Asante sana dada kwa mafundisho yako hakika leo nimerost ndizi vizuri nimeijoy nimezoea tu mchemsho mungu akubariki tufundishe basi kurost kuku kienyeji
my dia ur a life saver kwa mara ya kwanza nimepika ndizi zimelika mpaka watu kugombania aisee wanangu hawapendelei ndizi lakini juzi kwa kufata recipe yako wamekula mpaka nimeogopa thank u ubarikiwe
Asante sana kwa somo mpenzi,naomba uliza je kma natumia ndizi ngumu sana itafaa hvo kukata kubwa halaf pia meishiwa na nyama nataka tumia kuku badala yake mana huku nilipo ksho hakuna maduka ,So nikichemsha kuku pia niweke kma hyo nyama uvokaanga kabla ya ndizi ama
@@benignisjohn6296 siigizi ila ndio uhalisia, tatizo la watu hatutaki kuambiwa ukweli, tukiambiwa tunachukia, sasa minywele hyo matimutimu kwa nn usivae kofia,we huoni kama nywele zinaweza ingia kwenye chakula,ndio kwangu navaa ikiwa nmefumua nywele,na ni kawaida yangu pia kuvaa kofia,
The best way is boil meat if ready put ndizi in side and it keeps boiling. Then fry spice everything together and pour in side meat mixed with ndizi. This method u will see ndizi become soft compare to the one u put in spicy sauce ok . Am a Ugandan and matoke is our best food but we cook like as I show u .
Hiyo wigi tu kipenz ndo imeharibu hukawii kutulisha unywele ila pishi ni hatar Mama nimekukubali walinielewa last week nikawawekea na 🍷 🍷 🍷 baada ya kushiba 😘 😘 😘 😘
Nimei jaribu recipe hii mara tatu na leo mara ya nne kwasababu nimeipenda sana sana! Asante sana dada kwakui share recipe simple na healthy kama hii! Mi na bf wangu tumei enjoy sana huku canada. Umeni peleka mbali sana nilipo kuwa mdogo nyumbani mtwara. Asante dada ❤️
Inategemea aina ya ndizi, next acha zichemke mpaka ndizi zilainike, test na uma ipite kiurahisi, maji yakipungua ongeza kidogo huku ikiendelea kuchemka
waoooo jiko Safi mapishi ndo usisem panavutia sn Asante kwa mafunzo
Nilijaribu jana kupika...Ikikua tamu sana hadi mtoto wangu kasema leo tena nipike....Asante sana
Asante sana dada kwa mafundisho yako hakika leo nimerost ndizi vizuri nimeijoy nimezoea tu mchemsho mungu akubariki tufundishe basi kurost kuku kienyeji
Asantee
Thanks siz kupitia wewe nitajua mapishi mbalimbali but hili somo nimelipenda sana
DA aah hongera Sana natamni kujifunza zaidi na zaidi na we za kupata no
Asante dada kwa mapishi mazuri ya matoke,chakula kinapendeza saaaana😘😘😘
Asante dia 😘😘😘😘
duuh mie pia ntajaribu....unafunza vizuri sana
Hongera sana unajua kufundisha vzr
Rosti ya ndizi nyamaa... fantastic....Mimi pia ni sheaf....wewe unapatikana wapi
Nimeipenda rosti lako, upo vzr mungu akubariki
my dia ur a life saver kwa mara ya kwanza nimepika ndizi zimelika mpaka watu kugombania aisee wanangu hawapendelei ndizi lakini juzi kwa kufata recipe yako wamekula mpaka nimeogopa thank u ubarikiwe
Nafurahi kusikia hivyo
asha Mahmoud
Asante sana kwa somo mpenzi,naomba uliza je kma natumia ndizi ngumu sana itafaa hvo kukata kubwa halaf pia meishiwa na nyama nataka tumia kuku badala yake mana huku nilipo ksho hakuna maduka ,So nikichemsha kuku pia niweke kma hyo nyama uvokaanga kabla ya ndizi ama
Kama ndizi Ni ngumu itabidi uzipike kwa muda mrefu au ukate nyembanyemba. Kuku pia itafaa kwa pishi hili.
Thankyou sweetie 😍😍love from Germany
Asanteee sana dada kupitia ww nimepika chakula kitam sana leo
Asante dada nimependa mapishi yako nami ntajaribu
nimependa dada the way ulivyopica i appreciate u
Asante sana dada.Nimekuwa nikitafuta recipe ya ndizi mda mrefu
Amejaribu shemeji yako,imekuwa mzuri
Nafurahi kusikia hivyo!
