Yaani mafundi wana laana,Unamuwekea kila kitu saiti kuanzia cement,Nondo,Mchanga, alaf yeye anapita navyo ikiwa kashalipwa....jamani mafundi ni wezi....
Hapana tusikalili kuna maeneo tunapaswa tupate vionjo tofauti kwa jinsi tulivyojijengea wabongo mwenye mwili mkubwa smart akionekana inareta uharisia flan nanukuu tu jins vichwa vyetu wabongo vilivyo
Joti na Crew nzima km na ata km KIPANDE amnasoma msg zetu Basi mtaona Jinsi gani KIPANDE TAULIVYO MKUMBUKA Tunaomba 🙏 KM MMETOFAUTIANA BASI MUNGU awafanyie wepesi muwe sawa na km Yupo Mbali Inshallah Allah Amjalie awe salama na arud kutupa Burudani 😭😭 Kipande anaweza
Joti sku moja tunaomba utuambie kuhus kipande ujue ishakuw too much yaan kl ukiuluzw hujibu tuambie tu kipande wetu alipo hata akiwa sayar ya Pluto tutamfata
Mwanang sasa iv unazingua tuletee Kipande na Sopa Mambo yawe Bulbul tunakosa radha, Hawa wengine hawako serious,kama Kuna tatizo tatueni ili tupate burdan
Wewe CHAWA ni mshenzi. Kwanza ulipanga kumpiga plasta na yeye. PILI, unapiga hesabu ya mafuta kwenye gari? Ya nini sasa? Ili umpalange mwenzako! Dah! hahahaha
Big up sanaa..leo fainaly nimesikia sauti ya Kisingai... ila #Nishai ni mshenzi...kweny mifuko 100 unaiba 90 alaf mifuko 10 tu ndo ya ujenzi...ehhh..hata mi ningekutoa t ubongo😆😆
JOTI NDO GWIJI WA COMMEDY TANZANIA KAMA UNAKUBARI TUMPE LIKE JOTI HATA 50 ZINAMTOSHA
th-cam.com/video/3eXtnVzGuz4/w-d-xo.html
th-cam.com/video/Z-O8GzZzZ9Y/w-d-xo.html
1.Mpoki
2.Joti
Aipingwi iyo
Wangapi wamemmiss kipande
Kipande mkali wao 😀
Nilichati naye Instagram waligombana na joti kwahiyo kira mtu anafanya maisha yake
@@juliusabdiely2215 🤔🤔☹️
Jaman
Kipande arudi
Jamani hata mm leo nime wahiwahi hebu naombeni like hata tatu nizione utam wake
Haya umeonaje utam wake 🤣
@@salumally3128 hazina utamu wowote ndugu.
@ATHUMANI WAZIRI 🤣🤣🤣 umeona sasa
@@salumally3128 sasa kwann watu wanaziomba sana zina faida gani ndugu.?
th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html
Kama unaaamini jot ni the best like 51
Likes za tunao Mpenda joti mwanzo mwisho Africa nzima
Joti hapo umechemka kumuweka huyo jamaa kua Boss, hapo hiyo nafasi alitakiwa Sopa ndio awe Boss ingenoga sana ila Big up💪💪💪 kazi nzur
SOPA anafaa sana hapo yaani yule yupo siriaz
Hapana tusikalili kuna maeneo tunapaswa tupate vionjo tofauti kwa jinsi tulivyojijengea wabongo mwenye mwili mkubwa smart akionekana inareta uharisia flan nanukuu tu jins vichwa vyetu wabongo vilivyo
Sopa na kipande ndio mpango wa mjini hao wengine hawaelekei
Samahani ww ni Bim wa Mafia? Kam ndiy mm ni Bab Zung
Wa zenj nabonjesha bonyeeeee kwakweliiii.pba pirioso
Joti na Crew nzima km na ata km KIPANDE amnasoma msg zetu Basi mtaona Jinsi gani KIPANDE TAULIVYO MKUMBUKA Tunaomba 🙏 KM MMETOFAUTIANA BASI MUNGU awafanyie wepesi muwe sawa na km Yupo Mbali Inshallah Allah Amjalie awe salama na arud kutupa Burudani 😭😭 Kipande anaweza
sana mkali
Joti hapo kwenye nafasi ya bosi ungemueka soap aiseee ila big up
Kweli umeona mbali
Kweli, boss sopa
th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html
Daah! Joti shukraan kw hili yani mafundi siku hizi ni waongo sana kupita maelezo
Joti tumemmisi kipande pls kam mmekosana msameheane kama anaumwa mungu amponye haraka iwezekanavyo ili tumuone
@@lampadshigonko3006 mmh hay
Kipande tunae
Daah mwamba sijui yuko wapi
Kwel kipande tumemmiss
Dah kipande arudi bwna
Wenye tunasubiri ya kiboga tukae upande Huu ..😜😂🇸🇦🇰🇪
Hi friends 😘🙋🏻♀️😘
th-cam.com/video/3eXtnVzGuz4/w-d-xo.html,
Ukweli Joti anaweza sana tumpeni heshima na like zake
Na fasi ya boss ungemuweka sopa ingependez zaidi
Kabisa an sopa yupo makin
Haswaaaa
Sopa katika nafasi ya boss anaimudu sana! Hii ni nzuri, ila angekaa mwenye kitengo cha tajiri ingezidi hapa!
