Asante dadaangu nimefaidika mungu akubariki kama mimi napendelea kutumia mchuzi kama huu kwa wali zaidi ila hata chapati piya si mbaya hata huo ugali kiufupi mchuzi huu safi mashaallah kwa vyakula vingi unaweza kutolea good
@ikamalle eti hilo sufuria ulilopikia rosti ulinunua pamoja na mfuniko wake au tofauti?? Na ulinunulia duka gani au kama unajua wapi naweza pata kama hilo, naomba nisaidie
Alieitazqma 2024 gonga like hapa
Asante dadaangu nimefaidika mungu akubariki kama mimi napendelea kutumia mchuzi kama huu kwa wali zaidi ila hata chapati piya si mbaya hata huo ugali kiufupi mchuzi huu safi mashaallah kwa vyakula vingi unaweza kutolea good
Yeeey! Wa kwanza kuview
Hilo rosti ulipate na wali na kipande cha parachich 😋
Au ndizi na cold juice weeeuuuwee😋😋🤪🤪
Dada umenigusa na palachichi
Safi sana Dada nimependa pishi zurii mashalaah
Napenda sana mapishi yako hasa ukipika mipiko ya vyakula vya asili huwa naangalia hata mara3
Nimekuja kulike na kucomment...nitaangalia badae
Ur the best always!!! We love youu😍😍😍
Tamu sana,napenda kula na ndiz rost au wali
Dada napendaga sana sauti yako..
Na pia unafundisha vizurii sana
Wao napendelea kulia wali na juisi ya matunda
Juice baridiiiiiii
Wali mama na ndizi alafu mchana👌
Ubwabwa apo na ndizi kisukari🤗🤗
Rosti lavutia sana👌
Ika sikuoni, uko wapi? I can't wait to see your recipes!!!
Ulipate na wali na juice Safi mbona kunakulala hapo hapo Asante Ika mile
Mchuzi mtam jmn, mie apo wali
Habo huo mchuzi upate na ubwabwa jmn❤
Mmmh mlo mtamu sana, mie hapo na ndizi
Nimependa sana pishi la Leo.
Mash allah mchuzi ilkuwanzuri sana nlipendasa
Mbona humimini carrots na hoho zote?
Hi mchuzi na bugali inaweza kuwa tamu sana
Mchunzi mzuri mamy, umesahau kinazi tingejilamba zaidi
Salàm alekum napenda kula na wali
Nimependa chakula cha Leo so nice
Waah nitajaribu kupika
Na wali haki tena.mtamu sana
Mchuzi mzuri na wali Mashallah
Napenda kula nawali
Yummy . My favourite stew
Mate yananitoka😂😂😂 hapa nipate na wali
Mapishi mazuri sanaa
Napenda Kula na chapat
Napenda kutumia huu mchuzi na chapo
Nimefurahi sana
Pilipili ya mwendo kasi:)
Mie hapo linaenda na chapati 😘
Napenda kula na wali
Mie napenda Kila na ugal
Nimependa sanaa
Mzuri sanaaa
Napenda sana mchuz
Mapishi mazur nimeyapenda
Asante
Napendelea kukula nawali
😋😋😋
Walii ndoyo iko powa sana
🤤
Salam alekum mapishi mazuri sana
Asante
Asant saan kwa mafunzoo😘
Chapati au wali will go well
Nice👌
Hapo napiga na kitu cha chapati
😋😋😋
Nakula nawaliiii
Salam alekum napeñda kula na wali
Wali 🥰
Wali 🥰
Na ubwabwa hapo n poaaa
Nakupenda Ika
Salam alekum chakula kizuri sàna
Yumm😋
🥰🥰🥰my favorite dish💕💕💕💕💕💕
Pishi nzuri sana dada ika
Mm napend kwawali
Nzuri kweli mashaallah
Nakula na chapati
Shukrani
Safi sana
nimeipenda
Kwa wali wa naz we acha tu
🤤🤤
Asante sana
Karibu
Tamu sanaa
Nimeipenda sana mamy
Learning a lot thank you
Karibu 🥰
Wow.. Its yummy 😋
Chapati na rost
❤️❤️❤️ika
Kam vil nalipat na wali😋😴
Salam alekum mashaallah
Napend nile na pilau
Masha allah
Looks yummy
@ikamalle eti hilo sufuria ulilopikia rosti ulinunua pamoja na mfuniko wake au tofauti?? Na ulinunulia duka gani au kama unajua wapi naweza pata kama hilo, naomba nisaidie
Nilinunua kama seti.... Maduka ya Vyombo
Ika Malle lipi hilo??
Arianah Valiente instagram.com/p/CDi58BJHlcF/?igshid=192s59f8ryl1n
Asantee sana sana ubarikiwe
Meipenda oyo
Karibu
Na wali
😋😋😋😋
Wali wa Nazi apo
Ugali
Nitamu na wali
😋😋
Nyc
Mtamu kwa wali
Nice
Wali😋😋😋
Mashaallah
Inafaka pilau mama mpisi
Mashaallah 😋😋
yummy!
Asante kwa pishi tamu
Chapati
😋😋
Nifundishe na Mimi biashara
Wali
Nawal uhakik
Na tambi😋
Lazima inoge 😋😋
Kula na ugali
Umenifundisha mapishi matamu
Yamyam
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😋😋😋😋😋😋🔥🔥🔥