SHEKH OTHMAN KHAMIS AMLIPUA MTOTO WA BACHU KWA KUWATUKANA WANAZUONI NA MAULID ZITASOMWA HADI QIYAMA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2023
  • Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

ความคิดเห็น • 153

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 9 หลายเดือนก่อน

    MASHALLAH HAKIKA SHEIKH UMESEMA KWELI SANA, ASIETAKA AKAE PEMBENI ATUACHE NA MTUME WETU SAW

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 10 หลายเดือนก่อน

    جزاكم الله خيرا
    زادكم الله عزةً وشرفا وكرامة
    بارك الله فيكم يا شيخنا العزيز

  • @jordan.3109
    @jordan.3109 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nyinyi mashia munamzulia Mtume wa Allah kwa matamanio yenu tu

    • @AsmanMwanza-kr5fw
      @AsmanMwanza-kr5fw 10 หลายเดือนก่อน

      Watu wa maulid wamemsingizia nini mtume nyie mawahabi mna Roho mbaya sana tena Roho zenu sawa na za mayahudi tu

  • @ahmadiomari6913
    @ahmadiomari6913 10 หลายเดือนก่อน

    Shekh umeongea sana.
    Nafurahia kuona kama katika uma Bado wapo watu wanasema
    في قلوبنا غلف
    Yaani hautoacha hata kama ni kinyume na Dini.
    Umejitahidi ufasaha wa Hali ya juu.ila ungetumia ufasaha huo kudadavua Yale ambayo ni tatizo katika maulidi kama ulivyosema kama tatizo ni maulidi tutabadilisha jina.
    Shetani pekee ndio hatokuelewa ila naamini usulubu wa kusherehekea ndio tatizo na ndio umekusudia ubadilishwe ila huenda ulimi nao uliponyoka hapo pakaja kwa uwezo wa Allah tu.

    • @AbdallaMwagora-sm1rj
      @AbdallaMwagora-sm1rj 10 หลายเดือนก่อน

      Wasiotaka maulidi kaaeni pembeni.elimu ndogo inawasumbua

  • @jussaanlybacar9237
    @jussaanlybacar9237 10 หลายเดือนก่อน +2

    yaa shekh Innalillah wainnaillaih raajeoooun!!!

  • @kassimhassan8426
    @kassimhassan8426 10 หลายเดือนก่อน +2

    Allah atuongoze kwenye haki .

  • @MasudiomariMwangodya
    @MasudiomariMwangodya 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam aleykum warahmtullah mbna katika kutetea maulidi hamtumii Quran mwatumia hadith ambazo hazina ushahidi kamili .Mtume (saw) alisema tushikamane na sunnah zake na Quran ilituweze kufaulu duniani na kesho akhera je tunayazingatia haya??

  • @abubakarsaid4023
    @abubakarsaid4023 10 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana shekhe

  • @user-mv5rp9yd6y
    @user-mv5rp9yd6y 9 หลายเดือนก่อน

    Shekh uko sawa kbs kila mtu ashike lake tusilazimishane

  • @jamalishoo3802
    @jamalishoo3802 10 หลายเดือนก่อน

    افضل ما قيل عن عمل المولد
    ما شاء الله

  • @SalehSaleh-re1ud
    @SalehSaleh-re1ud 10 หลายเดือนก่อน +1

    Allah atuongoze wote kwenye Haqi, Shk. Mohammad Bachu hawezi kuacha kukataza maovu. Musufi mukiacha musipoacha hilo halimuhusu. Anafanya hivyo kwa sababu ya kutafuta Radhi za Allah Azza wajal.

    • @FeisalDoctor
      @FeisalDoctor 10 หลายเดือนก่อน

      Radhi au laana

    • @SalehSaleh-re1ud
      @SalehSaleh-re1ud 10 หลายเดือนก่อน

      @@FeisalDoctor wanaotafuta laana wametajwa kweny Qur'an,
      { كَانُوا۟ لَا یَتَنَاهَوۡنَ عَن مُّنكَرࣲ فَعَلُوهُۚ لَبِئۡسَ مَا كَانُوا۟ یَفۡعَلُونَ }
      [Surah Al-Māʾidah: 79]

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 9 หลายเดือนก่อน

    Hatukani anawambia kweli kazi kunyoa ndevu uso kama wamama

  • @Kokhaako
    @Kokhaako 10 หลายเดือนก่อน

    Muhammad Nassor Bachu soma elimu usitukane watu wanazuoni wewe ni mtoto mdogo sana kielimu elimu sikuonesha kuwa na kibri, kibri ni nguo ya Allah pekee haikufalii wewe,jeuri,dharauna kukashifu waliokuzidi hata umri ni mambo ambayo Allah S.W.T hayapendi na anayachukia
    Wako walioota ndoto wamekwenda kuonana na Mtume Muhammad S.A.W katika watu wote waliokwenda walisalimiana na Mtume kwa kumpa mikono isipokua mmoja tu Mtume hakupokea mkono wake.
    Wewe kama hutumiliwi kwa maslahi ya kidunia jierkebishe njia uiendeao sio acha kutugawa makundi waislam.
    Fanya midahalo kama ustadhi Mazinge uwasilimishe makafiri wajiunge na uislam uache mara moja tabia hii unayokwenda nayo.
    Wewe mtu mmoja umetutukanisha waislamu wote wa Zanzibar.

