Tupendane - (Official Video ) Kilimanjaro Band Njenje

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 671

  • @fanuelsamuel6915
    @fanuelsamuel6915 10 หลายเดือนก่อน +33

    me bado nausikiliza 2024.....❤❤❤❤❤

  • @princetevee8663
    @princetevee8663 27 วันที่ผ่านมา +21

    Tunaosikiliza chuma hichi 2025 tujuane

  • @lynahasiko6454
    @lynahasiko6454 13 วันที่ผ่านมา +13

    2025 tuko hapa bado nione kwa mikono❤

  • @BakariAthumani-vs8lk
    @BakariAthumani-vs8lk 9 หลายเดือนก่อน +9

    Ni wimbo ambao hauish hamu kusikiliza Kaz nzuri sana

  • @thomjunior9947
    @thomjunior9947 ปีที่แล้ว +64

    Who is with me enjoying this beautiful 😍❤️ song?

  • @ngomenyikani8475
    @ngomenyikani8475 2 ปีที่แล้ว +40

    Kuna nyimbo bongo zinatakiwa ziwekwe makumbusho ya Taifa na moja wapo Ni hii nashangaa waziri wa utamaduni anafanya nini ofisini😌😌😌

    • @sumayaishengoma4543
      @sumayaishengoma4543 8 หลายเดือนก่อน

      Tena nyimbo zetu zinaonyesha kabisa utanzania

    • @constantinekitone2076
      @constantinekitone2076 5 หลายเดือนก่อน

      Hakika

    • @jonele8592
      @jonele8592 2 หลายเดือนก่อน

      Anakazi kufuatilia kina umber ruti 😅😅😅

    • @nanounakib2943
      @nanounakib2943 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @JumaHatibu-g5i
    @JumaHatibu-g5i 17 วันที่ผ่านมา +9

    2025 mpo?

  • @shedrackagawamo7991
    @shedrackagawamo7991 7 หลายเดือนก่อน +16

    Old is gold wimbo bora wa mapenzi kwa vizazi vingi vijavyo ,mashairi yenye adabu na staha ,sio uchafu wa zama hizi

  • @restitutamhoma5726
    @restitutamhoma5726 ปีที่แล้ว +156

    Nikisikia huu wimbo nahisi kulia lia2 mwaka 2000 nahic ndio ulitoka nilikuwa mdogo na niliupenda sana leo 2023 bado nausikiliza R I P Mama yangu nimekukumbuka sana

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 11 หลายเดือนก่อน +129

    Whose here 2024.

    • @marthaigogo18
      @marthaigogo18 10 หลายเดือนก่อน +1

      March 2024😊😊😊

    • @AlyeAli-cu1vh
      @AlyeAli-cu1vh 10 หลายเดือนก่อน +2

      Pole sana😢

    • @victorvictor3064
      @victorvictor3064 9 หลายเดือนก่อน +1

      Nipo Hapa

    • @bogertze3129
      @bogertze3129 9 หลายเดือนก่อน +3

      may 2024

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft 8 หลายเดือนก่อน +1

      Jun❤❤ 2024

  • @lexygeisar8303
    @lexygeisar8303 3 ปีที่แล้ว +23

    Ina lillah waina ilaihi rajiun Mwenyezi Mungu awasamehe maiti wetu wote. Alikwambie mtu ndoa raha sana upate mtu mupendane. Natamani ndoa vibaya mno ila kumpata wa Kweli ni shida

  • @MOASLLY
    @MOASLLY ปีที่แล้ว +18

    Director aliipatia sana hii vid, waimbaji wanaendana na location, shelter... Alaf wapo na Tabasam muda wote wa nyimbo... 100%%%% old is gold! ❤❤❤❤

