HIZI NDIZO SIASA TUNAZOTAKA TANZANIA... ELEZA SHIDA ZA WATU WAKO NA SIO KAZI MATUSI KASHIFA NA KEBEHI AU KEJELI... TUWEKE NCHI MBELE NA MATATIZO YA NCHI.... TUACHE SIASA ZA CHUKI NA ZA UKANDA... HONGERA PROFESA JAY
Rais ukiwa unaenda na mfumo huu.. nitaunga mkono kwa asilimia 100... acha watu waongee kwa uhuru alafu wewe chapa kazi... hakika hata sisi watu wengi tutajituma sana.
Haya ndio mambo yanayotakiwa. Kufanywa na mbunge,Rais kaja jimboni toa kero za wananchi sio lawama na matusi,peleka kero kwa manufaa ya wananchi..Safi Mbunge Prof.Jay
Bob Ramaso sasa si mbaka apewe nafasi..kwan mara ngap tunaona raisi anaenda jimbo fulan ila mbunge hapewi nafas ya kunena na raisi.hamna mbunge asiependa kuonana na raisi maana ndio boss wa viongozi wote
Aloyce Garani Kwani msigwa hakupewa nafasi?alichoongea hukukisikia?!au unamaanisha nafasi ipi?!wanatakiwa wakipewa nafasi waongee ya maana na haswa kero za jimboni,kama unapewa nafasi unaanza kashfa na matusi na lawama hata kama ni ww ungekuwa kwenye nafasi ya Uraisi ungekubali?!mi naamini kwa mtindo huu nafasi watapewa ili mradi waongee kero za jimbo husika..
Kweli kbsa Lkni unakuta mbunge badala ya kutoa kero au shida za wananchi anaanza kulalamika, Prof J ndo mbunge niliemuona katika wabunge wa upinzani wanaosimama na kutoa kero moja kwa moja. Safi Sana Prof J
Prof Jay was featured on KwawKese song somewhere in the late 2000's i really loved his flow and decided to find out wasup with him. I just learnt he is now a politician. I do not understand what he is saying neither can i read what you Tanzania's are typing, my question is, has he been a good leader, politician after all ?
Japo kuwa prof j. yupo chadema naamini atafika mbali sana kisiasa hata kimaisha sababu miongoni mwa watu wachache sana sana tena sana wenye nidhamu ya hali ya juu kwa serikali yake tofauti na hao makada wngne wa chama hicho. big up mzee wa mitulinga.
Safi sana Rais ungekua ktk mfumo huu usingezungumziwa mabaya kisiasa na ungekua mfano bora wa kuigwa Duniani, Mungu akubariki akuondoe chuki na hasira kwa wapinzani.
Kaminyoge Mwachelwa anafanyabsemankuna baadhi ya wabunge hawajitambui mbunge kama wetu kubenea mnyika na lema akili zao za kipumbavu yaani wao chama kwanza maendeleo baadae
Dah! kaka huyu ajua kuchana maneno kweli kweli, huku kenya twamkubali kwa sana. Kenya pia kuna vijanaa wasanii walioingia bunge lakini huku wamezii, profesa Jay ni mfano wa kuigwa na vijana waingiao kwenye oungozi wa nchi.
Emmanuel Gabagendi arusha ndio tunapata shida mana raisi akija hatumuoni mmbunge mabarabara mabovu mambo mbaya kila kona maji shida yeye hatoi kero malumbano tuuuu
Kama unamkubali proffesa jay gonga like hapa
wilonja hatua nooooooomaaaaaa sanaaaa sanaaa sanaaaaaa
Barnabas Stanslaus 👏👏
nakukubari mbunge
HIZI NDIZO SIASA TUNAZOTAKA TANZANIA... ELEZA SHIDA ZA WATU WAKO NA SIO KAZI MATUSI KASHIFA NA KEBEHI AU KEJELI... TUWEKE NCHI MBELE NA MATATIZO YA NCHI.... TUACHE SIASA ZA CHUKI NA ZA UKANDA... HONGERA PROFESA JAY
Wabunge mkienda namna hii wabunge mtapendwa bila kujali chama pigen kazi vijana nchi yetu sote!
