Tega sikio makini nikueleze ... Hakuna tamu penzi la milele ... Muda unaenda mwenzenu mm nagundua 🎉🎉🎉🎉siwez sema kuwa sitapenda Tena...moyoni najua ninalo penzi la milele ❤
Woow Just Woow.....first time listened to this song Soko Matola,Mpanda nikiwa na miaka 10, 2004. Leo tena nauskiliza nikiwa New York Marekani mtu mzima na Family yangu. Thanks Jide
Huu wimbo hauchuji jmn aliyetengeneza beat apewe maua yake bass guitar imekaa penyewe. Enzi hizo tunakata magazeti yenye hizi nyimbo tunabandika kwenye macounterbook ❤❤😂😂😂😂😂😊😊😊😊😊
Enzi hizo nabarehe halafu huu wimbo unatoka ndani ya album tape ya machozi. I had my first love hiki kipindi 2003 halafu akanitenda. Huu wimbo siwez elezea ulivyonibeba hicho kipindi
Nakupenda bule dada Judith. Kuanzia album yako ya mwazo hadi sasa your still my favorite female singer in East Africa. Imana ikuzigame ningali nategemea mengi mazuri kutoka kwako dada
Keep the good music alive 2024❤
Tega sikio makini nikueleze ... Hakuna tamu penzi la milele ... Muda unaenda mwenzenu mm nagundua 🎉🎉🎉🎉siwez sema kuwa sitapenda Tena...moyoni najua ninalo penzi la milele ❤
She is the queen of bongo. No one will ever match her. Nakupenda sana Jay Dee.
kama unamkibali jaydee, gonga like😍
Naipenda sana hii nyimbo, na ndiyo maana zinaishi
2024 october Still fresh n clean.....The queen of East African music.....LEGEND
Huyo aliyepiga Base ni noma sana..
Aliyekupigia bass guitar 🎸 aiseee ni Habari nyingine
Kaua
Jamaa alikuwa mwamba kweli kweli kama jina lake Mikka Mwamba
Ukweli kabisa
wow! I thought I was the only one saluting the prowess of the bass guitar player.
For 16 years I have been searching for this song. Thank God I found it🙏🏿
Ukipitasehem inaimba hiinyimbo lazima mwendo ubadilike ❤hatal sanaaa
This is my best hit from you,it reminds me of East African TV in 2003. Greetings from Uganda.
Who is here with me 2020nice song ✍️🤦♀️😘
U damn right
Me aisee ❣️❣️❣️
Popote ulipo gonga like na mpe maua yake producer wa hii ngoma mtu wa kazi Mikka Mwamba🎉
Woow Just Woow.....first time listened to this song Soko Matola,Mpanda nikiwa na miaka 10, 2004. Leo tena nauskiliza nikiwa New York Marekani mtu mzima na Family yangu. Thanks Jide
Kaka mkubwa
Huu wimbo hauchuji jmn aliyetengeneza beat apewe maua yake bass guitar imekaa penyewe. Enzi hizo tunakata magazeti yenye hizi nyimbo tunabandika kwenye macounterbook ❤❤😂😂😂😂😂😊😊😊😊😊
2024 September 1st I love this type of music...one love from 254
Good Music We Use To Dedivate Our X, Sio hizi za kina Mariooo kurudiana na x bora kufa.
Hii ndio miziki sasa yaan inaishi nadhan wahenga wanajua mwimbo kama huu ukipiga nadhan lazima ukumbuke kipindi hicho ulikuwa wap na unafanya nini
Kwel kbsaa
Sanaaaaa
@@aishayusuph5381 kumbe tupo pamoja mhenga mwenzangu kitu cha 2013
@@saumumaganga3590 noma sana
@@andrewkilave3532 sanaaa tu iz ndo zetu
Safi Binti Machozi! Tuwekee nyingine nyingi tu za enzi humu humu
November 2023 gem reminds me of lower primary times😢
Enzi hizo nabarehe halafu huu wimbo unatoka ndani ya album tape ya machozi. I had my first love hiki kipindi 2003 halafu akanitenda. Huu wimbo siwez elezea ulivyonibeba hicho kipindi
Huu wimbo ipo siku utakuwa bonge la hit
Midundo na sauti no safi, ujumbe mwanana!!