th-cam.com/video/zLKJ7t3bNzg/w-d-xo.html
Engineer *NTOMBANGILE KITWANGO MIKAZO* 🔥 Miyayusho sana!
Kwenye boss ungemueka sopa daaaah 🤣🤣🤣🤣
Kwakweli tajiri ake Huwa nampendaga Sana
😂😂😂😂😂sopa anaweza na sauti yake ya kucheka
Joti so talented dah hadi raha
Mmmh siku hizi video zako Ni mbaya Sana sopa hayupo kipande hayupo upande Wang mm siinjoi hata kidog
😂😂😂😂hata mimi
Hiyo ndinga anayosukuma.sopa ni ya joti naijua fresh kabisa 😂😂😂😂
💕 l love you 💕
Hahaaaa joti nakupenda bureeee hahahaha leo yamekukuta hahaaaa pole sana hahaaaa
We Joti umeanza kujichanganya Boss ni SOPA peke yake hao wengine maboya2
Kweli kabisa
Ndio
Kweli sopa uboc unamfaaa
Kabisaaa
💃💃💃💃
Nmetok kwa Ray na Paula ndo maan nmechelewa
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂ulienda kula keki
Chawa wa boss kafanana na jamaa wa mazuzu Ze comedy
PIGA kaziiiiiiiiiiiiii Daaah Joti Toka niko mdogo mpk leo unanichekesha Huyu jamaa ni gwiji
Hapo kamiss boss sopa bana na ile cheko yake
Cjall nilikuwa nasubil burudan kutoka kwako nzul sana kk
*Engeneer limemkuta jambo dadeki 😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁 Mafundi wote wako hivo dadeki yaani ukiwapa nafasi tu umeumia*
Ile mchuz juu Una iyonaje kaka
Nice one😍😍😍😍😍
Naona remix ya mchuzi juu
Nishati
Kipande
Mlelwa
Joti fala sana badala ya maboss kugonga mlango yy ndio kagonga 😆😆😆
😂 Marehemu Mzee Shija ndo alimkamata fundi mwizi hivi hivi...
Piga kazi ,piga kaziiiiiiii
Nyie mmekazana nishai kipande je mmeelewa manake 🤣🤣kuwen makin na nyumb zenu mafundi asanten ujumbe umafika❤️❤️👍
Mafundi wezi sana na wanatia hasira.
Joti Alivyo Sikia Mi Ndo Chawa Wako Joti Kashangaaa Sana Na Kamsikuliza Chawa Kwa Umakini Sana.
