Rais Samia Suluhu Alivyompigia Simu Live Pastor Tony Kapola Akiwa Kwenye Maombi.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • #tonykapola #raisisamiasuluhu #leadersclup

ความคิดเห็น • 103

  • @AnnaMasanja
    @AnnaMasanja 5 หลายเดือนก่อน +7

    hongera sana mchungaji kwa kazi yko inayoonekeana , malipo huwa yanatokea hapa hapa duniani, dhid kubarikiwa kwa kazi yko

  • @musamalaba6401
    @musamalaba6401 5 หลายเดือนก่อน +4

    Swala hapa sio namna gani nimefurahi kusikia Mchungaji wangu anapigiwa simu na Rais, swala ni namna gani Mungu amelipokea hili la kupigiwa simu madhabahuni na ukasitisha maombi ukapokea simu,
    When we are in serious prayer, we are in call with our God who is above men and above all calls.

  • @magrethsamson9084
    @magrethsamson9084 5 หลายเดือนก่อน +14

    Yan Mimi nampenda mama Samia amekua mama Bora Sana kwetu wote watanzania❤Mungu azidi kumsimamia,,Yan ata sjui nielezeje ❤❤❤❤

    • @user-bu6im1tr9z
      @user-bu6im1tr9z 4 หลายเดือนก่อน

      kwako siyo wote elewa mimi apana na mkubali Meko!😂

    • @user-bu6im1tr9z
      @user-bu6im1tr9z 4 หลายเดือนก่อน

      kwako siyo wote elewa mimi apana na mkubali Meko!😂

    • @jitabojilala6162
      @jitabojilala6162 4 หลายเดือนก่อน

      Huoni aibu?

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mama love sana, yaani mama unajali kila mtu awe hali ya chini wote unawajali kwa namna ya pekee mama nakupenda zaid. kazi iendelee

  • @user-xe3wd8kr8x
    @user-xe3wd8kr8x 5 หลายเดือนก่อน +4

    Wapendwa Mungu awabariki Kwa kufuatilia vipindi vya mchungaji kapola,
    Wengi tunalalamika kuhusu kingereza mwanzoni na Mimi nilikuwa nalalamika Ila Sasa nimegundua kuwa Ana waumini wa mataifa mbalimbali nilikutana na mzambia mmoja akaniambia Kwa lugha Yao akasema nanukuu,
    napenda kumsikiliza huyu mchungaji Kwa vile anavyochanganya na kingereza huwa naunganisha ujumbe najikuta naelewa anachofundisha.
    Kutoka pale nilipata Somo nikaacha kulalamika kuhusu swala la kuchanganya lugha

  • @user-ft5sf5ns6h
    @user-ft5sf5ns6h 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana P.Tonny that's big call you have made. Be strong don't shout down in praying.

  • @ShukraniMussa
    @ShukraniMussa 5 หลายเดือนก่อน +2

    Be blessed man of God

  • @user-hu3zy4tr8i
    @user-hu3zy4tr8i 5 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli unaacha kuendelea na maombi unapokea simu Mungu atusaidie

    • @MexiTanix
      @MexiTanix 5 หลายเดือนก่อน +1

      Unahisi anaweza kufanya haya Msikitini? Tumeshamshuhudia akisimamisha hotuba, kupisha Adhana imalize....

    • @stevenchami26
      @stevenchami26 5 หลายเดือนก่อน +2

      Kwann asingepiga baada ya ya Maombi?

  • @emmyanold9306
    @emmyanold9306 5 หลายเดือนก่อน +3

    Malikia wetu wa nguvu Rais wetu kioenzi woweee nakupenda sana sana

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amen..Glory be to God

  • @paulkalenga739
    @paulkalenga739 5 หลายเดือนก่อน +5

    Glory to god

  • @silviaamos-pl5lk
    @silviaamos-pl5lk 4 หลายเดือนก่อน

    Amina mungu amlinde mama kilapaitwapo Leo.

