EXCLUSIVE: MJUE MWIGULU NCHEMBA"WAZIRI wa FEDHA" MAISHA YAKE na UNYONYAJI SEREKARINI" SIIPENDI TZ

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Tumekuandalia Makala YA MWIGULU LAMECK NCHEMBA WAZIRI wa FEDHA Nchini Tanzania
    Mambo Yote kuhusu Maisha Yake binafsi KUANZIA utoto mpaka Kuitwa Mheshimiwa vimetajwa Hapo ,Na Kuna Exclusive Kuna video Tumeiweka DKT ; MWIGULU aliwahi kutamka kuwa Hakuwai kuipenda Tanzania
    kutokana na video hiyo imeleta taharuki Sana Kwa watu hivyo na ww Itazame Ujue na nini mawazo yako kupitia hicho alichokisema Mheshimiwa MWIGULU NCHEMBA
    #alhamdulillah #cloudsmedia #dullysantz #efm #exclusive #history #millardayo #santzmedia #simulizinasauti #wasafimedia

ความคิดเห็น • 46

  • @user-bf1jd9nl3v
    @user-bf1jd9nl3v 20 วันที่ผ่านมา +1

    Watoto wa wafugaji Mungu huwa anawabariki sana ktk maswala ya elimu wanapambana sana shuleni wakipata bahat ya kusoma huwa wanasoma kweli

  • @user-bf1jd9nl3v
    @user-bf1jd9nl3v 20 วันที่ผ่านมา +1

    Tuliosomea Ilboru secondary..tujuane hapa.

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 4 หลายเดือนก่อน +2

    HUYU MWIGULU ANA ROHO NZURISANA BASITU SASA KUMFIKIA NIKAZI KUBWA ANA MAJUKUMU MENGI SANA!

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo ndie mrithi wa Samia wakubali wakatae ndio hivyo wajipange wahima na wapambe wao wanjisumbuwa bure

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  4 หลายเดือนก่อน +1

      Ooohh🥺 kumbe!!

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna anaemtaka Mwigulu Mchemba mwizi sanaaaa

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  6 หลายเดือนก่อน +1

      Margarethpolepole Mwigulu amekukosea wapi tena😂

    • @jdanny497
      @jdanny497 5 หลายเดือนก่อน

      Hafai mjivuni ana dharau mwizi

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 หลายเดือนก่อน +1

    mtangazaji asante kwa nakala, ila hiizi sentence zako za 'R' na 'L' kwann unapenda ana kubadilisha? hebu tusaidie utupe elimu ya huu mbadiliko na ww ni mtangazaji

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  หลายเดือนก่อน +1

      Shukrani Tutabadirika Ahsante Kwa Maoni yako 🤝

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 หลายเดือนก่อน

      @@Santzmedia jitaidi sana..maana hata jibu lako "tutabadirika" linaleta shida nying sana..kwann usiseme "Tutabadilika"? mbona hizi R na L na ww ni mtangazaji unazitumia sana? shida ni nn?

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 4 หลายเดือนก่อน +2

    Limekaa Kaa kama layman , Kaa halijasoma hatq likitoa hoja Linashindwa na mh. Msukuma , sijui lilisoma PhD ya uchawa?

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Limekaa Kaa kama layman , Kaa halijasoma hatq likitoa hoja Linashindwa na mh. Msukuma , sijui lilisoma PhD ya uchawa?
    Jinga jinga hata ukiliangalia sura imekaa kama member jizi la Kijiji Fulani kule kwetu lbungila....

  • @user-ds2qr6fx6c
    @user-ds2qr6fx6c 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sjawai kumuelewa uyo mwamba

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      Sababu?

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 5 หลายเดือนก่อน +2

    Tapeli huyo

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe hili ni jambazi muda mrefu ona lilivo na mironjo mirefu😂

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  6 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅

  • @SeifOmary-x1z
    @SeifOmary-x1z 5 หลายเดือนก่อน +1

    Chawaa

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂

  • @florachogo243
    @florachogo243 6 หลายเดือนก่อน +1

    Anafaa ,kila mtu atakula urefu wa kamba yake

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 6 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo kamba yake ndio kutuibia Sisi watz?

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 6 หลายเดือนก่อน +2

    Fisadi mkubwa huyu

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂

  • @florachogo243
    @florachogo243 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kapambana, mpaka katoboa😂

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  6 หลายเดือนก่อน +1

      Maisha n kupambana

  • @IGOMBOLA-tm8um
    @IGOMBOLA-tm8um 5 หลายเดือนก่อน +2

    Tukujue wa nini mshamba wewe

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      Usiwe na hasira Huyu ndio kiongozi wako

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l 4 หลายเดือนก่อน +1

    Anamiliki mabasi ya Esthter mulizeni kapata wapi?

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

  • @SanziNzige
    @SanziNzige 2 หลายเดือนก่อน

    Nimjue mwogulu inisaidie nini mjue wewe

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 หลายเดือนก่อน +2

    jizi kubwa hilo linafilisi nchi mla punda huyo ameiangamiza Taifa

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

  • @naomikatharinaandrewmnkai6760
    @naomikatharinaandrewmnkai6760 6 หลายเดือนก่อน +1

    Unajuaje atafika 2025

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 4 หลายเดือนก่อน

    Hadi mwaka 2025??? Khaaaaaa

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  4 หลายเดือนก่อน

      😥

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 6 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu mla punda katoka maisha magumu sn ndio maana mwizi, nashaur viongoz wawe wanaangaliwa family background hawa waliotoka maisha magum waachwe, ndio maana marekan wanaangalia sn uchumi wamgombea

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 5 หลายเดือนก่อน +1

    One of the feliyer finince minister in Tanzania never happened since only stick on position because of hideni agenda behind curtains

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      😂

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 3 หลายเดือนก่อน

      Andika kwa kiswahili, English yako mbovu mno