Lady Jaydee - FARAJA (Official Audio) Sms 8613473 to 15577 Vodacom Tz

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 75

  • @mjunicharles1198
    @mjunicharles1198 ปีที่แล้ว +6

    Yan hiii nyimbo toka Niko primary naiskia mpaka leo kwer jide huna Kaz mbovu😊😊😊😊😊

  • @CollyBendera-jz3bt
    @CollyBendera-jz3bt 8 หลายเดือนก่อน +9

    Faraja nakutafuta 2024 napigana mwenyewe walio sema wako na mimi siwaoni faraja nakuita upo wapi faraja

  • @sospeteriganjagabriel7944
    @sospeteriganjagabriel7944 ปีที่แล้ว +4

    Ni wimbo mzuri sana, kutokana na yaliyotokea Hanang kule Mnayara, nimejikuta nausikiliza zaidi ya mara nne pasipo kuchoka. Mwenyezi Mungu wajalie watu wa Hanang Faraja iliyo kuu.

  • @mwanaidiomari7941
    @mwanaidiomari7941 2 ปีที่แล้ว +14

    Faraja nakutafuta hauonekani?
    Mawazo yananitinga moyo unauma faraja oooh!
    Uniondoe upwekee, usiniache peke
    Dunia imenitupa ndungu wamenitupa oooh!
    Pesa hakuna, chakula hakuna
    Matatizo makubwa, upweke umenikumba
    Pesa hakuna, chakula hakuna
    Matatizo makubwa, upweke, upweke, upweke eeh!
    Faraja nakuita faraja, uko wapi faraja oooh!
    Mawazo yanauwa faraja, nakuhitaji faraja ooh!
    Faraja nakuita faraja, ukidhi yangu haja
    Dunia inanichanganya, natafuta faraja oooh!
    Wapo wengi sana, wakuhitaji faraja
    Unikumbuke sana, nami ni wa mmoja
    Ukifika kwangu, ukae mwaka mmoja
    Tutembee pamoja, nitambe nawe faraja
    Lakini ukija leo na uondoke keshoo
    Utaniachia mawazo kichwani tele mawazo
    Pindi mimi sina pesa, wengine wanatesa
    Ninapokua nawaza uwa uwa nakuhitaji faraja oooh!
    Faraja nakuita faraja, uko wapi faraja oooh!
    Mawazo yanauwa faraja, nakuhitaji faraja ooh!
    Faraja nakuita faraja, ukidhi yangu haja
    Dunia inanichanganya, natafuta faraja oooh!
    Nimezalishwa mwana, baba sijamuona
    Nyumba niliyopanga karibu ninafukuzwa
    Nimeshauza nyanya, maandazi hata karanga
    Faida sikupata, sasa nafa na njaa
    Ona barabarani wanavyo omba omba
    Nenda kwao faraja, wanakuita faraja
    Alau uje sasa ukae nami faraja
    Mpaka lini mola maisha haya mabaya oooh!
    Faraja nakuita faraja, uko wapi faraja oooh!
    Mawazo yanauwa faraja, nakuhitaji faraja ooh!
    Faraja nakuita faraja, ukidhi yangu haja
    Dunia inanichanganya, natafuta faraja oooh!

  • @rebekahosea4983
    @rebekahosea4983 3 ปีที่แล้ว +4

    Mimi Sina pesa wengine wanatesa mawazo yanauwa faraja wimbo mzuri

  • @hilalmohd8941
    @hilalmohd8941 2 ปีที่แล้ว +4

    female lion with your unique voice
    legendary forever

  • @uweragrace4438
    @uweragrace4438 3 ปีที่แล้ว +2

    Oh falaja inanikumbusha Tanzania hasahasa kipindi Cha ushauli wako kilichokua kinapita kwenye radio

  • @MamaAlper
    @MamaAlper 3 ปีที่แล้ว +10

    After hearing about the passing of our president, I came to listen to this. Such an uplifting song!

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 3 ปีที่แล้ว +6

    i love that song..❤❤❤ miaka nenda miaka rudi☝️ its my no.1 fav😘😘

    • @hilalmohd8941
      @hilalmohd8941 2 ปีที่แล้ว

      I use to call my girl faraja

  • @lucasdismas4314
    @lucasdismas4314 4 ปีที่แล้ว +6

    faraja nakuita faraja,mawazo yanauwa farajaaaa!!!! 😪😥😰😰😨😩😩😫😖😣😒😞

  • @judebellingham10402
    @judebellingham10402 2 ปีที่แล้ว +2

    Still 2023

  • @fadhilaibrahim434
    @fadhilaibrahim434 ปีที่แล้ว +1

    Ikiwa katika situations flani unaelewa hizi relics, thanks jide komando

  • @shakirajuma3908
    @shakirajuma3908 3 ปีที่แล้ว +3

    Daaaaah imeniliwaza msiba wa Jpm

  • @HawaSonata
    @HawaSonata 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nikisikiliz nyimbo hii hata kama namawazo yanapungua

  • @mathiasshayo6348
    @mathiasshayo6348 2 ปีที่แล้ว

    sijui kwanini nikimsikilizaga Jide namkumbuka Kanumba hasa nyimbo zake zikiwa na kinanda