  • @user-lq6ty2vy3p
    @user-lq6ty2vy3p 5 หลายเดือนก่อน

    Mama Mungu ni mwema sana Kwa hili Mungu Yu pamoja nawe Kwa Kila jambo amen

  • @danielkanso
    @danielkanso 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mtumishi hongera mpaka umebadili lugha

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 หลายเดือนก่อน

    Utskula kuku hapo miombee sana na Mungu atakubsriki waumini wote kura kwa Rais Ccm oyeeeee kazi inaendelea mama samia oyeeeee wanawake jeshi kubwa

  • @annamulungu2876
    @annamulungu2876 22 วันที่ผ่านมา +1

    Nimefurahi SANA KWAMBA Raisi wetu mama Samia anamheshimu sana Mungu na si mbaguzi wa dini ila NIMESHANGAZWA SANA KUONA KWAMBA MAMA ANAONGEA KISWAHILI MOJAKWAMOJA NA PASTOR ANAONGEA KIINGEREZA MOJAKWAMOJA. SHIDA NI NINI??? KWANINI PASTOR HUJUI KUTOFAUTISHA MAHALI PA KUONGEA KISWAHILI MOJAKWAMOJA NA MAHALI PA KUONGEA KIINGEREZA????? SHIDA NI NINI HAPO???
    NAMPENDA SANA PASTOR TONY ILA SHIDA NI HAPO TU!
    NAOMBA ALIYEELEWA COMMENT YANGU AGONGE LIKE HAPO!!

  • @Apostle.ezrajuliussichone
    @Apostle.ezrajuliussichone 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipenda hii❤

  • @Glory-cb6to
    @Glory-cb6to 4 หลายเดือนก่อน

    God bless you 🙏

  • @japhethdaudi8359
    @japhethdaudi8359 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen jambo zuri saana

  • @user-bz5ti6op6z
    @user-bz5ti6op6z 4 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 5 หลายเดือนก่อน +1

    Rais anaongea kiswahili mwamba anavimba na kingereza noma sana

  • @welmangube3224
    @welmangube3224 5 หลายเดือนก่อน

    Glory to God!

  • @ewhite2806
    @ewhite2806 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mheshimiwa Rais nimejisikia furaha sana kwa hili, kura yangu nitakupa 2025 inshallah tuombe uzima.

  • @jasmineluande1694
    @jasmineluande1694 5 หลายเดือนก่อน +4

    Yaani mama Mungu akubariki lakini hao wanashangilia siwaelewi . Ombeni achani kubweteka

    • @peacemwesiga
      @peacemwesiga 5 หลายเดือนก่อน

      Yesu ni Mwena sana mama mamasamia unahofu ya Mungu nakupenda sana namna gani waumini wanakukubali kwa furaha wanashangilia❤❤❤❤❤❤❤❤Love mama Samia

    • @merygodfrey3709
      @merygodfrey3709 5 หลายเดือนก่อน

      Natamani sana kumuona mama Rais wangu wa.Rika langu Samia Suluhu nipate baraka zake.Penda sana mama.

  • @manning979
    @manning979 5 หลายเดือนก่อน +8

    Nimependa mama anaitikia kwa kiswahili

  • @njiaya6833
    @njiaya6833 5 หลายเดือนก่อน +1

    injili inalipa usipozimia moyo KWA KWELI asante mama yetu mhe Rais kwa wema wako

  • @petermalema5702
    @petermalema5702 5 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah Sanaaaaaa

  • @onesmokilaga3784
    @onesmokilaga3784 5 หลายเดือนก่อน +1

    Bella tv on fire hakika utakalo litimie

    • @bellatvonline
      @bellatvonline  5 หลายเดือนก่อน

      Amen Best Asante Sana

  • @nenolauzima5281
    @nenolauzima5281 5 หลายเดือนก่อน +2

    This is what we use to call....uungwana.

  • @user-hw5ud2dc4r
    @user-hw5ud2dc4r 4 หลายเดือนก่อน

    Anipigie na Mimi basi nimweleze yanayonisibu. Natamani sana cku nipate connection Naya mama wa Taifa letu.