  • @abuutamiimattanzaaniy8676
    @abuutamiimattanzaaniy8676 10 หลายเดือนก่อน

    Watu wa maulidi zingatieni hapa: IKIWA HAKUNA ANDIKO KWENYE VITABU VITAKATIFU KUTHIBITISHA SHEREHE YA KRISMASS (KUZALIWA YESU), hivyohivyo HAKUNA ANDIKO KWENYE VITABU VITAKATIFU KUTHIBITISHA SHEREHE YA MAULIDI (KUZALIWA MTUME MUHAMMAD SWALLALLAHU ALAIHI WASALLAM), Nyinyi na wakristo ni kitu kimoja Munafuata uzushi, Musiwasemange Wenzenu

  • @hasanisaidishabani3879
    @hasanisaidishabani3879 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah shekh

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 10 หลายเดือนก่อน

    Maa shaa ALLAH 💚💚💚 y

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 10 หลายเดือนก่อน +1

    Innalillah wainnaillaih raajeoooun!!!

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 9 หลายเดือนก่อน

    Anasafiwa Muhammad saaana ata ndevu kama za Muhammad huna 😊😊😊😊

  • @saidsalim2561
    @saidsalim2561 10 หลายเดือนก่อน

    إنه من يعش منكم فسير اختلافا كثيرا،عليكم بسنة وسنة خلافاء الراشدين المهدين ،فإن كل محدثة بدعة وكل بدعة ضلالة وكل ضلالة في النار.
    اللهم إنا نعوذبك من عذاب النار.
    آمين

  • @khamismwalim5604
    @khamismwalim5604 10 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @ahmadiomari6913
    @ahmadiomari6913 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi naamini njaa ndio hatar katika Maisha yetu.
    Mimi mwneyewe siku nawaza maisha yakinishinda nizue maulidi Ili watu wachange pesa za mchele nk.
    Tuzeme ukweli maulidi kwa usulubu tunao fanya hayafai.watoto wa kike wanaanza kujua wanaume kupitia hayo muyaitayo maulidi.kukicha watoto kukonyezana huko maulidini.
    Mi nimefanya sana mwishowe nikaona usulubu wa maulidi sio Dini na baada ya kusoma kweli sio Dini..
    Ila kama Lau mutafanya kwa njia tafauti mbona itakuwa safi.mfano wanawake wawe wanawake tu.wanaume tu.kucheza kama watu wa taarabu acheni.amrisheni mema katazen mabaya.furahieni kwa kumfuata mtume juu yake amani kwa kuwa mumejenga madrasa sana na misikiti.munafanya mema nk.ila watu wanasherehekea Wana vimada kibao weee hujanishawishi Dini ni kufuata sio kuzua.

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 10 หลายเดือนก่อน

      MAN HAJARA FILLAHI WARARULIHI ATAPATA NA ALIE HAJIRI KWA MWANAMKE ATAPATA. HIO NDIO DINI, MAZALI WEWE ULIFATA WALI UTAPATA NA UKIFATA KWAAJILI YA MWENYEZI MUNGU SW NA MTUME WAKE PIA UTAPATA. BADILISHA NIA TU UPATE KWA NIA YAKO. KULLU MIN AAMALI BINNIAAT

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 10 หลายเดือนก่อน

      Ww mnafik maulid gani uliona waume na wanawake wamechanganyikana

  • @twahirburhan3726
    @twahirburhan3726 10 หลายเดือนก่อน +3

    TUMEWACHOKA NYIE NA SIASA ZA MAULIDI,NYIE ENDELEENI NA UZUSHI WENU MPATE MAFUNGU YENU....MTUME ASIMULIR VIPI IZUSHI HUO....HAKUNA BIRTHDAY YA MTUME KTK UISLAAM

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 10 หลายเดือนก่อน

      Na sie tumewachoka nyie msokua na adabu

    • @amosiabdulallh7965
      @amosiabdulallh7965 10 หลายเดือนก่อน

      Ajazaliwa mtume?

  • @ismailsaina8673
    @ismailsaina8673 9 วันที่ผ่านมา

  • @afama9142
    @afama9142 10 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @Muswlih
    @Muswlih 10 หลายเดือนก่อน

    Njaaaa tu izooooooo nani kawatungulia

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona huku kwenye nipo maulidi hawafanyi. Nyinyi ham wezi kuacha kwa sababu.........😊

    • @MiqyaasTv
      @MiqyaasTv 10 หลายเดือนก่อน

      Hatuwezi kuacha kwa sababu kumsherehekea MTUME (s.a.w) kwetu Sisi Ni IBADA, Ila kwenu nyinyi ni SHIRKI, ndo maana hattuto acha, na Kwakuwa nyny mnamuabudu ABDUL WAH'AABI nyny endeleeni, kwa sababu hata TUKIFANYA MUBAAHALA; nyinyi mtalaanika tu kwakuwa hamna dhamira njema na UISLAM, kwani nyny WAHABIYA mko kwa kutekeleza Mpango-mkakati ya UYAHUDI chini ya IBILISI.
      Na (S.A.W) Kesha tudokeza na mnaingia 1kwa1 chini ya QAULI UAKE; " ....Haitii uzito Dini( misimamo mikali, kuwaona wengine hawapatii ktk ibada Ila yy tu na GENGE lake) yeyote Yule awae; Ila itamshinda...." . Sasa Ni Nani tena Kama sio nynyi Watoto wa Haram wa KIHABIYA? !!!!

