Aliyejaribu kuokoa maisha ya dereva asimulia alivyokwepa kifo,mwenzake afariki.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ส.ค. 2019
  • #AJALIMOROGORO.
    #ITVTANZANIA

ความคิดเห็น • 106

  • @mnazaretinemi4203
    @mnazaretinemi4203 4 ปีที่แล้ว +22

    Hakika huyo alie jitolea kuwasaidia na mauti kumfika ni SHUJAA WA TAIFA

  • @marywambui519
    @marywambui519 4 ปีที่แล้ว +19

    Jamani amefariki kwa uzuri wake na roho nzuri ya kutaka kuwaokoa wenzake mungu amkumbuke ampe nafasi ya kuishi tena mbinguni..wa Tanzania pole kwa mkasaa huu mungu awape uvumilivu ndugu zetu

  • @janetshao6423
    @janetshao6423 4 ปีที่แล้ว +6

    Hichi kitendo cha kufungua mafuta iwefundisho kwa wengine, inaonyesha n jinsi gan baadhi la binadamu wasivyo kua na utu ,hii n funzo na hii n hasira ya Mungu ametenda yaliyo tokea, yan badala ya kutafuta mbinu ya kuweza kuokoa waliopo kwenye gar hilo wao wanakim ilia mafuta, eeh Mungu tupe mioyo ya utu na hofu ya Mungu.

  • @pendochimamy6514
    @pendochimamy6514 4 ปีที่แล้ว +35

    Dah ni zaidi ya maumivu pole kweli alikua anaenda kuokoa wenzie bahati mbaya amefariki Na yeye mungu aiweke Roho yake pema pepon

  • @sharifumussa9416
    @sharifumussa9416 4 ปีที่แล้ว +5

    Mbele yao nyuma yetu, kwamungu sote tutaludi, Mungu ametoa mungu ametwaa jina lamungu litukuzwe. Na kwautukufu wake mungu awapunguzia maumivu ya umauti wao. Eeemen ( aamin )

  • @naomiwhite3832
    @naomiwhite3832 4 ปีที่แล้ว +4

    That's guy is a hero i salute him ata kama hajui na haoni.. he lost his life saving other lives God i knw you're proud of him plz i pray keep his family in touch alwys

  • @bestmbalikila1285
    @bestmbalikila1285 4 ปีที่แล้ว +7

    Daaah inauma sana mungu awalaze ndugu zetu mahali pema pepon amina

  • @superraperkp3019
    @superraperkp3019 4 ปีที่แล้ว +3

    Ewe mola wetu tunakuomba utusamehe sisi waja wako utufanyie wepesi tutekeleze ibada na kufanya mema kwa wingi ,ya rabbi tuna kuomba uwapokee wajawako walio pata ajali mbaya ya moto tunakuomba uwapokee kwa kheri zako na utukufu wako aamin.

  • @baloonmedics163
    @baloonmedics163 4 ปีที่แล้ว +2

    Poleni sana huu ni msiba wa Taifa zima, inauma sana Mungu awape faraja wafiwa, pia awaponye majeruhi wote.

  • @josephmgeni208
    @josephmgeni208 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyo kijana nahisi atakua peponi kwa ule moyo wa huruma aliouonesha

  • @frankrobson9829
    @frankrobson9829 4 ปีที่แล้ว +7

    Shujaaa ameenda kusaidia naye kafa MUNGU amlaze mahari pema 😢😢

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 4 ปีที่แล้ว +3

    "SIO KUKWEPA MUNGU NDO ANAEWEZA KUKUEPUSHA KAMA SIKU ZAKO HAZIJAFIKA"
    ALLAH AKHBALL😭😭😭😭

  • @ruqiyaruq5142
    @ruqiyaruq5142 4 ปีที่แล้ว +1

    Wainalilah wainalajilun mbele yao nyuma yetu mungu awalaze malehem pema peponi

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 4 ปีที่แล้ว +3

    Ewe mwenyez mungu tupe mwisho mema ya Allah tusamee makosa yetu daa kwel siku yako ikifika imefika Alipangalo mungu binadam uwez kupangua

    • @najimshaib9306
      @najimshaib9306 4 ปีที่แล้ว

      Swadkta kila nafx itaonj MAUT

  • @hamisitenende8524
    @hamisitenende8524 4 ปีที่แล้ว

    Polenii Sana ndugu zetu mulale salama Tyutaonana Badaee 🙏🙏

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 ปีที่แล้ว +12

    inauma kajitoa kuokoa nae kapat umati Allah wapokee viumbe wko

  • @tameemashaa5234
    @tameemashaa5234 4 ปีที่แล้ว +5

    Innalillahi wainna ilahi rajiuun

  • @saidsahd1971
    @saidsahd1971 4 ปีที่แล้ว

    Yani mungu atunusuru kwa kweli lakini tabia ya watu wengi wanakimbilia vitu kwenye gari inapopata ajali huwa wanatokwa na utu . Wakusaidia kwanza hata Kama wanakuona unakufa huwa hawashuhuliki na wewe . Kuna mambo mengi hapo ya kujifunza mungu awasamehe mazambi Yao awalaze pema peponi Amin