  • @user-jo9po6xf6i
    @user-jo9po6xf6i 5 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani ukisikia upendo wa mama kwa watoto wake ndiyo huu, hongera sana mtumishi kwa yote

  • @user-fk4st8qj2k
    @user-fk4st8qj2k 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mchungaji vipi tena ubadilishe lugha?hapo ndipo tunakwama waTanzania,ndiyo maana mama anasimamia kwenye kiswahili hajataka kuongea hiyo lugha lengo na washirika wasikie nini unaongea na mama, pia na mama anasemaje wasikie. Maana siyo washirika wote wanajua kiingereza.Binafsi sijapenda kiukweli.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 หลายเดือนก่อน

      Huyu pastor huwa anachanganya lunga ila kiingereza ni kingi kuliko Kiswahili, na waumini wake wengi ni vijana wa vyuo. Na kama muumini haelewi kiingereza ya nini kwenda kwake? Makanisa ya Kiswahili asilimia mia yapo kibao

  • @Kibiriti_Sports
    @Kibiriti_Sports 4 หลายเดือนก่อน

  • @mafurumatijo8803
    @mafurumatijo8803 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yani mpo kwenye maombi katikati ya uwepo simu inaita😢😢😢

    • @GodfreyMushi-kn3nb
      @GodfreyMushi-kn3nb 5 หลายเดือนก่อน +1

      Na watu wanashangilia rais kuliko uwepo

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 5 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia mama wa Taifa...
    Ishi miaka 100, kioo chan wanawake wote Afrika...

  • @mshamhemedy8567
    @mshamhemedy8567 4 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @lindakapongo8421
    @lindakapongo8421 4 หลายเดือนก่อน

    NAKUPENDA MAMA SAMIA

  • @user-xc4or2vp6l
    @user-xc4or2vp6l 5 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndio divine connection. Connect to collect❤, nimependa utapigiwa, maua yako🎉🎉🎉🎉🎉

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor ongea kiswahili 😂

  • @edithmwasulama7005
    @edithmwasulama7005 4 หลายเดือนก่อน

    Sio sauti ya mama

  • @gressnamika
    @gressnamika 5 หลายเดือนก่อน +4

    Ina maana simu ya pastor ilikuwa on air wakati wa maombi au ilikuwa imeandaliwa?

    • @jamesjoseph6825
      @jamesjoseph6825 5 หลายเดือนก่อน

      Ujanja mwingi mzee

    • @user-um6vt8qn8d
      @user-um6vt8qn8d 5 หลายเดือนก่อน

      🔥🔥🔥🔥

    • @ernestthomas9689
      @ernestthomas9689 4 หลายเดือนก่อน

      Kapangwa huyu...tunataka kura mzee

  • @ashantimoleta7798
    @ashantimoleta7798 5 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen 🙏 🙏 🙏

  • @hamisndusu3625
    @hamisndusu3625 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sio shida za watz mama uwezo wake umeishia hapo

  • @IsayaSamweli-pm4dd
    @IsayaSamweli-pm4dd 5 หลายเดือนก่อน +7

    Ninachoona Mimi Kwa macho yangu ya mbali ni kwamba mama anatengeneza mazingira ya ushindi 2025 kupitia kula mtumishi mwenye watu wengi.
    Siyo jambo baya ni zuri sana sana rais kuthamini ibada za maombi na kuona umuhimu wa kuombewa na kuombea inch.
    Lakini watumishi mue makini sana, wana siasa wanatumia akili nyingi sana kujipenyeza madhabahuni Kwa ajili ya mambo yao binafsi.

    • @mwakiboy968
      @mwakiboy968 5 หลายเดือนก่อน +3

      Hapa mwamba hujabakisha kitu.