  • @user-nb6tq8tf7c
    @user-nb6tq8tf7c 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mawahabi ni mwiba wa koo unawachooma Masufy kila kona

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 10 หลายเดือนก่อน

      Waropokaji wasiyo elimu wanamsumbua nani.mawahabi ni wehu ambao hawajui wasemalo

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kumsifumtume nikufata mafundishoyake siyokupgamadufu nakucheza maulidi zinafanyika mpakamdawaswala wtu wanederea walahawaendikuswali hukondokumsifumtume halafumashehe kwanini msiwemnaitana mnaelekezana mnatukataza tusi watete watu mnasisitiza umoja naupendo tupendane mbona ninyi mashekhe hampendani mashekhe mjitathimini mnako elekea nikubaya

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 10 หลายเดือนก่อน

    Ahlubaatil shimolawo limewaingilia maji baada ku bainishiwa haki na kwasida ya munkar na uongo, sababu amefunga mlango ya raisumali ya wa masufi badhskuna hata moja awezaie kutetea uwongo na ushirikina ya bazranji

  • @SalehSaleh-re1ud
    @SalehSaleh-re1ud 10 หลายเดือนก่อน

    Kwani nini mnapenda UONGOOO, Bachu hajawahi kumtukana Imam zenu, Ila Mashia wanaowatukana Makhalifa na maswahaba radhiallahu ànhum mnawakumbatia. Acheni UONGOOO , acheni Takia, masufi sio AHLUSUNNAH WAL JAMAÀH

  • @nassleydady5783
    @nassleydady5783 10 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh nyinyi maulid mumefanya ni ibada wakat hakuna ibada ya maulid alaf pia munamsemea mtume uongo na mtume kakataza

  • @pilykingo
    @pilykingo 10 หลายเดือนก่อน

    Kama mtawaelewa hawa vijana wa sasa hivi ( Salafi) kesi ni kilichomo ndani ya kitabu cha barazanji na sio maulidi.
    Ndani ya kitabu kuna mashairi yanasema ( "" kama si wewe mtume fulani asingeumbwa au kitu fulani kisengeumbwa "")
    Kauli kama hizo nyinyi mnazionaje? Jee zinafaa kweli kusommwa?
    Kwa hiyo jambo zima katika kizazi kipya cha salafi " kama wanavyo jiita "" wanazipinga kauli zilizomo na ndio maana wanasema maulidi hayafai.
    Rai yangu mashairi yote yenye kuleta utata ambay hata ukiyapeleka kwenye majazi hayafanani na majazi, hayo muyaondoe.
    Shukran Shaikh kwa sifa za Mtume صلى الله عليه وسلم ambazo unezitoa ndani ya Qur-aan na huko ndio kumtangaza Mtume صلى الله عليه وسلم na sio zile sifa za utata ( "" kama si wewe pasingeumbwa kitu fulani)

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kumuelimisha Wahabi akakufahmu ni bora kuzungumza na jiwe linaweza kukusikia na pengine likasema ni sahihi uyasemayo, au ni afadhali kumuelimisha mtoto mdogo atakuelewa kuliko Hawa Mawahabi, Hawa wako zaidi kuufisidi uislamu kwa chuki husda na kuwagawa waislam, kama ukitaka kuujua ukweli hakuna Watu wa kufru na bidaa kama mawahabi wame chupa mipaka katika kukufuru, Hawa ndio pote liloanzisha Tauhid 3 ni Hawa wanaosema Allah anabebwa na malaika 4 ndio Hawa wanaosema Allah Ana choka, ndio Hawa wanamdhania Allah Ana mwili wakisema kwamba Allah Ana mikono kichwa miguu, pia wanasema wakati waislam wana ingia peponi, pepo Ina milango saba wakati waislam wanaingi wanapita kuingia Allah atakuwa kakaa mlango wa 4 kama vile Allah nae anavizia kuingia hizi ni kufru za Hawa Mawahabi mimi naona Hawa kuja kwao ni mtihani kwa jamii ya kiislam

  • @rashidiramadhani4342
    @rashidiramadhani4342 10 หลายเดือนก่อน +1

    KUSHINDANA NA MAWAHABI NI KUPOTEZA MUDA TU HAO KAZ NI KUBISHA TU KILA KITU SI KILA MTU AFANYE YAKE SHIDA IKO WAP

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis7088 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sisi na mtume mtume na sisi

  • @masoudsalum
    @masoudsalum 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo masheikhe wetu wa twariq mnapiga chenga nendeni kwenye mjadala live ili akose hoja

    • @allyelbusaid9888
      @allyelbusaid9888 10 หลายเดือนก่อน

      Hukuona alivyokimbia juzi jumapili.. mjadala upi tena wautaka.!?