Asante siku hizi napika hadi naulizwa umesomea wapi upishi. Ubarikiwe sana dear
🤣🤣🤣 Safi sanaa
Yaani usafi na sauti imefanya chakula changu Leo kimekuwa kitamu shukrani sana mrembo
Mapishi bora kweli hongera
Shukran Dada,nimeipenda.Mungu akubariki
nimependa upishi wako dada lkn ungevaa kofia kichwani dada ndio vzr na sheria ya mapishi asante
ZAHARA MSAFIRI nyumbani kwako ww uwaunavaa hyo kofia? ach kuigza maisha 😏😏
@@benignisjohn6296 siigizi ila ndio uhalisia, tatizo la watu hatutaki kuambiwa ukweli, tukiambiwa tunachukia, sasa minywele hyo matimutimu kwa nn usivae kofia,we huoni kama nywele zinaweza ingia kwenye chakula,ndio kwangu navaa ikiwa nmefumua nywele,na ni kawaida yangu pia kuvaa kofia,
acha kututoa mate ya dharura😂😂😂😂bt asnte kwa mafundisho yako nafurahi sana nimejifunza kitu kutoka kwako dear thenks
Nimezipenda hatari asante my
Nimependa sana mpishi yako 💯
Asante!
Hii ndo napika lunch 🤸🤸🤸🤸🤸...nawaalika nyote Bora mje na appetite
Asante 🤗 tutakuja na Avacados
@@MegatHomeSwahili it was so sweet,,,my family really enjoyed...big up
Hongera dadaangu unafanya vyema Sana
nami nimdau wamapishi
Asante nimeelewa ss joy nip dodoma
dah nimelipenda sana lost la ndizi dah na Mimi nitapika siku moja Mimi nimezoea kupika but hua nafel kitu kimoja tu kwasasa nishakipata asante
we mwalim mzuri wa mapishi big up...
Thanks
Nzuri sana dada👌👍⭐️😋🙏🇬🇧From London
Dada umenitamnisha kula na shukur kwa mapsh mazri san
Waaaooo Dada magie bila shaka wewe ni wa kwetu maana si kwa usafi huo si kwa mapishi hayo lzm Leo nikapike ndizi aisee
kama na wewe ni mmoja walioacha kuangalia mapish na kucheki jiko like hapa😂😂👍
Hizo Ni Ndizi Aina gani
jiko lake ni zuri kweli,na kisauti chake hahaha!
Simba
😁😁😁😁😁
@Nyaki Mwache vipo ujatafuta tuu
Asante kwa hii recipe dada nmejarbu imetokea vizuri sana
Shukran dada Leo nimepka yan ad Mme wang amependa
Safi Sana👍
Mashaallah Dada nimejifuza uko vizuri
Dada nakupenda ile balaa you know how to teach us especially this generation endelea kutufundisha wasichana wenzako
Camilla Evaristo wapo wat wanafany kaz ilimlady apate pes lakn Dada nakukubali San unajuwa kumuelekez MTU mpk anaelewa ongera San
Camilla Evaristo nic
Mwalim mzur kbs.....Hongera
👌👏👏👍 pishi zuri sana 😗😗🙌ntajaribu
Hongera kwa mapishi ila hizo sufuria zako ni fire unanunua wapi nimezipenda
Nmependa mapishi yako
The best way is boil meat if ready put ndizi in side and it keeps boiling. Then fry spice everything together and pour in side meat mixed with ndizi. This method u will see ndizi become soft compare to the one u put in spicy sauce ok . Am a Ugandan and matoke is our best food but we cook like as I show u .
Good.
Nimepanda Mungu aiweke😋😋😋😋❤️
Thnx sasa twahitaji kujifunza biriani la kuku dada
Nice mapishi bomba kabisa mm nimependa n usaf wa jiko❤❤
Meipenda upo vizuri sana
Next usiangushe chakula ukipika. You are clean and neat.
Hongera sana Rafiki, nimependa usafi wako wa jikoni, pamoja sanaaa!