  • @kimkimbeth7918
    @kimkimbeth7918 ปีที่แล้ว +1

    FARAJA❤🙏🏾

  • @zuriathdasilver810
    @zuriathdasilver810 3 ปีที่แล้ว +3

    2021 but i still looking this😘😘😘

  • @lichilasalumu7983
    @lichilasalumu7983 4 ปีที่แล้ว +4

    Nyimbo tamu sana hii

  • @frankmare1708
    @frankmare1708 หลายเดือนก่อน

    Thanks for your service commando jide

  • @manassehjoseph3740
    @manassehjoseph3740 4 ปีที่แล้ว +2

    Faraja u wapi faraja daaaah daima itaishi

  • @JeremiahMasunga
    @JeremiahMasunga ปีที่แล้ว

    Mama africa❤❤jay dee

  • @gwapelawrence9043
    @gwapelawrence9043 ปีที่แล้ว

    Itz always jide the commando I love the song ever
    Inanipatia faraja zaidi

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 5 ปีที่แล้ว +2

    😚😚😚😚😚😚utabaki kuwa juu komandooo jd

  • @gibrothadavid1288
    @gibrothadavid1288 ปีที่แล้ว +2

    2023😌

  • @MonicaMhina-sf4pz
    @MonicaMhina-sf4pz ปีที่แล้ว +1

    2023 FARAJA

  • @En_Diel
    @En_Diel ปีที่แล้ว

    Asante kwa kuziweka hizi ngoma, kitambo sana

  • @tangataunyake3948
    @tangataunyake3948 4 ปีที่แล้ว +4

    Thanks for this song Jide...

  • @Paty_wangu
    @Paty_wangu 5 ปีที่แล้ว +4

    forever and for always Jide

  • @jamalmigeyomigeyo7439
    @jamalmigeyomigeyo7439 3 ปีที่แล้ว +1

    Upweke ,upweke,upweeeeeeeeke

  • @brokenigga2842
    @brokenigga2842 3 ปีที่แล้ว +2

    Legend 🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @emmanuellekasango9005
    @emmanuellekasango9005 2 ปีที่แล้ว

    Hiiii nyimbo ni nzuri sana

  • @omarymussa312
    @omarymussa312 4 ปีที่แล้ว +1

    Ujawai kosea jide nakubali

  • @rajfad1
    @rajfad1 3 ปีที่แล้ว

    Tafadhali Faraja njoo kwangu aidha

  • @gwapelawrence9043
    @gwapelawrence9043 2 ปีที่แล้ว

    My favorite song faraja!

  • @florajohn6133
    @florajohn6133 2 ปีที่แล้ว +1

    2023

  • @barakamronga7112
    @barakamronga7112 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo zinazoishi

  • @meshackmlaki2066
    @meshackmlaki2066 ปีที่แล้ว

    2023 ngoma kali sana❤

  • @kidugoaggie8250
    @kidugoaggie8250 2 ปีที่แล้ว +1

    Best song

  • @dennisnyaega7823
    @dennisnyaega7823 5 ปีที่แล้ว +2

    Nmeshauza nyanya mandazi hata karanga faida sikupata...............

  • @irenejuma3276
    @irenejuma3276 4 ปีที่แล้ว +1

    2021😍😘🙏

  • @azizayahaya1767
    @azizayahaya1767 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo nzur san

  • @ipoipo908
    @ipoipo908 3 ปีที่แล้ว

    Legend 😙😙😙2022

  • @EpimackChami-g2f
    @EpimackChami-g2f 9 หลายเดือนก่อน

    Faraja nakwita faraja ukowp farajaa. Dar

  • @Khamisi-kipngu
    @Khamisi-kipngu 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @chrisgagi5376
    @chrisgagi5376 3 ปีที่แล้ว

    Farajaaaaaaa

  • @nicksonclinton5842
    @nicksonclinton5842 2 ปีที่แล้ว

    What can I say 2022

  • @mohamedmtimba5099
    @mohamedmtimba5099 3 ปีที่แล้ว

    Legend@2021🎤

  • @fadhilinzano5840
    @fadhilinzano5840 2 ปีที่แล้ว

    Legend komando jidee

  • @sashajuliannah2572
    @sashajuliannah2572 ปีที่แล้ว

    Nice one

  • @shebyshabani4620
    @shebyshabani4620 4 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭 penda iii

  • @ayubually5084
    @ayubually5084 3 ปีที่แล้ว

    Asante Jide ikae mwaka mmoja

  • @joycemarwa1566
    @joycemarwa1566 5 ปีที่แล้ว +4

    Faraja nakutafuta

  • @floriantairo5165
    @floriantairo5165 3 ปีที่แล้ว +1

    We Mdada inatakiwa upewe Ballon' d Or

  • @hmsrashd7910
    @hmsrashd7910 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @japhetkagoma6896
    @japhetkagoma6896 3 ปีที่แล้ว

    2021 pamoja sana

  • @imanimosses1157
    @imanimosses1157 5 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja jde

  • @daudmrisho1475
    @daudmrisho1475 5 ปีที่แล้ว +1

    2019

    • @mariaboniface7343
      @mariaboniface7343 3 ปีที่แล้ว

      Faraja ukowap daaaaaaah jide Dada hujawahi kosea penda ww

  • @aishamgendwa8377
    @aishamgendwa8377 3 ปีที่แล้ว

    Super woman

  • @tangataunyake3948
    @tangataunyake3948 4 ปีที่แล้ว

    💪💪❤️

  • @ramadhanmbudo1596
    @ramadhanmbudo1596 4 ปีที่แล้ว

    😢😢😢

  • @mathiasshayo6348
    @mathiasshayo6348 2 ปีที่แล้ว +3

    sijui kwanini nikimsikilizaga Jide namkumbuka Kanumba hasa nyimbo zake zikiwa na kinanda