Kaka anajitambua sana atafika mbali. Nimependa vile ana moyo wa kushukuru kwa kila aliyemshika mkono kwa nukta moja. Big up young man. Na muomba Mungu aniongezee moyo wa shukrani
Mambo shena , hongera kwa kazi yako zuri, huyu kaka na roho nyeupe Sana ndo maana anafakiwa, hongera Sana mdogo wangu ,Mungu abariki ndoa yetu mbarikiwe mtoto was kikie na. Wakiume
Ndoa na iheshimiwe na watu wote. Asante kaka kwa kulijua hilo, kweli mtoto mlee katika njia impasayo nae hataiacha hata atakapokiwa Mzee. Big up kwa wazazi wako pia. Wamekilea ktk njia za kumjia Mungu.
Kijana ana heshima na anajielewa na anakumbuka kutoa shukran sana, safi sana. Mazungumzo mazuri. Una bahati kupata fursa ya kufanyiwa interview bila kulipia fee huo ubalozi
Community college ni sawa na Chuo kinachotoa Diploma mfano CBE Chuo cha Biashara, au DSA ni vyuo vinavyotoa Diploma inayokuwezesha kuingia University kupata Degree, ukimaliza Community College miaka miwili unatunukiwa Associate Degree (sawa na Diploma) Wengine wanaenda Community college sababu ufaulu wao hautoshi kuingia University unaanzia Community kusafisha ufaulu ili ukubalike University, ila tofauti ukikubaliwa kuingia University ukiwa umemaliza community college University wanahesabu masomo yako na wanakuanzisha Mwaka wa Tatu wa University na utasoma na kumaliza degree yako
Norbat Asante sana, nakuomba kitu kimoja, mimi pia niko USA angalia chakula kula kiasi, usipate pressure, sukari, na cholesterol, tunakupenda sana sana.
huwez ukamtumikia MUNGU alafu akaruhusu uangukie pua..MUNGU humuinua yule mwenye bidii ya kumtafuta kaka ang hongera sana zidi kumtumikia MUNGU maisha bila yeye c kitu
Dahh hiyo ya mwisho nimeipenda sana kama hutaki kumisamehee pambana nalo😂😂😂 Jamaa anakiona sana mm nilishamsamee na kumuomba samahan ila jamaa hataki ila ujumbe apambane nalo❤😂😂😂
Wabongo bwana,sasa we unamuulizia Pete ya nini?tatizo tunakariri sana maisha,mwenzio kaishatengeneza maisha yake,kafunga ndoa yake,kasajili document zake,na anatambulika na serikali ya marekani ni mwanandoa halali,we unauliza pete hahahaha.
Instagram: min_norbert_joseph
Shukrani
Mambo vp dada
Kaka anajitambua sana atafika mbali. Nimependa vile ana moyo wa kushukuru kwa kila aliyemshika mkono kwa nukta moja. Big up young man.
Na muomba Mungu aniongezee moyo wa shukrani
Kaka ana Hofu ya Mungu NA mchapa kazi kitambo. Hachagua kazi. Anajitambua atafik mbali Sana. Bi Mkubwa wake ameleaaa kwa vitendo. Big up mama Norbert
Tumpe Maua Mama 💐
Mambo shena , hongera kwa kazi yako zuri, huyu kaka na roho nyeupe Sana ndo maana anafakiwa, hongera Sana mdogo wangu ,Mungu abariki ndoa yetu mbarikiwe mtoto was kikie na. Wakiume
Uyoo ametisha ndugu yetu wewe nimwana alakati salut dada yao
Ndoa na iheshimiwe na watu wote. Asante kaka kwa kulijua hilo, kweli mtoto mlee katika njia impasayo nae hataiacha hata atakapokiwa Mzee. Big up kwa wazazi wako pia. Wamekilea ktk njia za kumjia Mungu.
Kijana ana heshima na anajielewa na anakumbuka kutoa shukran sana, safi sana. Mazungumzo mazuri. Una bahati kupata fursa ya kufanyiwa interview bila kulipia fee huo ubalozi
Sana, God bless his heart
Hilo uamifu ni swala la kwanza katika maisha ya binaadam big up
Bro umeongea point muhim sana.
Kweli mnakula vizuri mwanangu😂😂
Ana heshima mno sanaa aseee
Big nakupa hongera make wewe ni mwanzi sana sana mungu akupe kibali ndoa yako ifike miaka 60 . SELEMAN CHARLES MNIKO nipo mwanza tanzania
The most fascinating story ana chekesha ubarikiwe bro 👏
He is amazing 🥰🙏
Dada Shena ,, nikutumie sms wasap lakin ujibu sms
Hahaha nimefurahii historia yakoo nzuri mzeee mungu akujalie
Mashallah history nzuri
Community college ni sawa na Chuo kinachotoa Diploma mfano CBE Chuo cha Biashara, au DSA ni vyuo vinavyotoa Diploma inayokuwezesha kuingia University kupata Degree, ukimaliza Community College miaka miwili unatunukiwa Associate Degree (sawa na Diploma)
Wengine wanaenda Community college sababu ufaulu wao hautoshi kuingia University unaanzia Community kusafisha ufaulu ili ukubalike University, ila tofauti ukikubaliwa kuingia University ukiwa umemaliza community college University wanahesabu masomo yako na wanakuanzisha Mwaka wa Tatu wa University na utasoma na kumaliza degree yako
Hongera sana sana.
