Hizi ndio nyimbo tunazotaka kuzisikia, nyimbo zinazoakisi maisha halisi ya mapambano katika usakaji wa riziki! well done Professor Jay... Hii ndio ngoma bora kwa mwaka 2018. Kama unakubaliana na mimi gonga like twende pamoja
Don't think the dream will pass away without despair and lead God before your life, Nice song big up professor ft harmonize gonga like za kutosha tuwatakie afya njema.
Dah!!! hamornizeee kuimba mapenz anapotea njia ila akiimba nyimboo za maisha ndo anatokelezea ata ile atarudiii nyimbo qaliii sanaaaa!! yaaan Uyu jamaaa
Proffessor jay... U inspired me since early 2000 nikiwa kinda sana na bado nipo naku support.. mungu akulinde na uzidi kuwa inspiration kwa jamii... ONELOVE MY NINJA
Sina mengi ya ku comment ila vitendo vyake vyatosha kumkubali kama pia wewe wamkubali kweli kweli harmonize kijana mdogo lakini ana mambo mazito kabisa #Yatapita🔥💪👏
Ukisikia hii nyimbo na umekata tamaa lzma unyanyuke na kuyaanza maisha kwa kutafta kwa bidii sana inakupa hope na ni mfano halisi wa maisha yetu waafrica tunakoanzia. Hii nizaidi ya zote duniani.
Mbunge +Mwana Music Professor Jay ,,,,M/mungu akikupa kakupa2 Hata cc 2we WANGA kiasi gani 2taishia majungu2 sasa Huyo Harmonize alivyojua kua anaimba na mbunge si Kwa MKORASI huo👂🎧.....#NyimboKONK💪sana
Siku moja profesa ungeambiwa kuwa sauti yako isingekuwa na Mamlaka kama mwanzo,huwenda ungebisha kwa kuwa hukuona sababu. Lakini Sasa nadhani umeshuhudia uumbaji wa Mungu ukiendelea kwako,mambo makubwa ya wokovu yaliyo fanyika kwako ni alama ya upendo wa Mungu kwa wanadamu. Ubarikiwe,tunakupenda sana.
Nani ankubaliana namm kuwa hiii ngoma no ngoma bora ya mwaka huuu bilia ubishi na pai harmonize kafanya kaz kubwa ktk hii ngoma na pia kwa mwaka huu zaid ya msaanii yeyotegonga like tujuane
Kali sanaaaa mkubwa konde ,,,wanimotisha zaidi kimaisha na kimziki,,,inshallah mola anijaalie nisichoke nijetoboa kimuziki kama,wewe mkubwa wangu❤,,,msani wako ,,,,#officialyoungb001
Kila mtu anataka comment yake tui like manina zenu nyinyi ndio mnatupa kazi tunaosoma comment zenye ujumbe acheni useng......ngoma kali bro since way back nakukubali kaka.
Rwanda Burundi Somalia Ethiopian Soudan Ouganda if you understand this song please gang hapa 2024/8/08 apa Niko Bangladesh kazi ngumu sana Ila bado tunapambana❤
Ama kweli Prof umeonesha tofauti yako na wasanii wa hiphop na wa bongo flavour kuwa ww ni mkongwe ktk muziki na una hekima na busara ktk muziki kwa nyimbo hii nzuri yenye ujumbe wa kutosha tofaut na wasanii wa kisasa wanaoimba nyimbo za matusi ndan yake, Yawapasa kuiga mfano kwako na kuimba nyimbo zenye ujumbe.
Professor Jay is an inspirational artist. I have been listening to his music since enzi za zali la mentali- he delivers his lyrics in the most poetic way. You are such a blessing and an inspiration to the community.
This song is keeping me going every day whenever I feel like giving up it gives me courage and I know I will achieve my goals much love from kenya ❤️❤️🙏🙏🔥🔥🔥🔥
Off course mahangaiko yote yatapita, kudhalaulika kutapita kumegewa demu wangu pia kutapita, muhimu tukaze na tukianguka tuinuke tuanze tena. ........Mr MP PROF JAY.
