ASKOFU GWAJIMA ALIPOTEMBEA KWENYE WHEELCHAIR Ep. 4/5 | Bonyeza SUBSCRIBE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2016
  • Tembelea Facebook page www. jgwajima

ความคิดเห็น • 24

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi 7 ปีที่แล้ว +4

    GLORY GLORY GLORY TO GOD 1000 billions times. Mungu umetukuka hauwaachi watu wako kwenye fedheha

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 7 ปีที่แล้ว +11

    Yesu ni bwana.hakuna aliyeshindana na kanisa akashinda

  • @reginarhina6837
    @reginarhina6837 7 ปีที่แล้ว +2

    Amen nime barikiwa sana hapa baba Mungu yupo katika jina la Yesu

  • @haleemastephen5778
    @haleemastephen5778 7 ปีที่แล้ว +2

    God is with you pastor. na anaenda kufanya jambo .jiwe walilo likataa wa ashi sasa limekua jiwe la pembeni .mtu akianguka kwa jiwe hilo litampondaponda na kumsaga kabisa.yeyote aliyesimama kwa ajili ya kukuangamiza atapondeka pondeka na kusagikasagika kwa jina la Yesu.pokea uponyaji .

  • @jealovetteluhabanya7922
    @jealovetteluhabanya7922 7 ปีที่แล้ว +6

    eh YESU uliye fia msalabani kwa ajili ya wanao twaomba umkumbuke mwanao anaye jitolea kukutumikia ktk hali ya matatizo. Mungu muongoze mtumishi wako Amen.

  • @reginarhina6837
    @reginarhina6837 7 ปีที่แล้ว +3

    Amen Amen Amen Amen Amen yu mwema Jesus

  • @nonenone9281
    @nonenone9281 7 ปีที่แล้ว +12

    Dad Gwajima this clip made me cry so hard.kama Mungu aishivyo.there is a hope in everything

  • @adamkenedy1444
    @adamkenedy1444 7 ปีที่แล้ว +3

    God be with this pastor 4reva

  • @maryadega1463
    @maryadega1463 7 ปีที่แล้ว +3

    Wewe wastahili Bwana wewe wastahili.....Wewe unaweza Bwana wewe unaweza....
    Wastahili Mungu wetu Kupokea sifa ...

  • @ebenezerrobert7772
    @ebenezerrobert7772 7 ปีที่แล้ว +1

    mtumishi mungu yupo pamoja nawee, tumeni na 5/5

  • @princessedeleternel2836
    @princessedeleternel2836 7 ปีที่แล้ว +4

    Sifa zimurudiliye MUNGU Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeen

  • @nonenone9281
    @nonenone9281 7 ปีที่แล้ว +4

    Akuna alieshindana na Mungu akashinda.

    • @goldmansun8983
      @goldmansun8983 7 ปีที่แล้ว +2

      NISAMEHEN, NLIKUWA NATUKANA MNO BFORE JESUS CALLED ME ,BUT NIMEPUNGUZA KWA ASILIMIA 80,THIS MONTH NAACHA KABISA

  • @rosemaryadriano5056
    @rosemaryadriano5056 7 ปีที่แล้ว +2

    jina la bwana lipewe sifa aleluyaaaa

    • @goldmansun8983
      @goldmansun8983 7 ปีที่แล้ว

      NILIKUWA NATUKANA SANA MNO BEFORE JESUS CALLED ME, NOW LM GOING OK ,KIDOGO KIDOGO, ILA NIMEEKA NADHIR HUU MWEZ MWISHO

  • @princessedeleternel2836
    @princessedeleternel2836 7 ปีที่แล้ว +5

    MUNGU yuko nawe mcungani songa mbele

    • @goldmansun8983
      @goldmansun8983 7 ปีที่แล้ว

      NLIKUWA NATUKANA MPAKA MAPROFESSOR WANGU CHUON WALIANZA KUNTAFUTIA SABABU KUNTIMUA CHUO, ILIKUWA ADDICTED, SO PLEASE SRY FOR THE WAY I REACTED, LM ANGRY FOR THOSE WANAMDHARAU MWAMBA WANGU, WASIMFANANISHE MIGHTY JESUS NA HADITH ZAO OR DORMANT JESUS THEY CREATED IN THEIR RELIGIONS, WE WORSHIP GOD, WE BELONG TO ABLE JESUS, THE LIVING MIGHTY SAVIOR,XO RESPECT PLEASE

  • @reginarhina6837
    @reginarhina6837 7 ปีที่แล้ว +3

    Amen Daddy God bless you all.

  • @cjjg4731
    @cjjg4731 7 ปีที่แล้ว

    watching from Jordan. ....b blessed pastor

  • @cjjg4731
    @cjjg4731 7 ปีที่แล้ว

    I believe our unknown God is always Faith. .....AMEN and AMEN pastor. ......U have so encourage me from not fairing human being........barikiwa sana pastor....God n heaven continue covering u by blood of God

  • @hadassahjohnty6816
    @hadassahjohnty6816 7 ปีที่แล้ว +3

    mungu ni mwema kila wakati.na hawezi muachilia anayemuabudu ateseke.sasa umejipeleka na miguu yako dio maadui wako wahaibike.labda walikua wanasema yakwamba unawaponya wengine si unjiponye mwenyewe.lakini kumbuka pia yesu aliambia hivyo hivyo,aliposulumbishwa pale msalabani walimwambia kama alikua akiwaokoa wengine sinaajiokoe yeye mwenyewe.lakini siku ya kufufuka kwake hakuna aliyepinga afufuke.jipe moyo askofu gwajima mungu amekutuma umalizie kazi iliyo achwa na yesu kristo.haijalishi umetoka kwa misingi gani.hata paul alikua muuwaji na mwishowe akamtumikia mungu.haijalishi watasema vipy juu yako.mungu atakupigania na utawaokoa wengi katika jina lake yesu kristo.naomba ukunje hapa kwetu kenya siku moja na utabalikiwa.

  • @juhudimbogela2622
    @juhudimbogela2622 7 ปีที่แล้ว +2

    yumwema mungu kwako gwajima msimuache mungu

  • @RDVConnectn
    @RDVConnectn 7 ปีที่แล้ว

    naomba mtume ya 5/5