Mzigo uko Pouwa kinyama umewagusa mulemele yani mzigo nimeulewa kinyamanyama Masnich na wanafiki waache wapke kelele coz n mashabiki ila sio wa nchii thanx #Mr Blue
Hii nyimbo imenifanya nikumbuke mbali sana tena sana tena yule Mr blue wa zamani katika ile nyimbo ya snoop Lee mic daka.... Aisee mwamba umepigana sana saluty kwako
Weeeh Mr blue..kama kuna your big fun from Kenya ni mimi I say!!!all all your music na ninatamani sana ukam upige show Kenya, nairobi Kenya blue walai come organise things and come and kill the show...blue come Kenya show yako siwezi kosa...respect bro big up your you're great....May God protect you blue...uko juu amd your song will never fade away is new everyday whever I listen to any of your songs 🎵!!!
Blue kwa jinsi nilivokuelewa unamaanisha kwamba yani hakuna anayekutisha kwenye game hii waimbaji lakini hawawezi kukushusha ni sawa na Mijibwa Koko haina uwezo wa kung'ataaa
Haha Simba 🦁 wa kweli kanguruma leo mbwa koko wakalie mikia uwii.. ila Blu nyoko sana nakukubali miaka 10000000 it's bout time you remind them who runs the game wanajisahau sana af misifa kibao.. Love you Byser ♥ ♥ 😘
Farhiya Jama my thoughts exactly.. They had a misunderstanding over the name Simba Blu claims to have referred to himself as Simba first before Diamond adopted the name and they have not been cordial since plus Blu has always been Alikiba's friend so hey it's easy to do the math here.
I salute you my brother this is what i have been waiting from you.... Ishakuwa kuubwaa🔥🔥🔥🔥 young legend..... Nimekubali 2018 on fire .....#MbwaKoko....254present you the legend...... Tisha ile mbaya
2024 like it to remaind me to listen this song 🎉🎉❤
Yeaa❤
Meck From Jamaica Sijui kiswahili ila ngoma Ni 💣💣
Kama ume play mara10 kama mm gonga Like...
*Hater's ni mbwa koko*
Ila kiswahili kuandika unajua Dah?
🤣🤣🤣🤣🙋🙋salam tu
Nani kaandika sasa
Nimejikuta naiangalia mara mbili aiseee
Kama umeirudia kama mmi gonga👉👍
yessss
🙌
samson charles ndalahwa Mimi hapa zile kwich kwich zimewafanya wakae uchi
yaan nimecheka mno
Felix Philipo juu sana mr blue
wanaodslike hii ngoma wote mbwa kokoo, hawang'aatii
Ngoma ni nyokooooooooo. ..like km umequbal
koko namo
Nakubali mwanangu blue aisee gonga like basi ukiwa nami legendary uyoooooooo
Babylon is so real ....huyu jamaa apewe heshima yake binafsi kabisa. Ni zaidi ya legend
Eti wana disi umeimba tarabu kwani #fresh ni zuku piga mbwaaaaa kokoooooo hawa kuma
Nakuelewa sana Mzee baba wasio penda Hii nyimbo wote mbwa koko 😂😂😂😂.
mbwa koko..mafala hao wambie..Mr Blue mistari ya kizee...waache wabweke..
we jamaa bora ungezaliwa mbele so bongooooooo###home boy pia tabata usipaone mbaliiii
Mzigo uko Pouwa kinyama umewagusa mulemele yani mzigo nimeulewa kinyamanyama Masnich na wanafiki waache wapke kelele coz n mashabiki ila sio wa nchii thanx #Mr Blue
Hawang'atiiiiiii oe blue ili dude noma
Hii nyimbo imenifanya nikumbuke mbali sana tena sana tena yule Mr blue wa zamani katika ile nyimbo ya snoop Lee mic daka.... Aisee mwamba umepigana sana saluty kwako
Nyie mnao Deslike Ni ma umbwa Koko Alafu hata hamng'ti kubweka Tu ndio zenu kama waipenda gonga like twende sawa
Hahaa kumbe mbwa kokooo oooh🙌🙌 umeua broo
Narudia rudia tu kuwatch #Gongalike twende sawa
Adolf Mweupe jux
Namkubali ssns
Daaaha kiboko sana nihali wa nweke kama mbwa koko umetoka bali sana
Blue bado uko sawa...nashaangaa mashabiki mbwa koko wanasema hii haiwezi#BLUESTILLONTOP.
Kumbe ni mbwa koko😏😏mxieew🔥🔥🔥🔥🎧
hii ngoma level nyengine mr blue.... kweli bongo bahati mbaya... young legend 🔥🔥🔥
Jamaa anasikilizwa na wa Marekani kushinda wasanii wote Bongo...
