EXCLUSIVE NA MREMBO ANAYEISHI NA NYOKA | HUU NDIO UKWELI WA HISTORIA YAKE YA UTAJIRI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that
;Cast Latifa Mussa
:Host JS
: Camera 1 Charles
: Camer 2 Kasamalu
Mmm wew Ni jasiri Kweli yaaaan daaaaaa. Dada hongera
huyo dada nimchawi kweli na aliongea mwanzo niukweli Sema kapigwa mabiti naserikali kupotosha vijana waache kufanya kazi wafate ushenzi Yani huyu kazingua sana sana mbona mwanzoni alijiamin sana saiv imekuwaje anashindwa kuongea acheni kufanya watu watoto wadogo
kwaio kuwwambia vijn wafany kaz waach kuuw na tamaa na majoka ndo ushenz ama vip
Huyu muongo atakuwa katishiwa tu ila mchawi kwer@@arafatali2796
Anasafisha chanel maana walitaka kufungiwa na zile clip zote waliambiwa wafute😂😂😂
Pumbafu zake asingepigwa mikwara ingekuwaje? Mwanga mmoja tu huyu.
Dada mwamin mungu yeye nitajir wamatajir
❤ swadaqtum 💯
Hujyamuliza vizuri. Kama ilikuwa story mbona hukumuwuliza ile nyoka tuliwona ilitoka wapi?
Hamna cha ilikuwa ni story hapo bali ni uhalisia/ukweli. Ushauri wangu kwake, atubu kwa MUUMBA wetu kisha aachane na ushetani huo.
Kabisa ❤
Uyo nyoka anaye mpaka Sasa anampa ela,ila amekatazwa asiongee hzo habari vijana watamaliza ndugu
Bongo touch mnazingua mnatufanya watoto.
Ingependeza mtangazaji yulyule aliyemuhoji akiwa na joka amuhoji hii video,, kuna kitu kingine tungekijua
Media nyingi za kibongo habr zao utaskia alikiba kajamba, diamond kahara, wema sepetu anaugua, tafteni habr za maana watu wanachangamoto kibao, za maisha acheni ujinga msitulete habr za ujinga
😂😂😂😂😂😂😂😂 umeniuwa
Ile ya kwanza inaukweli ndani yake... jamani yule mwandishi alivyokuwa anaruka nyoka asimguse😅😅 kweli leo ni mwandishi wa vitabu? Duuuhh.
Huyu dada nimshenzi kaamua kuzuga tu ila nimchawi kwer
Huyu ni muongo sana jaman
Latifa naomba namba yako
Ila kweli we dada Ulitumia makosa makubwa sana kutumia mtandao kupotosha jamii
uyo mdada awezi kupata mume kamwe
kumbe ajakoma😊😊
Niukweli Utaigiza vipi Na nyoka Mkubwa ka yule
Mi nauliza kama ilikuwa story tu na wale wazazi wliohojiwa na ndugu je aliwapanga? Mbona mi dielewi
Ya kwanza ilikuwa ina % kubwa ya ukweli,, alaf anasema Et kuiendleza story mpk apate kibali,, kibali kutoka kwa jini au
Huyu dada ni muongo sana
Tena sio kidg
Mwandishi wa habari unahoji kiboya huna maswali yanye maana! Unashindwa kumuuliza huyo nyoka niwananan na amewezaje kupata comfidance yakumshika!
Nikwer kabisa huyu dada nimchawi tu
Muongo sasa kama ni story na huyo nyoka wa nani na umempata wapi na
ndugu yake je mbona amesema
mbona nyumba ya mwanzo na hii ni tofauti ama hawa wanatutungia hadithi za abunuasi hapa alaf nguo ni ile ile ama nyoka alisema uvae nguo hio hio
Nguo ni ile ile ya masharti 😂😂 na yule mzee kule pia alikuwa sehem ya script au😅
We fal kwel watak ukwel au watak nguo
😂😢
😅kumbe kuona huon hat kusom hujui nguo ile na hii ni moj yaaan wanaume wasiojua kuhudumia wake zao wanaish kwa kukalili haaaa😂😂😂
Nyinyi wenye chanal mnatafuta Kiki tu na uyu Dada anatafuta Kiki, ilimradi mpate viewers TH-cam na mpate pesa ya youtube, apo mwanzo ilikuwa hamjui kama anaongea uongo kuhusu nyoka, tafteni habar za maana mtuletee acheni ujingaa
Ni mkirsto baba ako amesema marina umejibadil8sha kwanini unausaliti uislam
Wanaudhalisha uislam nankuukaahif kwa manufaaa yake
Ukweli tunaujua uchawi was nyoka tunaujua wewe nimchawi kweli Acha kutuzuga
Anaficha tuu pumbafu mambo yangewageukiaaa
Sasa kumbe Alishika nn
Uongo mtupu,
Wala haielekei uongo wake.
