🔴
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ค. 2020
- 🔴#LIVE: RAIS MAGUFULI aweka HISTORIA, AGAWA TAUSI wa IKULU KWA MARAIS WASTAAFU!
MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKIKABIDHI NDEGE AINA YA TAUSI KWA MAMA MARIA NYERERE MKE WA BABA WA TAIFA, Hayati Julius Nyerere, ,WAHESHIMIWA MARAIS WASTAAFU ALI HASSAN MWINYI, BENJAMIN MKAPA NA JAKAYA MRISHO KIKWETE katika hafla iliyofanyika IKULU YA CHAMWINO DODOMA.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
Hii ni heshma kubwa ni mfano wa kuigwa kudos Tanzania viva JPM
Hongera sana
From my heart,I real appreciate you Mr.JPM.
Upendo huambatana na imani na ishara madhubuti. Mungu akubariki JPM
Matukio ya namna hii yanaipaiha sana nchi yetu. Hongera sana Rais wetu. Hongereni marais wastaafu. Nasi watanzania wote tujihongere!
Barikiwa sana rais wetu
Safi sana, hongera sana baba kwa maamuzi mazuri. Mungu akubariki sana.
Mashaallah
Haijawahi kutokea africa ...tz is the best
Ukisikia Tz ni nchi ya kipekee watu hawaelewi.nchi nyingi ni nadra sana kuwakuta marais wote in one place
🙈Babang Mheshimiwa Dr Naomba ka 1 tu na mimi yani I can be happy so much 🙈😋😋 napenda sana TAUSI JMN 😢
Jengo zuri hakika Tunamtukuza Mungu kwa hatua hiyo.
Mbona barakoa hawajavaa?
Hakuna corona
Haya haya!! Twende kaz
Hadi raha kupendana jamani watanzania tuwe na upendo umoja. Ndio fahali Yetu.
Good xmartynexx
Upendo na amani kwa viozi wetu ndio siraha yetu tuendeele kuitunza .Amina.
Only in Tz!!ndo utakuta hivi vitu
Hongera sana Prof. JPM
Duh
Marais wasifuu wanajivunia kijana wao maguu wamekubadhi nch hajawangusha kaituza vzr,hongera kwake,leo wanavuna matunda ya waliyopanda
Big up John Pombe Magufuli
Tausi25 wanathamani ya milioni 3. Au chini ya hapo. Sawa na kuwagaia wastaafu shilingi milioni 3 kila mmoja sio jambo baya.
Mkapa kazeeka jamni,umri umeenda
Duu,,mkapa anaokena kama ndoo mkubwa kuliko wotee,,,mmmhh jamani mamanyerere chuma cha reli cha mkolonii hazeekiii,,bado ananguv kama zote na mzee mwinyii
Uyu raisi
Matayo 25:14-30
Je!wanaruhusiwa kuwauza?
Isiwe sehemu ya kitalii kama hifadhi,kiusalama it is a high risk!!huwezi kua ajae karibu na ikulu yetu,hasa mabeberu!iwe ni kwa wageni rasmi Tu.
Raha si raha jamaniiiiii
Leina O ngoyasi niko leki natron engaresero is Bps
JPM Safi
Sasa Wachina waguse tausi wetu pia.
vipi zanzibar je? wao hawana hakiki ya kupatiwa hao tausi hata pale ikulu ya raisi wa zanzibar tumeshuhudiya wamefika Kenya lakini znz hapana udumu udungu wetu .
Hilo nalo wazo zuri kweli
Jpm jembe