Kuku wa Kukaanga na Mayai -Swahili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 374

  • @witnessmallya5114
    @witnessmallya5114 6 ปีที่แล้ว +45

    Asante Dada, kiukweli nilikuwa sifaham hy style..... Mungu akubariki Sana.. Tumpe darasa wadada wenzio.

  • @maloikevin9183
    @maloikevin9183 4 ปีที่แล้ว +17

    Nampenda venye uko so real and straight to the point.. kiswahili chako ni kizuri sana

  • @barakaemmanuel8871
    @barakaemmanuel8871 5 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa sana mdogo wangu. Hakika upo vizuri sana. Endelea kuleta mambo ya maanjumati ❤❤❤😊

  • @jackynjoroge8439
    @jackynjoroge8439 4 ปีที่แล้ว +6

    today being fathers day am gonna prepare this for bae...thanks my gud sis

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana dada kwaku nijuza 😋😋😋 Nime kanga kuku wangu hadi raha

  • @sarahkibera2206
    @sarahkibera2206 4 ปีที่แล้ว

    This is what have been looking for.Nitajaribu siku moja.Asante.

  • @dicksondannyben9819
    @dicksondannyben9819 6 ปีที่แล้ว +1

    Nimeingia jikoni Mimi mwenyewe na nikatengeneza huo msosi!! Acha kabisa .....ni delicious kweli kweli!!
    Asante kwa darasa zuri la mapishi.

  • @irenehekela8851
    @irenehekela8851 6 ปีที่แล้ว +9

    asantee kwa pishi nzuri la kuku wa kukaanga nimependa sanaaa.

  • @janethmollel9618
    @janethmollel9618 6 ปีที่แล้ว +11

    Thax much......Umenifundisha kitu kikubwa sana hujui tu.

  • @esthermugure7938
    @esthermugure7938 4 ปีที่แล้ว +1

    Upishi mzuri namefurahia sana,asante

  • @shafiwaters
    @shafiwaters 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa ALLAH nimepata funzo ilikua nikitamani sana asente

  • @jeremiagrace6538
    @jeremiagrace6538 4 ปีที่แล้ว +1

    Wewe unafundisha vzr sana

  • @hellenpascal9605
    @hellenpascal9605 6 ปีที่แล้ว +1

    Ninawaza huko ndani zinaiva vizuri kweli naona kama wanawahi kubadilika dada

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  6 ปีที่แล้ว

      Wakisasa wanaiva haraka, wakienyeji chemsha kwanza

    • @hubamgweno4197
      @hubamgweno4197 2 หลายเดือนก่อน

      Uki marinate kwa muda na viungo wanaiva haraka

  • @elizabethwanjira1042
    @elizabethwanjira1042 7 ปีที่แล้ว +12

    Hivi Kuna kitabu ambacho umekiandika cha mapishi haya.. Napenda Sana mapishi yako

  • @robinahRobinahRob
    @robinahRobinahRob 4 ปีที่แล้ว

    This is so yammy indeed KFC. Thanx ma dear kwa kweri nimejifunza kitu kikukwa hapo. Ubarikiwe sana.

  • @hajalathassan6284
    @hajalathassan6284 6 ปีที่แล้ว +47

    very simple recepie you could hv add salt kwenye marination ingemake sence coz mtu akishakula the out layer inner layer inakua taste less

    • @trishmpofu2372
      @trishmpofu2372 4 ปีที่แล้ว

      She added black paper hy

    • @fatmazullu4933
      @fatmazullu4933 4 ปีที่แล้ว +3

      @@trishmpofu2372 still salt is important

    • @angelrebecadhahabu8364
      @angelrebecadhahabu8364 4 ปีที่แล้ว +1

      Sorry hicho alicho add kwenye unga baadaya kuweka chumvi, inaitwaje hv?

    • @alexsenior4430
      @alexsenior4430 4 ปีที่แล้ว

      @@angelrebecadhahabu8364 pili pili manga au black pepper

    • @franciscahjeptum260
      @franciscahjeptum260 4 ปีที่แล้ว +2

      you're right, the inner part will be tasteless coz no salt

  • @annkimani871
    @annkimani871 4 ปีที่แล้ว

    Waaaoooh inakaa tamu nimeona hivo nilahisi ju mm nachamuchanga kwaza

  • @bornwawire8139
    @bornwawire8139 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante,naenda kujaribu

  • @sonicted109
    @sonicted109 4 ปีที่แล้ว +2

    I'm going to make it using that recipe looking forward to learn more cooking especially how to cook different types of rice ,meat stew,cappatis etc

  • @eldanashon2475
    @eldanashon2475 6 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa mapishi mazuri

  • @jasminebaibe7355
    @jasminebaibe7355 6 ปีที่แล้ว +4

    wow....thanx mamy nimejifunza kitu hapo.

