Athari ya Kuwa na Mwanamke Kilaza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 14

  • @edlumala9428
    @edlumala9428 วันที่ผ่านมา

    Mmbora wao mwenye dini…

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c วันที่ผ่านมา

      Dini ni nini kwa unavyofaham wewe

  • @shaabansulaymaan4478
    @shaabansulaymaan4478 5 วันที่ผ่านมา +3

    Hzi fikra nazo sizo,
    Kusoma sio kuelimika,wengi wameingia chaka kuoa kwa akili hzo za kuangalia elimu
    Omba Dua,Allah Mtukufu akupe mke mwema kwa ajil ya dunia yako na AKHERA
    Tumeona mazwazwa/mazuzu wengi maa shaa Allah wakibadilika wakashika njia ya elim na DINI kwa ujumla na kuwa Mama Bora.

  • @leonardmbonea4117
    @leonardmbonea4117 3 วันที่ผ่านมา +1

    Tafuta mwenye dini,

  • @ZeyanahamedRashid
    @ZeyanahamedRashid 3 วันที่ผ่านมา +3

    Jeee na wanaume wasojuwa kusoma quran iweje huyu sheikh anaongea vinaya mijanakike lugha sio nzuri ht mwanamme kilaze pia anazeeesha

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 3 วันที่ผ่านมา

      Ndo usikubali kuolewa nae sasa.

    • @Useri-bn6ye
      @Useri-bn6ye 2 วันที่ผ่านมา

      Ukweli unauma

    • @MshaSalum
      @MshaSalum 2 วันที่ผ่านมา

      Hhhhh Usikubali kuolewa na Mwanamme zuzu pia Asiye jua kusoma at a Qur'an utakubalije kuolewa nae?

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c วันที่ผ่านมา

    Dini ni nini kwa munavyo fahamu nyinyi

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 2 วันที่ผ่านมา +1

    Watu wamesoma lkn hekma ya kuwasilisha na lugha ya kuwasilisha ama kulingania ni shida .

    • @RashidBakar-d2v
      @RashidBakar-d2v 2 วันที่ผ่านมา +1

      Ss ww mwenye hekima mbon haulinganii watu wakafaidika na ww

    • @MshaSalum
      @MshaSalum 2 วันที่ผ่านมา

      Vipi na wewe hujui kusoma Qur'an au? Maana haya maneno kama hujui kusoma Qur'an lazima ya kuguse

    • @MshaSalum
      @MshaSalum 2 วันที่ผ่านมา

      Hayo maneno yapo sawa Asiye jishughulisha na kujifunza Qur'an lazima asemwe kwa maneno mabaya zaidi ya hayo sio maswala ya kujua mambo mengine aaa kinacho angaliwa Qur'an

    • @OmarSalum-y9c
      @OmarSalum-y9c วันที่ผ่านมา

      ​c hivyo ufkiriavyo