uuuu .mziki mzuli ira naomba msaada mmoja unitafutiee namba ya mr touch au professor jay nitumie katika namba yangu hi 0626611496 nitakulushia shilingi 5000 ukilushia namba hizo
Hii ni kazi bora kabisa katika wakati wa sasa. Mashairi yake yana urali mkubwa sana na mahitaji ya jamii ya Tanzania na Afrika mashariki katika masuala mtambuka tuliyonayo. Hongera sana @Professor Jay
#Pagamisa gonga like ya support ndugu yangu **""professorjay"""** **"""Mr.t.touch'''*** hii ngoma mimi naikubali sana pigenj kani kazi prof j mzee baba
Your my role model bro,bado sijafikia hatua fulan but mungu atujalie uzima tutafanya kazi siku moja na wewe,from 2001 up to now bado naamin kuna siku itakua.
Professor Jay always been a Legend Toka way back! Nilijua kwamba hawezi kuniangusha!! Kila ngoma anaua kabisa. Amani kwako mzee!! Nakuheshimu Sana. A Legend is always a Legend!! By:- Lil Kaishea a.k.a Shawrunna "The Rapper"
Much respect prof..u hv a real talent br big up kichupa kimesimama ila t touch si mtu mzuri kote yupo vizur hadi kuchana..nikati ya producer wenye talent ya juu sana tz..hongera kwake hajawahi fanya ngoma ikawa yakawaida alafu mbaya zaidi ngoma za hip pop ndo unazitendea haki nazikakubarika japo hip pop bongo watu huwa hawazielewegi tofauti na nyimbo za wabana pua na nyimbo za mpnz tu wakati nchi yetu inavitu vingi muhimu vyakuongelea na nyimbo ika hit..so there is lack of creativity kwawasanii wetu so congratulate prof..
👏👏👏👏 Mueshimiwa kweli n'gombe azeeki maini Mr. T touch nakuelewa baba pande zote Young dee kicheko chako ndio huwa kinanimaliza yani naku fananisha na bata mzinga wa hapa nyumbani, 😂😂😂😂 #pagamisa
My best lyrically and bars gifted EAST AFRICAN RAPPERS are in this order Afande Sele Khaligragh Jones Fid Q Hon. Professor Jay Young Killer Juliani Abass Kubaff Solo Thang Otero
29/04/024 nipo napagamisa like kwa 2024❤🎉
Yani professor, toka zera la mentali mpaka leo unaimalisha hip hop ya bongo. Wewe king for sure
Nime wapenda
This song was highly marketed by Mzazi Willy M Tuva
hahahahahaaaa🔥🔥🔥🔥🔥 mmetshaa kama umeikubar ngoma hii usipte bila kugonga like👍👍# Africa stand up nouma sana 2namwaga pesa
uuuu .mziki mzuli ira naomba msaada mmoja unitafutiee namba ya mr touch au professor jay nitumie katika namba yangu hi 0626611496 nitakulushia shilingi 5000 ukilushia namba hizo
Hii ni kazi bora kabisa katika wakati wa sasa. Mashairi yake yana urali mkubwa sana na mahitaji ya jamii ya Tanzania na Afrika mashariki katika masuala mtambuka tuliyonayo. Hongera sana @Professor Jay
ebana kichupa kimesimama akijapelekwa nje ichi kimepigiwa apa apa bongo icho ww ndio mhenga wanguvu unaejitambua big up j
Kweli MBUNGE, wewe ni mgodi usioishiwa madini, salute kwako ewe MBUNGE wa WATU na WANYAMA.
Mbunge unaeongoza binadam na wanyam umetisha ngoma kali
Bonge la chemistry mr t-touch ft wamituringa hallahhh🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mashallah! Touch kumbe c kugusa Kinandatu mpaka makoras Gy sana Touch sounds
Ngoma Kali Sana brother💯💯👊👊...Ng'ombe kweli Azeeki maini... M T Touch ni nooooomaaaaa
ngoma Kali #proJay....🎶🎶🎶 #Ttouch.....youngDaddy
Hii ngoma kali sana... basata hawana namna ya kuichambua...imeandikwa kwa ufundi wa hali ya juu
Haina shobo dundo shoboka nivunje chaga,,,,,mh salute kwako hakika,,,,old is gold👊👊
#Pagamisa gonga like ya support ndugu yangu
**""professorjay"""** **"""Mr.t.touch'''*** hii ngoma mimi naikubali sana pigenj kani kazi prof j mzee baba
good
Professor jay nimekutolea kofia niko out of words ur music is on another level
Upo vizuri sikuzote Bro, unazid kuwachapa kwa mkwanja, fun base, idea n muzik mzuri
Ase bonge rangoma kama unamkubar professor jay gonga like twende sawa
Your my role model bro,bado sijafikia hatua fulan but mungu atujalie uzima tutafanya kazi siku moja na wewe,from 2001 up to now bado naamin kuna siku itakua.