  • @sheysarahnjeno9326
    @sheysarahnjeno9326 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole kaka mungu akusaidie wapumzike kwa amani

  • @kaJEMBEvip
    @kaJEMBEvip 4 ปีที่แล้ว +12

    mtangazaji inabid alud shule anauliza maswal ayamake senc kabsa..anazngua

    • @zamizozamy5528
      @zamizozamy5528 4 ปีที่แล้ว +1

      kabisa aisee... anaboa

    • @DBrownstain
      @DBrownstain 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa, mimi pia kaniboa.

  • @AcklandackyMichael
    @AcklandackyMichael 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atujalie Watanzania wote wenye moyo upendo na kujitoa, mtangazaji jaribu kuiliza maswali ambayo utapata majibu mazuri ya kujitosheleza. Nilitegemea angeuliza mali yako imehalibika wakati unatetea uhai wa wenzako je ni somo gani umejifunza kupitia mtu aliyefariki ukiwa hata ufahamiani nae?
    Ndugu Watanzania sio mbaya tukajifunza kufamiana kuna tija.

  • @sjl3207
    @sjl3207 4 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭majonz kwa sot
    Kwaliofarik allah awapumuzish salama kwa waliopo hospital allah awapony inshaallah🙏🙏

  • @kamellincitizenkenya129
    @kamellincitizenkenya129 4 ปีที่แล้ว +2

    poleni kwa familia 😭😭😭from ke nya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @mosescodes3677
      @mosescodes3677 4 ปีที่แล้ว

      Thank you we love you Kenya's!!!

  • @joycekasakisya7755
    @joycekasakisya7755 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakulipa kwa wema wako,na mwenzio nae Mungu atampokea huko alikoenda. Pole sana

  • @amanisilah9024
    @amanisilah9024 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awalaze mahali pema peponi Ameen

  • @josephgeorge7617
    @josephgeorge7617 4 ปีที่แล้ว

    Kam acku zako zmefka zmefka tuuuu on ata hawa wapita njia Basi mungu awalaze mahala pema peponiiiii

  • @barakajustine7
    @barakajustine7 4 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana

  • @priscarthomas3465
    @priscarthomas3465 4 ปีที่แล้ว

    Poleni sana jaman

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 4 ปีที่แล้ว

    Du Mungu anakupenda sana mtumikie.

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyo jamaa yako alikuwa na huruma msamalia mwema maskini na yeye akafariki amekufa kishujaa lazima azikwe kishujaa familia yake isaidiwe alikuwa na moyo wa kishujaa

    • @richardmaliwanga4565
      @richardmaliwanga4565 4 ปีที่แล้ว

      Huenda alipozama kwenye cabin aliwasachi na kuchukua pesa za yule dereva na abiria wake.Huwezi jua!Tusihukumu!

  • @thabitkauli9983
    @thabitkauli9983 4 ปีที่แล้ว

    Da poleni sana

  • @hmedm8093
    @hmedm8093 4 ปีที่แล้ว

    Inna lillahi waina ilayhi raajiun
    Pole sana ndugu zangu
    ALLAH awape subra na awalipe ujira mkubwa
    Huyo shujaa dereva wa bodaboda tungependa amuelezee huyo mwenzie alikwenda nae yukoje au kama akiona picha yake anaweza kumkumbuka. Sisi tuna kaka yetu mpaka sasa hajapatikana na yasemekana yeye ndie aliekuwa anajaribu kumtoa dereva mwenzie kwenye hio Lori ya mafuta iliowaka moto

    • @ommietrendz7175
      @ommietrendz7175 4 ปีที่แล้ว +1

      Ahmed Abdallah poleni sana ndugu
      Mtapata tu taarifa kwa uwezo wa mungu 🙏🏼

    • @hmedm8093
      @hmedm8093 4 ปีที่แล้ว

      @@ommietrendz7175 ameen

  • @abaslegera9841
    @abaslegera9841 4 ปีที่แล้ว

    Dah inauma ALLAH ampe kauli thabit

  • @lukandotv8101
    @lukandotv8101 4 ปีที่แล้ว +1

    R.i.p Abiria wa Bodaboda 😭😭

  • @basachitopela1150
    @basachitopela1150 4 ปีที่แล้ว

    Kifo.ni kama maji ya baharini kubwa tuwe makin na magari yanayopinduka si maloli ya mafuta tu hata ya magari ya kawaida tuyaogope mungu walaze mahala pema peponi marehemu wote