Tangu Lini Kaka Ushaharibu hiyo Korasi hata angeimba Jide ingepenza sana. Japo Huyo Dogo amesimamia hiyo korusi vizuri sana. Endeleza Gemu Kaka bado twakuitaji
Professor Jay jana, leo na kesho.. Sensational artist ever grazed TZ music industry. Much respect. Harmonize kama vile wembe .. #goodmusic #globalvibes
Nimeisikiliza hii ngoma sio ma chini ya mara 3 na hii video hata sijui ni mara ya ngapi sasa narudia ingawa ina lisaa limoja tuu. Bonge moja la ngoma 🙏🙏🙏
Great song with a strong message. We all can live upto our dreams if only we believe in better days. Harmonize and Prof.J you have done justice to this song. Thank you for inspiring and reminding us that things do come and go.........
Uhmmmm Ay! Oooh yeah mhhhhh... Ipo siku na muda eeh Silali bado na asooo Kama ipo itakuyja eeeh Yahalali nile kwa jasho Ipo siku na muda eeeh Silali bado na asooo Naamini ipo itakuja eeeh Ni halali nile kwa jasho Kulala visa vihoja (yatapita) eeeh (yata) Mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyeee(yata) Bado tunajikongoja (yatapita yata) Usijehisi umelogwa (yatapita)wowouwoooo (yata) Nilijaribu mara ya kwanza wakanambia sitaweza Nikajaribu mara ya pili wengi wakasema nacheza Mara ya tatu marafiki wakanizebeza Mara ya nne hata kabla Yakuanza nikateleza Mara ya tano nikafeli wakanibeza Wengi wakanambia siwezi faulu bila ya fedha Mara ya sita nikasita nikaska sauti ikiniita Kwamba maisha ni vita Jay unaweza Mara ya saba mambo yalijiongeza Kila nnapoanguka nainuka najisogeza Nnapopata kidogo nakiwekeza Maisha chuo kikuu wapaswa kujiendeleza Mara ya nane Im the man all the way up King Ndani ya jungle always keep my head up Usikate tama (ongeza juudi tu pambana) Sitting on the top of the world kama unaweza Ipo siku na muda eeh Silali bado na asooo Kama ipo itakuyja eeeh Yahalali nile kwa jasho Ipo siku na muda eeeh Silali bado na asooo Naamini ipo itakuja eeeh Ni halali nile kwa jasho Kulala visa vihoja (yatapita) eeeh (yata) Mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyeee(yata) Bado tunajikongoja (yatapita yata) Usijehisi umelogwa (yatapita)wowouwoooo (yata) Anhaa ... Najua unapata tabu sana wanakutukana Ifikilie kesho yako achana na jana Najua ata ndugu wa damu wanakukukana Haya maisha ni vita yapasa kuyapigana Ujapokea mshahala jikaze bhana usilie Onzena sana kazi na sara mama ntilie Maisha ni mapambano halisi sio nguvu ya soda Usisubili ugeuzwe tu ndo ukabede poda Nikopamoja nanyi wanangu wa bodaboda Dua zangu ziko nanyi mama zangu wa mbogamboga Mnapitia mengi ila mambohayaendi I can, I must, I will kama mengi Fundi gereji piga kazi kwa bidii ukiweza kesha Unaweza kua manji modewji ama bahkresa Usikate tamaa ongeza juudi tu pambana Sitting on the top of the world kama unaweza Ipo siku na muda eeeh... (sikuu) Silali bado na asooo (ebwana salalii) Kama ipo itakuja eeeh Ni halali nile kwa jasho... (kwa jasho) Ipo siku na mda eeeh Silali bado na asooo (asooo mbona silali) Kama ipo itakuja eeeh . (eeee) Nihalali nile kwa jusho Kulala visa vihoja (yatapita) eeeh (yata) Mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyeee(yata) Bado tunajikongoja (yatapita yata) Usijehisi umelogwa (yatapita)wowouwoooo (yata) You know, no one is born to be successful No one is born to be a star Hakuna kinachoshindikana Believe in yourself, Believe in yourself, Believe in yourself