  • @abdulkhalfan8586
    @abdulkhalfan8586 10 หลายเดือนก่อน +1

    BACHUU ASEME HAJUI AFUNDISHE AU AENDE MAMBRUI APIGE KOTI ATOLEWE KWENYE UJAHIL

  • @omarkhamys9818
    @omarkhamys9818 10 หลายเดือนก่อน

    Ishu si kumtangaza ila unamtangazaje? Kwa kusema uongo?

  • @rajabdanga8590
    @rajabdanga8590 10 หลายเดือนก่อน +1

    Muhammad Bachu mmoja anasumbua mashkh ndani na nnje na wangekua kama watano mashekh ifike hatua mkubali mnapenda maulidi lakini hamna mashiko

    • @saidymujilili4618
      @saidymujilili4618 10 หลายเดือนก่อน

      Hakuna mtu anasumbuka na huyo mpuuzi bhana watu wako na Msimamo wetu Mbona alikimbia swala la kielimu huko Mombasa kwanza hajui Lugha

    • @jimjam-xg7rv
      @jimjam-xg7rv 10 หลายเดือนก่อน

      tatizo la kijana wa bachu apotosha wasio na elimu ya dini ndio maana lazima akubali aja soma na akaitafute elimu Kwa masheihk tu Wala si Kwa mwalimu wake Google

  • @kassimhassan8426
    @kassimhassan8426 10 หลายเดือนก่อน +2

    Haki itabaki haki.

  • @Yassir-rh9en
    @Yassir-rh9en 10 หลายเดือนก่อน

    Maneno mazzuri saana

  • @ibrahimSuleyman-we3lx
    @ibrahimSuleyman-we3lx 9 หลายเดือนก่อน

    Kukata viuno, limo?

  • @abubakaryusuph6555
    @abubakaryusuph6555 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kila mwenye akili amekuelewa sheykh
    Tutaendelea na maulid mda wa kua tupo hai
    Allaahumma aamiin

  • @alyumar4657
    @alyumar4657 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa nyinyi waislam munataka hawa masheikh wa maulid wasemeje mulidhan wataongea kuliwacha lile wanalo lipenda na kupata maslah yao

  • @hajiamiri1658
    @hajiamiri1658 10 หลายเดือนก่อน

    Nilichogundua kua unaweza ukawa shekh lakini ukiwa Bado hujapat rehma za allah

  • @user-eg2cu6cy8p
    @user-eg2cu6cy8p 10 หลายเดือนก่อน +1

    Naam Naam Naam swadaktaaaa🎉😂😂😂😂

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 9 หลายเดือนก่อน

    Vyote mmechukuwa kuwepo kwenye maulidini vya kheiri vya peponi ni ipi dalili kisheria na vipi maswahaba waliyajuwa hayo hawakuyataka

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 9 หลายเดือนก่อน

    Kwa🎉 nini yasizidi na kuna ubwabwa na njaaa ya siku ni hatari

  • @abubakarmustwafa-lg8fe
    @abubakarmustwafa-lg8fe 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂Marahabaaaaaa

  • @user-dj1os5ib8x
    @user-dj1os5ib8x 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mi nikuulize bwana khamis katika aliyokataza mtume uzushi katika dini amekataza au hakukataza?

    • @Maalim_Samatta
      @Maalim_Samatta 10 หลายเดือนก่อน

      Kwani Kila kilichuzuliwa baada ya MTUME ni Haram??? Nenda kasome kwanza, na ndo maana to t lenu lilipoulizwa je hadithi Munkar ikiwekwa kwenye kitabu je mwenye kitabu huitwa muongo Kwa aqwaali za wanazuoni??
      Toto lenu likajikojolea na kususia munaaqasha.
      Hata Ibara halijui, nahau inamshinda ndo ataweza kutafasiri vitabu vya wanazuoni??? Poyoyo nyie

  • @samorajama8833
    @samorajama8833 9 หลายเดือนก่อน

    HADITHI ZA MTUME SWALLA LLAAHU ALAYHI WA SALLAM NI POROJOO.....?????

  • @mohamedrashid7864
    @mohamedrashid7864 10 หลายเดือนก่อน

    Mawahabi hatuwataki hapa

    • @Sidrasidra636
      @Sidrasidra636 10 หลายเดือนก่อน

      🚮🚮🚮

  • @abuuidrissa9540
    @abuuidrissa9540 10 หลายเดือนก่อน

    Nilijuta kusali Ijumaa hapo mtoro maana unajifanya unampenda Mtume kumbe unamkandia mtume katuachia kitabu na sunah hayo mengine yakwenu kumpenda mtume ni kufuata aliyo fundisha na kuyaacha aliyo kataza huko ndiyo kupenda mtume kuliko kumsingizia majambo

    • @idrisalimapema2539
      @idrisalimapema2539 10 หลายเดือนก่อน

      Kwani ww ndio unayefahamu ya mtume sio

  • @bagalucha
    @bagalucha 8 หลายเดือนก่อน

    Maulidi ni upotoshaji,na sio ibada,maulidi ni marufuku Makka na Madina,Polepole wacha munkar,shetani anapanda ukiwa na munkar