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 4 ปีที่แล้ว +2

    Waa kama kfc baba hongera daa

  • @asuntadavid5889
    @asuntadavid5889 6 ปีที่แล้ว

    Asante Sana dada. Nimejifunza sasa

  • @irinemmasy8387
    @irinemmasy8387 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri na ni simple

  • @ivanfaustin9717
    @ivanfaustin9717 3 ปีที่แล้ว

    Asanteeeee Leo nimpikie boi wanguu

  • @adeleantonio8627
    @adeleantonio8627 6 ปีที่แล้ว +2

    Inapendeza sana.....tuambie japo kdg naweza kula na nn pishi hilo zur 🍗😋

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  6 ปีที่แล้ว

      Chipsi, ndizi za kukaanga au kuku tu na kinywaji chako pembeni.

  • @roseroida1271
    @roseroida1271 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante nmeelewa

  • @mariahbigambo7916
    @mariahbigambo7916 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa kutusaidia mapishi

  • @evakidunda373
    @evakidunda373 6 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe dada unafundisha vizur

  • @zipporahmburu5240
    @zipporahmburu5240 4 ปีที่แล้ว +1

    Very simple nimependa thnx gal

  • @bettyoluoch9774
    @bettyoluoch9774 4 ปีที่แล้ว

    Nitapikia bby wangu siku moja wow thank siz

  • @stevenmathias8176
    @stevenmathias8176 6 ปีที่แล้ว +3

    Shukran kwa recipe nzuri, naeza kuchemsha kwanza nyama ya kuku , incase ni kuku wakienyeji maana nyama huwa inakua ngum kuiva

  • @MohamedHassan-tp2wf
    @MohamedHassan-tp2wf 4 ปีที่แล้ว +1

    Sweet kama wewe mwenyewe.MashaAllah.

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 4 ปีที่แล้ว

    Asantee Dadaa nimejifunza kitu

  • @radhiadaffa6251
    @radhiadaffa6251 4 ปีที่แล้ว

    Woooow asante umetupa darasa zuriii big up

  • @laurenciam2i459
    @laurenciam2i459 6 ปีที่แล้ว +1

    duu asante nilikuwa sijui ,, ngoja nijaribu nami

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 6 ปีที่แล้ว +1

    mashaalah kuku mzuri anavutia sana

  • @judithawino2231
    @judithawino2231 4 ปีที่แล้ว +4

    I really like your simple recipe, keep it up

  • @fatumamkuzi1475
    @fatumamkuzi1475 4 ปีที่แล้ว

    Iko nzuri ila ni vizuri zaidi
    Ukiweka chuvi kwa ndani
    Una pata ladha yake zaidi

  • @eunicekatabwa3554
    @eunicekatabwa3554 4 ปีที่แล้ว +1

    Thanks so much....it is so delicious...will try tomorrow...😘🤗

  • @munahahmed2310
    @munahahmed2310 6 ปีที่แล้ว +12

    Nzuri sana, asante dada... Kweli ni kama wa KFC

  • @glorygoodluck7125
    @glorygoodluck7125 6 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah nimejifunza ww Dada nomaa

  • @paulinepamba6576
    @paulinepamba6576 4 ปีที่แล้ว

    Nimeelimika Dada ubarikiwe

  • @joycemwasote2959
    @joycemwasote2959 ปีที่แล้ว

    Kweli ni nzuri sana,je baada ya kuiandaa naweza kuikaanga kwa oveni badala ya mafuta?

  • @ruthmusau5190
    @ruthmusau5190 4 ปีที่แล้ว +2

    Am viewing this Today.. officially yr fan

  • @priscahacosa5639
    @priscahacosa5639 6 ปีที่แล้ว +7

    Mafunzo yenu yananisaidia sana Mimi ni mpish kupitia kwenu najifunza mengi sana

  • @rosemalaki9509
    @rosemalaki9509 4 ปีที่แล้ว +4

    Thank you for this ideas...This is very good secret for us. God bless.

  • @lisawambua385
    @lisawambua385 6 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana dada................