Chibuuuuuuuuu hii sasa ndo bongoflava to the world watoto zako saiv watuliza mishono mana si level ya kawaida umeishemisha tanzania...hata wapopo saivi vichwa vinauma kwa ili dude dahhhh BIG UP SIMBA LA SIMBA
Kama Bado unaangalia hii ngoma in 2024 big up sana 🎉😢🎉
Professor Jay amenileta hapa kwenye ngoma hii... Wacheni uchoyo wa likes. Naomba likes kama 50 hivi ila ukipenda kuzidishi usiogope #+254
Mi ni sharama kutoka Kenya ruiru hawawezani na nyinyi wako down pia
Sawa bwana
Nippool
Hizi ndio nyimbo tunazotaka kuzisikia, nyimbo zinazoakisi maisha halisi ya mapambano katika usakaji wa riziki! well done Professor Jay... Hii ndio ngoma bora kwa mwaka 2018. Kama unakubaliana na mimi gonga like twende pamoja
Jamani harmonizer kauwa samahanni japo like mbili tu
Kama una mkubali jay gonga like hap wew❤❤
Kenya + 254 Tumeikubali....
Kama Umekubali imeipa Jamii Morale Kutia Watu Nguvu... Gonga Like...
Harmonize ft Proffesor Jay.🔥🔥🔥🔥🔥
Nakubali
Hili goma balaaa...... Naombe like ata mbili jmn, msininyime #yatapita tuuu 😥
Sawa
Nimekubali bro kz yk ni mzuli
ngoma iko juu
Makini sana
da
Don't think the dream will pass away without despair and lead God before your life, Nice song big up professor ft harmonize gonga like za kutosha tuwatakie afya njema.
Nice song
Kweli
💥
🤟mwanaume htenks
Za nn
Dah!!! hamornizeee kuimba mapenz anapotea njia ila akiimba nyimboo za maisha ndo anatokelezea ata ile atarudiii nyimbo qaliii sanaaaa!! yaaan Uyu jamaaa
Kweli iyo jeshiiii halali tule kwa jasho... Acheni tu kupe like zetu jamani...
Proffessor jay... U inspired me since early 2000 nikiwa kinda sana na bado nipo naku support.. mungu akulinde na uzidi kuwa inspiration kwa jamii... ONELOVE MY NINJA
Sebastian Roswe huyu jamaa hajawi kosea
Good song ujumbe mzuri xaana tusekate tamaa yatapita
True Legend
Very nice song
Ngoma kama hii utaisikiliza ukiwa na wanao,siyo tu mapenzi au matusi. Hongera P Jay 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Walai # YATAPITA " oyoooo kama umerudia zaidi ya mara moja plz nipe lyk tujuwane.....
Harmonize one of the most hardworking artists in TZ 🇹🇿 🇹🇿 The real definition of from rags to riches...... Big up👊👊
Wagapi tupo hapa 2024
Here we are❤
🎉🎉🎉
tuko pamoja hapa
Mimi
Mimi apa
Wakenya ambao ni mashabiki wa professor Jay since akiwa hardblasters Crew hadi wa leo like here
Hatali sana jama namo
Showing love from kenya,,
Yatakwisha, aisee nipeni likes
+254 professor jay amepiga kuua
Nice
Gonga like kama umeikubali hii ngoma profesa legend na konde boy🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥
Nimelike kwa sabu yako @aish@
Nc
Aishamstin Bae vp mumy
unajua sana prof j 😁😁😁😁
Hii nyimbo ilikua ina ni motivate miaka 5 iliyopita kila nikifeli interview nilikua naplay huu wimbo ila sasa hivi imebaki history
Profu jize ..huyu mwamba ni professor wahii kitu .
