ZIARA YA KUSHTUKIZA UKONGA NA MAGOMENI KOTA YAFANYWA NA RAIS MAGUFULI LEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 มี.ค. 2019

ความคิดเห็น • 328

  • @husnashaban3268
    @husnashaban3268 5 ปีที่แล้ว +42

    yani navyokupenda mungu akupe afya njema raisi wetu

  • @justinwakudat6792
    @justinwakudat6792 5 ปีที่แล้ว +102

    Kama umeskia JESHI HALISHINDWI bas tia like nawew usishindwe

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 5 ปีที่แล้ว +82

    Mzee 2020 lala tu nyumbani usizunguke kumaliza pesa za mafuta na posho za utakaokuwa nao kura unazo kwa asilimia 99%

  • @allymasu9322
    @allymasu9322 5 ปีที่แล้ว +16

    Safi sana wewe ndo raisi makini sana ishaallah mungu akupe afya

  • @mariamabdull4134
    @mariamabdull4134 5 ปีที่แล้ว +26

    Yes nakukubali kiongozi wangu hapakazi. Tuu kwelihii nitanzania mpya ongerasana mh. Jpm

  • @mako331
    @mako331 5 ปีที่แล้ว +30

    This is the Leader we needed for a long time, live long Mr President, we Tanzanians we love you

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 5 ปีที่แล้ว +15

    Unawajali wasiojijali, wajanja wachache bado haijawatoka kichwani kuwa ‘Tanzania siyo shamba la bibi’, na hata ikiwa ni shamba la bibi, huyo bibi ni wetu wote! Mr President uko safiiii👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @linahmacha7493
    @linahmacha7493 5 ปีที่แล้ว +28

    Mweshimiwa nasubiri sanduku la kuweka kura yang basi sina kipingamizi na wewe baba Mungu akulinde usiku na mchana,.

  • @chamapatrick6666
    @chamapatrick6666 5 ปีที่แล้ว +24

    Hapo tuu ndoo napokukubali Mzee wew.... Kwakwer Mungu awabarik

  • @linnetmbotto7212
    @linnetmbotto7212 5 ปีที่แล้ว +5

    Muheshimiwa tukumbuke na sisi wa Saadani National Park, msimu wa mvua unakuja na barabara ya Makurunge inakuwaga mbaya sana na wakati mwingine inafungwa watu hawawezi kutoka au kuingia labda wapitie barabara ya Miono kutokea Mandera ambayo ni mbali mno. Barabara hii ya Makurunge ni nzuri sana kama ikitengenezwa kwa viwango vizuri vya lami kwasababu ndo inaelekea Mbuga ya wanyama Saadani ambayo inaleta kipato kwa Taifa. Ikifungwa miezi yote ya mvua mpaka ikauke na udongo ni mfinyazi ni mwezi wa 6 mwishoni. Tafadhali tukumbuke, msimu wa sikukuu Pasaka watanzania wakatembelee hifadhi ya taifa Saadani. Asante. Ujumbe utafika naamini.

  • @modestmzumbwe588
    @modestmzumbwe588 5 ปีที่แล้ว +6

    huyu rais watanzania tumepewa na Mungu ni mtu anayejituma kufanya kazi mtenda haki anajali watu wake,
    Mungu mbariki rais Magufuli, Mungu ibariki Tanzania.

  • @King_186
    @King_186 5 ปีที่แล้ว +14

    Safi Mr president, watu wanapewa kazi alafu wanasusua, ingawa wengine watalaumu kuwa umewatoa TBA, bila kuwaonya kwanza

  • @kemmymuhandiki5243
    @kemmymuhandiki5243 4 ปีที่แล้ว +2

    kama umeckia mama akiambiwa akatafute site nyingine naomba Like zako!!!!!!!!!

