SUPRISE YA YANGA HII HAPA/CHAMA KUJA YANGA/SAKATA LA AZIZI KI NA YANGA/KINZUBI KUJA YANGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 53

  • @DenisiSanga
    @DenisiSanga 4 หลายเดือนก่อน +9

    Nakukubali Ali kamwe uendelee kututumikia miaka Elfu nane huyo manara asubiri kwanza nyuma ya spika

  • @RamsoKabora-cl5ei
    @RamsoKabora-cl5ei 4 หลายเดือนก่อน +14

    Kitenge tv gonga like

  • @EricMbilinyi
    @EricMbilinyi 4 หลายเดือนก่อน +6

    Napenda sana kumsikiliza huyu mtu

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw 4 หลายเดือนก่อน +4

    hongera afisa wetu🎉

  • @sarahsaimon4095
    @sarahsaimon4095 4 หลายเดือนก่อน +8

    Afsa habali wetu, hongera sana kwa kazi nzuri

  • @JamesMeshack-y8
    @JamesMeshack-y8 4 หลายเดือนก่อน +2

    Prince Dube huyo 💪💪💪💪💪

  • @HelenaMatano
    @HelenaMatano 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana semaji letyu caf

  • @KUSINIFINEST
    @KUSINIFINEST 4 หลายเดือนก่อน +5

    Azizi Ki huyoooo

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 4 หลายเดือนก่อน +4

    Semaji letu Hilo hongera Sana

  • @Kimweri_tz
    @Kimweri_tz 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hili kweli semaji

  • @charsmaleko7460
    @charsmaleko7460 4 หลายเดือนก่อน +5

    😂ila semaji 😂😂😂

  • @richardashery2326
    @richardashery2326 4 หลายเดือนก่อน +3

    Prince huyoooo

  • @upendoluva2066
    @upendoluva2066 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Sana msemaji wetu upo vizuri

  • @WatuShazi
    @WatuShazi 4 หลายเดือนก่อน +4

    Safiii

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 3 หลายเดือนก่อน

    M/Mungu akuweke zaidi Inshaallah

  • @carrenbenson2111
    @carrenbenson2111 4 หลายเดือนก่อน +5

    Ila yanga Kuna viongozi mahiri Sana wenye akili kubwa, yaan yanga kwa Sasa Raha sana

  • @OmaryMashamba
    @OmaryMashamba 3 หลายเดือนก่อน

    Love Dar young African

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yani iyo nafasi aliekuweka hakukosea unakava nakupenda maana unajua kuwakera makolo😂😂😂😂 yanga tamu jamani

  • @MbwetaniJohn
    @MbwetaniJohn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kupata maelekezo ya kufungua tawi Mimi nipo iramba singida kata ya tulya najua kitenge mtafikisha taarifa

  • @Venancbaracka
    @Venancbaracka 4 หลายเดือนก่อน +9

    Tunakuamn mwenyekiti wa africa

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 4 หลายเดือนก่อน +4

    Familia face😂😂

  • @jonasmafumbi7087
    @jonasmafumbi7087 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kuna club za mpira na club za ubwabwa

  • @omarymtotela3751
    @omarymtotela3751 4 หลายเดือนก่อน +7

    Dube

  • @amanilupembe9788
    @amanilupembe9788 4 หลายเดือนก่อน +2

    Duuu

  • @KadushiMalugu
    @KadushiMalugu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuaminia Ali kamwe fei ni utoto tu akikua atatembea tu

  • @thetrends472
    @thetrends472 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ubwabwa membership card 😂😂😂😂

  • @Saidimussa-123
    @Saidimussa-123 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka unatisha sana

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 4 หลายเดือนก่อน +1

    jaman alikamwe kaongezea jina la saba kwa majiran ubwabwa fc

  • @AllyAmanzi-y8i
    @AllyAmanzi-y8i 3 หลายเดือนก่อน

    Kamwe mchokoz na anawachokoza kweli😅😅😅

  • @BraisonIssack
    @BraisonIssack 3 หลายเดือนก่อน

    Hii yanga ina vichwa

  • @abicotv4897
    @abicotv4897 4 หลายเดือนก่อน +4

    Atakuwa Manara uyo

  • @maryamabdullah9195
    @maryamabdullah9195 3 หลายเดือนก่อน

    Chama twamtaka

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 biashara ya ubwabwa itafaaa

  • @neemamwijage
    @neemamwijage 3 หลายเดือนก่อน

    Leo hii kawa kijana simnasemaga ni mzee

  • @musamshema7838
    @musamshema7838 4 หลายเดือนก่อน +6

    Asiwechama hatumtaki

    • @yassinchuwa8824
      @yassinchuwa8824 4 หลายเดือนก่อน

      Mchezaji anayesajiliwa na yanga msimu huu ni mchezaji mzuri.

    • @JUU-lw2je
      @JUU-lw2je 4 หลายเดือนก่อน

      Kweli chama hatumtakii kabisa ameshakuwa mzito mnoo

    • @kassimmsonde4209
      @kassimmsonde4209 3 หลายเดือนก่อน

      8:51 8:52

    • @bryanbarracka3283
      @bryanbarracka3283 3 หลายเดือนก่อน

      Umelogwa wewe Sio Bure wewe ni kolozidadi 😂 tumekushtukia

  • @GaddafiRashid
    @GaddafiRashid 3 หลายเดือนก่อน

    Macha uyoooo😂😂😂😂

  • @leonardkahema5012
    @leonardkahema5012 4 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba namba ya Ally Kamwe

  • @IbrahimShahame
    @IbrahimShahame 3 หลายเดือนก่อน

    Acha kutoa siri mapema,napenda mashabiki na wapinzani washitukie matukio,kwa sasa wamefahamu nani mtamtambulisha

  • @brownmasai774
    @brownmasai774 4 หลายเดือนก่อน

    Sheikh, angalia yasije yakatukuta yaliyomkuta bondia wa ki-Russia baada ya kutema mbinu zake baada ya kumdunda "apolo" wa "club" ya "ROCKY" hadi kumuua. "Rocky" mwenyewe alipo itumia mbinu hiyo na kuingia ulingoni na huyo "mrussia" akamvuruga, tena mbele ya "rais" wake kule kule "urusi". Tafuta senema ya "ROCKY IV".

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 4 หลายเดือนก่อน

    Okra pia ilikua surprise kiko wp

  • @tintin0019
    @tintin0019 4 หลายเดือนก่อน

    DUBE HUYO

  • @machajuma6565
    @machajuma6565 4 หลายเดือนก่อน

    Kamwe naomba namba yako nataka niongee nawe inbox

    • @Saidimussa-123
      @Saidimussa-123 3 หลายเดือนก่อน

      We ya nini acha tamaa

  • @JacksonMakalanga
    @JacksonMakalanga 4 หลายเดือนก่อน

    C

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dube

  • @AyubuMkindi
    @AyubuMkindi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Dube