Kweli mzee ni mgodi unatembea,,,,, tangia nakuwa,,,, mpk leo bado sijaona wakukufanya usubir,,,,,,
kuna watu ktk sanaa nikiwafikiria naweza sema walishushwa na mungu kutuletea radha ya mziki.kama prof jay
BASATA njooni muifungie na hii nyimbo. Mamaee Prof Jay U kill it my bruh
Touch touch touch touch aisee hii jingle naielewaga kinyamaaaaaa, T touch you the best music producer in Africa
Professor Jay always been a Legend Toka way back! Nilijua kwamba hawezi kuniangusha!! Kila ngoma anaua kabisa. Amani kwako mzee!! Nakuheshimu Sana. A Legend is always a Legend!! By:- Lil Kaishea a.k.a Shawrunna "The Rapper"
duuuuuu kumbe Mr T anaweza talented man
nimekuelewa prof j salute my brother Mr t tuch good xana aisee
dude kali umetisha mzee baba respect
@professor jay
Fire 🔥 🔥 🔥 🔥 ngoma ya kizazi sana wana nimewasoma legendary profesa j nakuaminiaa mzazi hujawahi yumba touch ni 🔥 🔥 salute sana
Free HITS SONGS NEVER MIX WITH ANYTHING, BIG UP MBUNGE WA WATU NA WANYAMA,
lyrics zinaelewka,mdundo uko poa daaah! shikamoo professor,habari yako Mr T
The legend himself... Kali sana... tuendelee ku pagamisa... :)
Legendary ngo'mbe hazeeki maini safi sana nyimbo nzuri
Haya ndio tunataka kusikia kutoka kwako, style ileile na mashairi ya kufa mtu, congratulation
Profesor..😁😁Tunapagamisa 💃💃💃then we r #OK🙌
Uwongo mbaya na ni dhambi. Hii kawaida sssaaannnaaa...
Huu mtazamo tu masela msilete chuki.
Kenya gonga like Kama unakumbali hii ngoma iko juu,,,,good one
Mweshimiwa professor anafaa ashikane na mweshimiwa Jaguar... Watoe bonge LA kolabo .ngoma namaree hii
Ngoma kali mzee wa #Bongo dsm,endelea kuwapa darasa vijana na wazee. Big up brother
SEMA NINI SINCE DAY ONE PROF JEEZ AJAWAI NIANGUSHA ASE THE BEST MC ALL THE TYM TZ ==>EA
Legendary 🙏🙏🙏big up wote mko sawa
Professor jay is a real legend of bongo flavour.. n T touch is a full engineer of music production... big mashups from +254.
Kiukweli jay ww hauchuji ngoma nzuri sana wasanii waige kwako
Kazi nzuri muheshimiwa(Pagamisa)hahaha, waue ng'ombe hazeek main
The Professor in lyrical mastery has done it again....🔥🔥🔥
Inabidi Raia wafundishwe matumizi ya dislike button,sio kila kitu cha ku dislike#Props kwa Prof tisha mbaya
Much respect prof..u hv a real talent br big up kichupa kimesimama ila t touch si mtu mzuri kote yupo vizur hadi kuchana..nikati ya producer wenye talent ya juu sana tz..hongera kwake hajawahi fanya ngoma ikawa yakawaida alafu mbaya zaidi ngoma za hip pop ndo unazitendea haki nazikakubarika japo hip pop bongo watu huwa hawazielewegi tofauti na nyimbo za wabana pua na nyimbo za mpnz tu wakati nchi yetu inavitu vingi muhimu vyakuongelea na nyimbo ika hit..so there is lack of creativity kwawasanii wetu so congratulate prof..
Sijawai kuona ngoma kali kama hii Team 🇺🇸🔥🔥🔥🔥
Wasanii mtajili
Nakupali sana pia mm napenda kupadika kama ww mbunge makini hongera broo
wakipiga risasi Sir GOD anatutoa kama TUNDULISU
professor kweli wewe ni msanii wakuzaliwa, Touch safi sana
Kwa Jimbo lako mambo shwari,, Yaani nakukubali kuliko unavyojikubali
Mheshimiwa ngoma kali sana aiseeeee
HITernational... Real hit 💥💥💥...