Huyu ndie binti machozi tunaemjua sisi toka enzi za mkoloni mpaka sasa ajawahi kuchuja kwenye game.
03/09/2024 nasikiliza hii nyimbo
Nasikiliza ngoma hii 2021 wangap tup
Na njaa li8
0l
momi
m
K oo
7mì88to
2024 one of my favorite song❤❤❤❤
Naipenda sana hii nyimbo 9/10/2023
Bass guitar 🎸 inanipa goosebumps uwiiii
Kazi ya producer mikka mwamba
2021 .. this song still a master peace!
Still have the albumn, East African music (Tanzania, Kenya and Uganda 🔥)
My alltime perfect song.I really miss tgis days artists used to create content.Thank you Jidee for doing this track.God bless you.+254 czac prime
My favorite since day one❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Commando mwenyewe bonge.ya.ngoma.ya.ukweli
It's 2021 and still one of my favourite song ever
These songs tuimbie na hii quarantine
Nakupenda bule dada Judith. Kuanzia album yako ya mwazo hadi sasa your still my favorite female singer in East Africa. Imana ikuzigame ningali nategemea mengi mazuri kutoka kwako dada
This is what we call good music,she knows well to express herself
Fact
Exactly
Ni kweli kabisa hii ndio music
I love this song " Siri Yangu" from A_Z❤❤❤. Thank you Lady Jaydee🙏🙏🙏. I love you from Rwanda 🔥
From her heart...sing is so practical in certain circumstances.
It's jams like this ❤️ we live for
Nani nimuambie Siri yangu🥹🥹
Best lady wa bongo
One of the very best songs ever made by our great East African melody geniuses.
Jide baby forever she shines 😘
This song made me realize life of an adult love
2023 baby, Jamming to this jawn like it just dropped.
Nakumbuka mbali sanaaaa
Nakumbuka kipindi hicho 2003 wakati mdg
Naitazama 2020 kama naww Upo like tuende pamoja
I love you jide
December 2023
Pure talent. Music like this never fades.
July 17 kesho 18 birthday yangu still nacheki 2020
Nyimho tamu Sana
Takes me way back.
Siri yanguuuu
Dear Lady Jay, ninakumbuka hii nyimbo katika miaka ya ngu ya ujana, ninakupenda sana na nyimbo zote zako , lakini hii ni exception
Ujumbe umenigusa tangu ulipo utoa wimbo huu mungu akubariki sana
music its all about feeling and this remind us on back in days when music was music
Hey Jaydee napenda Sana hii ngoma sana,,,I love you
My lifetime best song from Jidee
Every time i listens to this song, it's like i'm listening to it for the first time.
Niliwahi kumwimbia mpenz wangu sema una chotaka
Dah WIMBO mzuri jmn 😥
Love from Nigeria
Fan Since 2007.
Exactly the good hit
Nakupenda sna dadaangu lady jaydee uko pekeako na hato tokea lady jaydee Kam wew never nakuombea miaka mingi uishi dadaangu
Kuna wakati unaweza kusema mungu wako yuko wapi lakini tambua mungu yupo nawe mda na wakati wote
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nafunga mwaka nayo.
Muziki mzuri tulioukosa kwenye kizazi cha sasa
Nyimbo tamu Hiiii
Love ths sng
i always i love u dada yangu
Huu wimbo una mafujzo tele kwa wachumba.
Oyooo
From those years we never understood what the true meaning of this song, nakumbuka udogoni
Ngoma kali miaka yote ❤️😭
Hii nyimbo naipenda mno
nyimbo tamu mwanzo mwisho hakuna hata kauchungu kidogo
Nasikiliza nyimbo kwa kweli bado ipo kwenye order
I love the song.
Nlitafuta Sana hii ngoma we ndo komando wetu
2023 this song is slapping like waaaaaaat.
Great music 🙏🙏🙏🙏🎧👂👌👏
what a blessed talent 😍😍 more life and more blessings madam
🔥🔥🔥madam
Good advice sister ❤️❤️❤️
We music was talent
What a nice song in 2021
Safiiii
Still listening 2023
Uwez fananisha na miziki yakileo
safii tuu DWM4everebody
Nyimbo nzuli sana
Música da minha infância, dá recordar.
wooow. I cant get enough
today June 2024 Binti Machozi 🔥
Aki miaka wewe
Noma sanaaaa
Usiusemee moyo