I concur, ila umejuaje?
Sasa marekani wasikilize zuena ngoma za mbele izi
Yeah!!! Mr Blue we ni international wise baba paaa vilivyo no snitch.
Mr blue we mukali bro uta amika paka siku yamwisho bro no one like you tz ❤️❤️🎤🎤🎤🎤🎤
KING SINGLE 23 og
Nyaaaaauuu!! Huyu Ni mfupi tuu Ila ma- young WOTE wakubali kabisa kuwa huyu ndo legend wao maana jamaa anajuaa mpaka anakeraaaaa!!!
Weeeh Mr blue..kama kuna your big fun from Kenya ni mimi I say!!!all all your music na ninatamani sana ukam upige show Kenya, nairobi Kenya blue walai come organise things and come and kill the show...blue come Kenya show yako siwezi kosa...respect bro big up your you're great....May God protect you blue...uko juu amd your song will never fade away is new everyday whever I listen to any of your songs 🎵!!!
HIII NGOMA itapaaa sanaaa brooo
Kabisa, wew ni Blue wa Enzi zetuu.., awukoseagii, ata Ukiwa likizonii..., Ni blue wa Mr blue legend... Wasiku zote...
mjomba dubai nimekupata safii..nakupenda kakangu
big up mr blue unakata hadi mitaa yao dope track,bonga moja la video
bluu, nitakuwa shabiki wako daima. maana we ni nomaaaaa
unapenda umbea sana hakuna nyimbo hapa
Mmbwa koko
Nimekuja hapa after see this song on maisha magic bongo...bonge la dude
That's what we call Talent. Big Love from Uganda
duh colas Kali sana nimecheka adi basiiii blue noumaaa njo tanga kaka upige shoo bhna
mbwa wagetn anaelekea kua mbwa koko
hawang'atiiii hawang'atiii...,wow wow...MBWA KOKO
Ngoma kali video kali 🔥🔥🔥🔥🔥 fundi tangia enzi zile mademu wana mapozi...mpaka tuka wakiss kiss
yan huyu mbwa koko amekua FIRE,shirawadu wenyewe wanasemaga MAMBO NI ............., hahahaa #blessblueBYSER
powa basi mr blue salut umbwa koko
1 and only Byser..iv kuna msanii ana bif na uyu jamaaa?? Hayupo mamae!!! Byser ni kipenz cha wote...Muhuni ameinspire wengi.....Mbwa kowkowwwww😎
umeamsha popo young logo,,,,young legendary byser the himself
nimekubali bluuu
😼 mbwa kokooo!!! Young legend!!!!
Hii ngoma ni kali sana.Media ifanyieni haki.INASTAHILI .
Woyoooooo kumbe mbwa kokooooo haoooo huhu #TEAMKIBABLUE kama umepita mtaaa huu acha alama hapaa🙌🙌🙌🙌🙌🙌😘😘😘😘😘
nimeirudia zaidi ya Mara kumi kweli blue ni noma yaani nimecheka eti mbwa koko
i started listening to mr.blue since childhood uptodate.i love your lyrics blue.
Haujawahi inanyesha niangusha jembe......big up sana Mr blue......I'm your number one fan here in USA
Hakuna ngoma mbaya kwangu kutoka kwa Mr blue kama wewe ni heater bas ni mbwa koko
Kallamu daily hehehe hater baba
Siunajua tena vi simu vya touch hivi
Kila nikisikiliza nazidi kupatwa na furah zaidi
Kallamu daily yaani najuta kuiangalia tu
Kallamu daily umeona eee
Hatariiiiiii Sana'a bluuuu nimesikiliza mar kumi
Blue kwa jinsi nilivokuelewa unamaanisha kwamba yani hakuna anayekutisha kwenye game hii waimbaji lakini hawawezi kukushusha ni sawa na Mijibwa Koko haina uwezo wa kung'ataaa
👂👂👂👂👂👂🔥🔥🔥🔥🔥
@@KhadijaKhadija-mk6jf mimi sisemi
Ila hawa sumbui ni mbwa kokoooooo
😀😀😀
Mc samaki, mamba kabisa, umetisha my bro, ya bad killer, nakukubali mwanzo mwisho,
Still my hit song 2020 much love from Uganda 🇺🇬
Takbir Allah Akbar, ukiniona lazma utoke nduki, ushtuki, siwachukii nawadharau, mbwa koko nyinyi.
nyimbo Kali sana hila kama kijembe kwa m2 fulani hivi
mwinyi aman nan uyo
ahsante blue Kwa kunichania mtu mmoja hv yaani napenda ule mstari kama mziki unalipa biashara za nininiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Good job man
Blue blue forever
Never give up💪🏽
Kabaisaaa hujawah niacha salamaaa qubaleeee aiseeeh
Blue byser hatujui karanga MBWA KOKO
Ok,,,!! Great song!!