  • @rassimbaengswahili6191
    @rassimbaengswahili6191 5 ปีที่แล้ว +16

    Nchi hii ilipokuwa imefikia mambo ya kubembelezana yangeendelea kutunyonga tu! Nampenda sana Rais wng

  • @christophernzige3913
    @christophernzige3913 5 ปีที่แล้ว +13

    Siwezi kushindwa, jeshi halishindwi,.. Kanali yupo vizuri, hongera sana,

  • @jamesakhabuhaya6194
    @jamesakhabuhaya6194 5 ปีที่แล้ว +11

    Muheshimiwa usionekane tena hapa,neno ilo kesho rudi uone,,raisi wetu huyu kweli mtata lazima nchi inyooke dadeki

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +30

    Ewe mwenyez MUNGU ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba enderea kumuongoz vyema raisi wetu ewe mwenyez MUNGU mkuu

  • @Ba63828
    @Ba63828 5 ปีที่แล้ว +21

    SIO UZEMBE HUKU NI KUMHUJUMU RAIS HATARI SANA

  • @godfreyrigeli4423
    @godfreyrigeli4423 5 ปีที่แล้ว +52

    Halafu unalisikia limtu linapiga kelele et John Dictator. Piga kazi ngosha mkuu wangu.kwapamoja tunalipenda taifa letu

  • @unitytzdar9553
    @unitytzdar9553 5 ปีที่แล้ว +98

    Huu mziki LOUWASA asinge uweza, nchi ilisha oza sana, alihitajika kiongozi ambaye ni charismatic kwakweli

    • @emmanuel1479
      @emmanuel1479 5 ปีที่แล้ว +3

      👏👏👍👍👍👍👍

    • @radhiasalum7156
      @radhiasalum7156 5 ปีที่แล้ว +3

      Sana

    • @daudintambala3896
      @daudintambala3896 5 ปีที่แล้ว +3

      Kwa asilimia 100%

    • @beckhmediaproduction7624
      @beckhmediaproduction7624 5 ปีที่แล้ว +3

      Kweli tumuombee Mwenyenzi Mungu Azidi Kumpa hekima Ajue jinsi ya kutoka na kuingia Mungu ibariki Tanzania na Watu wake na Zaidi Watanzania Tuwatii wanaotuongoza kwani ndio Mahandiko yasemavyo. Mungu mbariki na kumtunza Rais wetu kwani najua kila mamlaka yatoka kwako

    • @ramadimbegu7996
      @ramadimbegu7996 5 ปีที่แล้ว +3

      Sana kk ,jpm ameft Tz inahitajka viongoz km hawa.

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard3775 5 ปีที่แล้ว +3

    Sipangi kukosa kumpigia Kura Huyu Baba nitajitaidi nihakikishe nimemepa kula yangu mwakani. Mungu akubariki Sana Rais Wetu Wasukuma Mungu katujalia uchapa kazi bila kujiinua. Huyu Mkuu hana makuu

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 5 ปีที่แล้ว +4

    Duuuh Mkuu wa magereza kua mwanajeshi hii kaliiiiiii muheshimiwa

  • @zahorokasent6141
    @zahorokasent6141 5 ปีที่แล้ว +23

    Magufuli oyeeee 2020 utapata za kutosha

    • @georgemhalla3515
      @georgemhalla3515 4 ปีที่แล้ว

      Miezi miwili na nusu!!! Kama umesikia gonga

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 5 ปีที่แล้ว +5

    Mh Rais pitia na mwendokasi mabasi ya kimala njia hyo ni majanga

  • @elifurahayohana6552
    @elifurahayohana6552 5 ปีที่แล้ว +10

    Asante afande "jeshi halishindwi"

  • @tukiokikoti6737
    @tukiokikoti6737 5 ปีที่แล้ว +1

    Mm namkubali Sana huyu Rais.

  • @seremalatznaaustralia1462
    @seremalatznaaustralia1462 5 ปีที่แล้ว +11

    Kama 2020 ntakua huko Tz kwajili ya uchaguzi naomba pimbi yeyote asije kunipigia kampeni,mwenye kura huyo hapo,sijawahi kushawishika kuacha kufanya kazi zangu eti nkapige kura,Ila uchaguzi ujao kama nitakua Tanzania mimi kura yangu ni MAGUFULI..AU kama karatasi za kupiga kura zimeshachapishwa wantumie tu mi najaza ata sasaivi.