wakwanza kucoment. jamani naombeni like 3 tu. uwiiiiiii tafathali jamani. yatapita tuuu
Yatapita
Yatapta
Iko 100
Ziko zaidi ya 100 sasa
Baracka Shirima hizi likes huwa mnaomba za nini
Sina mengi ya ku comment ila vitendo vyake vyatosha kumkubali kama pia wewe wamkubali kweli kweli harmonize kijana mdogo lakini ana mambo mazito kabisa #Yatapita🔥💪👏
Am in love wid the song indeed Tanzanians mnaweza Mimi mkenya nimewakubali kama wewe mtanzania gonga like apa mingi..mnaweza
Ooh! Santa sana Commander Pro. Jay kwa michano mikali ya kutia nguvu. Ww n kioo kizuri sana katka jamii. Mungu akuzidishie kipajicho.
Acheni masihara nyie konde boy fundiiiiii 🙌🙌🙌🙌🙌
Wewe harmonize sio MTU mzuri, wajipange sana kwa style hii wewe ndio shina
Hivi ni mimi tuu narudia hivi hii video au tupo wengi!!!😉😉 kila mstari ni somo. #Yatapita
ata nami nipeni like ata moja jamani
@@lidialichad2719 😂😅😂 usijisikie mpweke nimekupa hako ka1. Ningekuwa na uwezo ingekupa hata vi3 🔥💥🔥
Mmmmmmmmmmmhhhhh me hii mara ya tano 😭😭
@@frankonlygod8711 safi sana🤗 ila naamini utaendelea tuu kuitazama
Ngoma kali sana Jay unazidi kuudhihirishia uma kuwa wewe ni mkongwe ktk mziki wetu
Wangapi tupo hapa baada ya professor jay kupata nafuu😢.yatapita
Nimeamini wewe ndio teacher konde kweli nakubali ngoma zinaishi masikioni kwetu
Harmonize ni mnoma tena sana but prof Jay ndio amenileta hapa. Nani mwingine..
Same here 👊
Mr blue noma pamoja na Fid q
Professor jay is a legend.
Mm
Nooomasana
Ukisikia hii nyimbo na umekata tamaa lzma unyanyuke na kuyaanza maisha kwa kutafta kwa bidii sana inakupa hope na ni mfano halisi wa maisha yetu waafrica tunakoanzia. Hii nizaidi ya zote duniani.
Zuhura Nkungu
Kwel
Oyooooooo yatapita wale wa prof jay like zenu zote hapa kama una changamoto na una amini yatapita nipe likes husipo like we mchawi
Jay anaweza🙏
@@brucerutayisire9411 daaa ebanaeee
Kazi iimesimama kazi kubwa hongereni sana hsa mdogo wangu Harmonize hujawah kosea pambana kijana
Wangapi mmeludi baada ya kuiyona iyo video ya professor jay akiwa ospitalini 😢
Like nne tu na mm nionkane jamani... Prof J 🤘🏿🤘🏿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Fransis Paris hizo
UKopoa sanaaa blaushabk tm
Fransis Paris sasa mbona zimefikia 100na zaidi Mara zinafika mia2 unafurahi unakufa
Ngoma Kali Sana salute mzee baba mh... Kiongozi wa binadam na wanyama mikumi....
Mbunge +Mwana Music Professor Jay ,,,,M/mungu akikupa kakupa2 Hata cc 2we WANGA kiasi gani 2taishia majungu2 sasa Huyo Harmonize alivyojua kua anaimba na mbunge si Kwa MKORASI huo👂🎧.....#NyimboKONK💪sana
kama umeangalia zaidi ya mara moja kama Mimi conga like twende sawa tumpe sapot wa Kunyumba uko juu kama Mwezi
Siku moja profesa ungeambiwa kuwa sauti yako isingekuwa na Mamlaka kama mwanzo,huwenda ungebisha kwa kuwa hukuona sababu.
Lakini Sasa nadhani umeshuhudia uumbaji wa Mungu ukiendelea kwako,mambo makubwa ya wokovu yaliyo fanyika kwako ni alama ya upendo wa Mungu kwa wanadamu. Ubarikiwe,tunakupenda sana.
