    • @aishamaruh
      @aishamaruh 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa

  • @NuruRoden
    @NuruRoden 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie Nasra ni mzuri nyie heeeee😂😂😂😂😂 much love Nasra

  • @Peris6815Manyara
    @Peris6815Manyara 2 หลายเดือนก่อน +15

    Weee Leo nimewai kabiza wa kwanza from kenya ❤❤ nipe likes nfurahi

  • @WilsonMurangiri-y5b
    @WilsonMurangiri-y5b 2 หลายเดือนก่อน +4

    Wallah binadamu wana roho ngumu kweli mama karobo na hayo yote ameyaona ambadiliki kamwe kama tuko pamoja koga like 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @WilsonMurangiri-y5b
      @WilsonMurangiri-y5b 2 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉🎉

    • @rafiurashid1021
      @rafiurashid1021 2 หลายเดือนก่อน

      wewe baba karobo achana na huyo kicheche kendi, ana pepo la ngono huyoo

  • @mughishajohn3287
    @mughishajohn3287 2 หลายเดือนก่อน +17

    pia mm cjachelew sana

  • @Dieudonnekabemba-mv9lp
    @Dieudonnekabemba-mv9lp 2 หลายเดือนก่อน +2

    Movie zenu naipenda kabisa kutoka Congo rd

  • @YollamMllayoWaVailet
    @YollamMllayoWaVailet 2 หลายเดือนก่อน +13

    Toka Malawi nmewahi Leo wap likes zangu ndgu
    Baba Joan hapoi wala habow ❤❤❤❤

  • @njorogegachiri2119
    @njorogegachiri2119 2 หลายเดือนก่อน +5

    Baba Joan hii movie imepotesha mwelekeo mwisho ingekua kuona na kuoana zuu haungeeka watu wageni🇰🇪

    • @zainabjuma4628
      @zainabjuma4628 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli

    • @rafiurashid1021
      @rafiurashid1021 2 หลายเดือนก่อน

      huyo kendi muulizeni Kai mziki wake

    • @rafiurashid1021
      @rafiurashid1021 2 หลายเดือนก่อน

      kendi ana pepo la ngono huyoo

  • @MariamMZIMBA-zf5ev
    @MariamMZIMBA-zf5ev 2 หลายเดือนก่อน +4

    Baba karobo unaanza kuniuzi na huruma yako unataka kumuuzi mkeo sasa fikiri kabla yavkutenda
    Zujati nakupenda 😢❤

  • @Ruben-wi1fm
    @Ruben-wi1fm 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo sawa babakarobo nafurahi vidio hii

  • @Oneboy.t
    @Oneboy.t 2 หลายเดือนก่อน +5

    kaka kazi nzuri sana afu unakuta watu ooh me wa kwanza sifia kaz kwanza

  • @AllanJames-by2gi
    @AllanJames-by2gi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mnaharibu sasa!! Angalau kunafaa kuwa na taharuki kwenye maigizo jameni 😁😁

  • @FattyDapetty-tj9vr
    @FattyDapetty-tj9vr 2 หลายเดือนก่อน +10

    Nmewahi mapema ❤❤❤

  • @NadiauweraUwera
    @NadiauweraUwera 2 หลายเดือนก่อน

    From Burundi tunawapenda sana team baba karobo oyeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂❤❤❤

  • @RehemaManyeso
    @RehemaManyeso 2 หลายเดือนก่อน +8

    Kazi nzuri sana 🎉🎉❤

  • @BrianMulari
    @BrianMulari 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waaahh!!!!kimeumana ila mipango yako mama karobo feki haitofanya kazi

  • @lydiakaari-nx4yb
    @lydiakaari-nx4yb 2 หลายเดือนก่อน +12

    Wa kwanza leo from kenya

  • @RamadhaniHussein-tc3bo
    @RamadhaniHussein-tc3bo 2 หลายเดือนก่อน

    Baba kalobo hongera sana hii move ni bola muimalze mnaenda kuihihalibu

  • @SungaKonki
    @SungaKonki 2 หลายเดือนก่อน +6

    Wakwaza mm leo naomba like zagu na wa penda sana🎉🎉🎉🎉❤❤❤ baba kalombo

  • @NelsonBusita-n6s
    @NelsonBusita-n6s 2 หลายเดือนก่อน

    Hii movi inaharibika haiwezekani anaeomba msaada awe amesuka. Hivyo bei gari😀😀😀😃

  • @KhesiKhesimitingi-nc8xm
    @KhesiKhesimitingi-nc8xm 2 หลายเดือนก่อน +12

    Nyota ya Fasheni ya kimapenzi ilizimwa na mama karobo feki😂😂😂.