Inagonga hadi huku Nairobi vibayaaaaaa!
kali sanaaaaaa👏🔥🔥🔥
mambo ni motoooo......
ngoma kali profesor .......
achia jiwe jingine
Professor still kill every time He drops a tune! Wafunze hawa watoto
Michano ok prof ni noma sijutii kuwa shabik ako ila hapo kweny pagamisa namuona ney wakawaka pia mond na rick wakawaka
bonge la ngomaa....prof wa miaka ile amerudi
👏👏👏👏
Mueshimiwa kweli n'gombe azeeki maini
Mr. T touch nakuelewa baba pande zote
Young dee kicheko chako ndio huwa kinanimaliza yani naku fananisha na bata mzinga wa hapa nyumbani, 😂😂😂😂
#pagamisa
Nakubali Nakubali Prof JeeZ yaan100%√
Wadau bonge ya #ngoma gonga like kwana wanao mkubali mr touch na prof J
nimechelewa au nimewahi ngoma ni atari gonga like apa kama hujaona
Bonge la ngoma mh.jay pamoj san😚👏👏👏🙌
bonge la dude mh jay unatisha mbaya,mr t na dee pia saruti kwenu watapata tabu sanaa
My best lyrically and bars gifted EAST AFRICAN RAPPERS are in this order
Afande Sele
Khaligragh Jones
Fid Q
Hon. Professor Jay
Young Killer
Juliani
Abass Kubaff
Solo Thang
Otero
Toka zari la mentali bado Tunapagamiza nomaaa saana broo if ok am ok waaaaaaraaaa nic 1
hii ngoma inanifanya nifikirie kuuza drugs ambazo sina.. ni fire aarifu
KenyanSonnie>>Thanks for this track Jay... I was yawning for a true HIPHOP rap song. Wasanii wamepotea izi siku...
kazi safi profesaa,tangu utotoni nimekuskiza,flow zako hatari baba,mziki mzuri tu
Ngoma kali nimerudia kuicheki kwa mara nyingine 🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂Pagamisa
Are you okay? Am okay, if you okay then am okay... Yakibabe sana.... #Jay u still the number ONE #MC
Sijuti kua your biggest fan tangu utotoni...
Love love love all the way from Kenya professor Jay
ngoma za zamani zako nilizielewa sana ila now du bado bora nisikie .usilie na bongo .saut ya geto
Qoqlyyy ngoma nakukubali alama ya bongo fleva @lovefoeva
Tupa like yako chini kama tupo pamoja. One love Joseph aule.
Naaaaaam The heavy MC ....... imependeza
Big up mbunge wa watu na wanyama
Mdudu unaotembea ulioshine mazagazaga ....Saluuuuute.
BABA MWENYE HESHIMA YA KIPEKEE JAY - PAGAMISA
Mbna bnduki mchna kweupe n w2 wsiojulikana wapi amani y2.. nkuelewa xna prof wngu krbu nmanga japo wlimzulumu onesmo nangole
Kazi mzuka professor!....hapo bomba!
Legend is the legend always... i really aprici8 u bro since hard blastaz. Mc shupav wa mituringa mchawi wa rymz mti mkavu.
hii ngoma ukikaa frexh uisikilize frexh, utamu unazd korea frexh.
mh bigapu sana usahau uriko toka eshima kwamo mzazi mi Awile toka mbeya nakukubali mbaya kwasasa nipo dar ntakutafuta tuongee
Ngoma Kali kinoma inapagawisha yan echu echu..
owky...... ingekaa chorus ingekuwa kali zaidi but nawapa 78%
nmependa ubunifu huu sehemu ya wakawaka mmeibadilisha imekuwa ...........aloesikia anijibu bas
Mambo ni moto aseee nimeikubali 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥salute kwako.
this one is a hit professor u killed men salute 254 tunakubali mziki mnene.
Bonge la hit....imekubalika humu USA 🇺🇸
daaaaah baba ni baba tu siku zote
Daaa hii ngoma bado tu like m!! Jamaani
hii ngoma maridaaaaaaaaadi kabisa am watching from Qatar
Prof j...' We do for the pple, they do it for fame' .... Moja kali.. 🔥🔥🔥🔥
Legendary Professor Jay! Saafiii!
duuuh #regendary u kill it br
"tupige hata risasi tunatokanka tundu lissu" nice sna
heshima jwa darassa this is too much 🔥🔥🔥🔥
R u ok.....then am ok....one luv one pple one continent @touch