Watiwe adabu watoto wadogo washaanza uchawi msiwaonee huruma hata kidogo zipo jela za watoto angalau wakae mwezi mmoja na kazi ngumu na viboko 6 asubuhi 6 wakati wa kulala ili iwe fundisho kwa wachawi kama hao pumbavu kabisa watoto wadogo washaanza kuwa na roho mbaya
Wachapwe viboko , vya nguvu, halafu ndio kesi ianze, ikiwezekana wazazi wao wauze walicho nacho kulipa gharama za uharibifu.......hakuna kuchekea watu saa hizi...
Tatizo la hiyo rely inamazingira ya kusogelewa sana maeneo hatarishi kuna baadh yaaeneo TRC wanatakiwa kuwa wakali hakuna mtu kizingira zingira ili kulinda usalama wa Reli na abiria
Wewe unacheka au mnasema watoto wangevunja hivyo visimu vyenu vya vitochi mngekubali msichukilie kika kitu baridi barafu waachiwe ili na wengine wavunje sio
Hivi kwanini wasipigwe lisasi huu ni upumbufu serikali iwe inatoa adhabu kali bila hivyo upumbafu na ujinga uliopitiliza kuendelea hii lazima viongozi wawe kama mbogo
Je angekuwa wako ungesema hivyo .ushaambiwa ni wtt wapewe azabu za umri wao au wazazi walipe uwezi uwa mtt kwa kuvunja kioo .na jiwe Lina kasi zaidi ya tren mwendo kasi
Iwepo sharia kali kwa wale wanahujumu SGR!!
😭😭😭😭duh!!!n watoto sana,kwel Sheria ipo,lkn hekima na busara n nguzo ktk hili
Tanzania hii nishida jmn
Elim inahitajika hata kama polin
Watiwe adabu watoto wadogo washaanza uchawi msiwaonee huruma hata kidogo zipo jela za watoto angalau wakae mwezi mmoja na kazi ngumu na viboko 6 asubuhi 6 wakati wa kulala ili iwe fundisho kwa wachawi kama hao pumbavu kabisa watoto wadogo washaanza kuwa na roho mbaya
😅😅😅
🤣🤣🤣🫡🫡🫡🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍👍👍🙏
Mtt haruusiwi kufanya kz mtt wa miaka 12 under age
Duu,wazazi wafunzeni watoto wavipende vitu vya Tanzania ili vidumu,kwanza walianzaje,inabidi wavhukulowe hatua kali,kuna siku watang'oa reli hao
Hiii nchi kuna watu wapumbavu sana hata kama ni watoto wanabidi waajibishwe ipasavyo iwe fundisho kubwa kwa wazazi na hata watoto wengine
Wazazi wao walipe
tabia za kinyani zimeanza ehh!
Kwaio jiwe limeshinda kasi ya treni😅😅
Wazazi wao watagharamika kioo kimoja milioni 5😂😂😂
Wachapwe viboko , vya nguvu, halafu ndio kesi ianze, ikiwezekana wazazi wao wauze walicho nacho kulipa gharama za uharibifu.......hakuna kuchekea watu saa hizi...
Practice iliotumika kati ya mwendo wa jiwe na treni
Kweli watt. Ati wanataka kujua jiwe na Train ipi lina kasi zaidi😅😅😅
Hatuwezi tukawa tunafuga ujinga kwenye hii taifa ujinga ni adui wa taifa na kama je alilipwa au kushawishiwa kufanya hivyo
Yaani hii tabia kuna siku watoto walifanya kwa gari la ofisi bahati kioo cha mbele hakikuvunjika licha ya kupigwa na jiwe
Watanzania tuna shida Sana wapelekwe jera ya watoto rumanda home
😢sasa hao n watu au n watoto wawili jmn, huyu mwandishi na msomaji vp make watu wnyw n miaka 16 kwa 12 bado wadogo
Kumbe watoto!!!
DUHHHHHHHHHHJJ, HILO SASA TATIZO, MBONA SASA UZALENDO SASA UMEPUNGUA KIASI HICHO.
Tatizo la hiyo rely inamazingira ya kusogelewa sana maeneo hatarishi kuna baadh yaaeneo TRC wanatakiwa kuwa wakali hakuna mtu kizingira zingira ili kulinda usalama wa Reli na abiria
Wasifungwe napendekeza wote wanaoleta ujinga kwenye sgr wanyongwe wapotee kabisa
Kujua spidi ya treni unachukua mawe 2×mwendo ×vioo= speed kamili
😂
Ikipota ikipita?
Wewe unacheka au mnasema watoto wangevunja hivyo visimu vyenu vya vitochi mngekubali msichukilie kika kitu baridi barafu waachiwe ili na wengine wavunje sio
Treni ikipota duh afu hata hajarekebisha kauli
Iv itakuwa kesi ya kuhujumu uchumi eti, haina dhamana
Hivi kwanini wasipigwe lisasi huu ni upumbufu serikali iwe inatoa adhabu kali bila hivyo upumbafu na ujinga uliopitiliza kuendelea hii lazima viongozi wawe kama mbogo
☹️👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎🫣
Je angekuwa wako ungesema hivyo .ushaambiwa ni wtt wapewe azabu za umri wao au wazazi walipe uwezi uwa mtt kwa kuvunja kioo .na jiwe Lina kasi zaidi ya tren mwendo kasi
Weeeeehh Risasi Tena!??? Kha Unafananisha thamani ya kioo na Mtoto!??
Wasemehen tu jmn ni utoto
Kama ni watoto hawajui chochotete wasamehewe
Watoto
Ha ha ha
Nyonga Hao wajinga hao
Wanyongwe kwa kuvunja vioo na ushaambiwa wtt .Kuna wangapi wanapiga au wamepiga na yupo alie nyongwa
😂