Longevity ya Prof J na consistence ya quality over quantity inamuweka Prof J as the GOAT.Long Live Legend
Nani ankubaliana namm kuwa hiii ngoma no ngoma bora ya mwaka huuu bilia ubishi na pai harmonize kafanya kaz kubwa ktk hii ngoma na pia kwa mwaka huu zaid ya msaanii yeyotegonga like tujuane
Habil Saidi h
Sana.mtuwangu
True
Professor Jay's music has been so consistent in the industry for long🎶🎶🐐🐐 Long Live Prof, Jay💯
Kma ulisha kutana na Mambo mengi Lakini kwa Jina La Mungu 🙏 Yalisha pita gonga Like apa
Ameni
Amen🙏
Sijawahii pata like jamani, naombeni like zenu wapendwa🙏..
💃🕺🎶🎼
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿TZ
2021
Powasana
Kali sanaaaa mkubwa konde ,,,wanimotisha zaidi kimaisha na kimziki,,,inshallah mola anijaalie nisichoke nijetoboa kimuziki kama,wewe mkubwa wangu❤,,,msani wako ,,,,#officialyoungb001
Nimepitia kilicho imbwa nawe kama unaptia au umepitia kilicho imbwa gonga like hapa
Me ndo napitia
Kama umerudi hapa baada yakuona mwijaku na kassypool wa kenya plz gonga like wakiwa ndani ya crowm fm
Gonga like hapa kama umeikubali ngoma hii kama mimi👊👊👊
2024 still here.This song digs down my soul.Sitting on top of the world.
❤mon inspiration d vie elle f parti dans cet chanson 🎉😢😂😂😂usije hisi umerogwa 😢yatapita......
Kila mtu anataka comment yake tui like manina zenu nyinyi ndio mnatupa kazi tunaosoma comment zenye ujumbe acheni useng......ngoma kali bro since way back nakukubali kaka.
Rwanda Burundi Somalia Ethiopian Soudan Ouganda if you understand this song please gang hapa 2024/8/08 apa Niko Bangladesh kazi ngumu sana Ila bado tunapambana❤
m sijawai pata like at moja husiku namda bando tunapita
Hooo kijana hapewe hixima yake🎉🎉❤❤ Mozambique metuge
Ama kweli Prof umeonesha tofauti yako na wasanii wa hiphop na wa bongo flavour kuwa ww ni mkongwe ktk muziki na una hekima na busara ktk muziki kwa nyimbo hii nzuri yenye ujumbe wa kutosha tofaut na wasanii wa kisasa wanaoimba nyimbo za matusi ndan yake, Yawapasa kuiga mfano kwako na kuimba nyimbo zenye ujumbe.
Jaman mm mgen humu naomba msada wa like kama 200 tu
Keep it up konde na pro j
3g hyyhx hdhh truly rf z 2:05 😅the h 2:05 v 2:05 7bv vrhdcccchh rfdsf 😊cu😅c ?y7h?2i jfcxcgfc xxzo😅 2:05
BWHna ❤😄💐❤❤❤❤❤🙆🌴🕯️❤❤❤🕯️❤❤, ❤
L'Olimpia
Tumemiss hz nyimbo sana...maana kila sku n mapenz tu........thank yu mzeeee kwa kulikumbuka hl
Get well sooner Prof! Praying for your quick recovery!
Professor Jay is an inspirational artist. I have been listening to his music since enzi za zali la mentali- he delivers his lyrics in the most poetic way.
You are such a blessing and an inspiration to the community.
Duh ur right bro.. true Hip Hop ni Medicine
Yap
Hii Ngoma iko na mafunzo mengi ya dunia....big up Harmonize na Jay
This song is keeping me going every day whenever I feel like giving up it gives me courage and I know I will achieve my goals much love from kenya ❤️❤️🙏🙏🔥🔥🔥🔥
Professor Jay ft harmonize this song was specifically designed for the conditions am currently in.