  • @manmacho6529
    @manmacho6529 5 ปีที่แล้ว +25

    Mzee magu uje na chalinze matank ya maji bado hayajaisha mpaka leo na ujenzi haueleweki

  • @joshuamchiwa861
    @joshuamchiwa861 5 ปีที่แล้ว +2

    BIG UP MAGUFULI, BIG UP AFANDE ULIYEPOKEA SITE NIMEJIFUNZA KITU KIKUBWA SANA TOKA KWAKO "FLEXIBILITY "

  • @ymusic803
    @ymusic803 5 ปีที่แล้ว +13

    sikukupigia kura najulahumu sanaa 2020 nipo na ww

  • @albertjames6845
    @albertjames6845 5 ปีที่แล้ว +31

    Kwa huyo Mzee nimezima fegi, anamhoji rais kama anaongea na dalali wa kiwanja vile😄 he has iron balls🙌🏼

    • @emmanuel1479
      @emmanuel1479 5 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂😂😂😂😂 Mzee kama anaongea na mtoto wake vile

    • @albertjames6845
      @albertjames6845 5 ปีที่แล้ว

      Imma 😄😄

    • @abasmasusu7702
      @abasmasusu7702 5 ปีที่แล้ว +3

      Safi sana lazima ujiamin kama kafanya makosa aambiwe unampa kitengo kengine unatuachia dhahama huyo mzee watamwona hana nidhamu ila huyo hafi masikin💪💪

    • @nancymathias2332
      @nancymathias2332 5 ปีที่แล้ว

      Kwakwel

    • @jeremiahburton8999
      @jeremiahburton8999 5 ปีที่แล้ว +2

      Freedom of speech.... Uhuru wa kuongea at it's best!!!

  • @dicksonsheja9376
    @dicksonsheja9376 5 ปีที่แล้ว +7

    Rais wa Tanzania raha sana asee

  • @mnyekemohamedi8973
    @mnyekemohamedi8973 5 ปีที่แล้ว +12

    Ungesukuma ndani pumbavu hao

  • @francisphvladimir7851
    @francisphvladimir7851 5 ปีที่แล้ว +1

    Jemedali hodari nakupenda sana natamani uwe rais wangu daima penda sana rais JPMagufuli 💪🙏

  • @dr.sarahbusongo
    @dr.sarahbusongo 5 ปีที่แล้ว +1

    2020 mh utapita kwa asilimia ambazo Hakuna rais ambaye ataweza kuja kuvunja record 😘😘😘😘 Mungu akubariki

  • @beatuscharles4984
    @beatuscharles4984 5 ปีที่แล้ว +21

    Huwezi kumhoji Raisi kwanini umemteua! watu wawe makini wanapohojiwa mbele ya viongozi waandamizi,Mkuu ametumia hekima kukujibu .

    • @romeoromeo4125
      @romeoromeo4125 5 ปีที่แล้ว +3

      Yaan tena kamsikiliza kwa umakini na kamjib kwa upole sana

    • @HASASON
      @HASASON 5 ปีที่แล้ว

      Huyo mzee kakosa hekima yaani anamkaripia Rais kabisa

    • @safarimallya4536
      @safarimallya4536 5 ปีที่แล้ว

      Ila nimerudiarudia sana nimegundua ni staili yake ya kuongea kwa kweli

    • @sheikinitv8489
      @sheikinitv8489 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂
      Kale ni kazee lazma akajibu Kwa busara😂😂😂😁

  • @salumrashid3482
    @salumrashid3482 5 ปีที่แล้ว +14

    Iv hawa watendaji kwann hawajamuelewa adi leo huyu mzee?