  • @bizzybrown_tz
    @bizzybrown_tz 7 หลายเดือนก่อน +87

    KAMA BADO UNAANGALIA HUU WIMBO 2024 JUA KUA UMEZEEKA SASA 😂

    • @fatumaboi5549
      @fatumaboi5549 7 หลายเดือนก่อน

      Kweeli

    • @danyawe
      @danyawe 7 หลายเดือนก่อน

      july 2024

    • @teclaathuman5430
      @teclaathuman5430 6 หลายเดือนก่อน +1

      wazee oye sema hizi nyimbo zilikua moto sana

    • @MariamcomMariamcom
      @MariamcomMariamcom 6 หลายเดือนก่อน

      acha uongo mbona ndokwanza Nina 27

    • @MonicaDamiani-vs4ej
      @MonicaDamiani-vs4ej 6 หลายเดือนก่อน

      @@MariamcomMariamcomMimi nina mpaka 21 😮😮😮 kwahiyo nimezeeka 😂😂

  • @zuwenajuma2927
    @zuwenajuma2927 3 ปีที่แล้ว +138

    Ingekuwa. Wimbo ina waah, inama,cjui chura jmn koment zingekuwa million tatu like milion mbili lkn nyimbo kama hiz hakunaga hamasa cjui kwnn

    • @ramamudi749
      @ramamudi749 3 ปีที่แล้ว +8

      Halafu hawaon nyimbo zao zinaisha utamu hiyo bado ipo palepale

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 3 ปีที่แล้ว +5

      @@ramamudi749 Watu wa zamani walikua very talented kwenye kuimba & kuandika.Sasa hamna kitu kuna hatareeh wanaotamba leo tunaweza tusiwakumbuke tena miaka kadhaa ijayo

    • @ahmadlitwe7190
      @ahmadlitwe7190 3 ปีที่แล้ว +2

      Jueni siku hizimziki unawafanya biashara msikalili hawa wasanii wakina daimo do wanauwezo wa kutunga nyimbo zikawakosha ila ni wasaka tonge

    • @rasvegas8991
      @rasvegas8991 3 ปีที่แล้ว

      Zile ni worldwide nakipindi hiii inatoka hakuna hata TH-cam wala instar

    • @mrmea1935
      @mrmea1935 3 ปีที่แล้ว +3

      Shida sio uzuri wa nyimbo baba,sema hata hawajui kama kuna nyimbo kama hii ndio maana,lkn ni honge la nyimbo hata ikirudiwa leo itapata unachosema

  • @arnoldnicholaus3835
    @arnoldnicholaus3835 2 ปีที่แล้ว +21

    Watoto wa 80 na 90 hatuwezi kusahau hii classic.

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 ปีที่แล้ว

      Humu tuna baa zetu duhh yaani 2000 ndiyo nina mwaka mmoja aisee

    • @LinnaJohn
      @LinnaJohn 8 หลายเดือนก่อน

      Ewaaaa

    • @sunaskitchen2940
      @sunaskitchen2940 5 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @ZayanaRiyami-jl3sd
      @ZayanaRiyami-jl3sd 2 หลายเดือนก่อน

      💯

  • @briannyadida8941
    @briannyadida8941 หลายเดือนก่อน +1

    Millennials,I remember tukiishi Migori Kenya, radio free Africa..

  • @Bkbarbershop593
    @Bkbarbershop593 2 ปีที่แล้ว +38

    Quality, Quantity and Effective all in one song, jamani wimbo kama una mwezi tu vile kumbe kitambo. Old is gold 2022 August the 18th… ntarudi hapa tena na tena

    • @bensonokaga9496
      @bensonokaga9496 2 ปีที่แล้ว

      Wow. Naupenda sana huu wimbo. Waniliwaza sana.👌👌

    • @_fizzle
      @_fizzle 2 ปีที่แล้ว

      Mzee ata kila siku hapa ni noma 💯

  • @GasperDanielkulaya-jf7ct
    @GasperDanielkulaya-jf7ct 9 หลายเดือนก่อน +17

    2024 apa nausikiliza on 🔥 🔥 🔥 🔥 san hii song labla kuna mtu mwingine ata usikiliza 2040 nikiw nipo au sipo

  • @piusemma1
    @piusemma1 3 ปีที่แล้ว +66

    RIP LEGEND NYIMBO HII TULIIMBA NA MKE WANGU TUKIINGIA UKUMBI WA HARUSI YETU. HAKIKA NYIMBO ITADUMU DAIMA. HAITACHUJA. !! POLE WATANZANIA WOTE...

