Umenifurahisha Sheikh na ww ndo Sheikh wa kwanza Tanzania kukusikia umesema ukweli kuhusu uharamu wa mpiraa Allah akuhifadh na mimi najua kabisaaa mpira haram ila waalim wetu na masheikh wetu hawasemi sababu wao wanapenda mpiraa
Ujumbe wako mzuri sheikh lkn mambo haya hayakuja kwa bahati mbaya hata kidogo bali hii ni vita ya kifikra dhidi ya imaan maana leo watu walivyoathilika wakilala mipira wakiamka mipira imefikia kipindi mpaka misikitini wanazungumza mpira imekuwa kuliko hata dini lkn pia hayo maredio, redioni masaa manne kipindi kinazungumzia mpira tu hivyo ni mambo yaliyokwenda kuigusa mioyo ya watu na kazi iko kweli kweli
Sheikh uko sahihi misikiti mingi Leo inamigogolo ukifatilia historia wakifadhiri mbona misikiti iliyojengwa nawaumini haina tatizo tujiulize hawa wafadhili fadha alali au haramu machumo yao.
Hakuna uharamu wa mpira. Tatizo elimu ndogo na kutoa fatwa wakti wewe siyo mujtahid wala mufti. Kwa mantiki ya shekhe asiishie kwenye mpira... Michezo yote inayofanyiwa mashindano leo huko ulaya ni haramu, hata kuogelea na kulenga shabaha.😮 Kuweni makini. Huyu ndiye jasiri wa kwanza katika uislamu kuharamisha kabumbu. Hatariii😮
Umenifurahisha Sheikh na ww ndo Sheikh wa kwanza Tanzania kukusikia umesema ukweli kuhusu uharamu wa mpiraa Allah akuhifadh na mimi najua kabisaaa mpira haram ila waalim wetu na masheikh wetu hawasemi sababu wao wanapenda mpiraa
Allahi akuifazi kwa kusema ukweli,
mashaallah
Allah akulipe mazur sheikh uthmaan
Asante sheikh kwa kutuzindua kiukweli tumepotea waislam wa leo
Alhamdulillah
Allah akustiri. Kweli kabisa!!
Ujumbe wako mzuri sheikh lkn mambo haya hayakuja kwa bahati mbaya hata kidogo bali hii ni vita ya kifikra dhidi ya imaan maana leo watu walivyoathilika wakilala mipira wakiamka mipira imefikia kipindi mpaka misikitini wanazungumza mpira imekuwa kuliko hata dini lkn pia hayo maredio, redioni masaa manne kipindi kinazungumzia mpira tu hivyo ni mambo yaliyokwenda kuigusa mioyo ya watu na kazi iko kweli kweli
Swadakta sheikh
Sema shehe hamiss watu wanyooke
Swadakta
Mpira niharamu bila chenga
Sisi tunapenda masheih km nyie mnaojitambua na sio kuwachekea chekea wahalibif tu
Shekhe unaongea ukweli kwa sababu watu wanagombana Sana na kutukanana kwa ajili ya mpira
Duu no comment
Hn issue
Issue anayo danga lako mbwa wewe
Umeongea ukweli japo wewe ni muongo
Sheikh uko sahihi misikiti mingi Leo inamigogolo ukifatilia historia wakifadhiri mbona misikiti iliyojengwa nawaumini haina tatizo tujiulize hawa wafadhili fadha alali au haramu machumo yao.
Shukran sana
Mtasema ata kula ni haramu
@@johnsulle4679km hukubali bc
@@johnsulle4679huu niuislam kama ww ni kafiri tulia uislam haukuhusu huu ndo uislam Kila kitu kipo kisheria
Hakuna uharamu wa mpira. Tatizo elimu ndogo na kutoa fatwa wakti wewe siyo mujtahid wala mufti.
Kwa mantiki ya shekhe asiishie kwenye mpira... Michezo yote inayofanyiwa mashindano leo huko ulaya ni haramu, hata kuogelea na kulenga shabaha.😮
Kuweni makini.
Huyu ndiye jasiri wa kwanza katika uislamu kuharamisha kabumbu. Hatariii😮
Ww sio muelewa