  • @gediosman6055
    @gediosman6055 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwanaume.Rais Magufuli

  • @kulwavalence6159
    @kulwavalence6159 5 ปีที่แล้ว +1

    Fanya Kazi mzee

  • @charlesmichael3350
    @charlesmichael3350 5 ปีที่แล้ว +1

    Ndio mzeee tunashukuru kwaz nzuri,endelea kuwanyosha

  • @rutakihama7599
    @rutakihama7599 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaah Safi sana mwenyez Mungu akutie nguvu kiongozi wetu mpendwa

  • @lilakhhassan6896
    @lilakhhassan6896 5 ปีที่แล้ว +5

    Mm kwa moyo wngu cna chama ila na mkubali mtani wangu sana ana maamuz hivyo ndivyo onavyo takiwa hakuna kucheka cheka

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว +1

    Hutu ndo raisi tuliokua tunamtaka✌💕💓🙏

  • @dennisbaya3807
    @dennisbaya3807 3 ปีที่แล้ว +1

    What a man this guy was Greatest of all times

  • @ramadhanisanze3025
    @ramadhanisanze3025 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amepokea dua yangu AMIN,

  • @hassansawasawa1941
    @hassansawasawa1941 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi san kamanda, lait tungekupat mapema asaiv washanyooka hakun ujanjaujanj pumbavuu hao

  • @nesto_automobiles4608
    @nesto_automobiles4608 5 ปีที่แล้ว +1

    rais Magufuli ni genious

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 5 ปีที่แล้ว +4

    Hiv wamjui rais wa sasa ama?aya sasa tonge limeondoka ilo?ilo.safi mkuu kanyaga twende💪

  • @kasanzumasunga1898
    @kasanzumasunga1898 5 ปีที่แล้ว +1

    Thank you My President. kuna mambo Unatufundisha kama vijana in relation to responsibility.
    Speed hii kama kila Mtendaji Wa serikali atakuwa nayo, nchi hii itasonga mbele

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 ปีที่แล้ว

    Mmh ni muda wa kazi siy kulemba magufuli umetisha

  • @chalzjittery3992
    @chalzjittery3992 5 ปีที่แล้ว

    tunakuelewa sana my president😘😍😍

  • @krispokipara703
    @krispokipara703 5 ปีที่แล้ว +24

    Hapo nakuunga mkono mweshimiwa

    • @undersonmwombeki8494
      @undersonmwombeki8494 5 ปีที่แล้ว

      Magereza mda wote uo hamuoni aibu mhe katoa pesa yake

  • @mkclassic1119
    @mkclassic1119 5 ปีที่แล้ว +2

    Kwanzia leo msionekane hapa 😂😂😂

    • @williamkavuta5193
      @williamkavuta5193 5 ปีที่แล้ว

      Mk Classic hahahah...kibarua kimeota nyas

  • @stevengracphord953
    @stevengracphord953 5 ปีที่แล้ว +5

    Ooh Rais wetu good

  • @gg-fq4mf
    @gg-fq4mf 5 ปีที่แล้ว +4

    Sina shaka na utendaji wako wa kazi, twende kazini uncle magu

  • @fadhilisecha4268
    @fadhilisecha4268 5 ปีที่แล้ว +18

    Sina neno Mkuu. Twende kazini. Big up Sir

  • @moimashole992
    @moimashole992 5 ปีที่แล้ว +3

    Twende baba we n kamanda wa makamanda tutakuenzi daima rais wetu

  • @wilsonhaule7928
    @wilsonhaule7928 5 ปีที่แล้ว +1

    ccm siipendi ila Huyu mzee amekiokoa chama

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 5 ปีที่แล้ว +15

    familia za askari wanataabika sana nyumba za madebe wamezichoka wamewezeshwa wanadongila amakweli wakufa ni wakufaTu inahuzunisha saana. TUBADIRIKE AWAMU PEVU.