Umeupiga mwingi.
Nimemuelewa vizuri na nimecheka sana wifi siku ya kwanza kulazwa chini😂na asiyetaka kukusamehe apambane mwenyewe
Norbert Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi ktk njia zako zote.🙏🙏🙏🙏
Hongera mshikaji wangu ongera umechakalika Sana MUNGU akubariki Zaidi
Kipapai Yani hii ni kweli kabisaaaa
Kweli kabisa❤ nimependa sana kaka yangu achosema
Namjua alikua anatuimbia pale kariaaako morning gro
We get you 100%
Norbat Asante sana, nakuomba kitu kimoja, mimi pia niko USA angalia chakula kula kiasi, usipate pressure, sukari, na cholesterol, tunakupenda sana sana.
Wewe naye muache mwezio ale mpaka apasuke😂
@@aishaarusha894😂😂😂😂😂 eti jmn ananichekesha uyo eti nipo marekani sijui nin na nn 😂😂
Nice interview da shena na kaka Nobert 💐🥰🌹♥️
Nimemuelewa sana huyu baba ana nondo sana🎉
Interwiew nzuri,nimechekaa😂😂😂 safi kijana wetu
Nimependa story, anaongea vizuri❤❤❤❤
Mungu yu mwema awalinde zaidi ndoa yenu
Kijana mdogo lakini kasema maneno makubwa yanayo eleweka. Siyo maneno ya kiwazimu. Mzungu Mzungu.
Ya kiwazimu yakoje 😅😅
Hiiii dunia hiii aisee hapana...watu wanapiga kimbola balaaaa...cheki mwamba kafika zake state lakini maraia bado wanamfuatilia godamn it🙌🙌
Safi sana Shena, leo nimecheki all of the interviews na zote ziko poaaaa sana. Kudos!
Shukran 🙏
huwez ukamtumikia MUNGU alafu akaruhusu uangukie pua..MUNGU humuinua yule mwenye bidii ya kumtafuta kaka ang hongera sana zidi kumtumikia MUNGU maisha bila yeye c kitu
apo sawa nawapata kutoka south Africa.
Dahh hiyo ya mwisho nimeipenda sana kama hutaki kumisamehee pambana nalo😂😂😂
Jamaa anakiona sana mm nilishamsamee na kumuomba samahan ila jamaa hataki ila ujumbe apambane nalo❤😂😂😂
Shena umetuletea kijana mkweli na anajitambua sana
Mapenzi na maelewano ndio muhimu
Correct kabisa.
😂😂😂 tunakula vizuri
Aah kumbe hy ndo maana ya mtoto kuzaliwa amefunga mkono,I get you bro
Huyu kaka ana nidhamu sana 🎉
Shule amesoma mdogo wangu
sikujua watanzania tunajulikana kwa wizi😢😢😢😢
28:01 kuendelea🤣🤣
Sister ongera kwa kazi nzuri uyu kijana ana moyo mweupe naomba namna ya kupata msaada kasema amewai kuendesha maroli ndo fani yangu na pasport ninayo.
Waoo umekatika kidogo
Shena leo umenifurahisha sana umeleta mwanaume hongera dada
Mbona wanaume wanakuja sana kaka
Hujaona video za wanaume ?
Sikuona dada ila nitajitahidi niangalie video zote shukran sana dada kwa watu unaotuletea wanatupa sana moyo kufika abroad
Wah Leo mtambo mmbaya kweli ana hung sana
😂😂😂😂apo kwenye kula
Sàuti inakwama sana.
Anza kujiombea binafsi
Naona anakatika katika
Dada Shena .Network ni tatizo,
Hatusikiyi jamani
Kaka mcheshi😅😅😅
Kama hutaki kunisamehe 😅😅 pambana nayo
Hutaki kunisamehe pambana mwenyewe 😅😅😅
Ista anatumia jina gani
Young Brother… vipi lile begi lako lililo potea uliliona Tena??? 😅
Mtanzania atakuibiya 😂😂😂😂😂
Big Up 👊🏽
Sauti inakatakata sijui ni mtandao
😂😂
Shena umefurahi kwa story,nimefurahi kukuona na furaha
Thanks dear
Kaka kaongea ukweli unaofurahisha pia
Hatusikii
MBONA PETE HATUIONI JAMAANI ?
Hivi Pete ni lazima ?
Wabongo bwana,sasa we unamuulizia Pete ya nini?tatizo tunakariri sana maisha,mwenzio kaishatengeneza maisha yake,kafunga ndoa yake,kasajili document zake,na anatambulika na serikali ya marekani ni mwanandoa halali,we unauliza pete hahahaha.
Afu kuna ngongonda atabak kudai ODA haina mafundisho 😏😏
Sauti ndogo