    • @ngowibeatrice1701
      @ngowibeatrice1701 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ndio

    • @frankmwinuka3413
      @frankmwinuka3413 5 หลายเดือนก่อน +1

      Chochote ambacho mheshimiwa raisi atafanya kitaathiri jinsi wapiga kura wanavyomtazama. Yeye si wa kwanza. Waliomtangulia mara kadhaa waliongea na viongozi wa dini. Kuna viongozi wa dini wamejitokeza kumkashifu raisi na kukitukana chama cha CCM hadharani. Utayasikia askofu anasema CCM ni chama cha majambazi na matusi mengine . Anaongea huku amevaa T sheti ya chama cha upinzani. Sasa inatokea kanisa linaiombea nchi yetu, linamuombea raisi wetu kuna ubaya gani raisi kuwatia moyo kwa kuwapigia simu na kuwapongeza. Kati ya mahitaji makubwa kuliko yote ambayo raisi wetu anahitaji toka kwa waumini ni kuliombea taifa na kumuombea.

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani kiswahili kimewakosea Nini enyi Watanzania

  • @muttaabel2428
    @muttaabel2428 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu pastor nampenda sana ila apunguze kungereza awe anatumia lugha ya kiswahili kwa wingi

  • @JoshuaKashongole
    @JoshuaKashongole 5 หลายเดือนก่อน

    Mama wa maana sana huyu

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 5 หลายเดือนก่อน +1

    maisha mbona magumu ajira akuna watu wanatekwa mnaombea kitu gani sadaka?? labda ombeni upungue ugumu wa maisha wachungaji acheni ukibaraka njaa kirakona sasa mnaombea nini uoga wenu nfio zambi zenu watumishi wa pesa

  • @MushagalusaLeonard-zw8rr
    @MushagalusaLeonard-zw8rr 4 หลายเดือนก่อน

    Mhhh kwa Nini apokee simu akiwa kwenye maombi una jisi wakristo wengi hawana hekima

  • @SleepyBacon-zx9rm
    @SleepyBacon-zx9rm 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani raisi anaogopwa.anaongea kiswahili wewe umeng'ang'ana unaongea kingereza

  • @sadickmagesa
    @sadickmagesa 4 หลายเดือนก่อน

    watu wanamuombea mama nyie hamjapendezwa kwa hiyo mlitaka wapange mbinu za kumpindua ndo mfurahi sio!!
    ole wenu

  • @ImaniAlex
    @ImaniAlex 4 หลายเดือนก่อน

    Ongera postri

  • @user-yg8yo3ul8h
    @user-yg8yo3ul8h 5 หลายเดือนก่อน

    Adi Raha Yan mh siku Moja namm anipigie tu simu nahisi nitakujaga kuzimia cm ya mh rais dah nakupenda sana mama naomba siku Moja uniarike ikulu mama nikuone tunifulahi mama nakupenda sana mh rais wangu ila ndoivo elimu ndosina na Kaz kufika huko kazi

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 5 หลายเดือนก่อน

      Omba omba nimbaya piga kazi Hata kuchoma mahindi one utatoboa mkono mtupu haulambwi mkuu 😋

    • @user-yg8yo3ul8h
      @user-yg8yo3ul8h 5 หลายเดือนก่อน

      Sijaomba anipe Kaz nimeomba kuingia ikulu ila ndoivo Sina elimu Wala biashara kubwa ambayo ingenipa umaarufu hata nikafika ikulu

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 5 หลายเดือนก่อน

      @@user-yg8yo3ul8h 🙏🙏🙏

    • @yohanamagehematictok
      @yohanamagehematictok 5 หลายเดือนก่อน

      Njia za Mungu hazichunguziki ndugu fanya hicho hicho unachofanya kwa ubora na uaminifu utaketishwa na wakuu siku moja

    • @user-cb2bz4tl8j
      @user-cb2bz4tl8j 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@yohanamagehematictoktrue❤

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kapona umeosha hatari

  • @tumainfrancis4852
    @tumainfrancis4852 4 หลายเดือนก่อน

    Pastor mwenye akili mingi✍️ mafundisho yako yanafka mbali

  • @evamhufu7698
    @evamhufu7698 4 หลายเดือนก่อน

    Mama kaongea kiswahili wewe umekazana na kiingereza

  • @EuphrasiaNtawatawa
    @EuphrasiaNtawatawa 5 หลายเดือนก่อน

    Waoooo

  • @user-vr6lu8tq1n
    @user-vr6lu8tq1n 5 หลายเดือนก่อน

    Shika njia iliyonyoka na wala usikengeuke usiwe na mwingine ila mimi

  • @innocent91044
    @innocent91044 5 หลายเดือนก่อน

    Ni kampeni tuu hizi hamna jipya hapa.