Kashabanwa asidanganye watu, lkn na hili pia anadanganya.
Mmmh ss yule nyoka ilikuaje
Mshenzi huyu kabadilisha eti ni story
huyu anaogopa mkwala wa serikali
Kusema kweli watu walitoa laana nyingi sana na maneno yasio kuwa mazuri kama ni kweli huyu dada anavo sema ni story.paa watu wajufunze kupitia hili wasitoe hukuma kabla ya mwisho wakitendo..
❤hakika
❤❤❤❤
Na kile ulichotonyesha ni nn mdoli
Alhaji do sule alisema muongo kweli🤨
Huyu anadanganya juu mganga wake alijitokeza pia mama yake mzazi na wakamsitumu. Mshirikina wewe
unauhaki kuq niwazaz wak kwel au nimgang kwel pngn nawao wapiingzwaj kweny ilo dili lakutft kiki z kijinga
@@arafatali2796 ukweli upo fuatilia hayo mambo yake vizuri utajua hata yule mganga wake alipata wateja wengi sana duniani na amechukua hera za watu wengi sana Tanzania, Kenya na nchi zingine. Hapa serikali ya Tanzania inamchukulia hatua ya kumiliki kiumbe kama yule ndani ya nyumba yake bila vibali Sasa anajaribu kuepa na kujitakaza. Kama kweli angeonyesha bahadhi ya vitabu zake ndio tujue ukweli wake
😅😅😅😅
😂Kwenye huo upumbav akiwemo na wewe ni mpumbavu
Kiufupi Dada na wenye chanal washapata Kiki zao mjini na pesa ya youtube, wabongo wingi washazoweya kuskiliza ujinga wa mtandao na habr za ujinga
Akiwem wewe
Ata ww kwenye ujinga umo
Ni muongo sana
upuuuzi
🤣
Dress code
Na jina pia sio lako na sio msambaa
Nyoka ulimpatq wap
Kwaiyo uze kitabu na story ndio uwishi hayo maisha jaman mbona mnaona watu wajinga et
Huyu dada ni mpumbavu tu, kila kitu kina mipaka yake. Mnapofanya hayo mambo yenu ya kishirikina ama kutafuta kwenu umaarufu kwanini mjinasibishe na uislamu?
Fanya toba dada yangu usije ukaangukia kwenye ghadhabu za Allah!
Yan leo unavyo ongea nasikuile ulivyo kuwa naungea nivitu viwili tofaut sikuilee ulikuwa ata usoni ulikuwa ukionekana ķabisa ulikuwa unaongea ukweli na leo unavyo ongea unaonekana kabisa umepigwa mabiti na viongozi ndiomana unataka kutudanganya kuna watu wakikutazama2 wanajua unaongea ukweli au unadanganya
Wanasaikolojia wenyewe huwa tunaelewa, huyu amelazimisha kugeuza uhalisia.
Mh
Watu si wajinga bwana
Hamkomi tu wenzenu juz yamewakuta
Tazama video acha kukurupuka wewe
@@BongoEa Ukitazama ww inatosha🤣
@@BongoEa Bando langu bado unipangie sukununu ww🤣🤣🤣🤣
Sasa ulalamika nini kwani kuna mtu aliku force ufungue
@@BongoEa Wapi nimelalamika hebu tuliza mshono mtt wa kiume mdomo mrefu km chuchunge laza makende hayo yalolegea km nyanya ya nyongeza
Mmh
Latifa naomba namba yako