Asanteni wabunge wa chadema kwa kumweshimu rais wetu. Asanteni sana. Magufuri hoye
Rais ukiwa unaenda na mfumo huu.. nitaunga mkono kwa asilimia 100... acha watu waongee kwa uhuru alafu wewe chapa kazi... hakika hata sisi watu wengi tutajituma sana.
Nakukubali Sana Raisi Hakuna Raisi anayefanya kazi Kama wewe tunakuombea
Nikusaidiaje song #professor-J
Umetisha mzee baba
Haya ndio mambo yanayotakiwa. Kufanywa na mbunge,Rais kaja jimboni toa kero za wananchi sio lawama na matusi,peleka kero kwa manufaa ya wananchi..Safi Mbunge Prof.Jay
Bob Ramaso sasa si mbaka apewe nafasi..kwan mara ngap tunaona raisi anaenda jimbo fulan ila mbunge hapewi nafas ya kunena na raisi.hamna mbunge asiependa kuonana na raisi maana ndio boss wa viongozi wote
Aloyce Garani Kwani msigwa hakupewa nafasi?alichoongea hukukisikia?!au unamaanisha nafasi ipi?!wanatakiwa wakipewa nafasi waongee ya maana na haswa kero za jimboni,kama unapewa nafasi unaanza kashfa na matusi na lawama hata kama ni ww ungekuwa kwenye nafasi ya Uraisi ungekubali?!mi naamini kwa mtindo huu nafasi watapewa ili mradi waongee kero za jimbo husika..
Kweli kbsa Lkni unakuta mbunge badala ya kutoa kero au shida za wananchi anaanza kulalamika, Prof J ndo mbunge niliemuona katika wabunge wa upinzani wanaosimama na kutoa kero moja kwa moja. Safi Sana Prof J
Huyu mwanamke ni very smart kwa kweli ninampenda sana ni very few kupata wanawake smart kama hawa proud
Professor noma sana
Wabunge makini ndo kama nyie hata mkuu akitekeleza mawili tayari hatua imepigwa very good professor, very good our President JP
Vijana ndivyo mnatakiwa usiwe kama lema na sugu hawana points
I think rais pombe is one of a kind,,,with him Tanzania will prosper...always taking notes for reference..hongera rais...upendo dhati kutoka kenya
Nakukubali kamanda
Prof Jay was featured on KwawKese song somewhere in the late 2000's i really loved his flow and decided to find out wasup with him. I just learnt he is now a politician. I do not understand what he is saying neither can i read what you Tanzania's are typing, my question is, has he been a good leader, politician after all ?
Yupo vizuri sana
Ntahamia bongo huku kwetu Kenya ni balaa tupu... 😂
Prof. Jay is such a joyous person
umeweza prf jay
Japo kuwa prof j. yupo chadema naamini atafika mbali sana kisiasa hata kimaisha sababu miongoni mwa watu wachache sana sana tena sana wenye nidhamu ya hali ya juu kwa serikali yake tofauti na hao makada wngne wa chama hicho. big up mzee wa mitulinga.
#NijukumuLETU...
Mpaka KIELEWEKE... #HapoVipi?
The best #MC of all the time.
Safi sana Rais ungekua ktk mfumo huu usingezungumziwa mabaya kisiasa na ungekua mfano bora wa kuigwa Duniani, Mungu akubariki akuondoe chuki na hasira kwa wapinzani.
wapinzani wengine wangekuwa wanafikisha hoja zao kama mwana wa mitulinga prof jay...sizani kama wangekuw wanaend mahabusu.....big up prof...
Kwakweli.rais ungekuwa unafanya ukaribu hivi na wapinzani na kuwachukulia kama ndugu inapendeza sana
Nafurahi.kuona
Kaminyoge Mwachelwa anafanyabsemankuna baadhi ya wabunge hawajitambui mbunge kama wetu kubenea mnyika na lema akili zao za kipumbavu yaani wao chama kwanza maendeleo baadae
Safi Sana broo nakukubali sana
Professor jay hatar sana big up JPM
Keep up Prof. J.