    • @AaAa-tf7sl
      @AaAa-tf7sl 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @DuduBoysSilvester
    @DuduBoysSilvester 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman Sitaki Waachane Zujati Na Baba Karobo Maan Zhujat Katoka Mbali

  • @patriciachangawa1754
    @patriciachangawa1754 2 หลายเดือนก่อน +6

    Baa karombo huo mtego😢😢usiwe..mwepesi wa fadhila bina damu hatuna wema kubuka ulipo toka kaka

  • @jobmwangi-o9h
    @jobmwangi-o9h 2 หลายเดือนก่อน

    Sahi nimeboeka na kipindi si kama mwanzo watching from Kenya🎉🎉🎉

  • @MossesWainaina
    @MossesWainaina 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mzee nakubali kazi yako 🎉🎉🎉 iko juu hongera sana🎉🎉🎉

  • @benardmyinga836
    @benardmyinga836 12 วันที่ผ่านมา

    Hongera karobo me mtoto mwenzak nimependa unavompenda baba yako❤❤

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 2 หลายเดือนก่อน +9

    Wapi candy kichwa kigumu wakwanza😅😅

  • @CynthiaMoraa-n5b
    @CynthiaMoraa-n5b 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hii movie Iko na msheneemingi na waongo n wengi

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 2 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂sjui wa tatu nimewahiii nyieee😂😂😂

  • @FaithjeptanuiSitienei
    @FaithjeptanuiSitienei 2 หลายเดือนก่อน +1

    Niki dani nime like kila mtu aki pia mimi mnii pee like please naomba kazi nzuri baba karobo

  • @tresorkinyeshe6965
    @tresorkinyeshe6965 2 หลายเดือนก่อน +15

    Ninaonyo yakuwapa nduguzangu ingekuwa heri kumaliza mouv yetu kwasababu tuanze lingine.sababu wazehe wanasema ukachapa ndege nakuichora sana itabadilika kuwa mbuzi na pale itakuwa imeharibika haitakuwa ndege tena iyi filamu yetu umeichora sana ita haribika sas

  • @MusaLutumo-r4r
    @MusaLutumo-r4r 2 หลายเดือนก่อน +1

    hii movie ilitakiwa iishie pale baba kalobo alipo pona macho yake,,,na wabaya wake kuaibika,,sasa huko mbeleni sisi hatukuelew,,,,,kama mnaungana na mm bas gongeni like

  • @nassorsultan8647
    @nassorsultan8647 2 หลายเดือนก่อน +10

    Mkmi wa kwanza leo naomba liked

  • @josephmanoni7983
    @josephmanoni7983 หลายเดือนก่อน

    Phashen na roee siwapend sana na mungu anisamehe kwakutokukupenda phashen na roeeee😢😮😅😊

  • @FadhiliMarthe
    @FadhiliMarthe 2 หลายเดือนก่อน +20

    Wakwanza toka burundi 🇧🇮 naomba like zangu

    • @ShSh-yb9et
      @ShSh-yb9et 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤

  • @Fettysaid-u8f
    @Fettysaid-u8f 2 หลายเดือนก่อน +1

    fetty toka tunduru na mm naomba mtaji baba joan wa ukwel ukwer naona kama unaukalim iv licha ya kuigiza❤🎉❤

  • @MumbaMgandi
    @MumbaMgandi 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kutoka Kenya 🇰🇪 nasema hivi kazi nzuri sana ❤❤

  • @LeonardMsusa
    @LeonardMsusa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mgema ukimsifia, pombe hutia maji. Màliza move hiii Baba karobo inatosha.

  • @OMARYJUMANNEMWINYIHERI
    @OMARYJUMANNEMWINYIHERI 2 หลายเดือนก่อน +10

    No, 1 like kwa baba karobo

  • @PillyEliasa
    @PillyEliasa 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hii movie inaenda kuharibika kabs yani mama karobo kashaanza mipango
    Nukti nae kashaanza roho mbaya hapo wanaenda kuharibu movie muanze kutukera Tena mashabiki zenu
    Hii movie ifike mwisho sasa😢

  • @AmirNgunde
    @AmirNgunde 2 หลายเดือนก่อน +6

    Hingelikua vizuri pole ulipo one na ungelimuoa zuuh basi ingeliixha rakini uku kwengine atukuerewi bhana

    • @sharifabahar9905
      @sharifabahar9905 2 หลายเดือนก่อน

      Nikweli kabisa wanaalibu

  • @AmisiKibwe
    @AmisiKibwe 2 หลายเดือนก่อน

    Baba karobo na mi tazama APA kalemie Congo je movie hii itaicha lini