ZIARA YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI RUANGWA MKOA WA LINDI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ameongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli tarehe 15 Oktoba, 2019 anaendelea na ziara yake Mkoani Lindi ambapo atazindua barabara za Mji wa Ruangwa, ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa ghala la mazao la Kijiji cha Lipande Wilayani Ruangwa na atahutubia mkutano wa hadhara Mjini Ruangwa Mkoani Lindi

ความคิดเห็น • 8

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 ปีที่แล้ว +8

    Nape hoyeeeeeeeeee, Baba Magufuli hoyeeeeeeeeee.. Jmn mniunge mkono kwa kuweka like zenu hapaaaaa.

  • @thobiasmushangaki4735
    @thobiasmushangaki4735 5 ปีที่แล้ว +2

    Mtama halmashauri oyeeeeee Magufuli Oyeeeeee jengeni mtama yenu kwa maendeleo

  • @damascongongi1609
    @damascongongi1609 5 ปีที่แล้ว +3

    Nape jifunze kitu hapo.

  • @Shoaibkhan-vn6zt
    @Shoaibkhan-vn6zt 5 ปีที่แล้ว

    Mr President good job ❤️🇹🇿🌍🔥💯🇹🇿👏

  • @do4love302
    @do4love302 4 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo kiwalala inawakazi wengi kuliko mtama nape mnafiki Sana au kiwalala nikubwa kuliko mtama daah Wana siasa bhana

  • @allymapinda8804
    @allymapinda8804 5 ปีที่แล้ว +4

    Mnafiki! Bora alitubu.

  • @mangegervas9651
    @mangegervas9651 5 ปีที่แล้ว

    Saaafiii rais jpm