  • @sylviastevoo2391
    @sylviastevoo2391 6 ปีที่แล้ว

    Napenda mapishi yako

  • @evelynkigosi2528
    @evelynkigosi2528 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow safe sanaaaa

  • @lukaoduory6260
    @lukaoduory6260 4 ปีที่แล้ว +1

    kazi nzuri

  • @scolafelixmboneko7570
    @scolafelixmboneko7570 4 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sana

  • @samwelnilso2839
    @samwelnilso2839 6 ปีที่แล้ว +1

    napenda Sana mapish yako dada

  • @sumeyamohamed756
    @sumeyamohamed756 4 ปีที่แล้ว +2

    Nzuri kweli

  • @elizabethodongo9774
    @elizabethodongo9774 6 ปีที่แล้ว +3

    very nice and tasty....bt aquestion one should boil first?

  • @yusufolendo3608
    @yusufolendo3608 2 ปีที่แล้ว

    Easy language, easy preparation easy ending.

  • @shufaaabdul498
    @shufaaabdul498 7 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah wanapendeza hd mate yanadondoka

  • @ashakhalid2222
    @ashakhalid2222 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @kelvinmjasiliamali4589
    @kelvinmjasiliamali4589 6 ปีที่แล้ว +18

    Nimependa nimejifunza coz napenda sana kupika natamani sikumoja nimiliki mgaawa wangu

    • @victoriachesco35
      @victoriachesco35 6 ปีที่แล้ว +1

      Muombe mungu ongeza bidii ktk kz uafikia tu mlengo yko

    • @emmykidoti5695
      @emmykidoti5695 6 ปีที่แล้ว

      Kelvin Mjasiliamali vzur

  • @NimoAbdulkadir
    @NimoAbdulkadir 6 ปีที่แล้ว +2

    Good cooking.... Kitu nimecheka ni vile umesema I nzito kama maandazi 😀

  • @PriscaKingu
    @PriscaKingu 2 หลายเดือนก่อน

    Nimependa hujatumia viungo vingi

  • @abdiomar1101
    @abdiomar1101 6 ปีที่แล้ว

    ahsante sana. lazima nitajaribu.

  • @laurentkikoti3792
    @laurentkikoti3792 4 ปีที่แล้ว +1

    thanks mega at home

  • @yerthmwabusilah674
    @yerthmwabusilah674 4 ปีที่แล้ว

    Safiii sanaaa

  • @leilaambros7053
    @leilaambros7053 6 ปีที่แล้ว

    Safi Sana nimejifunza

  • @jeannettemilumbu4081
    @jeannettemilumbu4081 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana ❤️ dada

  • @SunsetHunter4526
    @SunsetHunter4526 4 ปีที่แล้ว

    Jamani Tuchague na wake wanaojua kupika

  • @amicusdei3129
    @amicusdei3129 7 ปีที่แล้ว +6

    I am officially a fan.. Thank you

  • @paschalromward5109
    @paschalromward5109 6 ปีที่แล้ว +22

    daaah nimejifunza kitu Hapo japo Mm ni mvulana home utabidi nikinukishe jikon big up sana

    • @marymichael4704
      @marymichael4704 6 ปีที่แล้ว

      Paschal Romward haha

    • @nancy6888
      @nancy6888 6 ปีที่แล้ว

      Hahahaha

    • @almasijeuri8216
      @almasijeuri8216 6 ปีที่แล้ว

      Paschal Romward nime penda mapishi ya kuku

    • @paschalromward5109
      @paschalromward5109 6 ปีที่แล้ว

      +Husna Almasi sawa. Dada angu

    • @nasraali8857
      @nasraali8857 6 ปีที่แล้ว

      asanti sana mh huwa napenda kuku wa kukaanga ssa from today Ntakua najipikia nyumbani.

  • @saidaayoubtunatakapichaien5244
    @saidaayoubtunatakapichaien5244 6 ปีที่แล้ว +2

    nimefurahi sana kuona haya mapishi. je,kuku wakienyeji hafai kwa upishi huu?