  • @user-wy7om5ln7l
    @user-wy7om5ln7l 10 หลายเดือนก่อน

    hawa mawahabi hakuna mabaya yakuyafanyia daawaa ila maulidi tu mambo mengi yanafanyika ambayo mtume hakufanya wala maswahaba hawakufanya lakini hawapigii kelele wala hawayazungumzi lakini wao wakamata maulid na maibaidhi tuu ndio elimu waliosoma hakuna jengine wanalojua

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mawahabi mawahabi ukitaka kumjua Wahabi subiria tu uone muda anatajwa mtume utaona uso hauna furaha kama amelishwa limao, Anapotajwa mtume mdomo haunyanyuki kumswalia, na hawajui wa mwanzo kumswalia mtume ni Allah mwenyewe wa kafuata malaika na mwisho ni sisi waislam sasa kama si chuki ni nini sehemu kunasomwa Quraan kunatolewa mawaidha anaswaliwa mtume kunaamrishana mema na kukatazana mabaya wewe una bweka mdomo unauelekeza juu eti ni bidaa kama ni bidaa kaanza M. Mungu kwa kumswalia mtume wake, nyinyi tuacheni na Mtume wetu tumswalie na nyie endeleeni na kufru zenu bidaa zenu pote lenu la kiwahabi la kudai tauhid 3 Kusema Allah anachoka, kusema Allah anabebwa na malaika 4 kusema Allah Ana mwili yaani Ana viungo mikono miguu kichwa, pia munazidi kukufuru nyie pote la kiwahabi lililotabiriwa na Mtume munasema Kuna milango 7 ya pepo siku waislam wanapita kuingia peponi Allah atakuwa yupo mlango wa 4 mukimdhania uongo Allah kama vile Allah anavizia nae aingie nyie mawahabi hamuoni haya wala aibu wala hamutaki kutubu kwa haya munayozua mukijua mtume hakufanya wala hakuyasema wala hayamo kwenye Quraan na sunna sasa muna piga kelele ambazo hazitazaa matunda mukiacha itikadi yenu mbaya ya uzushi kama huu ukiendelea wa kumzulia Allah uongo na Mtume wake

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 9 หลายเดือนก่อน

      Hii barua unatuma posta gani😂😂

  • @mwinjumaissa4434
    @mwinjumaissa4434 10 หลายเดือนก่อน +2

    Masheikh wa twariq njaa zinawasumbua nyie kama manaswara tu, wanashindwa kufuata dini ya haki wanaminyana kupigisha fungu la 10 kujaza matumbo yao lakini ukweli wanaujua kuwa dini ya kweli mbele ya allah ni uislam,

    • @user-wk8wf7id3y
      @user-wk8wf7id3y 10 หลายเดือนก่อน

      Ndg yang jifunze kuwa na hikma, km ww wajiona uko ktk haqqi bx ifuate,ni vyema km utarudi darasan ukasome Tena maana Bado uko nyuma

    • @mohammedsaid3045
      @mohammedsaid3045 10 หลายเดือนก่อน

      Kaka umemsikiya sheikh ana orodha ya mambo mengi mtume hakufanya lkn ht nyiye mawahabi mnayafanya mbona hamsemi km bidaa isipokuwa maulid ht kufika kuwaita masheikh njaa ht ww pia ni njaa tu aloshiba peke yke ni Allah

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 10 หลายเดือนก่อน +1

    Na mashia pia muwalipue

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 9 หลายเดือนก่อน

    Sheikh, Maulidi haina ukweli wala ushahidi, ila kumtambulisha Mtume si vibaya ,ila yanayo ingizwa humo si sawa.

  • @MwamvuaJafari-fq4ku
    @MwamvuaJafari-fq4ku 10 หลายเดือนก่อน

    Bola wajifungie ndani wasione maulidi maana wanateseka sana

  • @rashidiramadhani4342
    @rashidiramadhani4342 10 หลายเดือนก่อน

    @SAIM GWAO SAMAHAN WEKA HOTUBA YOTE HUM HYO NI HOTUBA YA PIL WA KWANZA IWAP SAMAHAN

  • @sarboko
    @sarboko 10 หลายเดือนก่อน

    Je zile sifa alizopewa nabarzanji nizaukweli

  • @bakarmsangi963
    @bakarmsangi963 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi kama mimi ninachoo hitajiaa kwaa waalimuu wetu au wanazuoni wetu watufafanuliyee tuliyoo wengii kwambaa??mtumee wetu Muhammad rehem na aman ziwe juu yakee jeee?? aliisheerherekeaa kuzaliwaa kwakee au hiyoo maulid aliyafanyaa kwelii mbonaa waislam tunaa gawanywaa na hawa viongozii wetuu wa diiini tuaamini kipii sasa hawa hivi walee hivii

  • @abubakarally3413
    @abubakarally3413 10 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi makhurafi hamuwezi kuacha maulidi kwasababu ndipo munapopatia ugari wenu kwakua lengo lenu ugali ndiomaana hamujali uwepo wa uwongo na shirki katika maulidi,.watu wengi wenye akili wanawajua nyinyi wababaishaji tu munawahadaa watu kwamba munampenda mtume kumbe munanusuru matumbo yenu?