Mungu akusaidie upone mzee wetu👏👏
😭😭😭
from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 prof jay ❤️❤️👊👊👊👍👍💯💯💯
safi japo umepewa muda mdogo lakini umeongea pointi
Binafsi Namwelewa Cna Magufuli rais Wangu Hongera Cna Hongera Prof Jzee
Waoooooooh bravo prof jay.....
kweli ww ndye professa big up mkuu
mh prof jizle anajua sana
good guy i used to love your work sana
😭😭😭😭Kila nikuangalia rais wangu magufuli moyo unaumaaaaa,
Kama unamkubl pr j gonga like
Mungu akuponye processor j
mimi ni Mrundi, ila nayipenda Tanzania, il est le pays d'Afrique qui m'impressione et que j la consider coe la Suisse d'Afrik
mpaka raha mwendo wa rap
Mimi namkubaligi sana Mh prof J,ni jembe bhana.
Professor uko vizuri
prof. j amempiku msigwa kwa ubunifu. amewatendea haki wananchi wake. sio kuishia kusifu tu....
Noma noma JOSE
Dah! kaka huyu ajua kuchana maneno kweli kweli, huku kenya twamkubali kwa sana. Kenya pia kuna vijanaa wasanii walioingia bunge lakini huku wamezii, profesa Jay ni mfano wa kuigwa na vijana waingiao kwenye oungozi wa nchi.
Pro uko juu
Professor safi havai hereni wala miwani.
safi sana pr j
Jay ni Jay.
Safi sana professor Jay
professor j uko vizuli
Huyu ndo mbunge makini yupo sirias na kaz huyu kweli mtafatj
wabunge ndo kama hawa wanaonyosha maelezo
safiii
Daaaah, upone haraka Joseph Haule
Safi professor J
Laizer Sikoyan @wadokozi tv
hayo ndiyo mambo safi mh mbunge
Hongera unaeongoza binadamu na wanyama
J point kama zote kipaji sio kubana pua
kumi Kama process jay tz tunauuga umasikini
Nimkari sana
good sanaaaaa kk
genius
Endelea hivyo prof j
Huyu jamaaaa ako ana akili sana Profesa Haule J
a.K.a Heavyweight that's what we call politics may u leave long
Watz ni hapo tuu ninapopendaga,sisi ni wamoja sanaaa,
Joson duro say
👍👍👍👍
umetumia vizuri muda point tupu
una dalili za kujiunga na inzi wa KIJANI!!!!!
prof bonge la mbunge anajielewa sana
jamani wabunge wote muigeni profesa j angalieni shida za majimbo yenu na si kulaumu kila ki2 mpk mda wenu unaisha hakuna mnachokifanya duuuuuu.
noma
Safi sana
Kumbe unamkubali Jpm ni Rais wa wanyonge, mnapiga kelele tu kule bungeni ili mufurahishe Mbowe. Jpm hoyeee
J Wa mitulinga mchawi wa rap mti mkavu
Hii ni fahari kwa wana morogoro
nampenda bure
🙌🙌🙌
Mkongwe katk fani
Hangera Sana tena Sana
Emmanuel Gabagendi arusha ndio tunapata shida mana raisi akija hatumuoni mmbunge mabarabara mabovu mambo mbaya kila kona maji shida yeye hatoi kero malumbano tuuuu
Kweli m bunge wa binadam na wanyama uko poa san imeenda sawa na magu
Daimond
Safi J
Dah Jay we ni jembe
Joseph haule leo umeonesha kweli wewe ni professor natamani wabunge wote wa upinzani wangekua kama wewe
Keep it broo
Proff jize aka the heavy wight mc
Prf jy oy
The iron statement
Hakika safi saana mbunge huo ndio uzalendo katika nchi
hahahaa big up😀😀
hawa ndo wabunge wanao jielewa
hahahaha
paka wana ccm wamepiga makofi
'
Mzee wa mitulinga umempagawisha mheshimiwa JPM ongea xna kuwa bega kwa bega nawapenda wote
Mc pilipili
Wamitulinga mchawi wa rapu mti mkavu
Safi
Sana