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  6 ปีที่แล้ว

      Kuku wa kienyeji wanafaa ila inabidi uchemshe kwanza

  • @winnieodera1200
    @winnieodera1200 4 ปีที่แล้ว +3

    Thank you for this simple recipe

  • @annamrima5507
    @annamrima5507 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow smart,b blessed

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 ปีที่แล้ว

    Nimependa sana ahsante sana👏👏👏

  • @marthawangeci3068
    @marthawangeci3068 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyc gud work

  • @marionmoira6811
    @marionmoira6811 4 ปีที่แล้ว +4

    The fact that you made this so simple❤❤❤❤❤❤is amazing asanti

  • @ednajeremiah8671
    @ednajeremiah8671 4 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda asante

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 6 ปีที่แล้ว

    😁😁😁umenifrahisha.io sauti ya kusherehekea.

  • @sammykahiga3828
    @sammykahiga3828 4 ปีที่แล้ว

    An awesome simple recipe 👍👍

  • @mariamissaahmed7675
    @mariamissaahmed7675 6 ปีที่แล้ว +1

    Nimeona chumvi leo Shukran. Tumezoea kutia chumvi kwenye marination

  • @vincentngesa9899
    @vincentngesa9899 6 ปีที่แล้ว

    Shabiki Wako kutoka kenya please bring more videos

  • @annitahwendorine
    @annitahwendorine 4 ปีที่แล้ว +1

    Aaw hii lazima nijaribu

  • @angienganga4401
    @angienganga4401 7 ปีที่แล้ว +3

    cooking duration?

  • @gabrielishmael5956
    @gabrielishmael5956 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂meg umetumia kijiko Cha chakula na cyo chai bhana

  • @elizabethallen5258
    @elizabethallen5258 3 ปีที่แล้ว

    So delicious 😍 with a nice voice 😍😍!! God bless you

  • @faridasaid8724
    @faridasaid8724 6 ปีที่แล้ว +2

    Asante my nimejifunza

  • @habarugiraobed177
    @habarugiraobed177 4 ปีที่แล้ว

    Wawuuuuu urakoze wangu

  • @aishakopose26
    @aishakopose26 4 ปีที่แล้ว

    Nice Dada mremboo

  • @zeitunabdallah8593
    @zeitunabdallah8593 4 ปีที่แล้ว

    Thanks sana dadangu

  • @pilimwagakitu9234
    @pilimwagakitu9234 7 ปีที่แล้ว +20

    mbona marinate yako haukua na chumvi????

    • @MegatHomeSwahili
      @MegatHomeSwahili  7 ปีที่แล้ว +6

      Nimewaka chumvi kwenye unga mkavu ambao nachovyia mara ya mwisho kabla ya kukaanga sijataka kuku awe na chumvi sana.

    • @megoj5179
      @megoj5179 7 ปีที่แล้ว +3

      Yea hata mimi nime notice..nadhani chumvi kidogo kwenye marination ingeongeza ladha

    • @salmahassan5735
      @salmahassan5735 6 ปีที่แล้ว

      pili Mwagakitu ahahaha nikuweli hajaongeza chumvi

    • @adeleantonio8627
      @adeleantonio8627 6 ปีที่แล้ว

      @@MegatHomeSwahili poa sana

  • @mercykanini30
    @mercykanini30 4 ปีที่แล้ว

    Nimpeta

  • @janetongayo1287
    @janetongayo1287 4 ปีที่แล้ว +1

    Very easy recipe thanks,

  • @sarasospeter8280
    @sarasospeter8280 6 ปีที่แล้ว +1

    asante.nimejifunza.dada.pishi.liko.vinzuri.

  • @abigaelomambia5727
    @abigaelomambia5727 4 ปีที่แล้ว +1

    I have done this before it was soooo good. Officially a fun

  • @stellamwakalinga468
    @stellamwakalinga468 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana dea,, vifaa vyako viko poa nitavipataje?

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 4 ปีที่แล้ว

    Chumvi umesahau katika Marination au?

  • @higginshighadi1808
    @higginshighadi1808 7 ปีที่แล้ว +3

    yale maziwa ni freshi au ya mtindi dear?

  • @borrakidume491
    @borrakidume491 4 ปีที่แล้ว +1

    Naweza nikapiga viyazi nyama aje?

  • @francismalonza6114
    @francismalonza6114 4 ปีที่แล้ว +1

    wow. simple but delicious recipy.

    • @joyngugi218
      @joyngugi218 3 ปีที่แล้ว

      Have u tried it to say it's delicious

  • @sharonwambui5906
    @sharonwambui5906 6 ปีที่แล้ว +4

    Nimeipenda sanah😍😍😍

  • @nancydanny5593
    @nancydanny5593 7 ปีที่แล้ว +1

    santeeee mom nmejfunza kupka kuku wa kukaanga na mayai