Joti sku moja tunaomba utuambie kuhus kipande ujue ishakuw too much yaan kl ukiuluzw hujibu tuambie tu kipande wetu alipo hata akiwa sayar ya Pluto tutamfata
th-cam.com/video/Z-O8GzZzZ9Y/w-d-xo.html
Nishai Aki umenichekeshaaaaa🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Kweli nishai Noma🤣🤣🤣
oya sopa yuko wapi 😅😅😅 yey ndo ilibid awe boss
Makin sana na kipande aonekani
Mhhh ukuta mmoja mifuko ishirin kujenga mimi ndio Basi tena jaman
Mafundi ni shida siku zoote maishani
sopa yuko wap nae fundi sana jamaa anajua ktk sanaa yuko vzr
😂😂😂🤪 Engineer kitombangile kitwango mikazo
Sopa
Apige mkono😂😂😂😂 nishai🙌🏽🙌🏽❤️
Kipande arudi Mr. Joti tushammiss sana fanya kwa ajili yetu
Joti kapatikana Leo 😂😂😂kaambiwa Kuna kamela kashitukia hatali 😂😂
This guy he's so amazing
Daaa nakubar sana
dj mdudu napenda sana kazi ya joti hakosei
Hahajaahja nakubal sana
Ahsantee👏👏👏
Joti we ni mwehu 😂😂😂😂ukuta mmoja mifuko ishirini 🤣
Au wewe unataka useme nn wakat sait yangu mm🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
daah nimecheka kote ilivyofika nafasi ya bosi umezingua only sopa
Hahahaha hii ndo ya kwanza Joti Kunaswa hahaha
Sopa alifaa kuwa boss
"Mimi ndo chawa wako" pro max 😂😂😂
Nawapenda sana uwaga munanip furaha san from Saudia Arabia
Mwanang sasa iv unazingua tuletee Kipande na Sopa Mambo yawe Bulbul tunakosa radha, Hawa wengine hawako serious,kama Kuna tatizo tatueni ili tupate burdan
Kabisaa
bwana joti nagupenda sana plZ naomba nikuone one days
One days🤣🤣🤣
th-cam.com/video/3eXtnVzGuz4/w-d-xo.html
Hapo kwenye boss sopa yupo wap
First one here
th-cam.com/video/3eXtnVzGuz4/w-d-xo.html,
We unataka kusema Nini😅🤣🤣🤣
Wanna work with you guys👊🏽🤞🏾
Jotiiiiii
Me too
Kipande muhimu
Joti unafeli skuizi awo wengine unawatoa wapi apo sopa tu afu kipande yuko wap wewe daah!!!
HAAHAaa wee piga spana😂😂😂
Alianza kupotea Kipande Kwenye videos zako...SAA hii sopa pia atumuoni kwenye videos kadhaa zilizopita
Aha aha haa mafuta mafutaa😂😂😂
Ila mafundi nyie!!!!! Sawa Nishai... Mafundi hamuendi mbinguni.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
I love this Show
Hahaha hahaha nishai kwa bongo hapaa umepiga atua Kama comedian wewe ni international sio tena local comedian.
Joti these are the type of videos i love you doing.......
Hamna maajab siku hizi,haswa alitoka kipande...
Huyo boss angekuwa sopa
Nishai😂😂😂😂
Boss Sopa, na tabasamu lake
Jaman tunamtaka sopa n kipande
joti piga kazi nakubali
😀😀😀😀😀joti bhna
Wewe CHAWA ni mshenzi. Kwanza ulipanga kumpiga plasta na yeye. PILI, unapiga hesabu ya mafuta kwenye gari? Ya nini sasa? Ili umpalange mwenzako! Dah! hahahaha
Hahaha kalete bastola yangu...
Mzee wa b 1
Ngoja nimtoe mtu ubongo hahahaha😂😂😂😂😂
Nani kaona boss kashindwa kujibana anacheka😂😂
Safi sana joti,ni kweli yanayofanyika.
th-cam.com/video/3eXtnVzGuz4/w-d-xo.html
😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣Dah atachoma mbavu za watu joti
Kipande mbn hatumuoni? Na nilimuona juzi kati apo slipway
Kari san hiii mzee mwezangu
Big up sanaa..leo fainaly nimesikia sauti ya Kisingai...
ila #Nishai ni mshenzi...kweny mifuko 100 unaiba 90 alaf mifuko 10 tu ndo ya ujenzi...ehhh..hata mi ningekutoa t ubongo😆😆
😂😂😂😂😂
Wapi sopa & kipande..please warejee
Sopa ndo anaiweza nafasi ya ubosi au utajiri anajua yule jamaa kuigiza
th-cam.com/video/3eXtnVzGuz4/w-d-xo.html,
The day you are going to succeed or win any game, it will be over 🤣🤣🤣🤣. Just like Pwagu and Pwaguzi😂😂😂😂😂
Very nice
Ingependeza zaidi boc angelikuwa kipande
Is
Very
Nice.
💕💦💕
You are welcome 😘
Joti wapi shopa na kipande?
Mpangilio upo sawa video haipo sawa brother
Nakubali broo
Ubongo wangu🤣😅
From Iraq nimechelew leo
Chawa waboss mkali huyo