Hawa wasanii tukiwaona social media tunawachukulia poa saana hata kuwatukana mitusi hovyo ,ila ukweli Hawa watu walituburudisha na kutufurahisha saana, they're legends.
I grew up listening mother play this song. Im now 24 and the song still hits like yesterday. Lady Jay Dee you are a Queen and a True Legend. I celebrate you from Kenya🇰🇪
Nalingi yo,naleli yo,naza na posa na yo. motema na ngá ezo kanisa yo,ozali mosika na ngá. lingala part 🇨🇩 2024,et c'est toujours chaud 🔥 Respect légende 🙏
Ulikuwa binti mama, binti msanii bora zaidi katika wasanii wa kike wote waliowahi kuimba tz. Ndiyo nina sababu za kusema hivo maana ni moja ya wasanii wa mwanzoni kabisa kupata tuzo za nje tena nyingi kabla awajaanza kwenda kuchukua za mchongo, msanii uliyefanya korabo nyingi zaidi kwa wasanii waliokuwepo na waliopo tz..ww ni wa mwanzoni kabisa kufanya kolabo za nje tena za kushirikishwa na si za kushirikisha.. huu wimbo ulikuwa heat song
It reminds me of my past when I was a primary kid when life to me was a comfort zone. When I could drink a cup of cold, thin(maziwa kwa ubali) and sugarless tea in the morning and I was fine with it. In those days we could not afford a tv set so we had to bow for the 'rich' family just to watch at least a wrestling match once a week.
😂😂😂you have described my child hood days....you couldn't afford to annoy a kid from a rich family at any point coz man you could be left behind when it comes to watching tv
Commando Kama commando Up today there is no female artist we can compare with You This song was so hot I remember that time I was standard 5 pupil😂😂😂 It's just like 2006 Respect to you comnando Hide Ulifanya kazi nzuri Sana Na Umekua Kioo Kwa wasanii Wa Sasa Japo wengi hawajafikia uwezo wako
A little throwback kwa mashabiki zangu, Please share and subscribe in my channel.
A great song
😘😘😍😍 more than 15 years enjoying the masterpiece. Please upload faraja (remix)
Thank you for our endless Joy❤️
Dada mwanamuziki... kazi zako zitaongea milele💥💥💥
Tunaomba Lyrics yake uwa namung'unya mengine
Nani anafurahia adi Leo 2024 🎉🎉🎉kwako ledy jedy.
Who is listening this 2024?
👆
Kutota Mtwara-Masasi,kusini mwa Tz...
Nze nkwagala nkwagala nkwagala nnyoooo, omutima gwange gukulowooza Naye Oliwala nyo nange.. Ugandan part. Ugandans still love the song.
Wale wa 2024 tujuane❤
Hawa wasanii tukiwaona social media tunawachukulia poa saana hata kuwatukana mitusi hovyo ,ila ukweli Hawa watu walituburudisha na kutufurahisha saana, they're legends.
Hatari
Sana ni wamoto kweri
Kama wewe bado ukingali unafatilia mziki uku mpaka mwaka 2023 gonga like hapo
huu ndio muziki wa TZ, siyo amapiano
Yaani nimelala nikajikuta naimba wimbo huu chap ikanibidi niamke niunge kabando ka 500 nikuone kwa ukaribu zaidi 🥰🥰 2022 November we love u so much 💞💞
When someone ask me who is best female artist all of the year my ans is lady jaydee u can't campare this lady with anyone mungu akutunze jadeeee
I'm so happy just because our language Lingala from DRC is well spoken by her.
Kbsa i agree with you 100%
I grew up listening mother play this song. Im now 24 and the song still hits like yesterday. Lady Jay Dee you are a Queen and a True Legend. I celebrate you from Kenya🇰🇪
Nalingi yo,naleli yo,naza na posa na yo.
motema na ngá ezo kanisa yo,ozali mosika na ngá.
lingala part 🇨🇩
2024,et c'est toujours chaud 🔥
Respect légende 🙏
Wale wa baada ya jamii forum kupost tukaja tenaa tujuane
Ulikuwa binti mama, binti msanii bora zaidi katika wasanii wa kike wote waliowahi kuimba tz. Ndiyo nina sababu za kusema hivo maana ni moja ya wasanii wa mwanzoni kabisa kupata tuzo za nje tena nyingi kabla awajaanza kwenda kuchukua za mchongo, msanii uliyefanya korabo nyingi zaidi kwa wasanii waliokuwepo na waliopo tz..ww ni wa mwanzoni kabisa kufanya kolabo za nje tena za kushirikishwa na si za kushirikisha.. huu wimbo ulikuwa heat song
The guy on the base guitar needs an Oscar! Too good
We grew up listening to this,man those days were something else. Much love from the 254
Mama yangu alikuwa shabiki yako nyumbani kanda zako tu ikanifanya na mimi niupende mziki wako
😢😢🤩🤩 hizi nyimbo hata nisipokula nashiba to 2023
It reminds me of my past when I was a primary kid when life to me was a comfort zone. When I could drink a cup of cold, thin(maziwa kwa ubali) and sugarless tea in the morning and I was fine with it. In those days we could not afford a tv set so we had to bow for the 'rich' family just to watch at least a wrestling match once a week.