    • @selector728
      @selector728 5 ปีที่แล้ว +1

      Ally Futto sio tubadirike sema tubadilike

    • @dazzfizzo4915
      @dazzfizzo4915 4 ปีที่แล้ว

      Magufull 2020 usifanye kampeni utamaliza mafuta utaendelea kuwa rais

  • @afidhusultan4967
    @afidhusultan4967 5 ปีที่แล้ว +17

    upo vizr rais wetu nakukubali zaidi ya Sina La kusema mung akupe umri mrefu

  • @reachthegoal7624
    @reachthegoal7624 5 ปีที่แล้ว +6

    Mzee Magufuli wasiotaka kuamini kuwa wewe ni wa tofauti wataamini tu. Kwani walizoea na wanaendelea kudanganyana kuwa wataendela kupiga. Endelea kubadilisha uelekeo, asiyefaa akae pembeni, anaefaa akalie usukani safari iendeleee, ndiooo. Kumbe tubaki tunamsubiri akitafuta mbinu za kupiga. Ila wakati mwingine Kuna wakwamishaji, Ni vema wakaeleza kwa nini wamekwama? MUNGU akulinde na kukuongoza.

  • @willymwangaliaka3154
    @willymwangaliaka3154 5 ปีที่แล้ว

    Hongera mh Raid uko vzr

  • @erickpascal2249
    @erickpascal2249 5 ปีที่แล้ว +1

    Mheshimiwa Rais Mungu akubariki Sana!

  • @muzungujames5073
    @muzungujames5073 5 ปีที่แล้ว +1

    I love this guy with all my heart 😍😍😍

  • @SafariMsafi-um1pz
    @SafariMsafi-um1pz 4 หลายเดือนก่อน

    Nipe mpango kazi...(NITAFANYA KAZI USIKU NA MCHANA TUTAWASHA TAA)

  • @estherjohn953
    @estherjohn953 5 ปีที่แล้ว

    TBA kwaheri mungu awabariki

  • @festomatiac4316
    @festomatiac4316 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @piusmnanka2755
    @piusmnanka2755 5 ปีที่แล้ว +19

    Huyo mzee amejikakamua kumhoji rais kuwa kwanini ulimteua au alikudanganya...ikabidi rais amjibu kwa upole....!

    • @aeroportonissan8077
      @aeroportonissan8077 5 ปีที่แล้ว +1

      Pius Mnanka
      wakipatikana wawili kama hao kungekua kumenoga

    • @daffakhalid3328
      @daffakhalid3328 5 ปีที่แล้ว +1

      Hahahah kajikaza c mchezo asee

    • @romeoromeo4125
      @romeoromeo4125 5 ปีที่แล้ว +1

      Yaan Mkuu karudi chini kwa swali zito la Mzee, kamtizamaaaa halaf akajib kwa upole. Lazima kuna watu watatumbuliwa

    • @beatricecharles6483
      @beatricecharles6483 5 ปีที่แล้ว

      Hahahaha mzee alitaka sjulikane

  • @rahmashabani6483
    @rahmashabani6483 5 ปีที่แล้ว +1

    Jaman huyo mama mmmh .amaa kweli tz tumepata kiongoz

  • @sir_ENOCKMACHA
    @sir_ENOCKMACHA 5 ปีที่แล้ว +1

    Safiiiiii magufuli juuu nchi iliendeshwa kimazoea mambo ya kipuuzi

  • @danitarimo5013
    @danitarimo5013 4 ปีที่แล้ว

    Huu ndyo uraisi tunaoutaka safii sana Jpm maamuzi mazuri

  • @mankialema6490
    @mankialema6490 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha marefu

  • @raymondkaswaga8334
    @raymondkaswaga8334 5 ปีที่แล้ว +3

    Mkuu wa magereza ajiangalie hapo...mzee nimempenda amejiamini

  • @papawaroma
    @papawaroma 5 ปีที่แล้ว +1

    This is the president we deserved from long time ago👌

  • @ianamran3039
    @ianamran3039 5 ปีที่แล้ว +3

    Responsible leader

  • @peterjohn1969
    @peterjohn1969 5 ปีที่แล้ว +4

    mindonapenda mambo kama aya weunazani loasa angeweza au angewakumbatia tuukuanao na ukukazi aziendi.