Off course mahangaiko yote yatapita, kudhalaulika kutapita kumegewa demu wangu pia kutapita, muhimu tukaze na tukianguka tuinuke tuanze tena. ........Mr MP PROF JAY.
Naangalia kwasasa 2024
Msiponipa like. Yatapita tu😏😏
😂😂😂
Ngoma imetii
😂😂😂
Who is still listening to these legendary song in 2023?
Kama unawatch Sai weka like tukienda l hope yatapita
Kama bado unaangalia hii ngoma gonga like tujuane
Phil tupo pamoja
Naangalia daily...
Tupo
Creativity...💯
Sound flow.💯
Content......💯
Lines flow...💯
I luv this song..... very nice
Hii ni nyingine tena HARMONIZE TZ🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Prof. JAY
More fire harmonize
kadabra one motto njoko sana anajua sana
Nimempenda
Yatapita
kadabra one
thanks for bringing back legendary.... tell him not to retire. we still need him socially, politically and musically
Jay ..hua na kukubali phylosoph yako na uandishi wako....
,,kiki houston...BURUNDI
yaap nakumbuka hii song ikitokea skua na job bt hii ngoma ilinipa nguvu .....bt ni God amenibless yamepita yamepita .......lov from kenya ...
Tangu Lini Kaka Ushaharibu hiyo Korasi hata angeimba Jide ingepenza sana. Japo Huyo Dogo amesimamia hiyo korusi vizuri sana. Endeleza Gemu Kaka bado twakuitaji
Yatapita ☹️☹️one day tuta fika insha allah ✊🏼
How many are still watching this song is 2022🤝
Hupata nguvu ya kusimama tena kila nisikizapo huu wimbo. Big up sana kwa ujumbe mzuri
O homem que não perde Qualidade 🔥🔥🔥
Kama bado unaangalia hiingoma mbaka leo 2023 kama mm dondosha like apo👍👍
The legend is back again..,perfect blending there.+254 reporting ni hapa.
Kama bado unaskiza hi nyimbo ndani ya 2023 gonga like
Thanks professor Jay....
You know what people need and at what time.... The real mc.
Kama wherever nilianza kabla yako utaniambia nini respect legend
From Somalia proff is the greatest in Tanzania apana tambua Diamond na sisemi kwa chuki
Professor Jay jana, leo na kesho.. Sensational artist ever grazed TZ music industry. Much respect. Harmonize kama vile wembe .. #goodmusic
#globalvibes
Much respect to gud music
Sijawahi pata like jmn afu kibaya nachekwa
im from south sudan i love proffesor jay since i was 6years upto now........show some love to him
Asante sana kwa kutupa moyo #Professorjaynaharmonize kwa uyu ngoma naupenda sana. November 2022 from 🇨🇩 i watch it again.
Tafta harmonize ufanye naye wimbo mwingine, harmonize anajuwa sana aafu hapa kenya wanamsifia Sana.
Sending love from Rwanda 🇷🇼, wallah we will always miss this people.
Nimeisikiliza hii ngoma sio ma chini ya mara 3 na hii video hata sijui ni mara ya ngapi sasa narudia ingawa ina lisaa limoja tuu. Bonge moja la ngoma 🙏🙏🙏
Great song with a strong message. We all can live upto our dreams if only we believe in better days. Harmonize and Prof.J you have done justice to this song. Thank you for inspiring and reminding us that things do come and go.........
Vvvv v v v v vv v v vvvvv vvvvvvvvvv was the only way for A long era starter for San 6Jose county wà
Uhmmmm Ay! Oooh yeah mhhhhh...
