RC MAKONDA ATANGAZA SIKU TATU ZA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI ARUSHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 58

  • @RhodaLema-z8w
    @RhodaLema-z8w 9 หลายเดือนก่อน +2

    Wawoo wanaarusha neema imewashukia na jembe la wanyonge tanzania nzima ameanza kazi ya kutatua kero eeh Yehovah mungu kuwa karibu na makonda mshushie malaika wako wamlinde aingiapo na atokapo ameen imekuwa kwa jina la yesu

  • @JonasiMwanzi-o2y
    @JonasiMwanzi-o2y 9 หลายเดือนก่อน +7

    Safi sana makonda piga kazi uko ARUSHA pia angalia uko kwanini watu wanakufa sana

  • @RhodaLema-z8w
    @RhodaLema-z8w 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mh makonda piga kazi watanzania tunakupenda sana kuwa jasiri na moyo wa ushujaa mungu yuko pamoja na wewe akulinde ni ahadi yake usiogope shujaa wetu

  • @PlanetVillage
    @PlanetVillage 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wetu wa mbinguni akubariki sana kiongozi

  • @MariamuMwanja
    @MariamuMwanja 9 หลายเดือนก่อน +7

    HUYU ni mwamba kumdhibiti hawatoweza aseeeee
    KWANZA MJANJA KASHAWATIA WAHUNI WOTE WA ARUSHA KIGANJANI YANI ATAKAETAKA KUFANYA MASHAMBULIZI TU TAARIFA ZINAMFIKIA KABLA HAWAJAMFIKIA YANI ANATUMIA AKILI NYINGI KUJILINDA NA CO NGUVU
    DAAAAH TUNAKUOMBEA UISHI MAISHA MAREFU SANA MAKONDA

  • @tanzaniantraveller
    @tanzaniantraveller 9 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana Mh Makonda, ukisuruhisha Arusha unatoa mwanga katika mikoa mingine, kwahilo nisawa unatoa mwanga nadani ya nchi nzima💡, mwenyezi MUNGU azidi kukubariki na kukulinda🙏

  • @PlanetVillage
    @PlanetVillage 9 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana kiongozi

  • @aladinynur7915
    @aladinynur7915 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kero Nyingine ni Saa za kazi Wana kunywa pombe. ATI wanatoa locki. Jee tutajenga nchi kwa style hii.

  • @emmanueljengo8103
    @emmanueljengo8103 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu aixhiye na kumiliki akutunze na kukulinda

  • @SmilingCaterpillar-yy3jc
    @SmilingCaterpillar-yy3jc 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba azid kuniweka hai, ili siku moja nije nishuhudie MAKONDA AKIAPISHWA KUWA RAIS WA NCHI HII TANZANIA

  • @SamwelIsack-t4n
    @SamwelIsack-t4n 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyezi mungu akupe afya njema na akulinde zaidi wewe no tegemeo letu

  • @aladinynur7915
    @aladinynur7915 9 หลายเดือนก่อน

    Nimekukubali Mkuu Hongera Saana. Tunaku omba uje Karatu ututatulie kero zetu..Hassan maji kufurika bwawani. Bwawa hili halina sehemu yakupumua. Watu wamejenga sehemu yakupumua .kwa hivyo inabidi kuchimba mfereji ili ipumue. Nyumba 400 zimemezwa na maji sababu ya nyumba chache Asante karibu karatu

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 9 หลายเดือนก่อน +2

    Karibu Mkuu wa mkoa unatukumbusha mbali .usimwangushe mama yetu samia.kero ni nyingi wki itatosha kweli.

  • @aladinynur7915
    @aladinynur7915 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kero Nyingine ni mitetemo . Bado inashika Kasi pamoja na waziri kukataza. Mitetemo. Mtu ni Afya Bila Afya hatuta Jenga Nchi.