  • @masaludandu8025
    @masaludandu8025 5 ปีที่แล้ว

    Uchaguzi ufanyike kwa wabunge na madiwani Ikulu wamuachie Mzee baba

  • @abuusela8634
    @abuusela8634 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzee chapakazi asirimaa %100

  • @uzaohalisi922
    @uzaohalisi922 5 ปีที่แล้ว +1

    Mheshimiwa we love you so much

  • @damasmaleo4845
    @damasmaleo4845 5 ปีที่แล้ว +6

    Mzee unabaat rais kukuacha mmkisoe leo smba kanywea 😆

  • @athumanfuko199
    @athumanfuko199 5 ปีที่แล้ว +2

    Baba miradi ya mikoani itupiwe macho barabara ya kidatu ifakara hata siielewi

  • @eliamsongole7906
    @eliamsongole7906 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe miaka 1000

  • @mahamoudabas8555
    @mahamoudabas8555 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna kuwapa taalifa, ukiwapa taalifa wanajipanga ukiwapa mgongo wanakula tu, kwanza hao vibarua hawana hata kofia za kazi wala viatu vya kazi
    Chezea Magufuli na jeshi ww! Jeshi litajenga hapo usiku na mchana kama daraja la Kagera kipind ya vita na Id dada

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 5 ปีที่แล้ว +2

    confidence ni silaha mahsusi...keep kamanda

    • @telesphortitos6312
      @telesphortitos6312 5 ปีที่แล้ว

      Mheshiwa raisi uje na Ponde Tuangoma kuna shida kwelikweli..serikali ya mtaa inafanya madudu mno

  • @stevengracphord953
    @stevengracphord953 5 ปีที่แล้ว +3

    Nakukubali saba Raising Wetu

  • @musasimba3689
    @musasimba3689 5 ปีที่แล้ว

    Kama umesikia Rais anamuta huyo wambele mzee wangu gonga like

  • @wilsonhaule7928
    @wilsonhaule7928 5 ปีที่แล้ว +1

    kwakweli rais tunae

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu MKubwa sana kwako Rais wetu mpendwa Uwe na Afya Njema Mzee Magufuli!!

  • @deusalloyce6124
    @deusalloyce6124 4 ปีที่แล้ว

    Mzee magufuli chapa kazi nchi ilikuwa imeoza.

  • @maryshayo6823
    @maryshayo6823 5 ปีที่แล้ว +5

    Manabii wa mwanzo walikuwa wanatumwa na mungu mf Amosi

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 ปีที่แล้ว +4

    Hahahaaa,,,,,,yajayo yanafurahisha!!

  • @wardaramadhanisimba9867
    @wardaramadhanisimba9867 5 ปีที่แล้ว

    Mtetez Wa wanyonge mtenda haki tunakupenda sana raisi wetu

  • @suzanadaud6851
    @suzanadaud6851 5 ปีที่แล้ว

    yaan weee baba wewe mimi sijui hata nikupendeje maana nakupenda mpaka najikia raha mungu akupe miaka mingi sana baba angu

  • @ancomagu3155
    @ancomagu3155 5 ปีที่แล้ว +1

    TANZANIA ipo kwenye Mikono salama sasa

  • @jamesjulius5057
    @jamesjulius5057 5 ปีที่แล้ว +3

    Mzee baba hatari

  • @ramboemmanuel7939
    @ramboemmanuel7939 4 ปีที่แล้ว

    asante kwaungozi huu waawammu yatano

  • @floriennkeshimana2742
    @floriennkeshimana2742 5 ปีที่แล้ว +4

    Waendereye kucunga wafungwa wao hahhh mpaka wazirekebishe wenyewe hohhh

  • @yustinarevocatusi933
    @yustinarevocatusi933 5 ปีที่แล้ว +9

    Hahahaha, ngonga like kama umesikia alivyomjibu huyo mama et msionekane hapa na mungu awabariki

  • @estellasimon2771
    @estellasimon2771 5 ปีที่แล้ว +1

    Mweny namba ya magufuli naomb anitumie nina shida nae

  • @hafidhchoi3186
    @hafidhchoi3186 5 ปีที่แล้ว +2

    Zile pushup ulizokua ukiwapigia saiv ndio wanaona nn umuhim wke kaz kaz