Ipo siku na muda eeh
Silali bado na asooo
Kama ipo itakuyja eeeh
Yahalali nile kwa jasho
Ipo siku na muda eeeh
Silali bado na asooo
Naamini ipo itakuja eeeh
Ni halali nile kwa jasho
Kulala visa vihoja (yatapita) eeeh (yata)
Mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyeee(yata)
Bado tunajikongoja (yatapita yata)
Usijehisi umelogwa (yatapita)wowouwoooo (yata)
Nilijaribu mara ya kwanza wakanambia sitaweza
Nikajaribu mara ya pili wengi wakasema nacheza
Mara ya tatu marafiki wakanizebeza
Mara ya nne hata kabla Yakuanza nikateleza
Mara ya tano nikafeli wakanibeza
Wengi wakanambia siwezi faulu bila ya fedha
Mara ya sita nikasita nikaska sauti ikiniita
Kwamba maisha ni vita Jay unaweza
Mara ya saba mambo yalijiongeza
Kila nnapoanguka nainuka najisogeza
Nnapopata kidogo nakiwekeza
Maisha chuo kikuu wapaswa kujiendeleza
Mara ya nane Im the man all the way up
King Ndani ya jungle always keep my head up
Usikate tama (ongeza juudi tu pambana)
Sitting on the top of the world kama unaweza
Ipo siku na muda eeh
Silali bado na asooo
Kama ipo itakuyja eeeh
Yahalali nile kwa jasho
Ipo siku na muda eeeh
Silali bado na asooo
Naamini ipo itakuja eeeh
Ni halali nile kwa jasho
Kulala visa vihoja (yatapita) eeeh (yata)
Mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyeee(yata)
Bado tunajikongoja (yatapita yata)
Usijehisi umelogwa (yatapita)wowouwoooo (yata)
Anhaa ...
Najua unapata tabu sana wanakutukana
Ifikilie kesho yako achana na jana
Najua ata ndugu wa damu wanakukukana
Haya maisha ni vita yapasa kuyapigana
Ujapokea mshahala jikaze bhana usilie
Onzena sana kazi na sara mama ntilie
Maisha ni mapambano halisi sio nguvu ya soda
Usisubili ugeuzwe tu ndo ukabede poda
Nikopamoja nanyi wanangu wa bodaboda
Dua zangu ziko nanyi mama zangu wa mbogamboga
Mnapitia mengi ila mambohayaendi
I can, I must, I will kama mengi
Fundi gereji piga kazi kwa bidii ukiweza kesha
Unaweza kua manji modewji ama bahkresa
Usikate tamaa ongeza juudi tu pambana
Sitting on the top of the world kama unaweza
Ipo siku na muda eeeh... (sikuu)
Silali bado na asooo (ebwana salalii)
Kama ipo itakuja eeeh
Ni halali nile kwa jasho... (kwa jasho)
Ipo siku na mda eeeh
Silali bado na asooo (asooo mbona silali)
Kama ipo itakuja eeeh . (eeee)
Nihalali nile kwa jusho
Kulala visa vihoja (yatapita) eeeh (yata)
Mlo kutwa mara moja (yatapita) eyeyeiyeee(yata)
Bado tunajikongoja (yatapita yata)
Usijehisi umelogwa (yatapita)wowouwoooo (yata)
You know, no one is born to be successful
No one is born to be a star
Hakuna kinachoshindikana
Believe in yourself, Believe in yourself, Believe in yourself
Good to have you back @Professor.Jay ... Watapendaaaa !!! ... Dunga like kama umekubali💪👏👍
We're so proud of y'all
Push the Africa ahead of the world
East African musicians are doing great work
#the message from south Sudanese boy 🇯🇴
konde mi boy from kenya nipe likes hata mimi leo
2021 mpo mnao sikiliza hii ngoma kama mm tujuane 🇶🇦🥂
Chibuuuuuuuuu hii sasa ndo bongoflava to the world watoto zako saiv watuliza mishono mana si level ya kawaida umeishemisha tanzania...hata wapopo saivi vichwa vinauma kwa ili dude dahhhh BIG UP SIMBA LA SIMBA
Kama unarudia hii nyinbo kila Mangumu baada mamiaka ww ni hustler na utafika unapotaka maisha 💪🏾 💯
Wanangu tuungane kwa support 243, 254,255,naija...