Asanteee dha batsman
Mh asant
Hiyo wigi tu kipenz ndo imeharibu hukawii kutulisha unywele ila pishi ni hatar Mama nimekukubali walinielewa last week nikawawekea na 🍷 🍷 🍷 baada ya kushiba 😘 😘 😘 😘
Lositi lako nizuli sana ila samahani kwakufundisha upishi dada je hiyo nazi ukifunika haikatiki dada
Ndizi umejua kuipika😘😘😘
Asante, Raha ya ndizi ipate mpishi 😘🥰
Ma bush women ka Mimi tumejifunza leo shukrani
Asante sana dadangu umentamanisha
Nimei jaribu recipe hii mara tatu na leo mara ya nne kwasababu nimeipenda sana sana! Asante sana dada kwakui share recipe simple na healthy kama hii! Mi na bf wangu tumei enjoy sana huku canada. Umeni peleka mbali sana nilipo kuwa mdogo nyumbani mtwara. Asante dada ❤️
Nafurahi mmeenjoy keep watching Meg at Home 😍
Hongera sana nimejifunza
Wow chakula chako ni kitamu sana swali langu ni... na wenza kula pamoja na ugali???🍨🍨🍨
Ndio
Woooow unanikosha dadaaa well done
Waoo nimeipenda sana❤❤
Hongera San dada pishi zuri sana
Asante kwa upishi bora
Asante sana nimejifunza
Una sauti nzuri shogaaaaaaa 😍😘😘😘
Nice
Wow yummy, nime penda mapisha
Wonderful thank you so much the cleanliness of your kitchen made me take interest 🤗
wooooooh jiko liko safi ww mwenyewe msafi chakula kizuri
Hello it's Joel from Tanzania leaving in Denver Colorado I like the food I will like prepare for my visitors from Tennesse thank you 😊
Mh! Ungeongea Kiswahili tu kaka angu maana naona.......English bado!
....ila umeeleweka kiasi
@@SarahLibogomalove hahahahhaa....asante mama
@@judithmaghembe2530 congraturation
Hongera sana
Samahan naomba kuuliza hauna group la whatp kama lipo plz naomba niadd
Hongera many pishi zur sn hili
Upo vizuri dada you are Super woman
❤❤❤ nimekubali pishi hili
asante kwa somo nzur la mapishi nimenda sana
Kwanza nakupa hongera kwa usafi jikon inapendeza sana,pili hongera kwa pishi zuri Mungu akubariki sana
Asntenii saan kwa mafunz boraa😍😍
Wow!....it's yummy food.i will try that....unaweza tumia pomato source instead of tomato
Ndio
napenda mapishi yako Dada,hongera
Umetisha sanaaaa❤❤❤
Jamani.... I followed your instructions... lakini mbona ndizi zilikuwa ngumu...?!
Inategemea aina ya ndizi, next acha zichemke mpaka ndizi zilainike, test na uma ipite kiurahisi, maji yakipungua ongeza kidogo huku ikiendelea kuchemka
Shukran Dada Kwa Somo Zur
Vp Hyo Nyama Unaichemsha Kwanz Au
Nyama chemsha kwanza
samahan dada umeolewa daaah mumeo anainjoy sana
Kubali sana weee asante dear
Thank you!
MashaAllah dada wajua kufundisha
Wow, Asante rafiki, nimeipenda hy.. Hongera kwa kazi nzuri na endelea kutupa darasa la mapishi kama hv.. 🥗👍🙏
dada unajua kufundisha....! mungu akubariki..!
gabriel joseph 😉
Napenda...hii
Nimependa
gabr
👏👏👏👏👏👏
Asante dada kwa mapishi mazuri.yaam
Shella Mpombo nimeipenda sana
Kupiga piga umbea yoweeeeh mm nimeunguz kwa kwel🤓
🤣
Nashukuru Kwan nimenasa kitu
Hunaelekeza vizuri sanaaa
Nimekupenda dada jmn
Ati naacha ichemke nikiendelea kupiga umbeya😂😂😂😂...sawa mama
🤣🤣
nashukuru kwa mafunzo yako dear
Napenda sana kujifunza kupika
Mimi nauliza ndizi inakua hauchemshi kabisa unawekatu hivohivo mbichi ? IS-HAKA BAHANI From ZANZIBAR
inapendeza sana mnavyojitoa kuelekeza wengn ni kher mnavyozid kutoa elim kwa 2siojua ubarikiw Dada ye2
Thanks dear team Ugandan💋💋💋
Welcome dia 😍
zapendeza sana,,,,,,,,,,,, na kama hauna nazi unaweza tumia nini ingine
Weka mafuta tu
Nmelipenda pishi lako Dada na arrangement yako pia na smartness ya jikoni
Mapishi ya ndizi kweli umepatia hongera
Hii ndio yenyewe hasa uchagani❤
wao . usafi tu uko vyema. thankyou
Mpishi sambamba na mapishi dah!