Unajuwa brother 2sapport ngoma kal mazee
big up bro👏👏 homeboy from washington
genius wa mziki ukifa ww sisikilizi mziki tena Na mm nastaafu kusikiliza miziki.
You did it again bro. Much love Tanzania😘😘😘😘
Hellow
mondi akikuwa atanyoa para kama blueee .....uyo fundii
Safi Sana ukojuu👏👏👏👑🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Haha Simba 🦁 wa kweli kanguruma leo mbwa koko wakalie mikia uwii.. ila Blu nyoko sana nakukubali miaka 10000000 it's bout time you remind them who runs the game wanajisahau sana af misifa kibao.. Love you Byser ♥ ♥ 😘
Busy Babylon umetisha mzazi nakuelewaga sana👏👏
Hassanova junior
Wimbo wapili tuko pamoja jo....
kumbe ni mbwa koko
Hahahahahah mnyamwezi wangu byser waga haukoseagi hauniangushagi daaaaah mambwa koko hahhahahabahahah furahi sana mm
Umeua byser
Simbaaaaaa....umetisha byser..uko mbele milele
ntukaneee kjamaicaaaaaa hahahahahaa mr maujuz noumaaa
Kwaza uyu blue ww nimsani mkubwa sana ulianza mziki zamani kuliko diamond umbwa koko awakuwezi atakidogo
This song is going to diamond 😅😅😅😅Love u u blue 😍😍
Farhiya Jama
Waiting for his responses... hahaha
I can’t wait to see that 😅😅
Farhiya Jama my thoughts exactly.. They had a misunderstanding over the name Simba Blu claims to have referred to himself as Simba first before Diamond adopted the name and they have not been cordial since plus Blu has always been Alikiba's friend so hey it's easy to do the math here.
Farhiya Jama ha ha mtasubiri xana
Vanemba kengava nii Bangu daí namene
Hii ngoma sichoki kuitizama blue...#mbwakoko
Only lord knows how I missed his music ❤❤❤love from uganda
Hello
Ngoma imetulia Mr Blue. Hongera sana.
Mh blue jamaaa we noma ixe salute
Blue umetisha broo wanajijua...+254
Byser aka babyron
Asee uko vizuri legendary
MR blue ww ni balaa hata wasemaje hawa watoto wameanza game juz asie kubali ngoma zako mchawi.
Mwaka wetu huu Mzee baba
unaweza mzee baba nakukubar sana #mrblue
Punguza nyoko nyoko...si umetoa boko lazma uchapwe mboko😅
kwa iyo kocho*****
😀😀😀😀
Bora uache music tu, hamna kitu hapa, chorus mbayaaa, umeimba kitoto sana
karibuni sana MangeTv
MangeTv kipendwa.wawa.Tanzania will love you forever mange.kimamge
MaishaMseto noma sana ngoma kar
Yaap nimekubali brooo!!!!
Love you mr blue
I like ur voice too much😍😍😍😍💛
Hii ndio maana ya kua mtu mzima mbwa koko wewe..!! Blue Byser #Bless🙏UponYouBro
I salute you my brother this is what i have been waiting from you.... Ishakuwa kuubwaa🔥🔥🔥🔥 young legend..... Nimekubali 2018 on fire .....#MbwaKoko....254present you the legend...... Tisha ile mbaya
Napenda nyimbo zako blue😚 toa nyimbo bwn nakuomba
Mr. blue my favourite ever n since.
+254 piga like.
kali
Good MZEE ni mmoja katiya wasanii nao wakubali kupita maelezo
ngoma Kali sana
Nakubal sanaa Mr blue toka nakua nakuona
Mzee baba kwel mbwa koko
daaah wcb mbwa koko. hawang'aatiiiii👆👌👌👌😂😂😂😂😅
Nimekichek mara sita mamae ni moto 🔥🔥🔥🔥🔥
Nakubali Babylon bizzy wamekaa ngoma kalii
2024 who is here 📍🎶🎶
Bysir mi nakuelewa kabisa zee ukoseagi, mbwa koko wataelewa tu hahahaha imekula kwao.
Bonge la ngoma brok
Boyo
Kama nakuna bonge LA ngoma
T.touch naye ni mnyamwezi tena wa mbele waoooooh
kama unamuamini byser gonga like yako hapa
Nimeupenda ule mstar unaosema kuwa nilianza rap kabla saida hajui kuchambua karanga mmmmm!!!!! Hahaaa haaa hakika dogo yupo vizur mbwa kokoooooooo