    • @mugadimon3563
      @mugadimon3563 3 ปีที่แล้ว +3

      Nafikiri hili dude mwenyewe nikipiga tukio kama hilo

    • @salomembuya8464
      @salomembuya8464 2 ปีที่แล้ว +2

      Hakika kila nafsi itaonja umauti pumzika kwa amani mzee wetu R.P

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 ปีที่แล้ว +17

    Innahlillah wainnah illah rajiun Allah amrehemu. poleni sana ndugu na jamaa 😭😭

  • @NelsonDisail
    @NelsonDisail ปีที่แล้ว +16

    11 October 2023. Nimerudi kuusikiiza huu wimbo baada ya mambo yanayonikuta, najikuta nakumbuka mambo mengi ya zamani 😢

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 3 ปีที่แล้ว +6

    Kipindi hicho muziki ulipokuwa muziki! Acha kabisa! Hakika tulifurahia muziki mzuri uliotuachia kumbukumbu nzuri zinazoishi mpaka Sasa kwenye vichwa vyetu! Upumzike kwa Amani Waziri!

  • @suleimantsanje2939
    @suleimantsanje2939 2 ปีที่แล้ว +24

    big love ❤ from Kenya 🇰🇪 let's hoping for the best in paradise together we shall sing the song RIP waziri.

  • @ephelkalanje
    @ephelkalanje 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kama nyota na mwezi vinga'avyo angani... ❤

  • @starbusinesslikondo1833
    @starbusinesslikondo1833 8 หลายเดือนก่อน +3

    Unajua ukiwa mmbaya katika usichana wako bas hata ukizeeka unakua mmbaya na mwisho wa siku unaitwa mchawi kumbe Wala sio mchawi nikutokana na ubaya wako Sasa kama uyo bint nkas cheki alivyo msicha na Sasa hivi Mzee ndio kazid kua mzuri❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @adamndokezi204
    @adamndokezi204 2 ปีที่แล้ว +6

    Unfogetable song Mr njenje pumzika baba Kwa amani

  • @ChristinaChikacha-y2v
    @ChristinaChikacha-y2v ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nyimbo hii inanikosh sana jamn,
    Natamani haya mapenzi yangekuwa kwenye karne hii,
    I like it

  • @jumahamis227
    @jumahamis227 3 ปีที่แล้ว +30

    R.i.p waziri ally legendary keyboardist na musician kuwahi kutokea tanzania.

  • @camilapaul5006
    @camilapaul5006 9 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu mwimbaji ndo Bi Nkasi filamu ya Bunji,kawa mama,hongera mama

  • @A-z.film-africa
    @A-z.film-africa ปีที่แล้ว +1

    Dah!!!!! Nyie huu wimbo , Vocal hii haipitwi nawakati, it's Magic Voice ❤❤❤❤

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 9 หลายเดือนก่อน +22

    Nyimbo tamu ya mapenzi hadi raha❤❤❤❤. 17/4/2024

  • @AishaGumbo-o3p
    @AishaGumbo-o3p 3 หลายเดือนก่อน +1

    @nyota waziri mzurii kitambo wallah 😍😍😍😍😍😍

  • @neema1
    @neema1 2 ปีที่แล้ว +24

    Heard this in live band in Zanzibar and I had to look it up. Beautiful song

  • @johnsonmgaya707
    @johnsonmgaya707 2 ปีที่แล้ว +36

    The melody is awesome...🔥🔥
    R.i.p legend

  • @EverlyneOkoth-zw5ey
    @EverlyneOkoth-zw5ey 5 หลายเดือนก่อน +4

    Still here in August 2024 the song still rocks it takes me to another world ❤

  • @annamanyika7772
    @annamanyika7772 2 ปีที่แล้ว +21

    Growing up listening to this masterpiece ❤

  • @enosmwangondaofficial8589
    @enosmwangondaofficial8589 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mmeniliza mimi akiiii,,daaah wapendwa wangu wengi hawapo niliotazama nao huu wimbo,,MUNGU awapumzishe vyema,nimekumbuka mbali sana

  • @kenethperez7768
    @kenethperez7768 3 ปีที่แล้ว +24

    Mzee Waziri Always did it with the smile🙌🏻 natural musician

  • @matukiomtaani7662
    @matukiomtaani7662 7 หลายเดือนก่อน +7

    2023 January 21 Baba Umeacha Wimbo Umenikumbusha mbali Sana Adi 2004 Baba Ulikua Unanichukua Kutembea Na mwanao Sehemu Mbali Mbali za furaha... Leo hii Father Haupo...! Miss u Dad😢😢

  • @lidyayohana2568
    @lidyayohana2568 หลายเดือนก่อน

    Nakumbuka mbali sana 😢😢life niliyopitia na wazazi wangu kuipenda hii nyimbo hususan mama na Leo hayupo 😭😭