  • @SaidHassan-g9u
    @SaidHassan-g9u 8 หลายเดือนก่อน

    Atakuwa Rais makonda

  • @tolepeter3538
    @tolepeter3538 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pongezi sana uongozi wa Tanzania.Mnatetea wanyonge vyema sana.

  • @WilliamMarai-o8c
    @WilliamMarai-o8c 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe uzima bab wa wanyonge krb kwetu oljoro wengne hatupati umeme maji watt wanateseka kwenda shule kwa sababu y korongo njia ni mbovu huku

  • @ickramrahim3578
    @ickramrahim3578 8 หลายเดือนก่อน

    Piga kazi baba

  • @sadamissa5687
    @sadamissa5687 9 หลายเดือนก่อน +3

    Waliokua wafanyakazi wa mgodi wa Tanzanite One fursa hyi😂😂

  • @yudatadeimdoe9215
    @yudatadeimdoe9215 9 หลายเดือนก่อน

    Semeni vyote ila uyu jamaa uongozi anaujua,, he is number one!! Kuna wakuu wa mikoa hawajawahi ata kufika wilayani mwaka wa 10 huu,,

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mpez wangu makonda ndie atakua rais badae

  • @aladinynur7915
    @aladinynur7915 9 หลายเดือนก่อน

    Kero zingine pia zipo siku ukija utaelezwa. Karibu Karatu.

  • @leahmatima3971
    @leahmatima3971 9 หลายเดือนก่อน +2

    Wacha Tu jamn afanye maana mama yangu ametapeliwa kiwanja kinamiaka 20 sasa mpaka Leo wanamzungusha 😢

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 9 หลายเดือนก่อน +3

    Tunataka uzuie vifo vya uonevu Arusha

    • @YunisJerald
      @YunisJerald 9 หลายเดือนก่อน

      Hapo umesema kitu

  • @giftmartin3418
    @giftmartin3418 9 หลายเดือนก่อน +3

    Bara bara ya kupanda sanawari ya juu ni mbovu sana

    • @sadamissa5687
      @sadamissa5687 9 หลายเดือนก่อน

      Una gari??😂😂

  • @RachelLaizer-n2p
    @RachelLaizer-n2p 9 หลายเดือนก่อน +1

    Barsbara mbovu mkuu halafu komesha mauaji na unyanyasaji jamani tolea neno hiyo tabia ikome

  • @MichaelMugeta
    @MichaelMugeta 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo jema

  • @aladinynur7915
    @aladinynur7915 9 หลายเดือนก่อน

    Kero Nyingine ni Hatuna maji Salama Hapa Karatu. Sababu Mashine zinazo vuta maji zime mezwa na bwawa maji kufurika. Ikiwa bwawa hili liki pata mahali kupumua basi tatizo la maji lita isha Pamoja na nyumba zilizo mezwa na maji lita isha ili wananchi warudi kwenye makazi yao. Wananchi wana teseka kwa hivi sasa karatu mjini. Mkuu tunaomba msaada kwako.

  • @JustinMaro-fp8qn
    @JustinMaro-fp8qn 8 หลายเดือนก่อน

    Ingekua kuongea NI kutenda basi Leo ningekua nimekuelewa kuliko siku zote Ila kama ni mbwembwe utalaanika pakubwa

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ndio maana wenzir wengi wanamchukia kwasababu anavitu vya kipekee ambavyo wenzie wakikaa hata kwa mda gani hawsfanikiwi

  • @ickramrahim3578
    @ickramrahim3578 8 หลายเดือนก่อน

    Ndugu mweshimiwa mkuu wa mkoa Arusha Kuna hii habari ya utoaji vibali vya ujenzi tunatoa habari kuwa idara hiyo imekuwa ni usumbufu kwa wananchi unafuatilia mpaka mtu unachoka habu lifuatilie Hilo mkuu

  • @SajadSuleiman
    @SajadSuleiman 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mwamb ila chung san wasikuue kama anko

