BREAKING: Rais MAGUFULI Ashtukiza Ukonga 'ATUMBUA' Bodi ya TBA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 มี.ค. 2019
  • BREAKING: Rais MAGUFULI Ashtukiza Ukonga 'ATUMBUA' Bodi ya TBA!
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 16 Machi, 2019 amefanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari Magereza wa gereza la Ukonga Jijini Dar es Salaam na kuagiza mradi huo ukabidhiwe kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ).
    Mhe. Rais Magufuli ametoa maagizo hayo baada ya kubaini kuwa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) imeshindwa kutekeleza mradi huo kwa wakati, licha ya Serikali kutoa shilingi Bilioni 10 za ujenzi.
    Ametaka wataalamu wa TBA waliokuwa wakisimamia mradi huo pamoja na Askari Magereza waondoke na kuwapisha JWTZ.
    “Kwa hiyo hapa nisimuone mtu wa TBA, nisimuone mtu wa Magereza kuja kusimamia, muwaache Jeshi la Wananchi wafanye kazi zao, siku watakapokuja kunikabidhi na mimi nitawakabidhi Magereza, kwa hiyo watu wa TBA kuanzia leo nimewafukuza hapa” amesema Mhe. Rais Magufuli.
    Mhe. Rais Magufuli ameelezea kutoridhishwa na utendaji kazi wa TBA katika mradio huo ambao ulianza zaidi ya miaka 2 iliyopita kwa kushirikisha Jeshi la Magereza ambalo lilikuwa linaisadia TBA katika kazi za ujenzi, na ametaka TBA na Jeshi la Magereza wabadilike katika utekelezaji wa majukumu yao.
    www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook:
    globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

ความคิดเห็น • 37

  • @veronicaruben6081
    @veronicaruben6081 5 ปีที่แล้ว +3

    Asante baba kiukweli jeshi la magereza ni wazembe sana mafundi wafungwa wapo lkn wanaishi nyumba mbaya hatari mweshimiwa nenda na mbalali askari hawana nyumba za kuishi

  • @justinemgongo3456
    @justinemgongo3456 5 ปีที่แล้ว +7

    safi sana mh Rais ,,,,tatizo LA Tz wamejaznaa maofisin watu wanaojuana wanaoneana aibu...!!! piga kazi mh Rais..cc wananchi tunakuombea..

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 5 ปีที่แล้ว +4

    Jeshi oye safi sana rais oye hapa kazi tu mungu hakubariki mkuu wewe baba haki

  • @fredykyando9108
    @fredykyando9108 5 ปีที่แล้ว +6

    rais ni mfano dunian kwa ukweli na uwazi mungu akulinde popote

  • @remigiusmwageni6274
    @remigiusmwageni6274 5 ปีที่แล้ว +10

    Uzuri Mh.hufichi hisia binafsi nakuelewa sana

  • @mustaferkurasikaomary2700
    @mustaferkurasikaomary2700 5 ปีที่แล้ว +5

    King magu nakukubali

  • @tumusabeamina6700
    @tumusabeamina6700 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akulaze pahali pema Raisi wa watanzania

  • @shijangussa6560
    @shijangussa6560 5 ปีที่แล้ว +3

    Mmh!.Huyu mkuu wa inchi kweli kweeeli,hakuna kubembelezana,nahisi watu hatujamuelewa sawasawa,Mungu akupe maisha marefu mhe.Rais unajituma na naona unatamani sana na sisi wanainchi tuwe kama wewe.

    • @markomabula3465
      @markomabula3465 5 ปีที่แล้ว

      shija ngussa maamuzi magumu kama haya yatatusaidia

  • @beatricenicholausiwasa7601
    @beatricenicholausiwasa7601 5 ปีที่แล้ว +5

    HUYU NDIE RAIS TUNAEMTAKA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU RAIS MAGUFULI

  • @ernestdesirenininahazwe4897
    @ernestdesirenininahazwe4897 5 ปีที่แล้ว

    I love this president. From burundi

  • @harounclaude2263
    @harounclaude2263 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi mh rais

  • @emmanuelkatambi9322
    @emmanuelkatambi9322 5 ปีที่แล้ว +7

    Chapakazi chapakazi tuko nyuma yako president!

