🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 วันที่ผ่านมา +2

    Hawa ni wajukuu wa abuujeheli na hii chanel niyao

  • @MussaMajura
    @MussaMajura วันที่ผ่านมา

    Brother mbeto, kunawatu hawajui kipolo wa kigunia, wajaze uwelewa.

  • @mchagagaspar6649
    @mchagagaspar6649 วันที่ผ่านมา

    HUYO BETHO ANAZINGUMZA SAWASAWA NA HAFIDH AL ASAD ,ALIPO IUZA (JULAN) ,KUMBE NYERERE alio ya fanya kuwa maliza walokua karibu yakewote -DAMU zitawasuta nyote mnamo simamia fikiria na mbinu za NYERERE ,BILA unga wala haya Mungu Ashukuriwe ....Duh.....

  • @MursalKhatib
    @MursalKhatib วันที่ผ่านมา

    Hii channel bora ibadilixhwe jina sasa imekuwa channel ya chama cha mapinduzi

  • @ISSAJR-f5
    @ISSAJR-f5 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnatumika Kisiasa tu.

  • @JidawiHaji
    @JidawiHaji วันที่ผ่านมา

    Nyinyi mnavuta vuta muda mkafirane tu

  • @OmarMohammedOmarMohammed-h9u
    @OmarMohammedOmarMohammed-h9u วันที่ผ่านมา

    Dah!huyu ndie nanini kwenye ccm au nisawa na abuu jeheli

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyumba isiyo na kitu mwizi haingii akaiba😂kabla ya muungano zanzibar ilikua maskini?naomba jibu mbeto

  • @omarkb6775
    @omarkb6775 วันที่ผ่านมา

    Kwaiyo hapa mbeto anataka. Kutuambia sisi tudili na tume kabla ya siku ya uchaguzi au vp

  • @saadihamadi99
    @saadihamadi99 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haki, amani na wajibu amejzonga t, anatoka mifano ambayo haifanani, sisi raia ndio tna haki ya kuitii serikali na lini kwan kwan tumeipinga? Mbona hasemi km serikali ina wajibu wa kuwatmkia wananchi!!!? Ikiwa raia wala haki ya kujieleza, kuchagua wanachotaka, kukosoa pale viongozi ama serikali inapokosea mbona mnashindwa kutoa mawazo yenu badala yke mnang'ang'ania mawazo na misimamo ya chama, au ccm nyote mna mawazo sawa??? Hapa tunababaishwa t....

  • @amanmohd9435
    @amanmohd9435 วันที่ผ่านมา

    Hili jamaa kichwa maji ....Hii

  • @omarkb6775
    @omarkb6775 วันที่ผ่านมา

    Uyu jamaa mtihan mtupu

  • @suleimanomar4693
    @suleimanomar4693 วันที่ผ่านมา

    Mwnezi tupe kifungu cha sheria inayosema uchaguzi wa rais utafanyika kwa tarehe zilizopangwa.

  • @shaabanmohammed2611
    @shaabanmohammed2611 วันที่ผ่านมา

    Kaka usiwe kifuu tundu. Unajiaibisha. Hivi Nani anakuelewa Sheikh?
    Sheria yoyote ikiwa inaenda Kinyume na Katiba hiyo Sheria ni Batil. Shida iko wapi? Unatetea nini? Au huamini Utawala wa Sheria? Huo wakati wa Karume Senior mambo ya muungano yalikuwa mangapi? Tupishe tuishi hapa Wewe nenda upande wa pili. Unafanana nao kimawazo

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 วันที่ผ่านมา

    Yaani wewe kinachokuzuia kuingia motoni kama hukutubu ni kifo tu na ni mtu mbaya zaidi ya kafiri