  • @KashokaMuslam
    @KashokaMuslam ปีที่แล้ว +1

    Kiupand wangu mm siwezi kuacha kusikia wimbo huyu kbs ❤❤

  • @SalmaMchome
    @SalmaMchome ปีที่แล้ว +1

    Forsure this song haichuji na haitochuja daima , i wish niikumbuke niingie nayo ukumbini for my wedding day

  • @faza4023
    @faza4023 3 ปีที่แล้ว +5

    Hii nyimbo siifutagi kwny simu. Inahisia Sana,mziki umetulia. Huwa naisikiliza Kwa kutulia pia.

  • @kakacharlesofficial1241
    @kakacharlesofficial1241 ปีที่แล้ว +3

    Nuskiliza leo tena 2023 all the way from🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @YaNoah-Congo-Bongo
    @YaNoah-Congo-Bongo 11 หลายเดือนก่อน +8

    Listening to this song, it brings back to 90s where I was running down streets of Kawe Mzimuni Dar es Salaam. Bear footed and happy like everything was pefect in the world. was just another refugee Kid a victim of Kagame's war that we thought it would only be temporary which turned out to be lasting, Im 30yrs old today and the war of Guns sound so fresh and women are raped and killed today bu Rwandan army. Their cries and tears have been given a blind eye and a deaf hear. Yet it seems like Ukwrain and gaza are the only places that matter simply because their skins don't look like that of Congolese people.

    • @khozib1
      @khozib1 10 หลายเดือนก่อน

      God bless you my brother

    • @Souza_G_94
      @Souza_G_94 10 หลายเดือนก่อน

      Sorry brother we pray that the Almighty God help you guys

    • @hopekerubo-bj7ll
      @hopekerubo-bj7ll 7 หลายเดือนก่อน

      You just gave a vivid description of what is happening over there,I can feel your pain coz the mental picture is printed in my mind,freedom is coming 😢

  • @selemaniabdul9802
    @selemaniabdul9802 3 ปีที่แล้ว +3

    Kati nyimbo Bora za mduara ambazo nime wai kusikiliza mungu akureheemu waziri ina umiza ila sote tuta rejea kwake mungu😭😭

  • @josephguerino7416
    @josephguerino7416 3 ปีที่แล้ว +5

    Ni leo tu nimejua kuwa umeshatutoka kaka Ally baada ya kutazama wimbo wa Mbosso, nakukumbuka kaka. Mungu ailaze roho yako mahala pema peponi, kama kuna mbingu basi tutaonana😢 RIP Ally

  • @bintsoud
    @bintsoud ปีที่แล้ว +2

    Mastermind ❤

  • @bboynickyy
    @bboynickyy 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kibao hicho sio mchezo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 2024

  • @africanomed9002
    @africanomed9002 3 ปีที่แล้ว +7

    @mbosso #tulizana nakubalii hii nyimbo saanaa

  • @zuwenasuleiman4060
    @zuwenasuleiman4060 2 ปีที่แล้ว +2

    Huu wmbo umefny niwe n subra n nilienae 👌💞

  • @AnnoyedSunlightForest-uv2cx
    @AnnoyedSunlightForest-uv2cx 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nasikiliza huu nahisi kulia kabisa nakumbuka mbali sana

  • @gospelvibestv3914
    @gospelvibestv3914 3 ปีที่แล้ว +6

    Hapa ndo naamini kuwa Mungu aliwapa kibali baadhi ya malaika washuke toka Mbinguni kwa muda tu watuonyeshe utunzi uliiotukukaa asee.....Daah huu wimbo asee🔥🔥🔥🔥Rip Mzee Ally

  • @nanounakib2943
    @nanounakib2943 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaani nyimbo hii ipelekwe kwenye makumbusho Ya nchi haki ya mungu

  • @aishaamiry296
    @aishaamiry296 2 ปีที่แล้ว +3

    Innalillah wainailaih rajiun 😭😭😭😭 kwakweli sisi ni udongo naupendaga Sana huu wimbo nikimuuzi baby namuekea mziki huu daaah mwenyew anacheka tuu

  • @edwincain849
    @edwincain849 4 หลายเดือนก่อน +14

    Tarehe 6 October 2024 nani anaangalia mwingine Leo hii?