  • @nurumwinjuma736
    @nurumwinjuma736 4 ปีที่แล้ว +1

    poleni jamani

  • @khadijanjama9016
    @khadijanjama9016 4 ปีที่แล้ว

    Poleni jamani ni huzuni sana allah awape subra watanzania

  • @mrosopulicher9668
    @mrosopulicher9668 4 ปีที่แล้ว

    Poleni sana jamani.R.I.P

  • @lilyfrankkiambu8935
    @lilyfrankkiambu8935 4 ปีที่แล้ว

    Inauma sana😭😭😭wapumzike kwa amani

  • @sadasaid4408
    @sadasaid4408 4 ปีที่แล้ว

    Duh inaima sana jamani

  • @richardrichard1112
    @richardrichard1112 4 ปีที่แล้ว

    Wengi walio poteza maisha awakuwa wanachota mafuta ombi langu selikali imuangalie uyu kaka aliepoteza pikipiki yake ili aludi kupambana namaisha

  • @bafaello2619
    @bafaello2619 4 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @michaelmuchomerson2658
    @michaelmuchomerson2658 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli majonz yamenidondoka huyo jamaa kaoga vizuri kaaga familia kwenda nane nane, kukuta ajal kusaidia nae ndo bye, mungu wangu kwa niaba yake naiombea roho yake safi ipate dhawabu mbele zako, eee mungu tufanyie wepesi kwa msiba huu na hekima pia jinz ya kuepuka na hili janga iwapo likitokea tena.

  • @janemwakapesa5569
    @janemwakapesa5569 4 ปีที่แล้ว

    Aisee imeniuma aliyekuwa anamsaidia, je hats amiletewa PICHA so atamkumbuka day, ktk waliokufa zingeonyeshwa PICHA zao angemkumbuka

  • @shedrakmsajigwa8194
    @shedrakmsajigwa8194 3 ปีที่แล้ว

    Leo au

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 ปีที่แล้ว +1

    POLENI SANA

  • @jumalove2631
    @jumalove2631 4 ปีที่แล้ว

    Police walichelewa kufika Eneo la tukio kuzuia wasiibe mafuta

  • @danielndege2644
    @danielndege2644 4 ปีที่แล้ว

    Natoa pole ni pigo kwa Tz yetu

  • @peteroriva6298
    @peteroriva6298 4 ปีที่แล้ว

    Daah inauma sana R.I.P

  • @ivankulola5847
    @ivankulola5847 4 ปีที่แล้ว

    Ni Malaika alikuja kutukumbusha binadamu tuwe na mioyo gani...

  • @wandutaackimu4375
    @wandutaackimu4375 4 ปีที่แล้ว

    Jamn!!!!!!

  • @tegamaduhu5204
    @tegamaduhu5204 4 ปีที่แล้ว

    Jamani haya nimajanga

  • @emanuelmushi6878
    @emanuelmushi6878 4 ปีที่แล้ว +2

    R IP wewe uliyejaribu kuokoa maisha ya dereva na mwenzake'sasa hawa wezi wa mafuta waloacha dereva na mwenzake wafe wafaidi mafuta mtalala mlipochagua'inasikitisha sana watu wameacha watu kwenye kibin wakadili mafuta mshahara wenu ndo huo

  • @shayopaterini8678
    @shayopaterini8678 4 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaa jaman

  • @madomadolove7643
    @madomadolove7643 4 ปีที่แล้ว +1

    Duhuuuu jamani 😥😥😥😥😥

  • @spinkssolo
    @spinkssolo 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwandishi wa habari naomba tu ufike sehemu umuache mtu aeleze story yake alafu ndio maswali yafuate..

    • @lucyjohn7904
      @lucyjohn7904 4 ปีที่แล้ว

      Maswali meng bila mpangilio yn

  • @andrewhongo1707
    @andrewhongo1707 4 ปีที่แล้ว

    Ooosh am talkless😱😱😱

  • @alexjosephat9030
    @alexjosephat9030 4 ปีที่แล้ว

    R. I. P shujaaaa

  • @happysteven1276
    @happysteven1276 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana kijana inasikitisha sana

  • @kassainkmusic
    @kassainkmusic 4 ปีที่แล้ว

    HAWA NTAREJEA FT BEN POL - th-cam.com/video/IBtkRa-AUr8/w-d-xo.html

  • @calowamaye4009
    @calowamaye4009 4 ปีที่แล้ว

    Jamani gari la m’agita ni hatari watu wafudishwi

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว +1

      Wafundishwe mara ngapi natuaambiwa kila siku gali lenyewe tayali limeandkwa danger

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 ปีที่แล้ว

    Yaani watu bwana walijali mafuta kuliko kuwaokoa dereva na abilia wake, aliyefariki kwa kutaka kumwokoa dereva atafutwe jamani walete picha za watu waliokufa atamjua tu.

