ONDOSHA UCHAWI KATIKA MWILI WAKO KWA KUZISOMA DUA HIZI SHEIKH NASSOOR BACHU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • Kwa mawaidha mengi zaidi unaweza kutembelea hapa
    • SHEKHE BACHU

ความคิดเห็น • 26

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo หลายเดือนก่อน +9

    Ma sha Allah
    Allah akurehemu sheikh wetu
    Umetuachia Mawaidha tunapata ukumbusho
    Allah akulipe ktk mizani yako ya wema siku ya Kuhesabiwa mizani ya wema izidi uzito

  • @mzamilmajidy5940
    @mzamilmajidy5940 หลายเดือนก่อน +1

    ALLAH akurehem shekhe wetu umetuacphia mawaidha mengi sana mazur yenye ukumbusho tele ndani yake,

  • @abdallahluhinda
    @abdallahluhinda หลายเดือนก่อน +2

    Allah akurehemu

  • @SheeOmari
    @SheeOmari หลายเดือนก่อน +1

    Amin

  • @Dabassa66
    @Dabassa66 หลายเดือนก่อน +2

    Maashaallah ❤❤❤

  • @MahfodhHaji
    @MahfodhHaji หลายเดือนก่อน

    Allah akusameh mazamb yak amiin

  • @abdulhalimjeni2459
    @abdulhalimjeni2459 หลายเดือนก่อน

    tanzania hajatokea tena shekhe kama ww almaruhum bachu allah akupe pepo

  • @Dhakiionlinetv
    @Dhakiionlinetv หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah

  • @tigermunishi
    @tigermunishi หลายเดือนก่อน +2

    Tunaomba utuandikie hiyo dua

  • @ZenaSauli
    @ZenaSauli หลายเดือนก่อน +7

    Anaejua niandikie kiswahil 😢😢😢

    • @IbrahimMahmoud-em1np
      @IbrahimMahmoud-em1np หลายเดือนก่อน +4

      @@ZenaSauli a3uudhu biizatillahi wa qudratihi min shari maa ajidu wa uhaadhiru

    • @IbrahimMahmoud-em1np
      @IbrahimMahmoud-em1np หลายเดือนก่อน +1

      Allahuma raban nas adh' hibil baasa anta shaafi laa shifaa ilaa shifaauka shifaaun laa yughaadiru saqaman wala alaman

    • @IbrahimMahmoud-em1np
      @IbrahimMahmoud-em1np หลายเดือนก่อน +1

      Bismillah turbatu ardhina biriiqati baadhina yashfii bihii saqiimana biidhni rabina

  • @mayamerali9264
    @mayamerali9264 หลายเดือนก่อน +3

    Tuandikie tafadhali

  • @SomoIya-s4h
    @SomoIya-s4h หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @HamisaSaidi-e9y
    @HamisaSaidi-e9y หลายเดือนก่อน +2

    Mm naumwa mm mwenyew naweza kujisomea mana hii kama yakumsomea tu

    • @madrasatulfurqani
      @madrasatulfurqani  หลายเดือนก่อน

      NDIO unaweza kujisomea wewe mwenyewe pia kwa dua hizo hizo au unaweza ukasomea kwenye maji akanywa

    • @ramzymoha3798
      @ramzymoha3798 หลายเดือนก่อน

      @@HamisaSaidi-e9y geuza tu lugha ila maneno ni hayo hayo.. ikiwa huwez.. mwambie mtu akusomee.. Biidhnillah utapoa.. shafakallah

  • @IsmailNsengiyumvaa
    @IsmailNsengiyumvaa หลายเดือนก่อน +2

    Vp

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 23 วันที่ผ่านมา +2

    Allah akurehemu