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hata zinaaa, pombe, kamari, ushoga na mengi zimekemewa na Allah lakini kwa ufedhuli wa mwanadam hawaachi, subhana llah kibri

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 10 หลายเดือนก่อน

      Mada siyo zinaa wala pombe mada hata hujui huyo Kaka yenu mnamgeuza ndo mtume wenu bacho kasema maulidi haramu, kasema barazanji ni uongo hivi zile sifa za mtume na historia ya toka kuzaliwa mpaka kupata utume ni uongo kweli yaani mnauokoka moto hivi hivi mnakua sawa na wale watu waliomkataa mtume uso kwa uso kwamba mtume ni mchawi tu muongo SUBUHANALLAH EE JAMAA ZETU ELIMU YENU ITAWAINGIZA MOTONI FANAAUDHUBIKA MIN DHALIKA.

  • @habibuchakusaga7981
    @habibuchakusaga7981 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mtume ndio kiigizo ww unamuiga naniapo?acheni ubabaishaji kueni wakweli

  • @adilihassan8455
    @adilihassan8455 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmmmmmh ndevu mwazichinja na eti. Mwampenda mtume,upuzi tu ,mtangaze kw njia inayofaa sio maulid

    • @MasudiomariMwangodya
      @MasudiomariMwangodya 10 หลายเดือนก่อน

      kwakwel kwa mashekh ni msiba mkubwa yako mengi ya kunena lkn kazi yao kuchunguzana tuh

    • @MasudiomariMwangodya
      @MasudiomariMwangodya 10 หลายเดือนก่อน

      Allah amekataza nyimbo na music hata katka surah Luquman aya ya sita je maulid haiko kwenye kundi la nyimbo na music

  • @binaamour318
    @binaamour318 10 หลายเดือนก่อน

    Hivi abubakar ukiambiwa njooo uthibitishe huo uongo na ushrikina utatoa au ushabik t huyo babacho c io wa kwanza kuyataza maulid na wala hatakuwa w mwisho hivo bac muc tumie nguvu nyingi kwa kutkanana na kukejelina

  • @dullahfar7775
    @dullahfar7775 10 หลายเดือนก่อน

    Hivi kwa mfano nikisema makafiri wa maulid yani hawa wahabi si ni sawa tu ni makafiri yani wapingaji

  • @ibrahimkhamis4540
    @ibrahimkhamis4540 10 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa kama Allah Mwenyewe Kamsifu sisi tukiMsifu ni shida hee mawahabi nyi munakwamia wapi....

    • @omarmwabege
      @omarmwabege 10 หลายเดือนก่อน +4

      Tatizo watu hawajui penye tofauti.Hakuna Muislam anae pinga sifa za mtume Swallahu alayhi wasalam,wala kuswaliwa kwake.tatizo linakuja panapo komea sifa zake.wakati mwengine twavuka mipaka sifa zake zafanana na ALLAH.

    • @user-sm1ux6nj7b
      @user-sm1ux6nj7b 10 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@omarmwabegesifa hazifanani na Allah, acha unafik we wahabi

    • @jordan.3109
      @jordan.3109 10 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@user-sm1ux6nj7b
      Nyinyi mashia wacheni kumzulia Mtume wa Allah.

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@omarmwabegeastaghafuruwallah sifa gn mtume Muhammad s.a.w atafananishwa na allah jamani hyo magroup mnayosomea mnajiharibu .someni Quran mujue kharam halali

    • @ibrahimkhamis4540
      @ibrahimkhamis4540 10 หลายเดือนก่อน

      @@jordan.3109 tengezeni na vitabu vyenu mumsifu kivyenu tuacheni Tumsifu kivyetu kila mmoja atahukumiwa kivyake

  • @jumasalim6126
    @jumasalim6126 10 หลายเดือนก่อน +1

    COVID 19 ipo pale pale, rukeni mkitua jawabu inatakiwa nani aliesema wanyama wamesema nani wakati huo alikua anajua lugha za wanyama?

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 10 หลายเดือนก่อน

      Alisema babako na mamako

    • @zigzag4487
      @zigzag4487 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@mafiatv5479acha makasiliko hoja hujibiwa kwa hoja kenge bahari wee

  • @thefoodshaikh811
    @thefoodshaikh811 10 หลายเดือนก่อน

    Covid 19 muijibu Makhurafi wakubwa.

  • @fimboonlinetv5282
    @fimboonlinetv5282 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona mnajiteteaa sana...
    Hiyo dalili ya kua hamko sawa

  • @mbwanaomary4504
    @mbwanaomary4504 10 หลายเดือนก่อน +2

    Maulid ni bid'aa hayapo kwenye mwendo wa MTUME.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 10 หลายเดือนก่อน

      Mawahabi ni vichwa mchunga tu.ukiwaambia maaulidi ni bidaa kwanini hawajui

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 10 หลายเดือนก่อน

      Usikariri usiafuate mkumbo na ushabiki kwanza nikuukize maulidi ni nini na barazanji ni nini hujui hata kinachojadiliwa bacho kadai barazanji ninuongo je ndani ya brazanji kunasemwa nini huna Elimu acha ushabiki usihujumu kitu ambacho huna Elimu nacho hasa wewe unaesema ni maulidi ni bidaa yaani hata bidaa hujui kwa taatifa yako mauli ni kumsifu MTUME MUHAMMAD SWALALAHU ALAYH WASALAM. NA KWA KUFANYA HIVI WATU WASIOJUA UISLAMU WANAUPENDA WANASILIMU KWA MAULID TU WEWE MZEE WA BIDAA UMEMUINGIZA NANI KTK UISLAMU.

