I am so sad leo nyimbo za mapenzi zimejaa matusi! Bila matusi Mambo hayaendi!! No real Talents na kiki ndio vipaji vyao! Kuna wasanii wengi tu wa Sasa kama wangeibuka kipindi hiki Cha kipaji Cha kweli kwanza basi wasingetoboa na tusingewajua!! I miss this kind of music and thank you very much lady Jay Dee for timeless kind of song!! It's One of the greatest song ever!!
wewe mdada uliumbwa kwa sababu hii ya kuwapa moyo wa kushinda hata kma ni pagumu vipi. napenda sana uimbaji wako tangu utotoni mwangu. Hapa nakumbuka wakati nasoma primary kuna wanafunzi walichapwa fimbo kwa ajili yako maana nyuma ya madaftari yao waliandika nyimbo zako
Memories memories..umetufanyia kitu kikubwa sana kwa kipaji chako, hatutokusahau.
MUCH RESPECT
I am so sad leo nyimbo za mapenzi zimejaa matusi! Bila matusi Mambo hayaendi!! No real Talents na kiki ndio vipaji vyao! Kuna wasanii wengi tu wa Sasa kama wangeibuka kipindi hiki Cha kipaji Cha kweli kwanza basi wasingetoboa na tusingewajua!! I miss this kind of music and thank you very much lady Jay Dee for timeless kind of song!! It's One of the greatest song ever!!
Uliimba mambo makubwa katika umri mdogo, uligusa kila rika kwa nyimbo zako, nakupenda sana Jideeee
My forever artist 2024 still listening since 2002
Wenye kusema waache waseme ..big up sanaaa jideee
hakika nakupenda lady jaydee maana uliimba mambo yote mazuri ukamaliza nikisikiliza hizi nyimbo zako nawakumbuka watu wengi sana na mambo mengi saaana
My fav song... ❤❤❤
One of my favorite song ❤ congratulations jide your very talented artist
Huu wimbo nimeufahamu mwaka 2002, twenty two years ago, hongera sana dada Judith Wambura Mbibo, ❤❤❤
Wimbo bora wa wakati wote
Love jide I will always keep your songs in my heart
One of the best of you. ❤️
the classic ni noma
jide..keep gud music alive
Hii aliandika Sana.
This songs always its remains in my memories
2024 bado nasikiliza song hii
2024 still it's bomb
2023
Hatari sana
Noma saaaana
Jide she the best
2023❤
My song🥰
Huu wimbo nazeeka nao,,,
Wimbo niupendao kupita maelezo huwa siuchoki
Love u jide
❤❤❤❤❤❤❤
wewe mdada uliumbwa kwa sababu hii ya kuwapa moyo wa kushinda hata kma ni pagumu vipi. napenda sana uimbaji wako tangu utotoni mwangu. Hapa nakumbuka wakati nasoma primary kuna wanafunzi walichapwa fimbo kwa ajili yako maana nyuma ya madaftari yao waliandika nyimbo zako
❤❤
Asante tulizikosa Izi mmy
nitakupata wapi jay dee
❤🎉
Jide was the besttt
Sina Cha kukuzawadiwa zaidi Mungu akuzawadie maisha marefu nakukubali mnooo
+27💥💥💥2021
Dj kokote uliko uniwekee hii siku nikiwa nauaga ukapelaaaa😅