  • @evandan7
    @evandan7 3 ปีที่แล้ว +64

    Despite the fact that Mzee Waziri Ally he's no more, kamwe huu mziki utaendelea kuishi kumuwakilisha
    Let his soul Rest In Peace, forever he will be remembered haswaa kwa kizazi cha 95 kwenda chini

    • @davidgichuki8225
      @davidgichuki8225 3 ปีที่แล้ว

      very true

    • @damarisngei8271
      @damarisngei8271 3 ปีที่แล้ว

      may he rest in eternal peace

    • @ashuraamur486
      @ashuraamur486 3 ปีที่แล้ว

      ashura

    • @evelynekerubo188
      @evelynekerubo188 3 ปีที่แล้ว

      mboso kanileta huku

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 3 ปีที่แล้ว +1

      This was 98. I remember it clearly katika kumi bora za Radio One back in the days!

  • @mpunahamisi8510
    @mpunahamisi8510 3 ปีที่แล้ว +14

    The violin 🎻 dah inanimaliza kiukweli rest easy legend

  • @saddiqboniphace4077
    @saddiqboniphace4077 ปีที่แล้ว +8

    One of the Gold we should always be proud of ,So pure and real

  • @madenge731
    @madenge731 3 ปีที่แล้ว +4

    Daaahh hizi nyimbo zitarudi lini jamaniii 😭😭😭😭😭😭🙏 R.I.P Sir

  • @Khamah111
    @Khamah111 3 ปีที่แล้ว +41

    The legend, yes went never to come back again! However, he left us with great memories of his voice full of wisdom. RIP Ba Waziry Ally

  • @bartazaryngalambe7981
    @bartazaryngalambe7981 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuuu Kiukweli kizazi cha muziki mtam kimekwisha potea sasaivi zimekaki nyimbo za hovyo ambazo huwezi angalia ukiwa na familia yako apumzike kwa amani wazil ally

  • @FATMAJUMA-r5l
    @FATMAJUMA-r5l 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nalipenda sana hii nymbo tam sana

  • @muhammadomar1787
    @muhammadomar1787 ปีที่แล้ว

    Hatareeee❤❤❤❤❤❤❤ hii haichuji hata siku moja.time flys so fast

  • @gmafwolo
    @gmafwolo ปีที่แล้ว +1

    Tangu zama mpaka leo bado ni moja ya nyimbo bora sana

  • @AbdulkarimuMtavu
    @AbdulkarimuMtavu 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwel kibao ni kizuri sana ni kibao pendwa afrika mashariki na kati

  • @harrishussein6992
    @harrishussein6992 2 หลายเดือนก่อน +10

    December 2024 nani anaangalia hii

  • @khamishamdan8014
    @khamishamdan8014 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana huu wimbo tena sana utadhani umeimbwa 2023 hautosahaulika hta kidogo

  • @luuborafia5796
    @luuborafia5796 3 ปีที่แล้ว +14

    Rest in peace, Mungu amlaze pahali pema peponi. Beautiful song ❤️

  • @nshimirimanaomar8149
    @nshimirimanaomar8149 ปีที่แล้ว +1

    Old is gold hakik sisi watot waleo tumeupenda sana uyu wimbo sio kam za leo eti we zombie😂

  • @elizabethleonard1809
    @elizabethleonard1809 2 ปีที่แล้ว +2

    Iove this song's sauti zako mutual burudani🥰🌹pumzika kwa Amani 🤲 Mzee wetu

  • @muthonispa01-10
    @muthonispa01-10 2 ปีที่แล้ว +2

    Finally am here .

  • @yonathanandrecus7465
    @yonathanandrecus7465 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ilikuwa 2004 tunaangalia TVT daaah siku zinaenda sana now ni november 2024

  • @IshengomaSamwel-ek9hh
    @IshengomaSamwel-ek9hh หลายเดือนก่อน +1

    Jamani nimekumbua mbali sana acha nilikua na mpezi wagu alikua ananiimbia sana ata mm nilikua nalegea sana mana nilikua nampa sana ata yeye ila shetani ni mbaya sana alivyo kwenda kwao akaumwa gafua akafaliki ata picha ninayo