    • @amosiabdulallh7965
      @amosiabdulallh7965 10 หลายเดือนก่อน +1

      Mnataka mtume afanye maulidi Yann kwanani, kwasababu watu anafanya kwajili yake yy tatizo liko wapi ndugu zetu,kufrai nizambi?

    • @amosiabdulallh7965
      @amosiabdulallh7965 10 หลายเดือนก่อน

      Mtu ukimpa kitu arafu anashukuru mara kumi,kuna tatizo hapo?

    • @amosiabdulallh7965
      @amosiabdulallh7965 10 หลายเดือนก่อน

      Kama amtaki maulidi Kaeni nyumba zenu nawake zenu tatizo liko wapi,mbona ma shia mnafujo Sana

  • @AshaSaid-gy2tg
    @AshaSaid-gy2tg 10 หลายเดือนก่อน

    Waisilam tumioge alh mtu antukana mtandaoni Lisa mjadala wa muild

  • @shafiigari6011
    @shafiigari6011 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie hamna lolote hebu ita mnakasha na Bachu halafu uyatetee hayo maulid. Mtume hakusoma maulid wala maswahaba hawakusoma maulidi sasa dini gani hii ambayo haijafanywa na mtume wa maswahaba?

    • @nasrarichadi2278
      @nasrarichadi2278 10 หลายเดือนก่อน

      Bachu hana lolote mbona
      Alimkimbia shekh said
      Na akaacha kakojoa kojo zito

    • @zigzag4487
      @zigzag4487 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@nasrarichadi2278bachu mmoja sawa na watu wa bidaa 1000

  • @iddimohamed254
    @iddimohamed254 10 หลายเดือนก่อน

    Acha uongo bachu hajatukana mwanachuoni uongo ulioko kwenye kitabu ndio ishu aliyo izungumza mmekosa la kusema mwatapatapa tu ....

    • @fuellessgenerator9426
      @fuellessgenerator9426 9 หลายเดือนก่อน

      Nenda kapitie video za bachu sio unaongea vitu usiovipitiá

    • @iddimohamed254
      @iddimohamed254 9 หลายเดือนก่อน

      @@fuellessgenerator9426 we bwege Nini mi nshafatilia kutoka kitambo...

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 9 หลายเดือนก่อน

    Mmekosa dalili mnakuwa na hasira hahahaha eti mnatukanwa

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hajatukana

  • @jumasalim6126
    @jumasalim6126 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ndio hutuba ya ijumaa???

  • @mohamedrashid7864
    @mohamedrashid7864 10 หลายเดือนก่อน

    Maulid hayo hapo unayaona kajifungie nyumbani kwako useme maulid hayapo .waziwazi hutatuwezs

  • @mwalimjecha6893
    @mwalimjecha6893 10 หลายเดือนก่อน

    Mtoto wa Bachu kaleta balaa ulimwenguni

  • @user-nb6tq8tf7c
    @user-nb6tq8tf7c 10 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh huna aibu ya kumtetea Jufry ?

    • @menk136
      @menk136 10 หลายเดือนก่อน

      Unamjuaaa jufri weww
      Mola mlez akufungulie upate kuwafaham watu Hao
      Kwa Mola mlez wanajulikana Hao weww unajikanaa???
      Ukiombaa duaa kujibiwa mpaka una sahau
      Watu wakiombaa dua tu mistajaab saa hiyo hiyo
      Kishaa una watukanaaa we ninani mbele zao hauwez fanana anapo Tajwa mtu kwa ubayaa kaachini jiulize ninani mfatilie kwqnzaaa sio kuu kuongea vitu usivyo vijua kwa kufata ushabiki

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu kuma Muhammed bacho sijui bachu muacheni na upuuzi wake mnampa kichwa kumtaja taja atazidi kuvimba kichwa

    • @khamiskhamis3165
      @khamiskhamis3165 10 หลายเดือนก่อน

      Wacha ujinga wew kuma ndo nini sasa wacha upumbavu wewe unatowa wapi pumzi ya kumtukana mtu kama ivyo kakufanya nini wacha izo tumia maneno ya busara sio matusi

  • @bakarikimaiyo8634
    @bakarikimaiyo8634 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hauna hoja ww

  • @AishaHamisi-tl9ek
    @AishaHamisi-tl9ek 10 หลายเดือนก่อน +2

    Basi kama mmemchukia mtoto wa watu basi muueni mmejaa chuki sana nyie wazee

    • @FeisalDoctor
      @FeisalDoctor 10 หลายเดือนก่อน

      Ww kuelew shida

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl 10 หลายเดือนก่อน +1

    Acha polojo na ujinga

  • @husseinmaula4965
    @husseinmaula4965 10 หลายเดือนก่อน

    Bachu kaambiwa atoe aya ya kupinga maulidi au hadithi au aseme sijui afundishwe KATOKA MBIO NYINGI 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 หลายเดือนก่อน

      We muongo bachu alikimbia wapi au wamsingizia tuu,tunawauliza maulid ilifundishwa na nani ikiwa mtume mwenyewe akufanya tujibuni waloileta maulid?