    • @hadijaabdallah5477
      @hadijaabdallah5477 4 ปีที่แล้ว

      Atajulikana vp kwa mfano are u mad

    • @kiazikitamu3985
      @kiazikitamu3985 4 ปีที่แล้ว

      @@hadijaabdallah5477 zikiletwa picha zao halisi wakati wa uhai wao huyo jamaa atamrecognize namaanisha hivyo Hadija very simple.

    • @abdulnaseermrisho4342
      @abdulnaseermrisho4342 4 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo kabla ya kupanda Bodaboda huko Morogoro huwa wanapigwa picha

  • @bizabishakajamilla3438
    @bizabishakajamilla3438 4 ปีที่แล้ว

    Waltp

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa yule dereva wa lory na huyo mwenzie nao pia waliungua?

    • @AbdulAbdul-pr9qe
      @AbdulAbdul-pr9qe 4 ปีที่แล้ว

      ndio

    • @cecilialyimo9236
      @cecilialyimo9236 4 ปีที่แล้ว +1

      Sasa ndugu yangu dereva alishakatika miguu na mikono atakosa kuungua?

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 4 ปีที่แล้ว

      Jivu tupu.

    • @ommietrendz7175
      @ommietrendz7175 4 ปีที่แล้ว

      Mbona wanasema kapona dereva ??
      Na ktk clip za magufuri akiwa hospital alikutana nae

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 4 ปีที่แล้ว

      @@ommietrendz7175 baada ya Lori kuanguka;kuna Lori lingine lilikuwa likipita. Ndipo dereva wake aliamua kwenda kumsaidia mwenzie;yakamsibu. Ndio huyu aliepo muhimbili.

  • @khadijak3065
    @khadijak3065 4 ปีที่แล้ว

    Jamani kwa nini wamefunguwaa mifuniko ya tenki ya mafuta hakujali walioko ndani ya gari hawaakuwa na elimu wamekufa wengi sana jamani tujali utuu sio wizi mumeona athari zake kaka imani yako mungu atakulipa mbele ya haki

  • @saidikambimbaya6739
    @saidikambimbaya6739 4 ปีที่แล้ว

    mtangazaji rudi shule

  • @harmoniky4000
    @harmoniky4000 4 ปีที่แล้ว +1

    POLENI WAFIWA. KARIBU HAPA th-cam.com/video/SQZ0hk5K7mI/w-d-xo.html. UTAZAME ORIJNO VIDEO CLIPS. ZOTE ZA BONGOFLAVA.

  • @IsaacParuz
    @IsaacParuz 4 ปีที่แล้ว

    Kama una Virusi Vya Ukimwi zingatia hi
    th-cam.com/video/C9WuSdcuMKs/w-d-xo.html

  • @evansignas3732
    @evansignas3732 4 ปีที่แล้ว

    Habarini wadau..
    Tunatoa mafunzo ya fursa za mtandaoni kupitia program inayodhaminiwa na shirika la Google iitwayo Google Digital Skills for Africa.
    Vikundi vitajifunza Mambo mengi ikiwa Ni pamoja na
    1. Fursa zilizopo mtandaoni
    2. Jinsi ya kuanza mtandaoni na biashara yako.
    3. Kukuza soko la wateja mtandaoni.
    4. Kuipa thamani biashara au jina lako mtandaoni.
    5. Kujiajiri kwenye digital world.
    Na mengine mengi. Mafunzo haya Ni bure na yanatolewa ndani ya siku moja kwa muda wa masaa 2 tuu kwa vikundi vya watu kuanzia 30 na kuendelea. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia namba 0714664797

  • @janetshao6423
    @janetshao6423 4 ปีที่แล้ว +1

    Hichi kitendo cha kufungua mafuta iwefundisho kwa wengine, inaonyesha n jinsi gan baadhi la binadamu wasivyo kua na utu ,hii n funzo na hii n hasira ya Mungu ametenda yaliyo tokea, yan badala ya kutafuta mbinu ya kuweza kuokoa waliopo kwenye gar hilo wao wanakim ilia mafuta, eeh Mungu tupe mioyo ya utu na hofu ya Mungu.

    • @milialeseinlazier6259
      @milialeseinlazier6259 4 ปีที่แล้ว

      Poleni sana ndugu zangu,watanzania wenzangu mungu awatie nguvu