  • @JanethSemboni
    @JanethSemboni 4 หลายเดือนก่อน

    Tukiingia kanisani tunatakiwa kuzima cm ili tusihamishe mawazo vip kwa pasta ?

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 5 หลายเดือนก่อน

    Makelele jau sasa

  • @user-ty5ot4cs5m
    @user-ty5ot4cs5m 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huo ndio upendo wa mama kwa mtoto ubalikiwe sana

  • @colkiwale4973
    @colkiwale4973 5 หลายเดือนก่อน

    🥰😍

    • @colkiwale4973
      @colkiwale4973 5 หลายเดือนก่อน

      I ❤ her true and free Spirit...

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 5 หลายเดือนก่อน

    Kawaida sana hiyo

  • @imanuelzakayo8703
    @imanuelzakayo8703 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani ungea ongea kiswahili ungekosea nini watanzani bhana

  • @leonardjohnson2058
    @leonardjohnson2058 5 หลายเดือนก่อน

    Vijana wa suti nyeusi hawa

  • @user-pm1jq3fj1w
    @user-pm1jq3fj1w 5 หลายเดือนก่อน

    Amefanya nini

  • @user-mn7zq7cd5t
    @user-mn7zq7cd5t 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa pastor rais kaongea kiswahili wewe unaongea kingereza ndiyo nini sasa

  • @Ivanimniko
    @Ivanimniko 4 หลายเดือนก่อน

    mamb

  • @charletsada8779
    @charletsada8779 5 หลายเดือนก่อน

    Sorry your name

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 5 หลายเดือนก่อน

    ,Sio wote ni mapasta, wengine usalama so mnaposali hapo mnasali kikanjanja, Janja Janja ya kukusanya kura, yaani hii ni namna ya kutafuta kura kirahisi unaambiwa ukishaweza kuuteka ufahamu wa mtu basi kila kitu kwako kitakuwa mteremko, hapo anacheza na Akili za watu na walivyo wapumbavu wala hakuna anayeelewa kinachoendelea, tujifunze kusoma nyakati

    • @sarahmwasyoge1830
      @sarahmwasyoge1830 5 หลายเดือนก่อน

      Ameen..kumbe siwazi ninayo waza pekeyangu

    • @sadickmagesa
      @sadickmagesa 4 หลายเดือนก่อน

      utalaniwa wew unamjua tonny kapola anachofanya au unalopoka tu

    • @sarahmwasyoge1830
      @sarahmwasyoge1830 4 หลายเดือนก่อน

      @@sadickmagesa Bwana Yesu alifanyika laana milele ili watu wote tuwe baraka..Mungu halaani mtu hata sikumoja

    • @edithmwasulama7005
      @edithmwasulama7005 4 หลายเดือนก่อน

      Mnateseka mbona
      Hata sauti ya Rais wetu hamuijyi
      Hiyo sayti ya Mama Samia

  • @user-oe9cr4qg9h
    @user-oe9cr4qg9h 5 หลายเดือนก่อน +2

    Watanzania tuache ulimbumeni wa lugha za kigeni,Rais wa nchi anaongeo kiswahili,wewe unaongea lugha ya kigeni Ina maana Gani!!!
    Hivi ukienda kijijini kwenu wale bibi zako nao unaweza kuongea nao lugha za kigeni???
    Tubadilike,kingereza ni lugha kama ki.............tu.

    • @bellatvonline
      @bellatvonline  5 หลายเดือนก่อน

      Hii Ni Kweli Kabisa Haiko Sawa

    • @ForgiveSatrin
      @ForgiveSatrin 4 หลายเดือนก่อน

      Acha wivu

  • @Kibiriti_Sports
    @Kibiriti_Sports 4 หลายเดือนก่อน