  • @asiaally3105
    @asiaally3105 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante baba nakupenda cna rais wangu

  • @fatumahassan8212
    @fatumahassan8212 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mheshimiwa rais kwa maamuzi ya busara kwa ajili ya makazi ya askari wa gereza la ukonga

    • @josephatkichanilo3802
      @josephatkichanilo3802 5 ปีที่แล้ว

      Safi mzee walizoeya kuongozwa kwakujuana hapa kz tu wanyooshe baba mpk mungu atakapo kuita lkn kwasas wew ndo rais wa miak 90

    • @vincentjoseph2545
      @vincentjoseph2545 5 ปีที่แล้ว

      Mungu atakulinda unapenda haki wananchi tupo nyuma baba piga kazi

  • @richardmsumari4051
    @richardmsumari4051 5 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukulinda , ufanye yale Mungu aliokupangia kufanya .

  • @adammrutu8237
    @adammrutu8237 5 ปีที่แล้ว +3

    Hahahahahaaa walale na wafungwa wao hahahahahaaa

  • @luckychanneltv8762
    @luckychanneltv8762 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe,na MUNGU akulinde na wenye roho za chuki amina

  • @hussmuya5246
    @hussmuya5246 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana anko wetu kanali mbuge tunakiamini tunakutegemea tunakuombea mafanikio mema afya njema ili utusaidie kujenga taifa letu.wewe ni simba MUNGU akubariki tuko pamoja katika kukuombea.ameen

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +1

    Ewe mwenyez MUNGU enderea kumuongoza vyema raisi wetu

  • @mgishajafali9904
    @mgishajafali9904 5 ปีที่แล้ว

    Safi mzee

  • @enockngande2830
    @enockngande2830 5 ปีที่แล้ว +1

    Katika uongozi wako umefanikiwa 100% kwasababu hujamvumilia MTU mzembe

  • @YusufAli-ib6xu
    @YusufAli-ib6xu 5 ปีที่แล้ว

    Kweli rais unasema
    Umebadilisha Tanzania kweli mtu wa mungu
    Rais usikubali watu wale pesa za wananchi waazibu vikali walaji pesa za wananchi na TBA wafunge ndani waazibu vizuri

  • @samsonmagesa3959
    @samsonmagesa3959 5 ปีที่แล้ว

    Kanari Afande Mbuge nimeipenda Kauli yako Jeshi halishindwi Huko vizuri Mkuu wangu wa Kikosi Ruvu JKT

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 5 ปีที่แล้ว

    big up Mr.President

  • @godfreymashini8329
    @godfreymashini8329 5 ปีที่แล้ว

    Pamoja mkuu

  • @ancomagu3155
    @ancomagu3155 5 ปีที่แล้ว

    TANZANIA ipo kwenye Mikono salama sasa

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 5 ปีที่แล้ว

    kiukweli magereza ya ukonga ujenzi wake uko slow sana tunapita pale kila siku lakini hakuna chochote mpaka Leo wana choratu michoro kuanza kujenga mpaka Leo kiukweli wanao mwangusha rais wapo wengi.

  • @robertsemaganga9168
    @robertsemaganga9168 5 ปีที่แล้ว

    Tumechelewa sana kupata kiongozi kama huyu

  • @harunimfaume6280
    @harunimfaume6280 5 ปีที่แล้ว

    kwa hili rais wanchi tunakupenda hakuna urafiki kweny kaz walizoea kazi ya mwez inaisha mwakaa

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 5 ปีที่แล้ว +1

    Kubembelezana bongo itaisha lini bado mwendo kasi kunakubembelezana nako uko JPM

  • @clqiqarkeclarke3167
    @clqiqarkeclarke3167 5 ปีที่แล้ว

    Myaka mili na ushee na upasta ..

  • @b5342s2
    @b5342s2 5 ปีที่แล้ว

    mzee we nijembe fukuza wazembe hao fukuza wanakaa tu kazi kula rushwa

  • @justinemgongo3456
    @justinemgongo3456 5 ปีที่แล้ว +4

    safi sana mh Rais ,,,,tatizo LA Tz wamejaznaa maofisin watu wanaojuana wanaoneana aibu...!!! piga kazi mh Rais..cc wananchi tunakuombea..