  • @IsayaMalinda45
    @IsayaMalinda45 9 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏

  • @augustinesombi6285
    @augustinesombi6285 9 หลายเดือนก่อน

    Mkuu Makonda natamani siku moja tuonane face 2 face na ww, unafanya kazi vile na penda mm ningekuwa serikalini

  • @PlanetVillage
    @PlanetVillage 9 หลายเดือนก่อน

    2:17

  • @ferouzkeis6994
    @ferouzkeis6994 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani ukisema ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha itasikiiza kero siku hiyo itakuaje. Au ofisi ya mkuu wa mkoa wa arusha Itasikiliza kero chini yako itakuaje. Na hivi afisa habar au afisa mahusiano mkao wa arusha hauna?

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 9 หลายเดือนก่อน

      anapenda kwenda front mwenyewe wiki ijayo utakuja anakuja na tokomeza wadudu au Ongeza wadudu

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 9 หลายเดือนก่อน

      na uzuri mkoa aliopo watu wamemkausha anajitahd kusukuma habari zake naona raia km wamemvungia hvi

    • @pastorgodwinchengula7848
      @pastorgodwinchengula7848 9 หลายเดือนก่อน

      Kwani hiyo Ofisi ya mkuu wa mkoa si ilikuwepo kabla yake ilifanya nini? Tuache hayo mambo yeye ndiyo Ofisi ya mkuu wa mkoa popote anapokuwa Arusha unafikiri Ofisi ni chumba au jengo. Na ni yeye anayetatua sio hiyo unayodai ofisi kama ndio hivyo basi mikoa yote Ofisi za mkuu wa mkoa zingekuwa moto kutumikia wananchi. Paul Makonda is one man Army.

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 9 หลายเดือนก่อน

    Wadudu hawakosi apo

  • @nassornassir-ho3iw
    @nassornassir-ho3iw 9 หลายเดือนก่อน

    Jaza hela mifukoni kwetu

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla 9 หลายเดือนก่อน +1

    hv huyu brother kuna wiko inapita ajaongea ongea mbona wakuu wengine wanapiga mishe zao kimya kimya aujob description yako kwamba lazima utokee kwenye camera come on.

    • @ahmedhamis
      @ahmedhamis 9 หลายเดือนก่อน

      Africa inahitaji viongozi wa aina hii 👏👏👏👏 wanaofanya kazi kmya kimya huenda wazembe

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 9 หลายเดือนก่อน

      @@ahmedhamis niambie kaleta ompacts gani manake sio leo kua kwenye wadhfa tumeshuhudia akiwa dar es salaama akianza kushindana na watu na kupandisha mabega juu unajua ashawah kuanzisha vitu vingi ila vilikua vinakufa kwann hana ana mission lakin vision hana

    • @Soon815
      @Soon815 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@ChoroTesla Wewe ni mwendawazimu kabisa,Makonda amekuja arusha akaanza kuzungumzia suala la barabara kuwa mbovu( Tayari barabara ya mjini kati mwenge inawekwa lami upya) etc Upo hapa unasema hamna impact yoyote??
      Are you mentally fit?

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 9 หลายเดือนก่อน

      @@Soon815 kwamba kazi yake kuwek barabra au hujui barabara za mjoni ni za halmashauri ww kodi unalipa kwa ajir ya nn ikiwemo miundombinu

    • @Soon815
      @Soon815 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@ChoroTesla Dude what are you smoking??
      Kabla ya makonda mbona zilikuwa hazitengenezwi??

  • @SmilingCaterpillar-yy3jc
    @SmilingCaterpillar-yy3jc 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu naomba azid kuniweka hai, ili siku moja nije nishuhudie MAKONDA AKIAPISHWA KUWA RAIS WA NCHI HII TANZANIA

  • @SaidHassan-g9u
    @SaidHassan-g9u 8 หลายเดือนก่อน

    Atakuwa Rais makonda