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 10 หลายเดือนก่อน

    Haswa maulid ndio yanazidi 😂😂😂😂

  • @makamekhamis871
    @makamekhamis871 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mjadala wa Mombasa umewagusa ndipo. Hayo maneno ya Sheikh Othman ni ishara ya kuwa kuna kitu hakiko sawa kwenye Maulid.

  • @amuraneibrahim2776
    @amuraneibrahim2776 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nilizani huyu jamaa anaelewa sunnat kumbe Hana lelote maulide Ana asili

  • @makamekhamis871
    @makamekhamis871 10 หลายเดือนก่อน +6

    Sheikh Othman kaa kitako. Tumekusikia na Allah akulipe kwa nia yako. Ila Sheikh Bachu ameyafunuwa macho ya walio wengi kuhusu Maulid. Tutaendelea kumswalia Mtume s.a.w kama ni Amri ya Allah na sio kupitia Maulid.

    • @Gamba177
      @Gamba177 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kanye mbele mpemba kale urojo na bangi.

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@Gamba177bila shaka wewe sio katika waislaam ndio maana una domo chafu nahayo mavazi uliyovaa yadhihirisha wewe niwahovyooo

  • @swalehabdulrahman4118
    @swalehabdulrahman4118 10 หลายเดือนก่อน

    SHEKH WA VICHWA SABA VYA MBUZI NA WENZAKE ROHO ZINAWAUMA KWELI AKISIFIWA MTUME

  • @abdurashidinasorodini
    @abdurashidinasorodini หลายเดือนก่อน

    dah sheikhe anaanzaga na mbwembwe nyinyi huyu waweza sema bonge la msomi😅😅😂😂😂😅😂

  • @seifabdulwahid4579
    @seifabdulwahid4579 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kilichozungumzwa ni Maulidi co kumtangaza na ndomana hamjamuelewa mtt wa Bachu na hamtomuelewa maisha kwa chuki zenu ila huo ndo ukweli kuhusu Maulidi

    • @saidymujilili4618
      @saidymujilili4618 10 หลายเดือนก่อน

      Yani wewe ni mpuuzi kama huyo Mtoto wa Bachu umemuelewa nini kufitinisha waislamu na kujiona yeye ndio mwenye Elimu sana kuliko hao waliomtangulia mbona alishindwa kujibu Swali Dogo tu la Saidy Omary huko Mombasa na kukimbia munaqasha huyo muongo sana na ndio amekuteka wewe uliemuelewa mpuuzi mwenzako

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 10 หลายเดือนก่อน

      @@saidymujilili4618 Km mm mpuuzi ww mjinga sasa cjw nani zaidi maana mjinga hajuwi kitu. Huyo mtt wa Bacho ndo aloanza kuuliza suala na hakujibiwa .Na yy hakusema suala la kumtangaza kumsify ni wajibu lkn kuna njia zake co lzm maulidi ila kill mtu aamini anavoamini

  • @user-eg2cu6cy8p
    @user-eg2cu6cy8p 10 หลายเดือนก่อน

    Naam Naam Naam swadaktaaaa🎉😂😂😂😂

  • @user-yy7nm3lz7w
    @user-yy7nm3lz7w 10 หลายเดือนก่อน

    vitu vingine mtu ukisema utaambiwa unatukana mashekh hvi zinaa inaweza kuisha sasa tunasemaje kwa kuwa zinaa aishi kwa kuwa watu wanaipenda kwa hyo tuiache

    • @user-sm1ux6nj7b
      @user-sm1ux6nj7b 10 หลายเดือนก่อน

      Ht wasio taka kusifiwa Mtume hawaishi, Ila kwny munaqasha wanajikojolea😅😅😅

  • @mwinjumaissa4434
    @mwinjumaissa4434 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie pambaneni na maulidi lakini kwa uwezo wa allah wapo atakao waongoza katika njia ya haki na allah amlipe sheikh Mohammed bachu kwakuzidi kutuokoa kwenye giza tena giza totoro,, na wewe sheikh othuman kama kweli elim unayo ukutanishwe na mtoto wa bachu

  • @abuurauzwat1006
    @abuurauzwat1006 10 หลายเดือนก่อน

    Kwani mbona ata zinaa pia inapigiwa kelele kwamba watu wasifanye lkn kila Leo watu wanazidi kufanya uchafu wa zinaa jee vp mashekhe wanyamaze kwakuwa zinaa ndo kwanza inazidi ?.

    • @fuellessgenerator9426
      @fuellessgenerator9426 9 หลายเดือนก่อน

      Yani umekosa kutoa mifano mingine umewaza zinaa ndio mana mawahabi kazi yenu ni kuwaza mambo machafu kwa sababu nyie wenyeww ni wachafu

  • @mohamedmkopy8613
    @mohamedmkopy8613 10 หลายเดือนก่อน

    ni ujinga wa wazi kusupport kitu cha kijinga ,,,mtume asifiwi kwa mangoma