HAJI MANARA AMMWAGIA SIFA PACOME / NI KIUMBE CHA AJABU / ASIFANANISHWE NA CHAMA..??
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 พ.ย. 2023
- C E O WA MANARA TV HAJI MAMARA AMEMMWAGIA SIFA PACOME / NI KIUMBE CHA AJABU / ASIFANANISHWE NA CHAMA ? TAZAMA HAPA FULL VIDEO
#manaratv #yangasc #simbasc #simba #manaratvupdates - กีฬา
Tukiacha ushabiki manara ni bonge moja la mchambuzi atari😮sema tu vurugu zake akianza kuongea kishabiki hapo ndipo huwa anakera😂😂😂.
Swadaqta
Nikweli kabisa
😂😂😂😂anakera sio pw
Yap
@@amaniomar17553ŕ
Manara ni mchambuz anaye ujua mpira vyema haswa.so nafaa awemchabuz.
Tena manara yuko vizuri sana
Big up kwake, kaongea ukweli mtupuu
Bugatti ni next level Tz tukiweka ushabiki pemben
Uyo anaye tukana mpime Ana ability au anajuwa uchambuzi mwache ajambue uyo manala anajua kuchambua
Wape,wape,vidonge,vyao,wakimeza,wakitema,iyo,shauyaoo,weeeeeee,manala,weeeee,unanikosha,,,,,miiii
Good analysis
Haji unampenda kuliko hata demu wangu😂😂😂
Kweli
Unajua kaka
Sawa mwana jamngwan
Wewe ulisema yanga wakimtaka chama hatawauze club yaoyote na wao hawawezi kumnunua chama
Hao wapuuzi wanao comment vibaya ni kuwa hawaelewi chochote , manara akiamua kuwa serious na uchambuzi ni bonge moja la analyst ,
Bora wewe unajua hilo yupo vzr sana
Manara big up wape.vidonge wameze.wakiuchukia wafe roh
Haswaaaaa
Ulisema unaacha mpira vipi tena😂😂
Manara ni Malaya wa vilabu vya bongo 😂 😂 ila uko sawa we chawa la mpira bongo utabebwa mno na wanaume 😂😂 jiangalie Kuna jela na gesti😂😂 SIMBA NGUVU MOJA
Mbona imekuwa fupi sana wakati ni uchambuzi mtamu yaani unasikia burudaaaaaani
huyu jamaa anajua mpira
Sawa Bugatti upo vizuli Sana
😂😂😂
Mwamba nmekuelewa
Shua
Hivi jina ni PACOME au PACONE!!!!!
Pacome
Ni Pacome, Manara Huwa Anachanganya Tu Hata Skudu Huwa Anamuita Skudo.
Pacome
pacone,,
Niki kumbuka kipindi Cha usajili makolo walivokua wanapiga kelele na wanacho kicheza uwanjani nacheka pekeangu🤣
Utafikir wale waliowasajili walirudi kwao wakaletewa copy tu 😅😅😅
Walisajiri kibegi Madunduka 😂😂😂
Manara ni msenge tu, nyang'auu
Hata wew pia nimsenge ,nyambwa
Tena msenge baridi kahaba la kiume kumamako
Kumanyoko zako
Kaaamaa Ty tutoleeeee shida zakoooo 😂
Ulitaka akupake mafuta kati timu yako mbovu
Huyu manara leo sijui amekula magimbi mengi mno au amekula nn mbn anaongea utumbo hivi
Huelewi mpira
Dunduka utaelewaje wakati una IQ ndogo
Mlisajiri kibegi kwa kelele nyingi wakati sisi tunataka mpira mzuri na mmechoka 😂😂😂