😂😂😂you have described my child hood days....you couldn't afford to annoy a kid from a rich family at any point coz man you could be left behind when it comes to watching tv
The old sweet days😂
Life was real and humble
Nilikuwa natumia huu wimbo Kutongoza wasichana and nobody turned me down.❤❤❤❤ Lady jay Dee Nakupenda Bure ❤❤
Namtafuta huyo mdada mwenye vikopa kopa , mwenye kumjua jina na wap naweza kumuona!
Utamkuta Kashaolewa ..Nyau Ww😂😂
Back in the days, love from Uganda. Nkwagalanyo Jay dee
Daah enzi hzo kabinti now nina watoto 2 lady jayd 🔥
safi sana likes nyingi kwa mwanadada
jamanii weee dada jedee nakukubali mpaka kufa
I say, I'm so happy just because our language Lingala from DRC is well spoken by her. "Nalingi yo" or je t'aime 💛
Really I'm so happy to hear that.
Still 2023❤
Msanii wangu wa kike wa mda🔥🙏🙌 wote
Baada ya jamii forum kupost ndio tumekuja kuutazama
September 2024 From Kenya 🇰🇪 Machakos, Nice balad from the G.O.A.T Queen of Bongo.
Song used to play more in childhood days, all East African languages were covered
One of the best songs ever made. Thank you Lady Jay Dee ♥️
🎉❤❤❤ 2024 ucku wa manane 🥂
Supa nyamwela kitambo sana ona iyo nyimbo jina nimelijua leo😂😂😂
Aisee tupo wengi 😂
My favorite musician from tanzania
Wimbo wanikumbusha mbali
Niko bize na kudance jamn💃💃💃2023 like tujuane
💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿this was another banger 🔥🔥 back in the day
Much love from Uganda, nkwagara nyo
Mi niko bze na ma dancer 💃 😋
Its like I hear background vocals of lady TITI from Uganda 🇺🇬 in this song ? Kindly enlighten me 🙈
Yeah me too
Shabiki wako kutoka Rwanda 🙌🏾
Watoto wa 2000 awawezi kutuelewa when tunasikiliza izi nyimbo...this time
Watoto wa 2000 walisikia huu wimbo around 2005/6
Yaani kitambo Sana 2004 na 2005
Nimerudia kusikiliza zaid ya mala kumi #Distance...iyo miuno yaumo kama namuona joti vile
One of my favorite songs from comando jide.... 2023 still nausikiliza
Hiii wimbo nilikuwa dance kuma sherehe za ndoa nakumbuka utoto wangu aksanti wimbo nzuri
Now this is the kind of songs we want,not honey,honey
Bringing back my highschool memories in 2000s.
Nakupenda j dee ,enzi hizo nakaa kimara korogwe,ulikuwa unakuja kwa rfk yako christina Manongi, au sinta.hatareeeee
My best artist ever❤❤❤❤
Nani anajua kuwa nyimbo hii Lady Jaydee alimuimbia Marehemu Gadner
Mara nyingi peke yangu nitembeapo njiani nakumbuka huu wimbo mpaka napata kiwewe.
My favorite always❤🌹
Nilikuw darasa la tatu seblen tunawek vcd bingwa za bongo hii ilkkuw no 3
So nostalgic.
Leo nimekumbuka hii song ever in my memory 🎶🎧
Wanimaliza na hii nyimbo Mungu akubariki
Who is listening this 2024🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Good Music 🇹🇿 2023
Old is gold
Goma limechangamka hilo japo kuna lugha kama zote hapo wengine hatuelewi lakini burudani
Commando Kama commando
Up today there is no female artist we can compare with You
This song was so hot
I remember that time I was standard 5 pupil😂😂😂
It's just like 2006
Respect to you comnando Hide
Ulifanya kazi nzuri Sana Na Umekua Kioo Kwa wasanii Wa Sasa Japo wengi hawajafikia uwezo wako
2006 nilikuwa class 5. This song...
@@denisanyoli7893 bila Shaka tulimaliz wote 2008 na 2012
Mambo yetu ayoo ya zaman tulimwagilia mioyo yetu kwa hizi song
😂😂😂😂
this song makes me emotional for real...... much love from Kampala
Still very new❤
Genius princess lady jaydee
this was a hit in Uganda
Daaa,,,hadi machozi nakupenda cct Jey dee
Ahsante sana Jaydee🥰🥰
2:14 Binti hauna mpinzani hata Kwa kina Dada WA kizazi kipya
Me and my baby watching this song now .... time flies so fast
Jay Dee katurundisha nyuma
Hii ndio muziki sasa
I'm here..2025loading
Lady jay Dee will always be my favourite.
😂😂😂omg Daah nmekumbk mbali sana 😓😓Daah pure music
Enzi zileeeeeeeee
Wanderfull
Gone are the days, you're a living legend
🔥🔥🔥
Enzi hizo 🔥🔥
Queen 4L 💕
Jay dee umetu throughback
12.10.2004 miss you mum💔
Queen on fire 🎉🎉🎉🎉
Finger this comment with a like if you are here in May 2024 the year of our Lord
Still watching
Woooow mrs legendary
long time
2024 May❤❤
Kali san hii kitu
2021 twende wote
Jide way back now is 2022
2023😘😘
Am inlove
Elle est congolaise ??
Still banger 💥💥🔥🔥🔥
Naikumbukweeee
Good
Please upload the video for Siri Yangu
Wow