  • @naimabdul1231
    @naimabdul1231 ปีที่แล้ว

    Daaah wazir na nyota kazi nzuri jaman mmmh hatari sana

  • @Lilmbunah
    @Lilmbunah 4 หลายเดือนก่อน

    There’s no future without the past what a masterpiece ❤

  • @tamimumzamilu2726
    @tamimumzamilu2726 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii nyimbo nikisikiliza inaibua hisia kichiz sooo apriciate sana

  • @MohamedMohamed-em2ye
    @MohamedMohamed-em2ye หลายเดือนก่อน +1

    Kama unamaliza mwaka 2024 unasikiliza huu wimbo ukiwa wapi

    • @masalakatemi6790
      @masalakatemi6790 13 วันที่ผ่านมา

      Katahoka biharamulo kagera

  • @martinerichard5827
    @martinerichard5827 ปีที่แล้ว +1

    Daaah niondoke sasa kwa wazee maana hii nyimbo inatoka tayari mdimi mkubwa tu teh teh teh

  • @hatibuabdulla1039
    @hatibuabdulla1039 ปีที่แล้ว +3

    Old is gold 🥇 still good 💯 2023 waliimba kwkwel mkokota one still I love this song

  • @thelatestvideos6266
    @thelatestvideos6266 3 ปีที่แล้ว +4

    i nyimbo inaishi🔥🔥😊😊 Achana na aawa wa skuiz wako busy na Amapiano

  • @saloom4902
    @saloom4902 11 หลายเดือนก่อน +9

    Mama yangu naamini huu ni wimbo wako penda siku zote Allah akupe kheri na noor kwny safar yako NAKUPENDA SNA PUMZIKA KWA AMANI NA FURAHA❤❤❤❤❤

  • @herbetkitio6579
    @herbetkitio6579 2 ปีที่แล้ว +2

    From all I have these is one I love the most

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen5833 3 ปีที่แล้ว +2

    💕💕💕 endelea kumpunzik kwa amani

  • @AbubakarShwaibu
    @AbubakarShwaibu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Naielewa hii sana

  • @MauBonde
    @MauBonde 6 หลายเดือนก่อน +1

    Namkumbuka mzee wangu rip..😀

  • @linanyange6382
    @linanyange6382 ปีที่แล้ว

    Siwez kukaaa wiki bila kusikiza 💪🔥🔥hot song 🎵

  • @mulindamulinda6410
    @mulindamulinda6410 5 หลายเดือนก่อน +1

    Very fantastic song ❤

  • @KuluBaby-j5g
    @KuluBaby-j5g ปีที่แล้ว

    Ni moja ya nyimbo ambayo inanifanya nisichoke kuisikiliza ❤❤

  • @mwadawaibrahimmohamed6089
    @mwadawaibrahimmohamed6089 6 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri sana❤❤❤ hongereni

  • @beatboy30
    @beatboy30 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo zisizo kufa kabisa yaaaaaan 2024

  • @elisamehecharles5432
    @elisamehecharles5432 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ogaaah! Baada ya kumuona Nyota Waziri kwenye Bunji ikabidi nije hapa

  • @thestorybook1132
    @thestorybook1132 3 ปีที่แล้ว +31

    Legendary song
    Rip WAZIRI ALLY
    Wote njia yetu ni moja

  • @YustoMaganga
    @YustoMaganga 4 หลายเดือนก่อน +2

    Leo ni tarehe 24 /07 /2026 nipo nasikiliza hii nyimbo ASANTE MUNGU kwakunijalia afya njema🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @oxygenthemimi1600
    @oxygenthemimi1600 3 ปีที่แล้ว +43

    Wimbo nilikuwa naupenda sana huu when I was a kid daaaah mashairi mazur melody kali vipaji

  • @efraimrichard6440
    @efraimrichard6440 3 ปีที่แล้ว +2

    R. I. P legend wazir ally inanikumbusha mbali sana hii nyimbo daaaah nlikua kijana ndogo enzi izo😭😭😭😭😭😭

  • @fahmybinsalum5539
    @fahmybinsalum5539 8 หลายเดือนก่อน +6

    2029 now and still listening to this masterpiece. 💥😍

  • @matulanga5269
    @matulanga5269 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika Sisi Ni Wa Mungu Na Kwake Tutarejea 😢

  • @charleslutobeka8231
    @charleslutobeka8231 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamaniiii wimbo mtamuuu huu japo zilipendwa!

  • @Chitukuro
    @Chitukuro ปีที่แล้ว +1

    Inafariji na the song brings back the old memories..Dah